Baraka kaondoka Rockstar4000...kaeleza mipango yake

  Рет қаралды 19,042

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Moja ya story ambayo leo July 21, 2017 imekuwa ikimake headlines kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu mwimbaji staa wa Bongofleva, Baraka The Prince kuachana na label ya Rockstar4000 aliyosaini kufanya nayo kazi 2016.

Пікірлер: 182
@elimagotraore9712
@elimagotraore9712 7 жыл бұрын
Nimegundua kua WAHENGA wako sahihi kwel usimtukane mkunga uzazi ungalipo. Yaliokuta mjaluo ni haki kabisa ulikua anaongea kebeh sana
@fatumaababy1281
@fatumaababy1281 7 жыл бұрын
All the best,
@alishomar7549
@alishomar7549 7 жыл бұрын
baraka ndio mwenye uchungu na mziki wake...bkoz ndio kaz yke ...2muache ...aendelee ...all the best
@isibanianews1329
@isibanianews1329 7 жыл бұрын
true
@fatumamsangi5740
@fatumamsangi5740 7 жыл бұрын
kama kiba ni mkurugenzi wa rockstar.hapo hamna kampuni na haina mtaji utapeli tu.we nilikushauri huko kwa kiba umepotea uswahili,hate,na ndipo ulipopata maadui.diamond au wasafi usingepata shida hawana bifu na mtu wanafanya kazi na maisha licha ya kwamba wavivu na wazembe upande kiba wanawatukana.uko ulikosea.pia kiba ni muimbaji wa studio tu hajui kuimba nadhan umemjua.hao porojo wamekuchelewesha usiwajibu acha fanya kazi
@dovicochristopher5388
@dovicochristopher5388 7 жыл бұрын
Fatuma Msangi ww utakalia Chuma subri huone
@mkwechemedy9929
@mkwechemedy9929 7 жыл бұрын
We nae nani unae ropoka kwa mitandao
@abubakariyusufu9320
@abubakariyusufu9320 7 жыл бұрын
Fatuma Msangi yaan ww ndo wale wale mashabik maandaz,yaan hao wazee w xxl(wcb)unawaona kama Miungu watu vle wakat hamna kitu.
@hydaxplus1887
@hydaxplus1887 7 жыл бұрын
Fatuma Msangi ina onekana mind akitaka mkundu uta mpa choko ww
@alialle6441
@alialle6441 7 жыл бұрын
Fatuma Msangi yani ww unashabikia hata mapenzi ya mbwa
@karimhemed9261
@karimhemed9261 7 жыл бұрын
kitu kinachofanya diamond na kiba kua juu kila siku ni sababu ya nidhamu kwa mashabiki na media.. huyu hana maisha marefu kwenye mziki bt all the best
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 7 жыл бұрын
Anatukana hata mashabiki
@jumannemkami5092
@jumannemkami5092 7 жыл бұрын
baraka Mimi namuelewa sana halafu sidhani kama nyie mnaosema kashindwa muziki mna hakili timamu hivi nyie mnaojiita teamkiba niambieni toka mwaka Jana kibakuli ametoa nyimbo ngapi ukipata jibu ndo mtajua nyinyi ni #shabikimaandazi baraka ameona hakuna manufaa ni lazima ajitoe sio ang'ang'anie 7bu eti ni rockstar uongo big up baraka nakuelewa sana hata uwe chini kiasi gani
@michaeljeremiah634
@michaeljeremiah634 7 жыл бұрын
baraka anaongeaga kweli kazi za kucfiana wakat akuna ktu mamaeeee baraka motooooo
@yusuphjunior3767
@yusuphjunior3767 7 жыл бұрын
big up kaka Baraka mungu akuongoze ktk kaz zako.. rockstar hamna kitu wanakupotezea muda wako
@deogratiassilayo7182
@deogratiassilayo7182 7 жыл бұрын
umama umezidi
@angelshirima7347
@angelshirima7347 7 жыл бұрын
vizur Sana fanya unachopenda watz tufike mahal tuache kupangiana maisha
@josephmarwa3924
@josephmarwa3924 7 жыл бұрын
heheheheh anajifananisha na kiba doh...!!!
