Broh ..long last umerudi... Ka umemiss baraka pia piga like apo
@Mlaybonny4 жыл бұрын
Kama unampenda na unamkubalii baraka naomba ulike hapaaa
@boymsafii26844 жыл бұрын
Fundi wangu mwengine wa mziki mzuri dhahabu inayo onekana kwenye vumbi bro Mimi nadhani unakosa sapoti tu wewe Sio msanii Tena wa tz Bari Africa nzima unauwezo twende sawa tutafika tu Big up
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA...
@samjohn39094 жыл бұрын
Tatiz mxumbuf wenye hela wanasema
@ayramyy4 жыл бұрын
nina hasira na wewe mpumbavu muda wote nilikuwa nakusubiria..sema baridi umefika moyo wangu umetulia. one blood brohh..huyu mpumbavu wandani keshafurah..one love blood
@BarakahThePrince4 жыл бұрын
ay ramyy hahahahahah thanks man
@emilybisusa30044 жыл бұрын
Unajuaaa sana hujawahi koseaaaaaaaaaaaaaaa
@nickkhatete89664 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪nimechelewa kidogo lakini nishatua,chupa limesimama kama kawa kama dawa🔥🔥🔥
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA...
@hnettech62754 жыл бұрын
💙 💪Bonge la Songi kutoka kwa Baracka. Likes nyingi kwake
@IYANIZZO4 жыл бұрын
Tunakupenda baraka mbali na changamoto ulizo pitia kwenye mziki wako bado upoo hapa kutupa ulichonacho mungu akubaribiki sana 🙏🙏 after tumekoma sasa ni sawa 🔥🔥
@BarakahThePrince4 жыл бұрын
Asante sana Mwana... Mungu yupo pamoja na Mashabiki zangu pia.
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA..
@juniorcx01144 жыл бұрын
@@BarakahThePrince Nakupenda bure baraka the prince Mashail yako mm hua nataman uwe unatoa nyimbo kila wiki sauti yako hua siichok
@jimmymbella9972 жыл бұрын
aiseee..... bro baraka we ni mwanamziki ninaekukubali sana kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, changamoto naamin zimekujenga pakubwa sana ndo maana bado uko fiti♥️💪💪💪💪✌️
@mussaidriss56623 жыл бұрын
nilianza kukuelewa Baraka na sijawahi kufuta nyimbo yako. Kwenye play list yng ni BARAKA nyimbo zako zote. Big up Buda From ZNZ
@tembomnyamaOG4 жыл бұрын
Nahitaji likes 10 tu.....za Washkaji ambao Tunakubaliana na kazi za BARAKA THE PRINCE Hapa......naomba tujuane jamani....🔥🇹🇿📌
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏..
@risermo73054 жыл бұрын
The price huwa namkubali aisee
@agripinajingu39562 жыл бұрын
Hata mm namkubali sna
@seiflukuni78634 жыл бұрын
Huyu mwamba fundi Sana aiseee ,kideo chenyewe kikal balaaa
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA...
@browntzmauzo46854 жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝 brother mapenz yanakutesa Sana💪💪💪💪💪
@juliawaswa68834 жыл бұрын
Tena tatizo pendo bado lipo kwako...tafurukuta ila mwisho wangu kwako.nabaki vumilia tu.. kusubiri uwe wangu 👌
@gerrysontz53544 жыл бұрын
Bado bad gyal video ngoma kali
@kvoicetv4 жыл бұрын
Kuchelewa sio kawaida yangu Na ndio maana nimefika mapema tu Mambo ni Sawa sawa Baraka Together 🔥
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏🙏 🙏
@esterkimath12144 жыл бұрын
Nyimbo zako zanikunaga sana❤️❤️❤️❤️
@youngbeenz2554 жыл бұрын
D classic Anakupatia sanaaaaa yaan ndio anakupendeleeeaaaa mnooooo yaan nahc uwa ukimwambia atengeneze unavyotaka anafanya mala 10 zaid. Ngoma Kali Mungu asimamie Kazi kama hz zifike mbali
@wakeuptv84524 жыл бұрын
pia tusimsahau foxxmelody ndo kapiga hii beat
@niko_brown4 жыл бұрын
Kitu kipo poa sana blood👏👏👏👏👏wachache tunaelewa nini maana ya mzikiiii.
