#wasafi #clam #kicheche #bambocomedy #mtangacomedy #kuchekesha. If you find any error in our published content please take a minute to tell us we will resolve it at the earliest.
Пікірлер: 163
@SAYUKI5137 күн бұрын
SAYUKITV TUNAENDELEA KUKULETEA KAZI BACK TO BACK TUNAOMBA SUBCRIBE, LIKE,COMMENT AND SHARE USISAHAU KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA KAZI MPYA.
@janemarymilemberutahoile72102 күн бұрын
Tuletee 27 ya Baraka za Mama
@morjanoman51817 күн бұрын
Aya. Sasa wakwaza like zangu apa kutoka Oman 🎉🎉🎉🎉
@شعاعالغافري5 күн бұрын
Na mm pia wa omani nipe like zangu na mm😂😂
@شاميمشاميم-ر9ت7 күн бұрын
Ila sam una roho nzuri mungu akubariki ,ila jaribu sasa kwa bahati ili akupe nafasi umuwe 😂😂😂😂😂😂😂
@JanetRiziki-ut2is7 күн бұрын
Huyu mganga aki anachekesha sana nakasaut kake kama kasuku😂😂😂😂😂
@rahemh12347 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@watisonywatisony76596 күн бұрын
😅😅😅
@SadaDjuma-e9b7 күн бұрын
Zuu, ulienda kulikoroga sas unalinywa mwenyewe 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@ShamimAbdul-tf3fw7 күн бұрын
Sam funguka bahat kapew mautamu huko njee sasa kalet zarau ndan kasahu hata siku alotekwa mauwa kwa Sam 🎉🎉🎉🎉
@ArodiaPancras-nm5qm7 күн бұрын
Bahati ananikela Bora afukuzwe
@mbikamtanganaki7 күн бұрын
Bahati nilikuwa nakupenda sasa unaniuzi nakomwe lako
@annamlozi45387 күн бұрын
Yaan hata Mimi simpendi sana bahati sasahv. Kashakuwa mama mwenye mjengo. Sio Sam Tena.
@Kidoaaisha6 күн бұрын
@@annamlozi4538sion kosa Lake samu si alikuwa anamkataaa
😂ww Sam mwanzo siulikuwa unalinga imekuaje sasa tena
@Kidoaaisha6 күн бұрын
Fikiria sasq
@McT-m1m7 күн бұрын
Bahati unajisahau hapo sio kwenu ujue upo kwa watu na wanaume hawaaminiki
@EvelineSamson-y5z5 күн бұрын
kaz inazidi kuwa nzuri sana kila kukicha, Mungu àwafanyie wepesi katika kila jambo
@SAYUKI5135 күн бұрын
Shukran sana
@YajuwaMakombe5 күн бұрын
Naipenda iyi filam inamashauri sn nikiwa south Afrique
@شاميمشاميم-ر9ت7 күн бұрын
Sam yapitie yale magumu alio pitia bahati ,sasa uwone penzi linavyo kua na ugumu pindi unapo penda mtu halafu umkatae hayo ndio madhara yake 😂😂😂😂😂😂
@Hilderkarema7 күн бұрын
Na mimi nmewahi leo naomba likes
@NajmaRajabu-q8e7 күн бұрын
Hahaha sam 😂
@MelinaMerlins7 күн бұрын
Kazi nzuri sana, much love from kenya ♥️♥️♥️
@ellahjonas48817 күн бұрын
Sam nae shobo tu mtu yupo kwake alafu anapelekeshwa maneno ya shombo nae anaanza kumtongoza tena wakati mwanzo alimkataa mwache ajichanganye aambiwe nina mimba yako awatunzie wenzake 😂
@PuritySalama-yv6to7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂alikua n heshima nying😂
@ellahjonas48817 күн бұрын
@@PuritySalama-yv6to 🌶
@user-pe9gd2oi7r6 күн бұрын
Wapili mm jamani nataka like zangu kutoka Iraq
@SAYUKI5136 күн бұрын
Yan wew ni wa pili?
@janemarymilemberutahoile72106 күн бұрын
Mponji kweli tungo zako zina mafundisho yanayohusu Jamii
@SAYUKI5136 күн бұрын
Shukran sana shabikibi wetu
@LovelyCows-dq2uv7 күн бұрын
Sam kimekuramba bahati arikubembereza sana ukamkana Katu reo unataka wakaziqani😅😅😅😅
@ZaituniRamadhani-b2e3 күн бұрын
Zuu kapatikana,,,chexea mganga
@GraceMadondola7 күн бұрын
Sam njaa inamuua awez kulala pekeake anataka kulala na bahati
Sawa bahati umepata bwana lkn mbona tunaleta dharau koo kama umepata bwana huwez kumuheshimu Sam wetu
@shuwekhaalsheiban93667 күн бұрын
Kapopo umemchokoza siwakuchezea uyo ona alivo fanya 😅😅😅
@MrsMariam-x2s7 күн бұрын
Kaka komesha yahuyo bahati mtimuwe anende kwa uyo bwana wake kama anampenda kweli afu wewe chukuwa mwanamke ulete hapo ndio dawa yake daa mtu asokumuka wema wanni Sasa
@allymazrui97446 күн бұрын
Hata amtimue kz bure maana hakuskiliz hisia za mwenzake vip leo kapata wakuzij hisia zake 😂
@aishaomar96217 күн бұрын
Zuu kaapigwa n kitu kizito mdomo kaufunga ila huyu atabadilika kweli mmmm sioni😢bahati bahati bahati nakuita mara tatu yaani umeamuamini mtu kwa sku moja tuh chunga usijekumkumbuka Sam wetu😅
@ashurakodd15896 күн бұрын
Mmecheza vizuri
@FatimaFatima-bx8ez6 күн бұрын
Bahati 😊😊kuna msemo wasema leo ni mimi kesho ni wewe😊ndicho kilicho mkuta saam kwa Bahati 😂ulichelewa kaka saam😮😮pole ♥ ❤ 👌
@janemarymilemberutahoile72102 күн бұрын
Sam Mungunatampatia mke wa haja yake
@Phil-ii7mf6 күн бұрын
This episode is teaching the good and the one who is bad to adjusted and not to miss behave and to give respect to the femaly and to be honest
@SAYUKI5136 күн бұрын
Thanks for your appreciation.
@MariaAgustinou7 күн бұрын
Mama mama apo sasaaaa kafumaniwa mama mjengo jaaman apa natetemekaa
@MrsMariam-x2s7 күн бұрын
Webahati kumbuka wema kama uyo sam ndio alikusaidiya na kuku hifatzi ebu kumbuka wema basi mama uyo kaka alikuheshim kama dada yake hakutaka kukuvunjiya hatzi ebu kumbuka wema basi we bahati daa mh
@NtirenganyaNahasoni5 күн бұрын
Jamani munatucherewesha hatujazoweya
@Haji-yr9db7 күн бұрын
Yaaan zuu uso kwa uso na sam
@mariammariam57237 күн бұрын
Kazi nzur sana ❤hila mganga snajua sana
@IzkiOamn7 күн бұрын
Mngemuacha kwanza ashikishwe adabu na yy
@NtirenganyaNahasoni7 күн бұрын
Wakwanza toka. Burundi❤❤
@user-gg1ir8oy3p5 күн бұрын
Huwooooo 😂😂😂😂
@janemarymilemberutahoile72105 күн бұрын
Sam kaomba msamaha unamdharau mtunanayekupa kula utajutia kumkataa Sam
@HusnaSalum-p1q7 күн бұрын
Samu unakumbuka shuka asubuhi
@SadaDjuma-e9b7 күн бұрын
Zuuuh mwisho wa Ubaya ni Aibu
@janemarymilemberutahoile72105 күн бұрын
Bahati Nimekuona huna Uvumilivu mtu umemwona mara moja umeishaanua kumpa Uroda na umjui kwa karibu unamwacha Dam akiyejitoa kwa hali na Mali utajuta kumdharau Sam
@cartoonpati29147 күн бұрын
Sam unachekesha 🤣🤣🤣
@janemarymilemberutahoile72105 күн бұрын
Sam ni mstaarabu ila atashindwa uvumilivu Bahati unachezea shilingi kwenye tundu la Choo
@NamambweFatuma6 күн бұрын
Samu at first u chese away bahati but now u feel in love 💕😂😂😂😂😂
@ignitiussilungwe79306 күн бұрын
Samu uyo Bahati asiku retee Dhalau wakati anaka mwako anakula mwako fukuza shenzi ayende kwa huo anaae jitia eti ana mpenda tuone kama hatoju tia kuzalia ataku kumbuka kama kweri anampenda amiweke ndani
@thamratysuleiman30537 күн бұрын
Bahati ondoka kwa sam.unatumia rasilimali zake kisha unapigwa nao na mtu mwengine
@ayshaaysha21657 күн бұрын
Samu ulikuwa unatakiwa ulikwa unalingà sasa kutesa kwazamu
@ZamdaMouhammed7 күн бұрын
Samu muache huyo bahati mtafute mwanamke mungine huyo aende kwa daga lake lifukuze hapo
@thamratysuleiman30537 күн бұрын
Bahatiii dah
@mapenzi48137 күн бұрын
Bahat umeanguka nayo😂😂
@annamlozi45387 күн бұрын
We bahati wewe, hebu tuone mwisho wako na huyo bwana wa mimba yako. NAONA KAMA UTAJUTA VILE we subiri tuu!
@MarykwambokaNyamboye6 күн бұрын
Kwani mnaongea mambo hayo mbele ya mtoto😮
@asmasaif59727 күн бұрын
Haya sasa umeyakoroga yatakukuta mpka maji uyaita mma kama mtoto
@MwanakomboAliKhamis7 күн бұрын
Sam kimemkuta kitu he pole
@janemarymilemberutahoile72105 күн бұрын
Kama sikosei Bahati Bwana unayetamba nae ni Binamu unamdharau Sam uso utauweka wapi ukikuta huyo Bwana mna Undugu
@TimotheoNdonde7 күн бұрын
Leo wakwanza jamani
@user-sc5gt6gs3s7 күн бұрын
Sasa sam sumutimue bahati aende kwa uyo amuazae.
@VictoriaMaunda7 күн бұрын
Bahat Hata kama umepata mwanaume mueshimu sam
@JulianusSosthenes7 күн бұрын
Fukuza apo uyo bahati aende kwa bwana ake mwamba ingiza mwanamke mwingine apo
@user-mm2oe3tx4j7 күн бұрын
Sam sasa pitia yale aliyopitia moyo kampa mtu mwingine 😂
@edinafaustinez85143 күн бұрын
Bahati kunakoendelea atakuwa na mimba harafu itamkosti bahati mambo anayofanya
@asmasaif59727 күн бұрын
Nyie jamani bado mnamuombea si mwacheni kwanza akome na jeuri yake
@jennymali43687 күн бұрын
Uyu mganga kama katuni jmni😂😂😂😂
@user-sc5gt6gs3s7 күн бұрын
Zuu amekua bubu. 😂 muone na macho ydke makavu
@ميريم-ط1س7 күн бұрын
Mpelekeni bahati kwa mautanga kule ili Samu ajue mautanga ndo kampora pesa hizo
@Phil-ii7mf6 күн бұрын
Hichi kipindi cha baraka za mama ni kizuri sana tafadhali tunakuomba uendelee na episodes. Thanks keep it up.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
@SAYUKI5136 күн бұрын
Season one will endup with 30 epsodes.
@Khadijah-eq2oe6 күн бұрын
Woow that's good keep it up@@SAYUKI513
@SalumVullu6 күн бұрын
Bahat Yan ataujui ukowap nauish vip
@HusnaSalum-p1q7 күн бұрын
Kunguru huyo 😂😂
@KwizeraSamuel-v9v6 күн бұрын
Umechelewa
@georgelongo56352 күн бұрын
Mbona kama mwanae hajal vle
@RobinaRob-ln3ij7 күн бұрын
Mh wa mwisho naomba likes zenu plz
@HafsaShekigenda6 күн бұрын
Mama usimkande UYO ni jeuri sana
@haloditimotheo86267 күн бұрын
Lakini uliyataka samu
@EmmanuelMpalabanyi5 күн бұрын
Jaman mbona munacherewsha
@Saripa234-u7g7 күн бұрын
Sam mfukuze bahati Apo kwanama kawa jeuri cm now
@ruthmakami71587 күн бұрын
Tangu bahati apate boyfriend wee ashikiki
@DocusWambua7 күн бұрын
27❤😊nagojea
@user-qg9yq9yl7k7 күн бұрын
Sam asikutishe oko na mwanaume ni heri umfukunze bahati asikulete shida kwako
@KwizeraSamuel-v9v6 күн бұрын
Marina kwanini haukule mutu
@CikeTanzania7 күн бұрын
Kapatikana zuuu.😂😂😂
@haloditimotheo86267 күн бұрын
Nimewahi Leo wa tano
@LewisHamiltonGLD6 күн бұрын
Zuu ukipona badhilika bc roho ya kisheitan mpaka Kwa mganga sema uliangukia familia nzuri
@janemarymilemberutahoile72105 күн бұрын
Sam kafunguka ila Bahati ana dharau hakumbuki wema wa Sam
@SudyMohamedy7 күн бұрын
Samu fukuza bahat hanaadabu na kashajisahau sana kama ulimsaidia
@MakameMufadhil7 күн бұрын
Mganga anahuruma ila uyo mdada siwakumsamehe
@KwizeraSamuel-v9v6 күн бұрын
Ashashobo umeyatakayote kwa bahati
@bintikhamisi78067 күн бұрын
Sam huyo bahati mchukulie kama dadako mdogo tafuta msichana mwengine
Mwanakulitufuta mwanakulipata zuuuu pole naroho yako km jiwe
@PuritySalama-yv6to7 күн бұрын
Binadamu hafadhilik na ni kweli yaan bahti kasahau apo si kwenu
@PaulineNyamoita-ee1et7 күн бұрын
Mimi leo niko ndani🎉
@ifrahabi48346 күн бұрын
Sam you are such a gentle man. Please go and look for another woman to marry, bahati is in love with someone else . Let her stay in your house as house helper.