BAWACHA KUCHOMA VITENGE WALIVYOPEWA NA RAIS SAMIA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI

  Рет қаралды 12,130

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 18 күн бұрын
I love chadema ngingingi...📌📌📌
@rastheunique
@rastheunique 18 күн бұрын
Safi sana BAWACHA! Mmefanya kitu sahihi katika muda sahihi!! Mungu akubarikini Sanaa!!
@AishaNgoyi-vi2ku
@AishaNgoyi-vi2ku 18 күн бұрын
Huyu mama hpn hv mungu kwnn ulimchukua baba yetu mapema magufuli
@MussaSuleiman-ui9fy
@MussaSuleiman-ui9fy 18 күн бұрын
Hawa wanawake washenzi hawana huruma hii ni kudhirika Kwa ukatili wao
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 17 күн бұрын
Mnatekana wenyewe kwani mkichoma vitenge ndiyo hao watu watarudi niwajinga sana ninyi wanawake wa Bawacha Hanna Sera wala hoja .
@leilayathumani2295
@leilayathumani2295 17 күн бұрын
Ushungi mkubwa afu unachoma nguo baada ya kupeleka kwa wasojiweza
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 18 күн бұрын
Samia for Presidency 2025
@rogersiddy
@rogersiddy 18 күн бұрын
Kwa mawazo ya mbaaali sana nikiangalia yule Mama alijifanya kuwa karibu nao ili awateke kiakili autangaze umma na kimataifa kuwa mtu safi lkn hamna kitu kbs
@AishaNgoyi-vi2ku
@AishaNgoyi-vi2ku 18 күн бұрын
Kweli kabisaa huyu mama hpn
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 18 күн бұрын
Kumbe bado hamna akili
@Dutichgogo
@Dutichgogo 18 күн бұрын
Sawa kina mama
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 18 күн бұрын
Safi sana
@ZainabuVeriuse-q5h
@ZainabuVeriuse-q5h 14 күн бұрын
Mngechoma siku mnapewa mmevaa vimechoka ndiyo mchome hahaha
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 17 күн бұрын
Mlivipokea vya nini
@onesmomasala-rg2wd
@onesmomasala-rg2wd 18 күн бұрын
Nawapongeza bawacha
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 18 күн бұрын
Hii ni sawa na ile Unakataa maneno mazur kisa kasema mlevi 😢, homa za siasa hizi😅
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 16 күн бұрын
Mzanzibar hata hujui kusoma hiyo risala ulimaliza kweli darasa la saba fyatu wewe
@ammonkagoro7288
@ammonkagoro7288 18 күн бұрын
So painful
@abdulrahmanhamza4932
@abdulrahmanhamza4932 18 күн бұрын
Nyie ikifika viti maalum mnachaguana na mademu zenu mwanza atuna mwakilishi toka alivyokufa Leticia nyerere na kura nyingi mnapata uku nyie wabaguzi tu. Mnaenda kuishiwa kama CUF, chama kikuu cha upinzani ACT WAZALENDO WAZALENDO. 2025. maandamano furahisha mwanza, ikifika vitu maalum kilimanjaro, arusha, dar, na manyara. Af kelele na kutafuta huruma Furahisha mwanza
@yusufurhobi9678
@yusufurhobi9678 18 күн бұрын
Kwa kweli haya ni mamuzi magumu
@SleepyDrink-yp7yg
@SleepyDrink-yp7yg 18 күн бұрын
Mungu tunaomba utulinde wanachadema tunaonekana kama hatuna haki yakuishi kwenye nchi yetu
@harouniddy4626
@harouniddy4626 18 күн бұрын
Inaumizà sana kwa kweli jamaani hii sio sawa. Tunaitaji kuishi maisha yenyewe mafupi. Alafu mnasema eti kuna AMANI je ni amani au UTULIVU
@ÀvelinaMchamba
@ÀvelinaMchamba 17 күн бұрын
Mama nZima linataka kufia jela mbwà nyie
@ammonkagoro7288
@ammonkagoro7288 18 күн бұрын
Nimejikuta nalia, machozi yangu yawe ukombozi kwa kizazi changu na vizazi vya wanaoumizwa.