@dichodaplaiza
@dichodaplaiza 7 жыл бұрын
karbu kuleeee kwenye vdeo zenye viewz nyingii mungu atakusimamia
@dovicochristopher5388
@dovicochristopher5388 7 жыл бұрын
Ww Mzee Baba unayumba shauri yako Huo ndo mwisho wako!
@eliasinkala704
@eliasinkala704 7 жыл бұрын
Hamna kitu pale afazari umeondoka, kama huyo anajiita king, anatoa kanyimbo kamoja anakaa mwaka, ww ndo ungepotea kabisa, ludi tujenge nyumbani sio nyumba za watu.
@isibanianews1329
@isibanianews1329 7 жыл бұрын
Elia Sinkala walikuwa wanamzubaisha dogo na dogo ana kipaji kikubwa
@abduhamisi6769
@abduhamisi6769 7 жыл бұрын
Baraka ajifunze kuheshimu na kunyenyekea mashabiki zake na wasiokua wake, aangalie personality yake huwenda ikampoteza kwenye game MZIKI WA BONGO HAUNA ADABU
@johdefinnest1928
@johdefinnest1928 7 жыл бұрын
baraka kumbe maisha ya mwanza ulvyokuwa ukigongea show msanii akja club na ulipw ata sent Leo umetoka umejaa kichwa ngja tuone safar yako maana hueshma kabsa watu
@festontandu1747
@festontandu1747 7 жыл бұрын
safi sana baraka wcb tunakusapot wanaokudiss ni team kibakuli
@rebolman3673
@rebolman3673 7 жыл бұрын
safi sana baraka mafans wengine ni kuma tu hawajui lolote Kaz kujifanya team kiba na mond
@saidymsongo7735
@saidymsongo7735 7 жыл бұрын
Hujui mashabiki ndo wamebeba 70% ya maisha yako wakikutaa huwezi kuongea mbele ya adhara kwa hivyo unavyojinadi.. Na heshima huwa ni nguzo katika kazi.. Na shule ndo tatizo
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 7 жыл бұрын
duuuuh..... sidhan km kuponda lebel ilokusogeza hatua flan ni issue nzur km umetoka rockstar toka kistaarabu usichafue wkt wamekusogeza kuwa na hekima kijana huijui kesho
@abdulathumani4305
@abdulathumani4305 7 жыл бұрын
yupo wapi ruby Leo__20% je? wapi PNC na kipi kilicho mkuta janjaro kipindi kile!... wote hao walikuwa na mbwembwe kama hizo ila poah. kila la kheri...
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 7 жыл бұрын
Abdul Athumani ninachokiona ni kwamba wabongo wanakuwa na kiburi ilhali mitaj hawana ...angeanza bila management huenda asingempata huyo Naj leo Rockstar wamwmlea na mtaj kapata anaviiimbaaa
@kizablack7667
@kizablack7667 7 жыл бұрын
Safi sana Mtu wangu wanguvu Maisha ni popote
@barakamichael673
@barakamichael673 7 жыл бұрын
kila mtu na anavyo ona baraka yupo sawa tena ni muwazi safi sana broo
@peterhalson8949
@peterhalson8949 7 жыл бұрын
umetumbuliwa
@themobb_worldwide
@themobb_worldwide 7 жыл бұрын
sawa baraka mwenye mioyo yako..
@saintwiz
@saintwiz 7 жыл бұрын
safi mzee umeongea point KABISAaaaaaaaaaa
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 7 жыл бұрын
Huyu hana maringo huku kuimba kwenyewe hakuna kama mwanamke
@officiallugano8991
@officiallugano8991 7 жыл бұрын
one of the coolest person ever
@MakoyeAman
@MakoyeAman 7 жыл бұрын
pole sana kijana, ustaarabu huna ww ndo ktakacho kuua kokote uendeko, kidbway alikubwaga hata hko pia
@idreamfoto
@idreamfoto 7 жыл бұрын
Waliokupandisha Ndio Watakaokushusha, Mark My Words Chichibway
@khalfanmansour2297
@khalfanmansour2297 7 жыл бұрын
👑 king munamkubali huyo chezi mwanamdogo
@godfreypaul290
@godfreypaul290 7 жыл бұрын
Huu ndo mda wa kupisha nafas ili wengine nao watusue. Kwaher Baraka imebak history kama nawe ulikuaga mwana music, kila jambo na wakat
@godfreymtwanga6929
@godfreymtwanga6929 7 жыл бұрын
Kweli mwanadamu cyo wa kumuamn wala kumfadhili kabisa
@nassorlido9380
@nassorlido9380 7 жыл бұрын
nakukubali njooo kwenye mziki mzury wasafi
@sportskijiwe781
@sportskijiwe781 7 жыл бұрын
yupo sahihi kabisa baraka rock star mtu tunayemuona sana ni seven kama meneja kimipango hawapo vizur tuwe serious .lady jay dee siyo yule kiba mwaka mzima nyimbo moja hata wizkid,davido hawafanyi hivyo
@richmontanna7934
@richmontanna7934 7 жыл бұрын
Hujui kitu n wapenda kiki
@ghalibnadil3561
@ghalibnadil3561 7 жыл бұрын
Kwel uyu jamaa mwehu 😂😂😂
@abdallahlyimomrwana9134
@abdallahlyimomrwana9134 7 жыл бұрын
shabiki mpuuuz looooooh... rockstar mpo..!!
