Barakah The Prince - Nimekoma (Official Video) SMS SKIZA 7919015 to 811

  Рет қаралды 851,861

Barakah The Prince

Barakah The Prince

Күн бұрын

Пікірлер: 1 500
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee 2 ай бұрын
Wangapi tuko tunasikilisa 2024
@victoriaLangoye-m3o
@victoriaLangoye-m3o 2 ай бұрын
Baraka Rudi kwenye game please. 2024/08 Bado nyimbo ya Moto 🎉🎉
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni Msanii, Yaani mpende mkatae 😂😂🇰🇪
@mbembelatv
@mbembelatv 4 жыл бұрын
Nikweli jamaa anajua ila ndoivo ukiwanyea fans wako ndo mambo hugeuka ju chin, maana fans ndio watakaokufanya song lako liende au libume haujalish nyimbo nzr au mbovu😅
@suleimanmohammedali2502
@suleimanmohammedali2502 Жыл бұрын
Walai uyu jamaa nakubali mashairi yake yaani Ngoma mpango mzima
@fidymgeyekwa3593
@fidymgeyekwa3593 4 жыл бұрын
😁😁tuliokua tunanunua MB kila siku tuipate dundo tujuane apa👇
@frijotrueboymedia
@frijotrueboymedia 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e4OpdXSli7tlnaM
@eliaskakeme1452
@eliaskakeme1452 4 жыл бұрын
Kuimba wala aujui kaimbe kwaya tu
@shakirahussen3296
@shakirahussen3296 4 жыл бұрын
Fidy Mgeyekwa wapi my
@djkmantz
@djkmantz 4 жыл бұрын
hatar
@baracksaidy477
@baracksaidy477 4 жыл бұрын
Jembe mukali nakubali sana sema wa wanga wengi sana 2kaze mukar
@Pierejr
@Pierejr Жыл бұрын
Haipiti mwezi bila kuangalia ngoma za baraka😮
@johnkanyika7687
@johnkanyika7687 4 жыл бұрын
Naomba like wote tunae mpenda uyu jamaaaaaa@@@@100%
@mbarukgude5335
@mbarukgude5335 4 жыл бұрын
Weeeh weeeh nani wale walikua wakisema Baraka ka kwisha,, He is Dope ;) Artist zaidi Sana
@sekeyifabian9517
@sekeyifabian9517 4 жыл бұрын
Ki ukweli huyu jamaa anakipaji na anajuwa sana tu. Sijawi kuacha kumshabikia na kusema popote kabisa. He is very talented young man trust me.
@cwedertza3975
@cwedertza3975 4 жыл бұрын
Sekeyi Fabian zaid ya kipaji Baraka fundi
@cwedertza3975
@cwedertza3975 4 жыл бұрын
Sekeyi Fabian zaid ya kipaji Baraka fundi
@frijotrueboymedia
@frijotrueboymedia 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e4OpdXSli7tlnaM
@OMARYMBELWA-jw9dc
@OMARYMBELWA-jw9dc Жыл бұрын
Baraka anaweza
@NitiboyKE
@NitiboyKE 4 жыл бұрын
Aiseh..mkenya hapa ila naikubali sana hii NIMEKOMA ya Baraka👍nipeni LIKE tusonge..💥💥
@sananepaul6029
@sananepaul6029 3 жыл бұрын
Aisee we we nifundi sematu Sina nambaako ningekutumia chochote daah aisee 💕💕
@abdul-razakhmmakondesaff9599
@abdul-razakhmmakondesaff9599 4 жыл бұрын
taja wimbo wa huyu jamaa ambao hajataja neno [moyo]
@bonifacejuma8248
@bonifacejuma8248 4 жыл бұрын
Hili song hata lispoingia kwenye trending No:1 KZbin lakin itatrend No:1 home kwangu barakh 🔥🔥🔥
@frijotrueboymedia
@frijotrueboymedia 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e4OpdXSli7tlnaM
@kilimotechnology
@kilimotechnology 4 жыл бұрын
Boniface Juma very true
@diegohija1804
@diegohija1804 4 жыл бұрын
Hahahahaha kwangu pia hahahah
@hawasandale5595
@hawasandale5595 4 жыл бұрын
nakuunga mkono Boniface hii song nimeikubali balaaa
@allymdachi6550
@allymdachi6550 4 жыл бұрын
Umeona naitazama sichok aisee
@shiromute3936
@shiromute3936 5 ай бұрын
I still wonder why this one missed a million views plus. I still go back to it. Love it. ❤
@nickvonmusic
@nickvonmusic 4 жыл бұрын
Ninaamini katika falsafa zako brother,,we don stop ,,good music for life,,,ur my role model,,,ninapata energy ya kuipigania ndoto yangu ya kuwa msanii mkubwa kupitia kazi zako nzuri pamj na ubunifu wako,,,ur the African prince ,,tanzanite melodies🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝👋👋👋👋👋🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
@heatztech4037
@heatztech4037 3 жыл бұрын
Hingoma nsipendab
@silvanmruma7393
@silvanmruma7393 4 жыл бұрын
Mapenzi rungu mwiba ni kweli nimekoma. ......fire🌋🌋🌋🌋🌋🌋
@amadikasimu8760
@amadikasimu8760 4 жыл бұрын
wanaomkubali baraka ninaomba like zenu
@amiriyisumairi5131
@amiriyisumairi5131 4 жыл бұрын
Namkubali san
@valemasharia9559
@valemasharia9559 4 жыл бұрын
Kitu bro
@bossdizzy
@bossdizzy 4 жыл бұрын
Bonga Mojaa la hitsong naaminia Baraka uko juu kakaa
@farhiyaadamkids700
@farhiyaadamkids700 4 жыл бұрын
anaempenda baraka gonga like hapa
@mariyammariyam8722
@mariyammariyam8722 4 жыл бұрын
Love it
@jumannea9050
@jumannea9050 4 жыл бұрын
Kali Sana mpaka inaogopesha!!
@danlinetz2959
@danlinetz2959 4 жыл бұрын
Barakah bonge la ngoma bonge audio bonge la msanii nimekukubari kaka🙏😁😁
@josephmasereka7702
@josephmasereka7702 4 жыл бұрын
Kweli we we ni baraka tu!!!!
@zainamsangi572
@zainamsangi572 4 жыл бұрын
Tuliokoma Kama baraka like hapa
@cwedertza3975
@cwedertza3975 4 жыл бұрын
Zaina Msangi jamaaa anaweza
@actonnathan9458
@actonnathan9458 4 жыл бұрын
Zaina Msangi zaina😪
@frijotrueboymedia
@frijotrueboymedia 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e4OpdXSli7tlnaM
@vailethvalentine4487
@vailethvalentine4487 4 жыл бұрын
Nimeianglia mala 10 hainichoshi
@vailethvalentine4487
@vailethvalentine4487 4 жыл бұрын
Tuwakiridhe pande za mwanza🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏
@merryryn9686
@merryryn9686 4 жыл бұрын
Nyimbo kalii kinoumaaaaa noumaaaa
@josephmasereka7702
@josephmasereka7702 4 жыл бұрын
Nikweli huu wimbo uko real sana, bcoz u meaning nzito na yakilasiku maishani mwa kila binadamu
@merryryn9686
@merryryn9686 4 жыл бұрын
Nimekoma na mapenz ya leo
@mrbasit4718
@mrbasit4718 4 жыл бұрын
Huyu ndie baraka ninayemjua mm umenikumbusha kuleeeee. Endelea kukaza mjomba
@salomecomedyofficial
@salomecomedyofficial 4 жыл бұрын
Braza uko sawa,, umwrejea kwenye industry na dude Kali,, dososha zingine kama hii,
@Asadiloworldwide
@Asadiloworldwide 4 жыл бұрын
Oya Big Umetisha💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
@albertkahai4665
@albertkahai4665 Ай бұрын
2024 bado nyimbo nzuri
@KornellyCosmassy
@KornellyCosmassy Ай бұрын
Nomaa
@djduxpro4657
@djduxpro4657 4 жыл бұрын
Mapenz hayana komando💪💪
@abdulrahmanchengodee4162
@abdulrahmanchengodee4162 3 жыл бұрын
Bonge la Ngoma🔥🔥🔥🔥I wish jamaa angekua mkenya mana wabongo wanafki hamuumpi shavu..
@ashirafumshamu6684
@ashirafumshamu6684 4 жыл бұрын
Usiache kuipambania ndoto yako unajuwa saaana endelea kutuonyesha kuwa haubahatishi
@frijotrueboymedia
@frijotrueboymedia 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e4OpdXSli7tlnaM
@kaeniyahya7536
@kaeniyahya7536 3 жыл бұрын
BARAKA, cjawai juta kwa songs unazo toa dah! Maashallah NIMEKOMA Kaeni😭
@issamuhando2847
@issamuhando2847 3 жыл бұрын
Anajuwa dogo huyu
@issaramadhan1618
@issaramadhan1618 3 жыл бұрын
Kama unamkubali huyu jamaa nipe like tuwe p1ja
@paskalinaammi440
@paskalinaammi440 4 жыл бұрын
Kuwa role model wangu Nikweli japo Siyo yote nayachukua..... Bado cjapata uamuzi Ila narudia Mara ya tano ....
@smarthacker496
@smarthacker496 4 жыл бұрын
Jamaa anatupia kinoma, kama ww ni shabiki gonga like apa
@neemaphilipo520
@neemaphilipo520 4 жыл бұрын
Namupenda
@DannyKabeho
@DannyKabeho Ай бұрын
Baraka unajua bro ,sema tu unanikeraga kumuongelea vby king kiba 😂😂😂 team kiba uwa unatuboa hapo
@Thabit1404
@Thabit1404 4 жыл бұрын
Blood unajua sanaa 🔥🔥🔥 izi on and off zinakishusha sana mashabiki zako tupo unafel wap
@kisigamajebele5064
@kisigamajebele5064 19 күн бұрын
hii ngoma ilkuw nd hit song ya mwisho ya baraka ilkuw kwny wakt wa covid-19 wale wa ,October 2024 tujuane
@vjmtv1311
@vjmtv1311 4 жыл бұрын
Nimekoma🙌🙌🙌
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 4 жыл бұрын
Cjawahi huchoshwa na nyimbo za Baracka, big up.
@idrisakilendema47
@idrisakilendema47 4 жыл бұрын
Kaz mzur Kaka
@bmlfans7885
@bmlfans7885 4 жыл бұрын
Kiwanda cha mziki
@hilaliruhundwa8891
@hilaliruhundwa8891 2 жыл бұрын
Good music🔥🔥🔥🔥
@ramakisasa8944
@ramakisasa8944 4 жыл бұрын
Sichoki kuitazama tunaosujudiya mapenzi Tujuaneeeee
@merryryn9686
@merryryn9686 4 жыл бұрын
Yamesumbua moyo wanguuu
@aliymwanafuno9848
@aliymwanafuno9848 2 жыл бұрын
Baraka nimekoma kuwashabikia wasojua,,kumbe upo fundi wakutunga nakuimba,,your teacher
@edwingwesso6818
@edwingwesso6818 4 жыл бұрын
Kama unaamin alicho kiimba ni kwel achia like kwa tulio guswa😭😭😭😭
@mohamedmakungu5597
@mohamedmakungu5597 4 жыл бұрын
Noma sana huyu jamaa
@tresphoryzumba9014
@tresphoryzumba9014 4 жыл бұрын
Good job brother!Hakika wewe ni msanii mzuri. Ongeza nidhamu na kujituma zaidi 👏🏼🙏
@officialmetta6126
@officialmetta6126 4 жыл бұрын
Jeshi la mtu mmoja
@rubiseyohana1204
@rubiseyohana1204 4 жыл бұрын
Ambaye xio mnafiki , like hapa
@msabahhamadmussa5899
@msabahhamadmussa5899 4 жыл бұрын
Uyo jamaa ni noma
@didasrugimbana6260
@didasrugimbana6260 4 жыл бұрын
Hapa umeimba kwel, ckubaligi kwa kujivimbisha ila hapa kwa dundo hili salute
@victoremmanuel1808
@victoremmanuel1808 4 жыл бұрын
Noma sanaa bonge moja la track na kichupa kiqariii dadeq
@jeancreal143
@jeancreal143 Жыл бұрын
Prince napenda nyimbo zako na msg zako na beats zako kivyako I salute you bro.
@wadzim9833
@wadzim9833 4 жыл бұрын
weeeeeeee bonge ya ngoma mzeeeeee the prinnce
@merryryn9686
@merryryn9686 4 жыл бұрын
Jamaa kauaa kinomaaa
@emmajosephclemence1717
@emmajosephclemence1717 4 жыл бұрын
am inlove with this Song... Deeply inlove... That Tone of ur tongue Barakah... Ur the best... The sound oooh
@naimmaina2067
@naimmaina2067 4 жыл бұрын
Mambo mbaya mapenzi tunaikimbia
@omytz1693
@omytz1693 4 жыл бұрын
Jaman nimeiona huku tayar big up da prince
@kambandefusaidi359
@kambandefusaidi359 4 жыл бұрын
Cjawahi pata like jaman, wangap tumekoma
@pendosabaya6255
@pendosabaya6255 4 жыл бұрын
Pole kaka
@halimahussein4752
@halimahussein4752 3 жыл бұрын
Nimekoma mwenzenu
@kaeniyahya7536
@kaeniyahya7536 3 жыл бұрын
Nimekoma dah!