@ckuugudeh68214 жыл бұрын
Baraka na ruby are the best shida sijui wanakwama wapi level zao sio za africa
@plutoafricatv97234 жыл бұрын
Hapa ni 💥💥💥💥 The Kenyan Tanzanian half cast Wapi likes za PLUTO AFRICA Tv 254 represented
@BarakahThePrince4 жыл бұрын
Asante sana
@plutoafricatv97234 жыл бұрын
Welcome bro, wewe ni 💥💥, nakutambua
@wilvannytz50644 жыл бұрын
Oi Leo like ata Mia Jaman Kama unaamini bado hauposawaaaa sawa
@BarakahThePrince4 жыл бұрын
Yangu Ipo pia
@juniorcx01144 жыл бұрын
@@BarakahThePrince Nakukubal Sana Prince
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏,..
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Namimi najaziaaa hapooo
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Kwakwelii sipooo sawaaaa
@chingatz44204 жыл бұрын
brother anaekupinga ajinyonge unawezaaaaaaaa
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA...
@esacisa93044 жыл бұрын
Msanii wa kwanza kumkbli hapa Tanzania ni Huyu black prince kutok mwanza mweny asili ya kenya
@godfreymahavile46884 жыл бұрын
Mwenzako bado sipo sawa, akili aipo sawa, ubongo aupo sawa, barakah mwanangu unajua sana ata wakikukamia mungu yu! p1 nawe mzee wangu
@4real_Info_Tv4 жыл бұрын
Rehema za mungu bado zipo Kwa BarakaDaPrince
@godfreymahavile46884 жыл бұрын
@@4real_Info_Tv sana
@idrisaseif74644 жыл бұрын
Kama unamkubal baraka achia like
@BarakahThePrince4 жыл бұрын
Tisha
@modenhosouza59254 жыл бұрын
@@BarakahThePrince shabiki yako mkubwa sana tulimizwa na ukimya wako....nlikuchana kua unazingua kukaa kimya ukaniblock Instagram... Sio poa kwa sis mashabiki wa muziki wako na bado tunakusaport huku youtube
@abdulytza4314 жыл бұрын
🔥🔥
@juniorcx01144 жыл бұрын
Nakubal sanaaaaa
@amazing_thingstz4 жыл бұрын
💥🔥🔥🔥🔥🔥
@gambothedon4 жыл бұрын
from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 likes zikuje
@dumillahonthebeat17194 жыл бұрын
Omera hii ni hatariiii🔥🔥🔥🔥🇰🇪🙏🏾👑
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Anajua sanaaaaa
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Kbsaaaaa
@rashidomary65344 жыл бұрын
Ngoma haichoshi kusikilizaaa
@dboy67414 жыл бұрын
Unaweza sanaaa tatizo unapotea sana kwa game mpaka tunakusahau broo changamxha mashabiki wako tuamxhee mzee prience 💪💪💪💪💪
@chusseboywcb28084 жыл бұрын
Hua nakukubali sanaa baraka unajua sanaa
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏...
@MagixEngaOnTheBeat4 жыл бұрын
My G🤴 🔥🔥🔥
@s.y.b..00394 жыл бұрын
Enga kenyan hip hop ✊✊✊
@davidbanks25274 жыл бұрын
Love the song baraka from Kenya 🇰🇪 your fun and dream of collaborating with you one day David Banks ft baraka 🌎 you are an icon 🙏🙏🙏🙏🙏
@BarakahThePrince4 жыл бұрын
Asanteni wakenya tuko pamoja
@davidbanks25274 жыл бұрын
@@BarakahThePrince kabisa 🙏
@MiraclesHimself4 жыл бұрын
Fumba macho brother fanya unachoona n sahihi katka maisha yako we niwamoto bado tembea humuhumu usihame ndo kwako
@kitogakitiga64854 жыл бұрын
Nakukubali Barakah de Prence
@wilisavage82044 жыл бұрын
Barakah the prince Kama barakah the prince
@BarakahThePrince4 жыл бұрын
Wozaaaa
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏🙏 🙏🙏 🙏
@TRAINERNGANGA4 жыл бұрын
Wakenya nipeeni like za barakah❤️❤️
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA..
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA...
@erickjulius86444 жыл бұрын
Ngoma ni 🔥🔥🔥
@countrywizzkid61294 жыл бұрын
Fresh inakuwaje from ßongo bahaati mbaya like za ßaraka the price 🤴
@dornadanderson97504 жыл бұрын
Uyu baraka ni msanii mkubwa na anakipaji sana na anajua nyimbo zake n mkubwa sana
@iano_wright4 жыл бұрын
Like za Baraka the prince ..✌👊show some love
@BarakahThePrince4 жыл бұрын
Ipo na YAngu pia
@adizinhotheclassic23784 жыл бұрын
Akaombe t2 msamaa kwa mfalme amepoteia
@liliansamwely72284 жыл бұрын
Like kutoka r chugaaaa apaaa nataka nizioneee
@Mulokozi-Films4 жыл бұрын
Melodies mkuu🔥🔥
@sokorotz93034 жыл бұрын
The Prince
@abyzlyf17684 жыл бұрын
🚬over solo sawa kabisa🎶🎶🎶🎶
@moureenousuronu88584 жыл бұрын
Hi ngoma nimeielewa super excited Quality sana 💕💕💕💕💕🤟🤩🤩🤩
@elizabethdanda99674 жыл бұрын
I'm so sad now,, that's why nimekuj kweny sawa kuupoza moyo uend utatulia😭
@josephreubenmrema27134 жыл бұрын
Kama unaamin huu wimbo kaimbiwa NAJMA gonga like apa
@4real_Info_Tv4 жыл бұрын
Kama Leo jumatatu upo KZbin Una angalia Sawa ya BarakaDaPrince comments hapo Chini tujuane
@lucystephenkiluma60744 жыл бұрын
Yeah
@husseiniathumani46884 жыл бұрын
Ngoma kali sana
@josephreubenmrema27134 жыл бұрын
NAJMA rudi uku baraka ayupo sawa..... Haya mapenz aya looooh
@wa-mbeyaTv47254 жыл бұрын
Oi oi mkali wangu umekuja na kali nyingine , , , nakubali sana mkuu, yaan unavyoimba mm naenjoy alf unanikumbusha mbali
@footballlover23584 жыл бұрын
This song wake me up 😩😍😍so damn good
@omardaudi29284 жыл бұрын
Kaz nzur brooo!🔥🔥🔥
@4real_Info_Tv4 жыл бұрын
Noma sana 🔥🔥🔥
@andivamorgan52544 жыл бұрын
Underrated musicians in EA
@tadeialphonce35093 жыл бұрын
Tupo pamoja Sana Kaka toka so fire mpaka sasa sawa, nakukubali Sana kaza Kaka ww ni fundi mungu ataonesha njia
@kasambalive65994 жыл бұрын
Daaaah kichupa Kizuri saaana 🔥🔥🔥🔥Baraka siku zote we Prince nakukubalia Sana 🔥🔥🔥
@ChugacomedyTanzania4 жыл бұрын
Ngoma kalii 💥🔥🔥🔥
@Lipoz-874 жыл бұрын
Joining very sooo
@Lipoz-874 жыл бұрын
Music ni art keep up bro coming 🤴🏾🤴🏾
@smgfamilygroup24144 жыл бұрын
ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏..
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Sjawahi kuonaaaa
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Aiseeee ni hataree na nusuuuuuu
@cwedertza39754 жыл бұрын
Bless up baraka
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Yenyeweeeeee
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Ni hatariiiii
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Haielezekiii kwa kweliiii
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Oii cweder sikupingii
@mrishojoseph79874 жыл бұрын
He never dissapoint..
@zamoyoni56434 жыл бұрын
Wayaaaaaa
@zamoyoni56434 жыл бұрын
+++++nomaaaa
@amazing_thingstz4 жыл бұрын
Noumaaaaa sana 🔥🔥🔥🔥 bro naomba kwa ss hv ustuangushe kabsa njo chupa jingine tena qaliiii zaid na uyalete zaid na zaid me nakuamini ww una uwezo mkubwa sana bro
@amazing_thingstz4 жыл бұрын
Plz bro ucpotee tena 😭 😭 😭 😭
@kapombesenior64864 жыл бұрын
Jembe
@meddymeddy7124 жыл бұрын
Huyu jamaa noumaa sana kwa hili hao madogo wakasome...Nomaaa sana
@harryvice774 жыл бұрын
Baraka ngomayako kalisanah ingekua wanaangalia gud music ungewaburuzawote kwa huu mziki
@likerofficial46594 жыл бұрын
Kama una mkubali baraka tujuane apa achia like yako apa
@bonniemlai39984 жыл бұрын
Uhakikaaaaa
@bonniemlai39984 жыл бұрын
Tupooo pamojaa
@bonniemlai39984 жыл бұрын
Nakubaliiiii
@likerofficial46594 жыл бұрын
Sema nn naombeni support yenu kwa account apo uki Subscribe soon Nina ngoma ndani si muda nitaanza kuziachia hume naomba support yako hapo wajuze na wana
@aoreclement82234 жыл бұрын
The best underatted artist in Tz
@sabrymaulid24214 жыл бұрын
sio underated,mm ni fan wa baraka ila watu wengi waliofanya kazi na baraka wanalalamika jamaa mkolofi,jeuri,kiburi ndio maana management nyingi zinamtema...ila anajua but atittude ndio shida
@okeyokarolipaul48934 жыл бұрын
@@sabrymaulid2421 hizo ni shida za media na mashabiki wa tz, they want you to beg them that's why hata mondi hachezwi kwani yeye pia ana attitude?
@visionstudios68044 жыл бұрын
@@okeyokarolipaul4893 honestly baraka is so rude u can't even compare him with chibu for kindness.
@okeyokarolipaul48934 жыл бұрын
@@visionstudios6804 tell me one incident where he was rude, even diamond could be called rude now if not for his intelligence and future oriented mind
@mfalme254ke3 жыл бұрын
Shida sio media bro, huyu jamaa amekosana na management karibia zote zinazomsimamia, but cheki diamond since ashikana na managers wake hatujaskia ishu yoyote, huez niambia management zote zilikua na shida bro, jamaa anajua lakini katika hii dunia ukitaka kufaulu kubali kuwa mjinga kwa muda fulani
@stivinjohn53384 жыл бұрын
Tatizo lake maringo sana
@altojaphet33944 жыл бұрын
Mmh nzur naikubal ngoma Kal since Beat Sound Iko poa Sana🤝
@latphashabani22334 жыл бұрын
Nimeielewa hii ngoma kama naww umechek mala nyingi kama mm gonga like
@cwedertza39754 жыл бұрын
Kizazi sana
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Oiiiii
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Bongeee la issue
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Wazeeeew
@4real_Info_Tv4 жыл бұрын
Kama upo unatizama hii video ya Sawa by BarakaDaPrince usipite bila kuacha comments zako 👇
@BarakahThePrince4 жыл бұрын
entertainmentz plus big buddah 🤝
@Flavianart4 жыл бұрын
this man is so amazing with hottest of music talented love you brow
@tonnygraphy77574 жыл бұрын
Sag
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Sikupingiiii boss
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Unajuaaaaaa
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Uyu jamaa ni fundiiiii
@kulwamasanja47984 жыл бұрын
Konkiiiii
@Thonythomas4 жыл бұрын
huyu ndio muziki wa baraka niliokwisha ufahamu, big up
@zamoyoni56434 жыл бұрын
Wanang
@zamoyoni56434 жыл бұрын
Yaaaap
@zamoyoni56434 жыл бұрын
Hakikaaa
@davidmpembela88844 жыл бұрын
Fundi fundi💥💥💥💥💥💥💥💥we mwamba mganga wako kadawa anakokufanyiaa special sanaa mana ukiachia nyimbo ni wayaaaaaaa
@hnettech62754 жыл бұрын
Luo Boy in maber from Rorya dala
@4real_Info_Tv4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@bonniemlai39984 жыл бұрын
Nic
@bonniemlai39984 жыл бұрын
Nic
@bonniemlai39984 жыл бұрын
Nic
@charlesmpagama9384 жыл бұрын
Kaka akuna wa kuziba nafasi yako yani pengo lako alizibiki
@BarakahThePrince4 жыл бұрын
Asanteee
@ceciliasemindu23973 жыл бұрын
Nnachotakiwa nikifatilie kwa baraka ni musiki mzuri tuu na D classic unanikosha kwa midundo
@jayreally_73284 жыл бұрын
D classic anakupatia sana brother ishinae kinyamwezii @sawa😇😇
@sweetbertbumare61184 жыл бұрын
Ivi kuna nyimbo yoyote aliyoimba Baraka bila kutaja moyo🤣🤣🤣
@rehemambaga12854 жыл бұрын
Kumbe umegundua naww
@kallaghemartin43334 жыл бұрын
We unaweza ishi bila moyo?
@sweetbertbumare61184 жыл бұрын
Kwa style hii bila moyo naishi tuu🤣🤣🤣
@glorymallya47074 жыл бұрын
Sidhan kwa kwel ila baraka mm nampenda bure ananikosha sana
@sweetbertbumare61184 жыл бұрын
Yuko vzr jamaa sijui kinachomkwamisha nini
@abdillmamu69504 жыл бұрын
Sina shaka na hii nyimbo hata kidogo......!!! Nashukuru nilikuwa moja ya watu mwanzo kabisa kuisikiliza hii nyimbo tukiwa arusha na baraka.....!!! 💥💥💥
@emraantz71314 жыл бұрын
Fireee maniggar chuma chuma nakubali 💪 nipe like kwajil ya PrincVoice
@muniraahmed6244 жыл бұрын
HUYU JAMAA ANAJUA SANA ASEEE🎃🎃
@tenmangoes494 жыл бұрын
Trust the process... Sasa umerudi na ubaya
@teammedia95924 жыл бұрын
Hiii ngoma ni Kali Sana kiukweli baraka anajua kupita na Melody na mistari mikali ya mapenzi
@amazing_thingstz4 жыл бұрын
Akili aiko sawa 🤕 💥 💥 💥
@nyatuboytz81424 жыл бұрын
Umetisha baraka price tuko sambamba
@4real_Info_Tv4 жыл бұрын
Sawa ni wimbo kitaifa right now kila Kona ya kitaa ni Sawa tuuu 🔥🔥🔥🔥
@amoskalemo76754 жыл бұрын
Huyu jamaa sijawahi kuona anafeli ktka kazi yake 👊👊👊 Kazi nzuri 💯
@cwederrama7164 жыл бұрын
Ngomaa iko vzr sanaa
@hajimrisho40124 жыл бұрын
Huyu ngosha anajua sana basi tu......
@bonniemlai39984 жыл бұрын
Tunaomkubaliii jamaaa tujeniii hapaaa
@esacisa93044 жыл бұрын
Huna mbaya kaka toka nmeanz kukjua mpk hii leo hiz nyimb za kutendwa znakusmamsha vzur sana
@antipaspaul45104 жыл бұрын
Kua wa kwanza kurudia kutazama kichupa cha baraka
@ibra62694 жыл бұрын
Uyu jamaa nimbad ile mbaya asee... hubahatishi bro bali una talent
@IbrahimIbrahim-pt8qx4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujaalie ubunifu mzuri kila ziku
@yothamkimito63814 жыл бұрын
Nakukubal tangu upo kw a king
@Abby_Shawn_KEАй бұрын
🔥 Master wangu hujawahifeli
@michaelwambura10774 жыл бұрын
Akili haipo sawa mwili haupo sswaaa
@modelleonard13944 жыл бұрын
Mimi Ni shabiki Damu Damu nakuelewa sana my Broh unajua nini unafanya kaka 🔥🔥🔥🔥
@zendatz80774 жыл бұрын
Uchovu mda wote..🎶🎶🎶🎶
@officialjaygravity19154 жыл бұрын
Riziki hawawezi ziba labda kuichelewesha ,bado wewe ni Yuleyule baraka tunakupenda na tunakukubali endelea kupiga kazi mashabiki zako tupo.. usiwahi tishwa the song is dope 🔥🔥🔥 🇰🇪🇰🇪🇰🇪✌️
@kanalmohammedgaddafi23904 жыл бұрын
Brother nyimbo zako ni kama maji ya kunywa kwangu kila nisikiapo kiwi nakunywa.....kaza kabisa