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
uko sawa na sijaona ukiponda hiyo label uliohama ila watu ni wagumu tu kuelewa biashara ukiona haina maslah unahama hakuna ulazima fanya kazi zako ukitoa kt kizur utauza tu
@francisdaudi9894
@francisdaudi9894 7 жыл бұрын
Huyu jamaa anadharau sana, hizi kauli zake sijui kama atafika anapotaka!! Kwa kawaida shabiki ndio mteja wa mziki hata awe kichaa inakupasa kujua jinsi ya kudeal nao. Vinginevyo, utajikuta unafunga duka mapema sana na tutakusahau.
@festontandu1747
@festontandu1747 7 жыл бұрын
fatuma msangi safi sana kwa comment yako upo wapi nikutumie zawadi
@mackharun8750
@mackharun8750 7 жыл бұрын
we boyaaaaaa wew nan shabiki mpumbavu
@danielsiasa459
@danielsiasa459 7 жыл бұрын
Me nimekuelewa vizuli yale maneno uliyosema kwenye XXl kuwa hujui boss.yani hutaki kuwa chini ya Alikiba sababu kawa boss saii.
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 7 жыл бұрын
Daniel Siasa that's true dear meaning jealousy will make him fade.komaa jaluo akili ulionayo isipoteee
@elimagotraore9712
@elimagotraore9712 7 жыл бұрын
Katumbuliwq aaahhhhh
@hadassperez494
@hadassperez494 7 жыл бұрын
All the best in your decision. Also cool your temper always 😂😂😂😂
@masasiyetu4313
@masasiyetu4313 7 жыл бұрын
nauliza kuna wanaume kama mashoga waaa.......,? barak han jipya bora ata ya kaka diamondi anauza karanga wewe kauze upupu uko hahahaaa
@abubakariyusufu9320
@abubakariyusufu9320 7 жыл бұрын
Jamaa kajishtukia,mi nilijua2 lazma ajitoe kimaso maso,ana chuki sana huyu dogo ndo maana kila mtu anagombana nae,uta fail una dis had mshabik?
@leskaryjoram8832
@leskaryjoram8832 7 жыл бұрын
Dogo toa nyimbo acha maneno
@man-zh6ug
@man-zh6ug 7 жыл бұрын
Tatizo moja la lock star ni kuchelewesha kutoa kazi za wasanii wao angalia ommy dimboz katoa nyimbo haina vídeo mbaka Leo Alikiba katoa Aje lemix mbaka leo kimya
@kulengwamabula9508
@kulengwamabula9508 7 жыл бұрын
shabiki kusema kwann nimetoka rockstar ni mimi na rockstar haikuhusu shabiki wewe deal na mziki tu.....jaman wanaomsupport waendelee huyu anashida kwan kuuliza ni vibaya jaman mi sijammind sema nasema tu dogo ni mpuuzi ego ni mbaya sijasema kwa ubaya sema muangalieni
@reubenndungu6420
@reubenndungu6420 7 жыл бұрын
Naj ana kazi ngumu..
@taruuwarombo1264
@taruuwarombo1264 7 жыл бұрын
yupo sahii
@rozajeannet6329
@rozajeannet6329 7 жыл бұрын
Mmmmm
@muktartz7314
@muktartz7314 7 жыл бұрын
mmoja ya msanii ambaye hajui kufanya interview
@leonardkomba686
@leonardkomba686 7 жыл бұрын
baraka alianza bila rock star so hawezi kupotea kisa rock star ambayo imemkuta anafanya vizuri ndio wakavutiwa nae so baraka bado ataendelea kushine coz rock star walikuwa wanamtegemea baraka na sio baraka alikuwa anawategemea coz hawamuandikii nyimbo na anayeimba ni yy na sio baraka afadhali umekimbia kaka km Ali kiba wanamzubaisha kutoa nyimbo karibu mwaka mpaka mashabiki wanalalamika na ww wangeuwa kipaji chako km njoo WCB
@miamboinyodosantos5810
@miamboinyodosantos5810 7 жыл бұрын
hyo rockstar wananenepeana tu hawana lolote...barakah unakipaji kaka nitafurah kama siku nikisikia upo chini ya WCB
@hamismindika7513
@hamismindika7513 7 жыл бұрын
Maamuzi magumu lakini mazuri utamu wapipi nimate yako.hakuna tofauti yakummuacha mke nakuhamia kwenye puchu.karibu bacheboy
@jessemadahqvevo5728
@jessemadahqvevo5728 7 жыл бұрын
Kweli ww unajiamini asee nimekukubali wa leke zone mwenzangu
@jeremiajohaziel4927
@jeremiajohaziel4927 7 жыл бұрын
Jamaa amekuwa mweupe sijui nae kageukia mkorogo!!!!!
@tehsa-muhas154
@tehsa-muhas154 7 жыл бұрын
Asee bro! At least ujishushe kidogo kaka!! Kwan interview za diamond huzionagi??
@japhetmadenge8396
@japhetmadenge8396 7 жыл бұрын
safiiiiii
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
Sawa ila ulimi hauna mfupa usiongee mdomo wazi hujafika kwa wenzio.
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 7 жыл бұрын
Unamsaidia mtu then unasema ujinga huo
@leothobias8116
@leothobias8116 7 жыл бұрын
#BARAKA hayupo sahihi kabisa hakuna shabiki anae shabikia mziki bila kumpenda msaani hajaupenda mziki.....!sio maneno ya kuwa ambia mashabikia
@dicksonmagati5455
@dicksonmagati5455 7 жыл бұрын
Hapo Ndipo jamaa karibu kabisaa hata hao mashabiki wanakuja kwenye zako kuona unavyo perform sasa Kama ushaanza kuongea hiv unategemea Nani wakukusaport kwa mwenendo huuu du pole mzeee hayo sio maneno yakuwaambia mashabiki wako
@8pistons194
@8pistons194 7 жыл бұрын
kipaji chake mwenyewe nyie ng'ombe mnawashwa nn kama mnataka imbeni msainiwe rockstar.Maana ya rock ni jiwe na kwenye jiwe hapawez kuzalishwa chochote ndo mana hao wasanii wenu wamebuma.Kazi kuandikiwa nyimbo za WIZI
@mondnumz7746
@mondnumz7746 7 жыл бұрын
ww na myoyo yako kila nyimbo moyo tu huna cfa za kwenda wasafii boya ww hujua kuandika tofaut na moyo hovyooooooo
@peterhalson8949
@peterhalson8949 7 жыл бұрын
kwan ww nan
@jumamichael4083
@jumamichael4083 7 жыл бұрын
Juhudi bila nidhamu ni sawa na bure
@alialle6441
@alialle6441 7 жыл бұрын
Ila huyu kwa nidhamu yake ilivyo mbaya cjui ataishi na nani kwenye dunia ya sasahivi!
@Msonjo
@Msonjo 7 жыл бұрын
Mimi ni moja wa fan wa huyu boya hakuna ngoma yake ambayo sina hata kama kashirikishwa lazma niitafute tatzo yy taarabu nyingi simpendi kinoma ila naupenda mziki wake
@EMMANUEL42541
@EMMANUEL42541 7 жыл бұрын
Wachane wachane baraka
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 жыл бұрын
mbwawewee mpuzi wewe usiye naadam wala busara ya kuzungumza na watu through media aseee kweli mangala hunaakili
@djgthehotstepper
@djgthehotstepper 7 жыл бұрын
huyu amechanginyikiwa airplay kidogo yamvimbisha
@allencosmas248
@allencosmas248 7 жыл бұрын
utoto akikua ataacha
@RAVincentOfficial
@RAVincentOfficial 7 жыл бұрын
THE END OF BARAKA ... AUNA AKILI
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 6 жыл бұрын
we ulifikiri ni ile rock star ya jay zz...!?