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 18 күн бұрын
Kumeabza kuchangamka
@AkimuWaziri-l4w
@AkimuWaziri-l4w 18 күн бұрын
Kumeanza kuchangamka
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 18 күн бұрын
Kofia haijaweza kuvitumia vyombo vyake vya usalama na kuviwajibisha
@aronimanirakiza5655
@aronimanirakiza5655 18 күн бұрын
Infers. Mama
@DottSayi-v7e
@DottSayi-v7e 15 күн бұрын
H
@zainabnaheem8358
@zainabnaheem8358 18 күн бұрын
Afya ya akili
@CopperBelt
@CopperBelt 18 күн бұрын
Nakumbuka nilikua nchi fulani sitoitaja wakati vita vikiendelea wanawake wengi walibakwa na kuuwawa lakin nashangaa skuiz wanawake Tanzania eti wako na front line kuleta machafuko najiuliza kukinuna je wataweza au ni mdomo tu😂😂😂😂😂😂
@joshuahamis2738
@joshuahamis2738 18 күн бұрын
Mnaosifia ccm hamna akili kabisa haiwezekan watu wasio na hatia wanatekwa na wengine kuuawa hakuna hatua yoyote inayochukuliwa. Vp km wangekua ni ndg zene wamfanyiwa hayo mngejisikije?
@thetruth8979
@thetruth8979 18 күн бұрын
mbona ni nyinyi wenyewe mnafanya hayo kumchafulia jina rais na taarifa mnazijua sana
@joojombi2341
@joojombi2341 18 күн бұрын
Mafatani wakubwa mnawateka wenyewe kwa kusingizia serekali wacheni kupotosha umma nyie bhana Mafatani wakubwa mmekosa visingizio Mafatani wakubwa nyie.
@juliusmix
@juliusmix 18 күн бұрын
Unaandika ukiwa na uelewa au umeamua tu kuandika?
@juliusmix
@juliusmix 18 күн бұрын
Na vipi kama wanajiteka wenyewe kwani hakuna vyombo vya kusaidia na kukomesha hili swala?
@joojombi2341
@joojombi2341 18 күн бұрын
@@juliusmix msikilize Yona wa Chalinze mbna amesha sema marangapi nayy alikua Chadema anayajua vizuri Chadema wanacho kifanya
@joojombi2341
@joojombi2341 18 күн бұрын
@@juliusmix nauelewa otherwise nisinge andika kamsikilize Yona wa Chalinze anazungumza ukweli na uhakika Chadema walivyo. Mafatani wakubwa waongo kazi kuyaunda matukio
@eliajimmy95
@eliajimmy95 18 күн бұрын
​@@joojombi2341Kuna sheria inayoruhusu watu kutekana hapa Tanzania? Kama haipo kwa nini serikali iwaache watekane?
@AmosiMaduka
@AmosiMaduka 18 күн бұрын
Kweli hiki chama mnaakili za kipu mbavu shenzi kabisa
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 18 күн бұрын
Hamna jipya nyie
@AmriMzeru
@AmriMzeru 18 күн бұрын
Hamjipangi kwa uchaguzi mnaleta propaganda,mkishindwa uchaguzi mnasema CCM wameiba kura 😂😂😂😂😂😂,pumbavu sana nyie
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 18 күн бұрын
Koma
@joojombi2341
@joojombi2341 18 күн бұрын
Wacheni kupotosha umma nyie ni nyie wenyewe mnayo yafanya wenyewe nyie ndo Mafatani wakubwa wacheni kupotosha umma nyie Mafatani wakubwa
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
NONDO ZA MZEE WARIOBA MBELE YA RAIS SAMIA KUHUSU HAYATI SOKOINE
19:28
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
WANACHADEMA JIMBO LA KIBAMBA WAIBANA TAKUKURU
27:32
Chadema Media TV
Рет қаралды 1,7 М.
MWAMBIGIJA AMPA ONYO TULIA KUJIITA RAIS WA MBEYA
15:04
Chadema Media TV
Рет қаралды 16 М.
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
The Chanzo
Рет қаралды 144 М.
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН