Bando MC Ft Mr Blue - Uswazi(Official Music Video)

  Рет қаралды 333,615

Bando Mc

Bando Mc

Күн бұрын

Пікірлер: 383
@triplejsportstv9411
@triplejsportstv9411 4 жыл бұрын
Kama unampango wa kumdisi BANDO wewe ni mtoto tulia TUPIA LIKE KWA BOY KUTOKA SHINYANGA
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
We mtoto tulia
@shirumbajonh3006
@shirumbajonh3006 4 жыл бұрын
M
@cwedertza3975
@cwedertza3975 4 жыл бұрын
Kama hii ngoma ya #uswazi inafany vizuri mtaani kwako gonga like hapa
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Aman
@flexcasanova6417
@flexcasanova6417 4 жыл бұрын
Mganga anaweza kuwa na dawa zote ila dawa ya meno akanunua dukanii Dah hii kalii.
@francisnyeriga
@francisnyeriga 4 жыл бұрын
Nilikuambia unakipaji tangu siku ya kwanza nakusikiliza na mimi ni shabiki yako mkubwa sn.Acha tupush ngoma
@AbuAli172
@AbuAli172 4 жыл бұрын
Wakenya chapeni like hapa...Bando umemada ngoma jo 🙆🏽‍♂️ BARS!!!!
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Thanks blood
@VITUSBAHATI
@VITUSBAHATI 4 ай бұрын
Nakukubali sana mwanangu Bando
@mitelpclassic6691
@mitelpclassic6691 Жыл бұрын
Kwa leo tupitie 10 bora za captain
@manigermtuatari1924
@manigermtuatari1924 4 жыл бұрын
Umekalisha vilaza wote na matozi wete bongo fanya ututembee wauni🇿🇦mtaani kwetu tunakukubali sana machintanga uku
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Bless
@agustinomaganya5427
@agustinomaganya5427 4 жыл бұрын
Bando mc nakukubal since day one boy unajua mpk unakela, ngoma iko 🔥🔥🔥👉✈️👉📍📍📍👉🎤 wataelewa2
@jansansandiego4613
@jansansandiego4613 4 жыл бұрын
Good sana kijana, Babu usiejua wajukuu , Unatunisha mbavu mbili wee unakifua ama kifua Kikuu, Nakubali!
@collinskhaoya3446
@collinskhaoya3446 4 жыл бұрын
In Kenya this is the TRUE BONGO we have always appreciated since back then. Back to it's roots.....
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
My family forever
@smileboytz4236
@smileboytz4236 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/naTHpYqoi7WCj7s
@amenyapeter2967
@amenyapeter2967 4 жыл бұрын
Much love #Bando hapo Mr Blue uligonga ndipo much respect
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Thanks my g
@emmanueldrawerhq7526
@emmanueldrawerhq7526 4 жыл бұрын
Hali kwetu nakotoka sio shwari, yaani kijito nyama, sinza mchicha na makumbusho ndo ugari#umeua MC WANGU
@zerryzeinnovator1230
@zerryzeinnovator1230 4 жыл бұрын
Sijawahi kumpingaa bando,,,,,Mwanangu anaweza sana piaa Mr Bluee hujawahi koseaaa ni MIRAHAAA TU,,,
@King_Mfalme-254
@King_Mfalme-254 3 жыл бұрын
Ilibidi nitafute hii song baada ya kuskiza mistari vile inasheheni buzara na ufundi wa hali ya juu kazi mubashara🔥🔥🔥🔥🤘🤘🤘
@nyamakwota
@nyamakwota 4 жыл бұрын
Sasa hapa ulimaliza kabisa.. Bando mc wewe ni ile mbogi mbaya.. Nairobi ishaakubali bro.. Lyrics ziko juu kuliko robani
@DjRHINOInternational1
@DjRHINOInternational1 4 жыл бұрын
I was only here to see MR Blue. Mwingine ajipe shughuli
@josephchotto4547
@josephchotto4547 4 жыл бұрын
Good song,,,mwendelezo mzuri utafika mbali kaza buti
@Mr.Highway7
@Mr.Highway7 3 жыл бұрын
Na mtaa unaitwa makoroboiii🙌 oyaaa wa Mwanza niwaone apaaa✊
@blakteaful
@blakteaful 4 жыл бұрын
Yaani hapa Byser ndó kesha MURDER chorus!! 🔥🔥🔥
@mulababaz3225
@mulababaz3225 2 жыл бұрын
Salute sana dingi Kazi nzuri keep it up
@pascalnyanda1289
@pascalnyanda1289 4 жыл бұрын
Hii ngoma nazidi kurudia kuangalia sipati jibu ngoma Kali Sana dogo sukuma kete
@nellyrobert8510
@nellyrobert8510 4 жыл бұрын
Bando ww ni la talented artist nakubal..
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Bless bro
@CalosMulwa
@CalosMulwa Ай бұрын
Kaliii❤❤
@KONGWAFAUSTINPHILANTHROPE
@KONGWAFAUSTINPHILANTHROPE 2 күн бұрын
FROM DRCONGO UVIRA 🇨🇩 C'EST TJR PHILANTHROPE BIG UP
@kazabrazake5911
@kazabrazake5911 2 жыл бұрын
Mistari ya Bando imekwenda shule!
@paultz5416
@paultz5416 4 жыл бұрын
Hi ngoma kali sana bluu hajawahi fanya pumba aisee
@moseswekesa8366
@moseswekesa8366 4 жыл бұрын
Maana keleke ya mlango haiwezi zuiazuia mwenye nyumba usingizi.
@tonyshineafrica8278
@tonyshineafrica8278 4 жыл бұрын
Unaweza kuwa unaoga hku ukimtongoza mpita njia
@realkasisi4100
@realkasisi4100 4 жыл бұрын
Ukitwa mpenzi bila pesa ujue wewe mpenzi wa mungu
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Haki trna
@manbouy3393
@manbouy3393 4 жыл бұрын
Nakubali ukiwa NeSSI utapakatwa na mua dem wako asipo ona mwenzi jua amepatwa na jaaa
@emanuelmwakibuja4598
@emanuelmwakibuja4598 4 жыл бұрын
ukiitwa mpenz bila pesa ujue ww n mpnz wa mungu
@ahmedyhebron8056
@ahmedyhebron8056 4 жыл бұрын
Mganga anaweza akawa na dawa zote ila ya dawa ya meno akanunua dukani 🎤🎤
@c.e.o668
@c.e.o668 4 жыл бұрын
Bandooo wenye akili kama wewe ndo tumeielewaa!!! Kaz nzur
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Bless san mkuu
@emflashtv6211
@emflashtv6211 4 жыл бұрын
*Me napenda hii nyimbo na wiwa kuitzama kila baada ya dakika 10 asee **#bandomc** umejua kutunyoosha*
@wendyketchem4786
@wendyketchem4786 2 жыл бұрын
Jamaa anajua siyo wakina mind wanabwabwaja tuu
@mussakitulanya4486
@mussakitulanya4486 4 жыл бұрын
#sanaaaa mwanaaa wa W #uswaziii #uswaziii life
@kelvodewriter
@kelvodewriter 4 жыл бұрын
Bandoooooooooo... Songa nayo kamanda ⚡⚡⚡
@petermurage8685
@petermurage8685 4 жыл бұрын
Dope dope dope. Hii nimeikubali toka hapa +254
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 3 жыл бұрын
Mganga anaweza kua na dawa ila ya meno ananunua dukani... daaah!!
@athmanmgandi6574
@athmanmgandi6574 3 жыл бұрын
Uswazi kwetu 💪🏿💪🏿
@stevenkapugi4209
@stevenkapugi4209 2 жыл бұрын
Duuuuuuu hatariiiii sanaaaa
@Usawa_phonetech
@Usawa_phonetech 4 жыл бұрын
Tulishachukiwa na wazazi kabla hatubarehe
@chidoohtz3836
@chidoohtz3836 4 жыл бұрын
Unamjua bando weeeuuuweee
@mkinyamason6178
@mkinyamason6178 Жыл бұрын
Nomaaa. Na nusu
@rajabubojoo9467
@rajabubojoo9467 4 жыл бұрын
Ila mtaani tumealalisha kila demu mzuli tumemzalisha like kwa bando
@jeremiahmasunzu3437
@jeremiahmasunzu3437 4 жыл бұрын
Blue forever young ....kimbiza vizazi vyote🙋
@Manfilly
@Manfilly 4 жыл бұрын
BANDO NI HABARI NYINGINE ....ANASUKUMA KETE
@ZzikoliaKE
@ZzikoliaKE 3 ай бұрын
NICE ONE BRO.
@echagwhy4442
@echagwhy4442 4 жыл бұрын
chaaaaaaaa KAZI NZURI SANAA
@zachariaelias1010
@zachariaelias1010 3 жыл бұрын
Roho mbya haijeng maana haina kiwnja😁😁😁 big up sn bro
@superherotv1750
@superherotv1750 4 жыл бұрын
Fredoo on air ,,,,,mzigo kabla ya trending 2shapita nao
@proyengatouch3703
@proyengatouch3703 4 жыл бұрын
Oi mnyamaaa Bando hili ni jiiiweee du!(ila ucmanishe maana nyingine) hii ngoma ya kibabe
@Car_rental_Zanzibar
@Car_rental_Zanzibar 4 жыл бұрын
bando,nakukubali saana mwana✊✊✊
@richkiddy7046
@richkiddy7046 4 жыл бұрын
Homeboy ,,,,mieee nakubaliiiii shy town mokoooo
@fejam9223
@fejam9223 4 жыл бұрын
Kweli uswazi ujumbeee mkali haina kufeli
@bossdizzy
@bossdizzy 4 жыл бұрын
Uswazii sanaa tuu
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 4 жыл бұрын
Safi san video imeendana 💯 na audio
@edyfrankamani9588
@edyfrankamani9588 4 жыл бұрын
umeua bando shida sana
@kadmc9124
@kadmc9124 4 жыл бұрын
Duuu! Goma lmekaa fit! Mc bando xana man!!!!!
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Blood
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Asante
@IbraahRichNey-ny6kx
@IbraahRichNey-ny6kx Жыл бұрын
Unyamaaa zaid ya unyamaaa
@saidndaro6630
@saidndaro6630 4 жыл бұрын
BLUE imeweza bando imeweza
@petermurage8685
@petermurage8685 4 жыл бұрын
Huyu Bando ana bars kweli.
@bibomax4273
@bibomax4273 4 жыл бұрын
Usiku wa Jana ulikuwa poa sana 1+
@richbrizzy_tz
@richbrizzy_tz 4 жыл бұрын
Hatariiiiii goma kali
@smileboytz4236
@smileboytz4236 4 жыл бұрын
bonge,la,ngoma aiseeeh bando haahahah
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 4 жыл бұрын
Mr blue ndio kaharibu humu
@kiduaalute603
@kiduaalute603 4 жыл бұрын
Mmetishaaa
@willymashaka648
@willymashaka648 4 жыл бұрын
daaah nimeishubiri sana hii ngoma
@awesoapollo8608
@awesoapollo8608 Жыл бұрын
Nakubali mwanangu
@ramadhanikondo6114
@ramadhanikondo6114 4 жыл бұрын
Ngoma kali sana naamin tutafika tu
@mrvibe1289
@mrvibe1289 4 жыл бұрын
Nomaaa snaa
@godwin-daudmusika2697
@godwin-daudmusika2697 4 жыл бұрын
Kazi nzuri bro.
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 жыл бұрын
*NAAAAAAAM mapenzi bila pesa basi wewe ni mpenzi wa MUNGU* 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂😂😂 Hip Hop yenye Comedy
@Cjayleo4k
@Cjayleo4k 4 жыл бұрын
😂😂😂
@mbagatvonline3121
@mbagatvonline3121 4 жыл бұрын
Mambo yanasonga ila hayawezi kusonga ugali safi sana nakubali mazee IBRA apa the chiganian presenter from mbaga TV online usisahau kusubscribe.
@jailethjosephales4941
@jailethjosephales4941 4 жыл бұрын
Wooow nilikuw naisubiri video umeua rafk ang....sema napenda ka msitari kamoja kanasema hvi...hawajuh kupenda wadada wanajali pesa nahc aliyegundua mapenz nae alkufa kwa stress😂😂🙌🙌🙈
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Asante mama la mama
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 2 жыл бұрын
Safi sanaaa,,,
@mpembarino1917
@mpembarino1917 Жыл бұрын
We mtoto Tulia ngoma Tam sana 2023 gusa apa
@dogotwaanails_mafunzo
@dogotwaanails_mafunzo 3 жыл бұрын
Nomaàaaaa sanaaa
@ittyswilla5819
@ittyswilla5819 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥WCB tuko hapa now
@jamaaafrikatv6590
@jamaaafrikatv6590 4 жыл бұрын
Kaz kaz mzee
@chanochodo9974
@chanochodo9974 4 жыл бұрын
Kizaziiiiii🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥
@pauljoseph8345
@pauljoseph8345 4 жыл бұрын
Sana bando,, nimekubal Sana 🔥🔥🔥🔥
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Bless
@saidndaki9783
@saidndaki9783 3 жыл бұрын
umeuwaaa
@camptonjames8470
@camptonjames8470 4 жыл бұрын
From SA🇿🇦 full respect ngoma nzuri
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Bless mtu mbad
@emmanuelsilungu446
@emmanuelsilungu446 4 жыл бұрын
Msiba huuu safi team
@mamdires6841
@mamdires6841 4 жыл бұрын
Hardcore bongo🔥🇰🇪🇰🇪
@koja_26
@koja_26 4 жыл бұрын
Kazi Kari Brother...
@shabanramadhan7916
@shabanramadhan7916 4 жыл бұрын
Walisema hayawi hatimaye yamekuwa sasa 🔥 🔥 🔥
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Chupa kwa hewa
@DirHassan
@DirHassan 4 жыл бұрын
Blue tulia #chorus ya kijanja ,,piga like zote kama vipi
@LuckstarmanMwenja
@LuckstarmanMwenja 9 ай бұрын
Big up xan bando
@dizzyofficiall
@dizzyofficiall 4 жыл бұрын
Kichupa tisha sana mwamba
@jocktanfabian2469
@jocktanfabian2469 4 жыл бұрын
Bando the killer uswaz n motooooo
@KelvinEmersonSteven
@KelvinEmersonSteven 4 жыл бұрын
Bandooooo Mc Hatari sana
@salimtweyale2661
@salimtweyale2661 4 жыл бұрын
Mzee Umeua Ukiitwa Mpenzi Bila Pesa Ww Ni Mpenzi Wa Mungu
@BandoMC
@BandoMC 4 жыл бұрын
Punch after
@fridaypol
@fridaypol 4 жыл бұрын
Tunaishi giza na mtaa unaitwa makoroboi....
@patrickoptatus8190
@patrickoptatus8190 4 жыл бұрын
Kaka noma Sanaa hiii
@dastopadady2402
@dastopadady2402 4 жыл бұрын
Jamani hii ndio misitali
@wizzmkandawile1140
@wizzmkandawile1140 4 жыл бұрын
#hapo lazima umchokoze #BEA
@richbrizzy_tz
@richbrizzy_tz 4 жыл бұрын
Bando unajuaaaa mnooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ngalambemzulu3062
@ngalambemzulu3062 4 жыл бұрын
Yap nakubali
Bando MC Feat Daway - Sir God (Official Music Video)
4:04
Bando Mc
Рет қаралды 581 М.
Bando MC x Billnass - Chama La Wana(Official Music Video)
4:49
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
Dakika 10 Za Maangamizi - BANDO MC | Planet Bongo
12:12
EastAfricaRadio
Рет қаралды 557 М.
BSS 2024 SE15 EP05 EXTRA DAR | FULL SHOW
32:35
BongoStarSearch
Рет қаралды 19 М.
MR BLUE - WATAKUBALI FT ALLIONARE (Official video)
4:35
Mr Blue
Рет қаралды 662 М.
YOUNG KILLER MIX 2023.
1:04:40
DJ OSEL
Рет қаралды 25 М.
Bando MC Ft Rocky - Naomba Tuongee (Official Lyrics Video)
5:10