NAITWA BANDO KARIBU KUSIKILIZA MZIKI WANGU MPYA HUU HAPA👇🏻 MWANANGU FT MABY 👇🏻👇🏻 kzbin.info/www/bejne/kF6YdWh_g8Snq8ksi=KM6b3SWystI0K3L4
@mbossopage409210 күн бұрын
Message sent ✅
@mbossopage409210 күн бұрын
Kiwakeee
@mbossopage409210 күн бұрын
Hatar Sana
@mbossopage409210 күн бұрын
Khery
@mbossopage409210 күн бұрын
Mwanangu
@stevebilly40819 күн бұрын
Hamna rapa anayekuzidi....nyimbo zilizo na misingi...... greatest of all time
@BandoMC9 күн бұрын
Thanks
@TheGoldenAngel-eb4oe10 күн бұрын
Kumbe yule jamaa Alie sifia wimbo mkali kabla hujatoka aliona mbali 😂....bonge la Ngoma brother one love
@BandoMC10 күн бұрын
@@TheGoldenAngel-eb4oe 😂😂😂
@MussaRamadhani-q7v10 күн бұрын
mwanangu anaishi na bibi yake na wakati baba yake nipo na mama yake alishaolewa pengine kwa kufeli kwangu daaaah eeeh Mungu nimejikuta najipa moyo tu eeeeh mwanangu atalelewa na mim one day inshallah🎉🎉🎉
@BandoMC10 күн бұрын
Mwanangu
@GeraldMugema9 күн бұрын
Hongera sana kaka Bando, hii ni kwa wote Wababa bora kwa watoto wao, great message hii ipewe heshima yake wakuu I'm Gelly Music 🎵🎵
@BandoMC9 күн бұрын
Tuwahishelakwetu
@sautiyaradiramazani-xv3fr10 күн бұрын
Allah akujalie Bando uzidi kuandika mistari mingi yenye ushauri sana
@BandoMC9 күн бұрын
Asnt snaa
@simonvictory65059 күн бұрын
Hii ngoma kali Bro. hila toa ngoma nyingine na vanillah
@BandoMC9 күн бұрын
Sawa😊
@DMpauko10 күн бұрын
Bando kwa sasa tulia hapa hapa hili goma tumesha kubali kuwa tunafunga nalo mwaka.. 🔥🔥 maby niwa 🔥🔥🔥 sana
@Daamii_tz10 күн бұрын
dud
@Daamii_tz10 күн бұрын
anajua
@Daamii_tz10 күн бұрын
oyaaa
@DMpauko10 күн бұрын
Goma limejaa mafundi wakutosha
@DMpauko10 күн бұрын
Fanya kuchukua link na tuanze kuwachapia watu ili wote tumalize mwaka salama
@chidi_don5 күн бұрын
Kali sana Hu wimbo bando umeandika sana hapa ✏️🔥✊🏾🚀📌
@charzlee88089 күн бұрын
Ngoma ya kufungia mwaka kalii sanaa oya cyo poa wanangu wa #shytown #Ngokolo Finest #MABY_boy kaua sanaa chorus
@ProsperNgaiza-p9x9 күн бұрын
Kaka toka #Hesabu nataka kunya ujawah kutuangusha mm ni rôle mod wako nanitafurah one day ukinisupport ata kimawazo
@kareemsizyah15959 күн бұрын
Bando mc wew nimtu wamaana sanaa ngoma zako zinakitu sanaa
@NasibJunior-j2e10 күн бұрын
Wallah nimefurahi mpaka machoz yamenitoka hii kitu nilikua naionbea sana na hata patrick nishamuuliza sana daaah allah akutangulie na hii ni bonge la hit!!!
@BandoMC10 күн бұрын
Asante snaa fam
@NasibJunior-j2e9 күн бұрын
Pamoja sana wana shy tupo nyuma yenu
@shafiichusi189710 күн бұрын
Mc ... ngoma kalii ndo ngoma zetu hizi safii mzee usichelewe sasa back 2 back...🎧🎤.... Music 4 Life....
@BandoMC10 күн бұрын
Sumu
@Panya_Msela9 күн бұрын
Umetisha sana ✊ #MwananguBando..... Ujumbe na Burudani Kwenye Fani, Ndio Elimu Ya Mtaani... Maana Waalimu Walishafeli Darasani 🔥🔥
@BandoMC9 күн бұрын
Kabsa
@IBRAHIMHASSAN-c7o9 күн бұрын
Dahh nakubali aisee brother Bando MC hii ngoma niliisubili sana Kwa hamu
@sautiyaradiramazani-xv3fr10 күн бұрын
Kwanza kabisa sijui niseme je kuhusu wewe Bando maana unajua mwamba afu nikwambie tu ukweli wana wote naowakubali wengi wao ushaimba nao ( Kontawa, Vanillah, leo umeua na Maby mzee wa 500 ) unyama sana🔥
@BandoMC9 күн бұрын
Thanks
@AmisSimba9 күн бұрын
Nyimbo nzuri sana 🤜🤛 ujambo mmwanangu🔥🥂
@TonnyOmondi-u9l9 күн бұрын
Unafanya vyema mwanangu. Napenda kazi yko. Njoo Kenya upige show❤❤
@DekelvaSoujaboy-mb8ps9 күн бұрын
Ngoma kali Sana My mwamba Bando Mc mistari Yako inasomeka Sana funga mwaka from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@Thugzulu10 күн бұрын
Siku azirudi ata uendapo kwa mganga, Hiphop Mziki ni nyokoooo
@BandoMC9 күн бұрын
Noom
@StalonTeo-jb2td10 күн бұрын
Hili ni Bonge la ngoma. MWANANGU njoo usikilize rapa mpoaji anavyosema humu kamaliza kila kitu
@StalonTeo-jb2td10 күн бұрын
Mwanangu
@BandoMc-e8n10 күн бұрын
@bandotz
@Malalenduttu10 күн бұрын
Tuondokeee
@Malalenduttu10 күн бұрын
Snaaaa
@Malalenduttu10 күн бұрын
Nomaaa
@evanceleonard461710 күн бұрын
Unajua Bana MDA mhafaka Kaka nimehubili
@BandoMC9 күн бұрын
Sana
@jaymil22169 күн бұрын
Umetisha mwanang bando mc @chukua maua yako brodah🎉🌹🌹
@allyramadhani22479 күн бұрын
Mbonge la goma kalisanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@BandoMC9 күн бұрын
Noma
@AthumanbonyeBonye110 күн бұрын
Wimbo wa maana kabisa 🎉🎉🎉
@chiberjr10 күн бұрын
Noum sana aiseeee
@LutherKidd710 күн бұрын
Mkar
@LutherKidd710 күн бұрын
Nomaaaaa
@Chibertv11 күн бұрын
Aweeeeee wakwanz Leo from chiber tv ❤❤❤❤❤
@Malalenduttu10 күн бұрын
Nomaaaa
@NasibJunior-j2e10 күн бұрын
Ila mabby ur the chorous killer daaah umeniliza leo!!!
@BandoMC10 күн бұрын
Kaua sana
@LutherKidd710 күн бұрын
Anajuaaaa snaaà
@NasibJunior-j2e9 күн бұрын
Daaah mmetisha sana aisee
@abdillahiramadhani10986 күн бұрын
Best Song 2024 - Karibu Kenya Twakupenda... Pokea maua Yako...
@JajiRindano-lq1il5 күн бұрын
Noma kaka mkubwa nakukubali sanaaaaa@man rhii hapa
@godfridzekinglove61769 күн бұрын
Shetani anaiba sana tofari za vijana wanapokuwa wanajenga mapenzi😂😂
@BandoMC9 күн бұрын
Ewaaa
@officialjaycrown9 күн бұрын
Daah, ila kaka bando ivi una maktaba kichwani au ndo tuseme una akili nyingi na upeo mkubwa kuwazidi wasanii wote maake sio kwa huu uandishi halafu kikubwa zaidi ni bonge la idea, na kingine hivi hawa waandaaji wa tuzo za TMA huwa hawakuoni au dharau zinàwasumbua kaka, Nisiongee sana ila wacha nikupe maua yako kwa hili goma. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@praymwalu10 күн бұрын
Good music kama ume kubali uwezo wa Bando weka like
@BandoMC10 күн бұрын
Fam
@enokhan248610 күн бұрын
Uhalisia San umu kaka umeimbaa💥🎯
@yusuphisack2858 күн бұрын
watu wachache waliobaki wanaotoa nyimbo ninazihitaji masikioni mwangu ............. BIG UP THE REAL EMCEE
@mariwandatv10 күн бұрын
Nimekuwa WA kwanza ku view naombeni comment zangu na like
@BandoMC10 күн бұрын
Kabsa
@mariwandatv10 күн бұрын
Kali sana Ili ngoma
@mariwandatv11 күн бұрын
Wanangu hii Ngoma kali maisha
@MustaphaShaban-x2s10 күн бұрын
Huu wimba naomba uingie hata no 1 treanding
@johnsana87519 күн бұрын
Hii ngoma ni 🔥🔥🔥. Usitamani mwendo wa basi kama nyota yako ni ya baiskeli. Sijui aliwaza kondom itakua ndo uruthi wangu....
@LutherKidd710 күн бұрын
Hii ngomaaaa nimeliaaaa snaaaa nikikumbukaa na mzazi mmoja 😢
@BandoMC10 күн бұрын
Kaka
@LutherKidd710 күн бұрын
Nomaaaq
@saidimbano9 күн бұрын
Nakubl snaa mzee wang
@Young-Valentin10 күн бұрын
Wa Congo🇨🇩 wote ambao tuna msikiya bando tujuane apa kwa like wacongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@BandoMC10 күн бұрын
Naam
@PINKYyssrf10 күн бұрын
Anajua sana
@mariwandatv11 күн бұрын
Unajua SANA
@faxkeentv585011 күн бұрын
Acha ije mwanang 💪💪
@Seletz-ec6op10 күн бұрын
NYIE Bando Fundii wa hiziii🎉🎉🎉 kama unabishaaa njoo na rapa wako mimi nipo na vivid examples from bando Mc
@Seletz-ec6op10 күн бұрын
Anajuaaaa sana
@Seletz-ec6op10 күн бұрын
Mtoto wa kike ukisoma humisi nyeti na wadhungu
@Seletz-ec6op10 күн бұрын
Oyaaa
@Seletz-ec6op10 күн бұрын
Oyaaa Oyaa weeeeeh
@Seletz-ec6op10 күн бұрын
Wa motooo
@Kthenation9 күн бұрын
Rapper Mwenye Akili Nyingi 🫡✊
@mariwandatv11 күн бұрын
Nakuelewa sana
@MAILAGUN10 күн бұрын
Familia imekutana sasa tufunge mwaka #maby #kontawa hit song
@LutherKidd710 күн бұрын
Nomaaaaa snaaaa Nomaaaaa snaaaa
@djrautz73310 күн бұрын
Hii ndo hip hop iliyofunga mwaka, BANDO unajua baba✊🏻✊🏻✊🏻✊🏻
@BandoMC10 күн бұрын
Kabsa
@devaxtz10 күн бұрын
Mabby toka chuga now njia inaanza pambazuka kaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 together blood fight always good job 🎉🎉🎉🎉 bando always on fire 🎉🎉🎉
@BandoMC10 күн бұрын
@@devaxtz naaam
@baddenbeats9 күн бұрын
ngoma yangu🎧
@BandoMC9 күн бұрын
Noma
@mariwandatv10 күн бұрын
Nomaaa ngoma ili
@BandoMC10 күн бұрын
Nooma
@AniaSawaki10 күн бұрын
Dah 🥺🥺masingle baba wote wamepata msemaji wao 😢
@BandoMC10 күн бұрын
Hakik
@LutherKidd710 күн бұрын
Hatr snaaa
@Daamii_tz10 күн бұрын
aweeh
@Thugzulu10 күн бұрын
Transalate to swahili 😥
@ismailiRamadhani-pp4ie9 күн бұрын
Live
@RashidRamadhani-b5o10 күн бұрын
Mwanetu bando wakilisha ✊✊✊
@BandoMC9 күн бұрын
Sana
@jayprince37419 күн бұрын
another hit 🔥🔥hii ya kufungia mwaka
@jboy981311 күн бұрын
Kaka nkbr sana🎉🎉🎉
@BandoMC10 күн бұрын
Noma
@saidimbano9 күн бұрын
Nakubl sna mzee wang
@saidimbano9 күн бұрын
Noum sana anko wang
@saidimbano9 күн бұрын
Nakubl sna mzee wang
@saidimbano9 күн бұрын
Chap sana
@saidimbano9 күн бұрын
Chao sna
@saidimbano9 күн бұрын
Kimbizaaa sna
@mariwandatv11 күн бұрын
Mwanangu kaibiwa nyimbo yake
@johnstambuli527510 күн бұрын
Unyama sana kaka nakukubal sana pga kaz yan daah
@BandoMC10 күн бұрын
Noma
@djrautz73310 күн бұрын
Zima nyimbo zote washa bando mc 🎉🎉🎉
@movie_recap_kwa_kiswahili11 күн бұрын
Future baby njoo usikilize hapa
@BandoMC10 күн бұрын
Ewaa
@mariwandatv11 күн бұрын
Unajua sana
@mariwandatv11 күн бұрын
Ubaya ubwela
@BandoMC10 күн бұрын
Sumu
@SixmirroMarombondo-hw7cl10 күн бұрын
nomaaaa sanaaaa unajua sanaaaaaa
@gpricetz8 күн бұрын
🎉🎉🎉💥💥💥ngoma kali sana inaujumbe mzuri kwa watototo wetu
@StalonTeo-jb2td10 күн бұрын
Bando mc nomaaa sanaaa
@ManSele-oi2kt10 күн бұрын
Hujambo mwanangu
@ManSele-oi2kt10 күн бұрын
Babaako ni buhed
@ManSele-oi2kt10 күн бұрын
Noma
@ManSele-oi2kt10 күн бұрын
Wanangu
@ManSele-oi2kt10 күн бұрын
Huyu
@homesaickofficial74079 күн бұрын
Umeuwa bando ila maby kakualibia nyimbo coras mbovu inshort mtu ambae angeuwa umu ni daway au yule uliefanya nae colabo ya play for kaliakoo 🎉🎉🎉
@KelvinDebruyne-y3o9 күн бұрын
Tishaaaa sana
@KelvinDebruyne-y3o9 күн бұрын
Mzuri San
@KelvinDebruyne-y3o9 күн бұрын
Mzuri San balaa sana
@KelvinDebruyne-y3o9 күн бұрын
Mzuri San balaa sana noum San
@KelvinDebruyne-y3o9 күн бұрын
Balaaa San
@mariwandatv11 күн бұрын
Kali
@kadokazi9 күн бұрын
Kwenye maisha kama huhitaji kufeli, Usitamani mwendo wa basi kama nyota yako ni ya baiskeli👑
@flipspoiler99139 күн бұрын
Nimeingojea saana hii MY BRODAAAAH🎉🎉❤
@BandoMC9 күн бұрын
Noma
@mariwandatv11 күн бұрын
Naombeni comment zangu
@LutherKidd710 күн бұрын
Kauaaa
@LutherKidd710 күн бұрын
Motoooo
@LutherKidd710 күн бұрын
Unajuaaaa
@LutherKidd710 күн бұрын
Snaaaaaa
@LutherKidd710 күн бұрын
Mtt wa munguuu
@mariwandatv11 күн бұрын
Maua mengi kwako
@abughuraira9 күн бұрын
Nice song
@winner_bite9 күн бұрын
Ndugu yangu mwanangu xn #musa Tyr mungu kashaaamua mzee wng
@murtazaseleman67936 күн бұрын
Huja wahi kutuangusha mashabiki zako ngoma kali sana Sema kwenye kolasi maua sama angeua sana
@mariwandatv11 күн бұрын
Hit
@mariwandatv11 күн бұрын
Ngomaaa
@mariwandatv11 күн бұрын
Me binafsi nimekupa maua yako
@BandoMC11 күн бұрын
Mariwanda
@abdulazizmnyika9 күн бұрын
ni noma ngoma za bando🔥
@BandoMC9 күн бұрын
Noma
@MichaelJohn-lb6uu10 күн бұрын
Ahsante kwa ujumbe kuntu🎉🎉
@mariwandatv11 күн бұрын
Maua yako kaka
@mariwandatv11 күн бұрын
Ubaya ulerudi
@OneMore-25510 күн бұрын
Hudaah na bando inabidi ifike hatua hudaah akuelewe mana versi zake hudah akosi😅😅😅😅😂😂
@BandoMC10 күн бұрын
😊😂😂😂😂
@MtotoWamjini9 күн бұрын
Apangalo Mungu ndio amepanga
@MashaKiyumbo6 күн бұрын
Sawa ankoo
@mariwandatv11 күн бұрын
Moto
@OmahRee1010 күн бұрын
Oya Bando tungo zako noma sana mpa hawapati uhuru kinyata😂
@BandoMC10 күн бұрын
Kabsa
@Shagaritz9 күн бұрын
Kimbizaa sna mzeed
@Shagaritz9 күн бұрын
Chalii noma sna ankoo
@Shagaritz9 күн бұрын
Kimbizaa snana
@Shagaritz9 күн бұрын
Chaonsna amkuuu
@Shagaritz9 күн бұрын
Nakublnsn anko
@Shagaritz9 күн бұрын
Wazee wa kazi
@mariwandatv11 күн бұрын
🎉😂❤🎉
@KheliToliso8 күн бұрын
Basi bando tuache kidogo tupumue inatosha baba🙌
@edsonlupogo339210 күн бұрын
😂😂😂shetan alipita na tofali dah bando your genius 🔥 🔥 🔥 a good sound. A. Good. Music
@BandoMC10 күн бұрын
Noma
@OFFICIALDASSAYSONMUSIC9 күн бұрын
Umetishaaa san jembe lang 🤝🤝🤝🤝🤝
@roshmybeiby370310 күн бұрын
Wanaoenjoy na magoma ya bando hebu fikisheni views 2milion ngoma nzuri sana wallah ❤❤❤❤ imenigusa sana😊😊😊😊
@BandoMC10 күн бұрын
Rosh
@roshmybeiby370310 күн бұрын
@BandoMC lazima tufanye ngoma na wewe wallah nimeapa🤔
@AssaniAssajiro10 күн бұрын
My favourite artist in Tz 🎉🎉🎉 unajuwa sana kaka @BandoMc
@Sk.venture10 күн бұрын
Home boy umeumiza sana humu💯💯
@BandoMC9 күн бұрын
Asant mbo
@SodanaIssa10 күн бұрын
WAMEMCHOKOZA BEA🙌🙌🙌🙌🙌
@ismailiRamadhani-pp4ie9 күн бұрын
Noma
@ismailiRamadhani-pp4ie9 күн бұрын
Nic❤
@ismailiRamadhani-pp4ie9 күн бұрын
1 e
@DeusdedithyAmul10 күн бұрын
Oya we bando we jamaaa Genius sana afu unajua 🔥
@BandoMC10 күн бұрын
Asant sna
@PINKYyssrf10 күн бұрын
Unakosea anajua sana
@DeusdedithyAmul10 күн бұрын
Eeh mwanetu shusha vyuma fans wako tuko hapa na tunajua always hautuangushi hili dude ni banger ✅✅ Unajua sana talented. Tunafunga mwaka na Hili goma inspiration song Moja kali keep it up Mwamba
@nelsonkahindi845610 күн бұрын
pole pole tu utafika bro👊👊
@josephjohn83639 күн бұрын
Maby kanyonga sana kwenye CHORUS hongera sana aisee
@BandoMC9 күн бұрын
Kakanyaga
@josephjohn83639 күн бұрын
@BandoMC Vibaya mno aisee
@josephjohn83639 күн бұрын
@BandoMC Ila pia utunzi wako umekomaa sana aisee
@imaxshine22109 күн бұрын
Bando unajuwa sana. Muda utasema japo hakuna saa yenye mdomo
@zamradymsomaly10 күн бұрын
Nilikua nasubili kwa hamu sana 💪*333#
@vittaalphonce40839 күн бұрын
Special talent, Huyu rapa aheshimike na Tuzo yake iwe ya kipekee
@eustadiusbahanzi9 күн бұрын
One day bando ni bless collabo e4balo da ngoma kali nilitak kulia daaa!!!!!!!