@robertonaftal4856
@robertonaftal4856 7 жыл бұрын
janja tatizo mdomo wako hujafunzwa
@charlzg3516
@charlzg3516 7 жыл бұрын
msenge mkubwa weee
@mesaidiabdallah2851
@mesaidiabdallah2851 7 жыл бұрын
nenda ukaimbe moyo mbele hata uko utakako kwenda auto dumu kwa kua unanidhamu truboy akukosea safari ya mawanza yamnukia
@leskaryjoram8832
@leskaryjoram8832 7 жыл бұрын
Mziki bila mashabiki
@mohamedkuyawa3889
@mohamedkuyawa3889 7 жыл бұрын
baraka sifa zinamponza xana wanavyomxifia kisa anaponda ndo anatafuta sifa mm nirikua shabiki yake rakina xaxaiv nimemuama
@ramsobeca9578
@ramsobeca9578 7 жыл бұрын
baraka kuma tu
@jeremiajohaziel4927
@jeremiajohaziel4927 7 жыл бұрын
dogo acha mkorogo sasa ijapo unataarabu nyingi kama binti alotelekezwa na mpenziye
@naimarama5741
@naimarama5741 7 жыл бұрын
rest in peace 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 7 жыл бұрын
eti heeeeee sasa tuone we sijeuli
@nobimgaya5359
@nobimgaya5359 7 жыл бұрын
hajisomi uyu mchiz..
@mkwechemedy9929
@mkwechemedy9929 7 жыл бұрын
Baraka sawa malaya anae tegemea mwili wake kuuza mwili km mnakumbuka meneger alie mtoa C alitoka km msenge mmoja so me nalionaga senge moja hivi linalo angaika mitaani
@8pistons194
@8pistons194 7 жыл бұрын
Mkweche Medy aka mkweche mavii
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Mkweche Medy comment mbovu ka jina lako
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Allen Gifford 😂😂😂😂
@peterhalson8949
@peterhalson8949 7 жыл бұрын
wewe ndo ujichunguze
@bryanzeconfesor5476
@bryanzeconfesor5476 7 жыл бұрын
una akili sana boy afu kuimba unajua
@maryammaryamkiriwashwa1626
@maryammaryamkiriwashwa1626 7 жыл бұрын
nenda uko ww mweusi kama jiko lakuni. ujinga ulikwenda kuwaharibia utajiahsribia mwenyeo
@ismailymussa155
@ismailymussa155 7 жыл бұрын
itakua ni mweusi SNA ndy maana wamekutoa umetolew
@johnshadrack7008
@johnshadrack7008 7 жыл бұрын
ndio maana keusi
@djgthehotstepper
@djgthehotstepper 7 жыл бұрын
anatukana mashabiki sio? heheeee kuma hiii
@bryanzeconfesor5476
@bryanzeconfesor5476 7 жыл бұрын
hahahaha hata kwenye show hawaji
@faridmobji
@faridmobji 7 жыл бұрын
alikuwa anatuharibia #teamkiba bora aondoke na hapo Amna pengo
@joycekayibamiriam1922
@joycekayibamiriam1922 7 жыл бұрын
Nosense . Wivu unakuja mshenzi
@jofreymkanula2290
@jofreymkanula2290 7 жыл бұрын
hiyo albam utaskiliza mwenyewe
@binthamadi2205
@binthamadi2205 6 жыл бұрын
Baraka nae si twakuona mtu wa maana kumbe mavi matupu vijimeno tu mtsssssssssssss toka uende ukauze mitumba ukiskia usenge nikama hivyo Sasa utawatukanaje mashabik lioni sikupe na nakuchukia na mashabiq hawakupendi vimeno weeeeeee
@djunction4127
@djunction4127 7 жыл бұрын
pole unafel
@kingnotorious3361
@kingnotorious3361 7 жыл бұрын
usirudi tena hatukutaki.. wewe pia huna faida kwetu
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 123 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /24/ #love
30:52
BabaJoan
Рет қаралды 46 М.
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН