BARAKA MPENJA “DAKIKA ZA JIOONI/ALICHAMBUA GOLI LA PRINCE DUBE/LINA MAANA KUBWA KWA YANGA SC”

  Рет қаралды 36,971

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@kelvinmhenga9764
@kelvinmhenga9764 15 сағат бұрын
Mshukuru Mungu kwa kila jambo
@kolosii4351
@kolosii4351 15 сағат бұрын
Umenifurahisha sana. Umeongea maneno ya kutia moyo sana.
@zaitunijuma8710
@zaitunijuma8710 15 сағат бұрын
Kweli alihamdulillah kwa kila jambo
@AginessSositenes
@AginessSositenes 16 сағат бұрын
Mungu ni mwema ❤❤❤
@Tassyomy
@Tassyomy 15 сағат бұрын
Makolo Watuliiiie..Ile Nyimbo Ya Yanga Utaifungaje Itazaliwa Uuupya..🤪
@Mesiackilukumay
@Mesiackilukumay 4 сағат бұрын
Weni mtu wa maana sna mpenja umenipa moyo ❤️ thanks you 🙏
@GodMwakingwe
@GodMwakingwe 14 сағат бұрын
Umewatia moyo sn ao mpenja wanatosha🎉🎉🎉🎉
@izackgabriel8244
@izackgabriel8244 3 сағат бұрын
Mpenja TV mko vizuri
@MhozyaPm255
@MhozyaPm255 12 сағат бұрын
Mungu amesaidia
@PatridaMraponi
@PatridaMraponi 14 сағат бұрын
Yaan saed pambana tufike nchi ya ahadi
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 15 сағат бұрын
Pamoja na goli moja bado yanga sio ile,kama ingekua ile wangekufa 5, wachangamke jamani watatuua
@AdamNdaki-n6q
@AdamNdaki-n6q 2 сағат бұрын
Wanaanza kurudi taratibu sasa tuwavumilie
@MuslimMunde
@MuslimMunde 15 сағат бұрын
Yes yanga
@PatridaMraponi
@PatridaMraponi 14 сағат бұрын
Hata Leo mlisema hata moja point haipatikani
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 13 сағат бұрын
Ata kama ww nimpinzani wetu lkn umeongea vyema sana
@AbdulMatata-q6z
@AbdulMatata-q6z 3 сағат бұрын
Baraka mpenja naomb 2 onane
@AdamMwombeki
@AdamMwombeki 15 сағат бұрын
Ewe ni mtu kabisa wachanbizi wengine ni character 2
@KambonaKalombola
@KambonaKalombola 15 сағат бұрын
Nadhani huyo saidsulemani anamatatizo ya akili
@DamarisOsward
@DamarisOsward Сағат бұрын
Wachezaji wetu hawakabi hata kidogo, hawampi presha mpinzani kama ilivokuwa uwanjani.
@MhozyaPm255
@MhozyaPm255 12 сағат бұрын
4:40 mungu anasaidia
@HamisMashimba-c7z
@HamisMashimba-c7z 57 минут бұрын
Kwel mpenja asitangaze match za yanga kabisaaaaa
@KambonaKalombola
@KambonaKalombola 15 сағат бұрын
Tcra iwashughulikie hao wanaotukana kwenye mitandao watanzania sio desturi yetu matusi
@BABUWAYANGA
@BABUWAYANGA 15 сағат бұрын
Mpenja usiwe unatangaza mechi zetu za champions league Nadhani umenielewa...
@doricehungu5817
@doricehungu5817 13 сағат бұрын
Kabisaaa yaan asitangazee hatumtakii
@FelixChigela
@FelixChigela 26 минут бұрын
Asee tuombe tuu mpenja achana na mechi za yanga kutangaza
@rehemamahendeka-rm2ek
@rehemamahendeka-rm2ek 11 сағат бұрын
Asante mno Mwamba wa Malila,ww hakika ni mwanamichezo c shabiki mandazi,umedadavua ukweli wa Soka + ushauri mrabata kwa Wananchi,Mungu akuweke miaka 102 inshaAllah !
@BarakaMboyi
@BarakaMboyi 4 сағат бұрын
Soka ndo ilivyo Kuna wachezaji wakubwa wamepita hayo sembuse dude Cha msingi akaze atatoboa kwa uwezo wake jalali
@GodMwakingwe
@GodMwakingwe 14 сағат бұрын
Mpenja kesho inatakiwa utangaze mechi ya kesho bhn 🎉🎉🎉🎉
@edwardgosbert-e5j
@edwardgosbert-e5j 4 сағат бұрын
iyo mpenja tv ni yako au wameipa jina tu mwamba wa umalila
@SadickCheyo
@SadickCheyo 12 сағат бұрын
Yaa mpenja umenena
@MhozyaPm255
@MhozyaPm255 12 сағат бұрын
4:40
@TJMwacha
@TJMwacha 11 сағат бұрын
yanga sio ile tuliyoizoe jaman viongoz wangalie kun nn
@erastojacob17
@erastojacob17 7 сағат бұрын
Acha ujinga unataka ibebwe shukru kwa hicho kidogo
@RobertAlyce
@RobertAlyce 12 сағат бұрын
Mpenya nakupongeza kwamaoni yako pia nakuhakikishia kufuzu
@ShindaMalaria
@ShindaMalaria 11 сағат бұрын
Mwamba wa umalila, wewe ni mtu sana kwetu want Yanga
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 14 сағат бұрын
We usitangaze match zetu una husuda na kijicho na yanga unatangaza ukiwa unatamani tupoteze Leo ametangaza Mzinga tumeokota angalau Point 1
@SadickCheyo
@SadickCheyo 12 сағат бұрын
Umenena
@AronSaimon
@AronSaimon 12 сағат бұрын
Mpenja nuksi kwa yanga hafai kujihusisha na mechi za yanga ni gundu tupu
@CikeTanzania
@CikeTanzania 3 сағат бұрын
Mpuuzi kweli anacheza no ngapi lieni na wachezaji mnaookota dampo.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 15 сағат бұрын
Hao Wasenge shughuli yao imeishia hapo!
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 15 сағат бұрын
Bado ujatukana
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 16 сағат бұрын
Hakuna kitu hapo kaka ni kujipa moyo tu
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 45 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
KAULI YA ALLY KAMWE BAADA YA MECHI DHIDI YA TP MAZEMBE - CONGO
10:30
Top Queen _Hakuna Kama Yanga (Official Video).
4:08
MGEMBO STAR
Рет қаралды 27 М.