Mimi naamini siku zote ukimtetea mnyonge utasakamwa na wenye nguvu alafu hii dunia ukiusema ukweli bac ww ni mbaya na adui wa watenda maovu.mbwaduke piga kazi mzee nakukubari hasa ukiichambua simba na yanga hauna upande.
@YohanaNduka-x3e2 сағат бұрын
Hongera kwa uchambuz mwamba wa umalila
@kwayaviwawaparokiayabashne928114 сағат бұрын
BARAKA MBENJA NAKUKUBALI SANA PIA MZEE WA DATA HONGERA SANA NDUGU ZANGUNI
@KhalfanHabibu-z3l13 сағат бұрын
Ma Sha Allah,wachambuzi wetu pendwa wakimataifa.
@LewisiaNgomo14 сағат бұрын
Nakukubali sn Mzee WA data
@mwajabuamiri50814 сағат бұрын
Nmeipenda hiyo Tabora 😂😂😂
@SaidiFundi-j3x2 сағат бұрын
Mwaduke vp faulo aliochezewa mpole huyo beki hakua wa mwisho .kadi nyekundu haikumuusu???? Na goli la pamba lililo kataliwa Kamala aliguswa na mchezaji gan wa pamba ???
@Josephtibu-l9e13 сағат бұрын
Hapo TABORA NDO UMENIFURAHISHA SANA😂😂😂😂😂🎉🎉😂😂😂😂😂
@IshengomaRugemalila11 сағат бұрын
Najua apowote nawakubarigi,asante
@OseaBeni14 сағат бұрын
Nakukubali San balak mpenj pamoj na mbwaduk
@yona.altech51 минут бұрын
Kwa kauli ile ya Minziro ndipo unapoona makocha wazawa hawawezi kutupeleka kwenye nchi ya ahadi. Kwamba hakuna game plan,ni kucheza tu kwa mazoea Imagine anasema aliweka washambuliaji watatu ili aone ''Simba kama ni wanaume kweli'' wafunge hata 5 kama wanaweza....... Unapata mashaka na professional yake,anacheza bila plan wala malengo ya mechi Wazawa wengi ni wahamasishaji kuliko hata ukocha wenyewe
@shamtealmas32904 сағат бұрын
Simba nguvu moja bingwa ajae
@Josephtibu-l9e14 сағат бұрын
SIMBA AKIKOSA NYAMA ANAKULA MPAKA PAMBA 😂😂😂😂UBAYA UBWELA
@SaidiFundi-j3x2 сағат бұрын
Mwaduke kazi ya uchambuzi wa mpira Sasa imekushinda njoo ulime mikorosho kusini uku hata mashabiki wa Simba wanakubali goli la pamba goli ...kama mchamuzi mbona haulizungumziiiii
@BakariHassan-b1k5 сағат бұрын
Nayeye huyu tayari Ana onjesha mapenzi ya timu flani wengi tulikuwa tuna mfatilia lakini Ana Anza kupoteza mwelekeo ukweli Ana Anza kuficha ukweli
@EsterMjema-n8c5 сағат бұрын
We hujui mpira af mwanaume mzimaa
@SangaliPower5 сағат бұрын
@@EsterMjema-n8cYaani ashindwa na wewe 😅😅😅
@FAUSTINAULEDI-ln5fi5 сағат бұрын
Kwan ukiacha ww kumfuatilia unamuongezea au kupunguza nn Kwa mbwaduke!?
@moizjohnston38414 сағат бұрын
Hapa Kuna Utopolo wanataka wasifiwe wao tu na kuikandamiza Simba ukijichanganya tu kuizungumzia simba vzr ww siyo mchambuzi
@Wallacenyusi33265 сағат бұрын
Pamba jiji waliiba bao kabisa la wazi. We are requesting the Board of TFF to view on this . The referee will need to get punish . Tanzania soccer is moving on the right direction, but few people are putting the league backwards.
@AzhadSaid-j1t13 сағат бұрын
Jama nyekundu hajageukia goal huyu mchambuzi mavi snaa
@EddyNjera4 сағат бұрын
Hamkulazimishwa kumfuatilia mbwaduke kama unaona ana kukera nenda media nyengine
@Yuleyule-u6c11 сағат бұрын
Mzee wa data ww ndo mtu ambaye unachambua mpira tofauti na hawa wachambuzi wa mchongo wengine.
@salvatoryoscar8234 сағат бұрын
Unajua yanga wamezoea kudanganywa na ally kamwe na ndo maana RAMADHANI akisema ukweli inaonesha kuwa anaipendelea simba na mwisho wa siku ukweli unajionesha tu
@felixmagulu61423 сағат бұрын
Huyu mwamba siyo mchumbuzi bingwa tu,Kwa maoni yangu hana mpinzani Tanzania kwa sasa katika masuala ya uchambuzi wa soka
@DanielNyuma-ni3dk12 сағат бұрын
Daaah
@YusufuJila12 сағат бұрын
Kayoko sio refa mchezo ulikua mgumu maji ateba mchezaji
@DanielNyuma-ni3dk12 сағат бұрын
Okay
@abelmlandali18947 сағат бұрын
Tabora oyeee😂😂😂
@Nufaila44214 сағат бұрын
Tabora hamanishi kwa mambo mengine 😅😂😅😂😅😂😅😂😅😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂
@eliasnicolaurobath686412 сағат бұрын
Watanzania kwanini mnatukana watngazaji kwenye mtandao sasa dawa yenu wote mnao watukana watu kwenye mtandao nitaongea na shilika ra upelelezi ra tanzania ili mkamatwe na hukumu masaa 24 iwe imetoka unakura mvua 3 chuo cha kuosha vichwa vilivyo chafuka
@ERENEUSKAIJAGE9 сағат бұрын
Kajifunze kuandika kwanza ndo urudi hapa
@Wallacenyusi332613 сағат бұрын
Pamba jiji walifunga bao likakataliwa la wazi kabisa
@ParitSamberu13 сағат бұрын
Sawaa basii iwe goli basii
@SuleimanAlly-c9p12 сағат бұрын
Tufanye moja moja
@EsterMjema-n8c5 сағат бұрын
Kwan ubao unasomaje 😂
@SuleimanAlly-c9p5 сағат бұрын
@@EsterMjema-n8c bora umuulize huyo jamaa yaani hawa utopolo Wana matatizo ya kiakili , asa Ile fauli hakuiona si ndio
@EliyaKudaga-u4q6 сағат бұрын
Mapenzi huwa hayajifichi,, mwaduke wewe nisimba
@AbrahamMohamed-o4q5 сағат бұрын
Kwani zambi
@mosesmsuka569113 сағат бұрын
Huyu Mbwaduke ameanza kuingia kwenye mfuomo wa kuwa shabiki wa Simba ameacha uchambuzi nakuanza kuisifia Simba tuu
@romanambelle63565 сағат бұрын
Wivu tu sasa si anaongea kilichopo😂😂😂
@FAUSTINAULEDI-ln5fi5 сағат бұрын
Ingia na ww kwenye mfumo nafasi Bado ipo hujakatazwa kijana
@joharibakari4 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@Mwalazanyi2 сағат бұрын
Anaongea kinachoonekana😂😂😂
@JeiAlly2 сағат бұрын
hebu kwanza badilisha hiyo profile picture kwanza 😂😂
mm ni bonge la mshabiki wako mbwaduke lkn nimekushusha hadhi kwa hili baada ya kujua km ww ni mshabiki wa simba mbona goli walilofunga pamba ujalichambua acha unafki ww
@FAUSTINAULEDI-ln5fi5 сағат бұрын
Humpunguzii Wala kuniongezea chochote hata ukiacha kumfuatilia ww na mbwaduke ni mbingu na ardhi
@TriciaSambo4 сағат бұрын
acha ufala kwani uko peke yako unaemfuatilia 😂😂😂😂pita vile
@SaidiFundi-j3x2 сағат бұрын
Mwaduke kazi ya uchambuzi wa mpira Sasa imekushinda njoo ulime mikorosho kusini uku hata mashabiki wa Simba wanakubali goli la pamba goli ...kama mchamuzi mbona haulizungumziiiii