Poleni sana ndugu jamaa na marafiki kwa kupoteza wapendwa wenu Mungu ailaze roho za marehemu mahali pema peponi 😢
@donaldmgunda49706 күн бұрын
Kazi buree, karibuuu daressalaam Tanzania 😊😊😊
@HadJay-yb2gv6 күн бұрын
Kenya 🇰🇪 Burundi 🇧🇮 Poreni sana 👣
@moussamoussa61667 күн бұрын
Poleni Sana. Lakini kumbukeni kila nafsi inaonja mauti. Hakuna atakaeishi milele hapa ulimwenguni, kifo kishapangwa, kila mtu atakufa na siku yake na wakati wake uliopangwa. Hakuna wa Kulaumiwa Allah anafanya kazi yake kwa uwadilifu
@RaphaelMbughi-n1g7 күн бұрын
Afrika lazima ibadilike pia lazima ijengwe Kidplomasia!!