@mihigoclement539
@mihigoclement539 4 жыл бұрын
Kila mtu anafungu lake hapa duniani Baraka bado yupo kwenye ubora wake💪
@Jahabot
@Jahabot 4 жыл бұрын
My all time artist....good music
@OneKesshthaMari
@OneKesshthaMari Ай бұрын
Wangapi tupo 2024
@imanwarda2217
@imanwarda2217 2 жыл бұрын
My favourite musician who never dissappoints♥️🇧🇭🇰🇪
@abedysteven5397
@abedysteven5397 3 жыл бұрын
Baraka mbona umepotea xana msela wangu,!! Ngoma Kali nzur!!
@jimmylove4873
@jimmylove4873 4 жыл бұрын
Return of good music
@im_peter8197
@im_peter8197 3 жыл бұрын
I agree with you
@josenenga6707
@josenenga6707 4 жыл бұрын
Ngoma kalio
@OfficialMasauti
@OfficialMasauti 4 жыл бұрын
Kubwaa hii brother
@jaycalliam4956
@jaycalliam4956 4 жыл бұрын
Kenyan boy
@safayatopaz
@safayatopaz 4 жыл бұрын
Kabxa
@bonifacejuma8248
@bonifacejuma8248 4 жыл бұрын
Moto🔥🔥🔥
@leonardbigambo8554
@leonardbigambo8554 4 жыл бұрын
Wewe Nimukali Kijana Pambana
@MagixEngaOnTheBeat
@MagixEngaOnTheBeat 4 жыл бұрын
Badman ⚡️🔥
@BarakahThePrince
@BarakahThePrince 4 жыл бұрын
Magix Enga my brother For Life
@Respondent_Online
@Respondent_Online 4 жыл бұрын
Na mutu mubaya Dee Classic............nilijua tuu atakuibia demu huyooo.......... ka vipi mpe hai sana maana namkubali sana aiseeee
@RICHDACHRIS
@RICHDACHRIS 4 жыл бұрын
Kwanini Baraka una change sana your KZbin channel? Hit song. Na kama uko na mimi. Nipe like yako
@RICHDACHRIS
@RICHDACHRIS 4 жыл бұрын
@B 95 tv pole kwake
@somoechicccopa3498
@somoechicccopa3498 4 жыл бұрын
Noma
@shalifashabani1703
@shalifashabani1703 4 жыл бұрын
Mimi sikomi
@dinnajeff6570
@dinnajeff6570 4 жыл бұрын
Dah baraka da prince umeuwa sana kwenye hiyo bitiii
@lm.nyange
@lm.nyange 4 жыл бұрын
Wa 12 kukomenti. ✌
@cwedertza3975
@cwedertza3975 4 жыл бұрын
Luka Nyange M hahahaha
@happymwanyika9205
@happymwanyika9205 2 жыл бұрын
Narudia tena na tena kuiplay yaani ujumbe mzito
@josenenga6707
@josenenga6707 4 жыл бұрын
Nitalipa hata dada yanguu😁😁
@HusseinHajj-ld5rf
@HusseinHajj-ld5rf 9 ай бұрын
Jamaaa Anatisha Ila huwaga Ana fans Ila akitoa Ngoma Lazima Ihits
@wil7vevo799
@wil7vevo799 4 жыл бұрын
oi watuuu mbona kimya wasio mpenda huyu Jamaa Kati ya mafundi hapa tZ Hutu is best lakin ntafrahi Sana Kama Italian collabo na rayvvany boy
@frijotrueboymedia
@frijotrueboymedia 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e4OpdXSli7tlnaM
@shakirahussen3296
@shakirahussen3296 4 жыл бұрын
WIL7 VEVO tena anajuwa atari
@rc4370
@rc4370 4 жыл бұрын
Huyu kiburi anacheza na kingkiba
@emmanuelmagigee9608
@emmanuelmagigee9608 3 жыл бұрын
Big up bro ngoma kali kinoma then huu ni ualisia kabisaa nakukubar sana hom boy,
@fakyjunior
@fakyjunior 4 жыл бұрын
CANT WAIT......
@hajimrisho4012
@hajimrisho4012 4 жыл бұрын
Huyu msukuma anajua hajawahi kuniangusha kabisa never
@congo4059
@congo4059 4 жыл бұрын
You the best
@shamsiasakate9960
@shamsiasakate9960 4 жыл бұрын
Sanaaa
@josephatcharlesorslemmycha5908
@josephatcharlesorslemmycha5908 4 жыл бұрын
Nakuelew sawa brow mziki wako unahcia na mafunzo makubwa saaaaana shallot tuu u brow tokea naanz kujua kusikiliza mziki nimekuwa nakufatilia Sana nakukubar saaaaan brow
@senghorsenghor8359
@senghorsenghor8359 4 жыл бұрын
I love your songs
@josephmasereka7702
@josephmasereka7702 4 жыл бұрын
Nakukubali bwana
@josenenga6707
@josenenga6707 4 жыл бұрын
Barakaa🔥🔥
@LenardJuma-ud1wq
@LenardJuma-ud1wq Жыл бұрын
Uyu jamaa noma sana Mungu ampe maisha marefu ili aendelee kufanya mengi zaidi
@stewartkilewo4433
@stewartkilewo4433 4 жыл бұрын
Good music still alive
@godblessjrtz.8652
@godblessjrtz.8652 4 жыл бұрын
Jamaa anajua sana tena sana tatizo lake kubwa na linalomuangusha ni dharau kwa wenzake walio na fans base kubwa, na wenzake wanamfanyia Fujo hadi media that's why anashuka
@taraiyalaizer6172
@taraiyalaizer6172 4 жыл бұрын
Don’t even think about what anybody saying about your talent , you own your destiny so don’t look back , keep the good work and everything will be brighter then later ! I wish you a great success in your future project . This one is 🔥🔥🔥🔥👏🏻👏🏻👏🏻. Keep the fire burning .
@gevotalent9932
@gevotalent9932 4 жыл бұрын
Kuna watu wanasema Baracka kaishiwa wanalogwa kweli
@shakessalim4363
@shakessalim4363 4 жыл бұрын
This guy is back to his old golden days 🔥 nice song ,nice video. Just be consistent now nakukubali brother
@cwedertza3975
@cwedertza3975 4 жыл бұрын
shakes salim mtu yule yule kipaji kikubwa idea kubwa
@mfarijijulias368
@mfarijijulias368 4 жыл бұрын
Naomba wimbo kinachofata uwe kama siwezi maana naipenda saana
@mercynyakeru1815
@mercynyakeru1815 4 жыл бұрын
Baraka da prince.. He never dissapoints❤️❤️his songs always bring me to tears 😭.. Big up🔥🔥
@YasiniGulam-eo9yv
@YasiniGulam-eo9yv Жыл бұрын
Sana namkubali San ilakapotea kwenyegem vip😭😭
@kisha_and_shaffi
@kisha_and_shaffi 4 жыл бұрын
Baraka the prince pambana blood nakubal mziki wako.Asante naona sasa una KZbin channel yako sasa.Epuka management za kukuweka down.Thanks
@ashrafhamza9988
@ashrafhamza9988 4 жыл бұрын
Dah hua mziki wamapenz unaujua sana baracka tuko wengi sana
@japhetmasonga8810
@japhetmasonga8810 4 жыл бұрын
Hiii sasa😍😍😍
@bobstar9989
@bobstar9989 4 жыл бұрын
Hatareeee kimbizaaaa
@msabahamalonda2249
@msabahamalonda2249 4 жыл бұрын
Wewe ndiyo fundi wangu Baraka da Prince niliyemmiss cku nyingi goma kali linatuburudisha na kutuondoa hofu ya janga hili la korona japo wote 2zid kuchukuwa hatua kadri 2navyoelevya na wataamu wetu wa afya.
Baraka The Prince - Siwezi (Official Video) SMS SKIZA 7637224 to 811
4:24
Barakah The Prince
Рет қаралды 3,1 МЛН
Killy - Mwisho (Official Music Video)
3:33
Officialkilly
Рет қаралды 3,7 МЛН
ПРЯМОЙ ЭФИР. Золотой мяч France Football 2024
4:41:06
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 57 МЛН
Barakah The Prince - Sometimes (Official Video) SMS SKIZA 7919018 to 811
3:41
Craig David - Walking Away (Official Video)
3:34
Craig David
Рет қаралды 84 МЛН
Nivumilie (feat. Ruby Afrika)
4:31
Barakah The Prince
Рет қаралды 84 М.
Barakah The Prince  - Mawazo (Official Music Video) SMS SKIZA 7637222 to 811
3:27
Barakah The Prince - Siachani Nawe (Official Video) SMS [Skiza 8091581] to 811
3:32
Rj The Dj Ft Barakah The Prince - Bora Iwe (Official Music Video)
3:28
Barakah The Prince - Nipe Nguvu (Official Video) SMS SKIZA 7919016 to 811
3:42
Barakah The Prince  - Acha Niende (Official Music Video)
4:07
Barakah The Prince
Рет қаралды 764 М.
Ben Pol - MOYO MASHINE (Official Music Video)
4:19
Ben Pol
Рет қаралды 15 МЛН