Mtoto wa TB Joshua alivyokabiliana na baba yake kwa kufichua maovu yake

  Рет қаралды 17,331

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@agnestemba7372
@agnestemba7372 11 ай бұрын
Alaf pia stori yake haituhusu kama alishamaliza kazi yake ashamaliza, alikuwa mzuri au mbaya haisaidii kwa sasa, jiangalie wewe umefanya kazi gani ya Mungu, kupromote ushogaa😂😂😂😂mko vizuri😂😂😂keep on the good work , tutaona mwisho wenu🤨
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 11 ай бұрын
Sema haikuhusu
@OStarBlog101Tech
@OStarBlog101Tech 11 ай бұрын
She's his actual daughter: lies, she's an adopted daughter who became a thief and rebelled against the hand that fed her
@lameckdaniel6724
@lameckdaniel6724 11 ай бұрын
Kwa ninavyowajua wazungu ingekuwa ni kwelii na aliyafanya haya mapema kipindi Cha huduma yake wangekuwa washasema tangu mapema lakini wamesubiri amekufa ndio wanakuja na documentari za kutengeneza kabx ili waharibu legacy ya TB Joshua . But if TB Joshua is a man of GOD basi hili litapita na halitakuwa na athari yeyote
@KINGSHAWELA-bh2sy
@KINGSHAWELA-bh2sy 11 ай бұрын
BBC 📻 sikuhizi mmechanganyikiwa kweli
@jameskiroka2549
@jameskiroka2549 11 ай бұрын
Bbc wamechanganyikiwa au wewe ndo unechanganyikiwa
@langotv5071
@langotv5071 11 ай бұрын
Muhusika hayupo,hawezi tena kujibu hili,BBC mnakua wa hovyo hii story mmeibalanc vipi na anaetuhumiwa hayupo mashetan nyie mnataka kutumbandia chuki pumbavu kabisa.
@KilavyaMwitila
@KilavyaMwitila 11 ай бұрын
Wajinga wakubwa yaan hiyo habari inatusaidia Nini ,kama kweli ina ukweli waweke hata video basi hata akiwa nao
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 11 ай бұрын
Dunia imeshachanganyikiwa na Lusifa.. anaindesha atakavyo.. ole wenu! Yesu Kristo anawaona mtajibu soon.
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 10 ай бұрын
BBC acheni kutetea ushoga, waafrika huku hatutaki ushoga wala mashoga😮
@pachasproduction
@pachasproduction 11 ай бұрын
Mbona hamkufanya hii documentary kipindi yupo hai? Mungu ndo anajua zaidi kama ni uongo Hata hii bbc yenu inayo aminika haita dumu
@ImanShiwa
@ImanShiwa 9 ай бұрын
Kweli ndugu hii taarifa niya kuunga unga sana
@cydrahope5251
@cydrahope5251 11 ай бұрын
Mungu atawajibu sawasawa na uovu wenu bbc
@danielndusilo4723
@danielndusilo4723 11 ай бұрын
Mi nawashangaa sana watu unamtetea mtu unafikiri unamfahamu sikilizeni acheni kuwaamini wana damu
@KilavyaMwitila
@KilavyaMwitila 11 ай бұрын
Kwani hao wànaosimulia sio wanadamu ? Hisia za kulia zinakutisha ?
@rockygappi1018
@rockygappi1018 11 ай бұрын
Kwani hao unaowasikiliza ni malaika?? au hao bbc sio watu.. mbona wewe unawaamini hao wanaoongea je unawajua?? Fikiri kwanza kabla ya kuongea na uongee na sio kuropoka
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 10 ай бұрын
Wanadamu wepi hao tusiwaamini, hawa BBC au😂
@wgnckasarani
@wgnckasarani 11 ай бұрын
Mbona sasa ndio mna tuambia wakati amesha fariki mulikuwa wapi kabura mbeleni.....?
@emmanuelkayumba474
@emmanuelkayumba474 11 ай бұрын
Mungu atawahukumu kwa uongo weni tb Joshua alikuwa mtumisji wa Mungu kweli nyie ni masjenti wa shetani
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 11 ай бұрын
Kwaiyo hata binti yake ana msingizia baba yake sio
@Goal2015
@Goal2015 11 ай бұрын
The same way you are saying they don’t have proof and they are lying. Which proofs do you have to say that they are lying. PS : I’m not saying that what they are saying is is true But if we continue condemning and judging people who talk about their negative experiences ( true or false). Victims will forever fear to open up. They are telling their truth you have to right to tell your truth too. But you have no right to say that they are lying.
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu 11 ай бұрын
Shetani kazini na watu wake. Hili ni shambulio kwenu Wakrito si kwa TB Joshua.
@frankangelo3496
@frankangelo3496 11 ай бұрын
Uyo mtoto hii kwama ni uongo kitamfuata
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 11 ай бұрын
Mmeshindwa.Jaribuni njia nyingine
@ozld4864
@ozld4864 11 ай бұрын
Mashoga mtahangaika sana lakini Mungu atawafutilia mbali
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs 11 ай бұрын
Hata kabla ya BBC jambo hili lilikuwa bayana Mungu alimuonya TB Joshua kwa mambo hayo akakaidi ndo sababu ya kifo chake alikuwa ni wakala wa shetani fuatilia hata ushuhuda wa Pastor Kenzo Atsushi utaelewa, pia BBC kazi yao ni kuripoti hatupaswi kuwalaumu
@rockygappi1018
@rockygappi1018 11 ай бұрын
Wacha ushabiki wa kijinga..unaposema jambo hili lilikuwa bayana na Mungu alimuonya una ushahidi gani??Je Mungu alikufunulia hilo au ni kwa kusikia maneno ya huyo Pastor Kenzo na tutajuaje naye pia aliwekewa neno la uongo kinywani mwake maana hata biblia inathibitisha wapo watumishi waliwahi kuwekewa neno la uongo... Na ili uthibitishe kuwa TB Joshua alikuwa ni wakala wa shetani basi na wewe ni wakala ndio maana umejua hilo.. kumbuka wakati TB Joshua anaitwa na Mungu sio wewe wala mimi wala mtu yoyote yule alikuwepo wakati wa wito wake na hakuna dhambi mbaya isiyosameheka kama kumkufuru Roho Mtakatifu sasa unapothibitisha kuwa alikuwa wakala ina maana roho mtakatifu hakuwepo ndani yake what if haikuwa hivyo ufikirivyo.. Na kama wewe unaamini ushahidi wa Kenzo ni jana tu muhubiri mkubwa Chi amethibitisha kuwa BBC ni waongo na akarejea unabii aliotoa mwaka mmoja nyuma kuhusu BBC kutumika na shetani kuupiga vita mwili wa kristo Tukiacha upande wa kiroho unaposema bbc hawapaswi kulaumiwa maana wao wanaripoti tu..weledi wa uandishi haupo hivyo inatakiwa unaporipoti story yoyote especially ya tuhuma lazima mizania yako iwe sawa uhoji mtuhumu na mtuhumiwa pia kwa hiyo hilo kama ulikuwa ulijui jifunze na sio kutetea usichokijua Mwisho na sio kwa tamati jifunze kuchunga kauli zako kuhusu watumishi wa Mungu wao ni wanadamu kuna sehemu huwa wanakosea kama ilivyokuwa kwa Saudi, Sauli, Suleiman nk...wakikosea Mungu anajua namna ya kushughulika nao lakini sio wewe kuingilia kutaka kumsaidia Mungu kwamba huyu alikuwa wakala au ailkuwa vile..utapigwa wewe muumini tu wa kawaida huna unalojua usilishwe maneno ya kishabiki Na ukiona mtumishi yeyote anamsema Mtumishi mwenzake hata kwa muumini kama wewe ujue huko ni kufilisika kiroho
@MartinzNicolae-ni1ej
@MartinzNicolae-ni1ej 11 ай бұрын
I have been living to one of a prophet,who is a son of TB joshua. Whtas been spoken here,all the evil,are the same things happening to this prophet in Tanzania.
@chrissmichaelmashouda1726
@chrissmichaelmashouda1726 11 ай бұрын
Ishu inakuja wakristo wanafurahia hii ishu na hamjui ni mtego kua dini yenu inaonekana ni ya hovyo....ko msiendelee kufurahia kuchafuliwa kwa huyu mtumishi na mjue itawaathiri kwa wale wasio amini kweli
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 11 ай бұрын
Kwanza wote wanaoongea walishakuwa mashoga
@socolamussa
@socolamussa 11 ай бұрын
😂😂😂😂 BBC
@pulikisia7963
@pulikisia7963 11 ай бұрын
Ni jinsia ya KE au ME??
@bornkilla6173
@bornkilla6173 11 ай бұрын
Wazungu sio wazuri
@MRHURUMAHuruma
@MRHURUMAHuruma 11 ай бұрын
Najua kosa la Tb joshua nikuwaombea mashoga waache ushoga KZbin wakamfungia channel yake hawa wote wanaotoa ushahidi huu ni mashoga
@armanixavier8155
@armanixavier8155 11 ай бұрын
Yes ndo icho kitu
@ombiney_mtasha
@ombiney_mtasha 11 ай бұрын
Ameshasaliti freemason Sasa Atatengenezewa kesi mpaka kielewekeee
@agnestemba7372
@agnestemba7372 11 ай бұрын
Kwahiyo hata mkitueleza tunawasaidiaje hao mashoga 😅😅😅😅 oooh tulikuwa tunateswa mbona saiv ndo wameharibika hasaaa, walikuwa wana muonekano mzuri saiv wana mionekano ya mashoga😅😅😅 Alaf msituchoshe kanisa lake mnalijua kama wana makosa wapelekeni mahakamani msituletee hapa.Wajinga nyie mmefeli😅😅😅
@annamsigwa-z4q
@annamsigwa-z4q 11 ай бұрын
Wanachokitafuta ni kanisa be la mama life
@abelmbata37
@abelmbata37 11 ай бұрын
Mnazungumza haya mnaona hakina wa kiwapeleka mahakamani kama wakiamua kiwashitaki mtakiona mnarusha taarifa bila ushahidi
@nicksonmori
@nicksonmori 11 ай бұрын
Ukimya umeuona wew usiyefatilia mambo
@DARAJANI_TV
@DARAJANI_TV 11 ай бұрын
Mngetoa hii documentary wakati angekua hai ingekua na maana
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 11 ай бұрын
Kama mnahisi chombo kikubwa cha habar duniani kama BBC kimekurupuka kwenye hili nendeni mahakamani mkashtaki
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 11 ай бұрын
Wazungu hao babaaa wanamsema mwafrica
@KilavyaMwitila
@KilavyaMwitila 11 ай бұрын
BBC ya hovyo tu ,ikaripoti ushoga uingereza sio kufuatilia waafrica ,stupid
@shabanikitula645
@shabanikitula645 10 ай бұрын
BBC mmepoteza mwelekeo kwanza kwangu nawablock wazungu wabaya sana mbona hamkusema aivyo hai ??mmetengeneza mafala nyie
@Nyanda506
@Nyanda506 11 ай бұрын
Mungu ndie anajua
@asilahamed8353
@asilahamed8353 11 ай бұрын
Bbc swahìli dira ya dunia muwe munaweka kila habari ya siku munaweka tarehe ya siku hiyo ili kuuitambua ya siku hiyo
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 11 ай бұрын
Watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa
@charlesedson5538
@charlesedson5538 11 ай бұрын
Watch and pray
@luhindakanige2987
@luhindakanige2987 11 ай бұрын
Wajinga tu
@NATACIARAPHAEL-iz8kr
@NATACIARAPHAEL-iz8kr 11 ай бұрын
Wazushi sana nyie
@rockygappi1018
@rockygappi1018 11 ай бұрын
😂😂BBC mmekuwa waongo kweli siku hizi..mmeshapoteza umaaru miaka😂mingi iliyopita..kwa sasa hata mfanye nini hamuwezi kuwa chombo bora cha habari hovyo kabisa😅😅😅
@wayaumememagari4633
@wayaumememagari4633 11 ай бұрын
Acha kutetea kitu usichokijua
@rockygappi1018
@rockygappi1018 11 ай бұрын
@@wayaumememagari4633 ... Haya wewe unajua nini kuhusu bbc?? Wiki mbili zilizopita wametoa habari za uongo tena kuhusu Uingereza yenyewe na walipoambiwa kuthibitisha na wakaomba radhi..lakini pia Rais Magufuli aliwapiga marufuku kwa kuwaita waongo...na Kagame pia kwenye mahojiano na bbc ktk ikulu ya Rwanda aliwaambia kuwa ni wazushi na waongo..haya wewe unajua lolote kuhusu bbc?au ni kwamba unaropoka tu
@rockygappi1018
@rockygappi1018 11 ай бұрын
@@wayaumememagari4633 ..na kuthibitisha kuwa ni waongo kwa nini hawakusema haya alipokuwa hai?? hauwezi kuwa na habari za mashiko kuhusu tuhuma kwa mtu marehemu..sasa kwa akili yako finyu hata huwezi kujumlisha namba na kupata majibu..hiyo ni habari ya upande mmoja wakati undishi unataka mizania kwa pande zote huna unalojua..bbc wanashindwa hata na TBC kwa umakini na ubora wa habari..nina wasiwasi hata uneme wa magari huna uelewa nao vema utachoma magari ya wengine bure 😂😂😂😂
@KilavyaMwitila
@KilavyaMwitila 11 ай бұрын
BBC wahuni tu habari gani Haina upande wa pili ? Hata la video kalikofifia hakuna ,halafu mnasema mlifuatilia kwa muda , Sasa inatusaidia Nini kwa Sasa ,mnashindwa kurusha mashoga uingereza mnapambana na watumishi wa Mungu wa kiafrica ?
@rockygappi1018
@rockygappi1018 11 ай бұрын
@@KilavyaMwitila ...umeona eeeeh?? Yaani BBC wamekuwa wakora na wahuni tena si kidogo
@ludovickharsonharson3564
@ludovickharsonharson3564 11 ай бұрын
Sasa mnakataa wakati hata mtoto wake anadhibitisha , duuh
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 11 ай бұрын
Si mtoto wa kumzaa. Huyu alilelewa naye lakini baadaye akawa hasikii tena ndipo akaondolewa.
@nicksonmori
@nicksonmori 11 ай бұрын
Mtoto wake unahuakia😂😂 au kwavile BBC imekwambia
@rockygappi1018
@rockygappi1018 11 ай бұрын
Wewe unae kubali yanayosemwa una uhakika gani kuwa ni mwanae??
@armanixavier8155
@armanixavier8155 11 ай бұрын
Watoto wake tunaowajua ni Sarah , Promise na Heart uyo ajoke katokea wapi , hii documentary imewapa favor watu walokuwa wanamchukia TB joshua Toka mwanzo , but watu wanao mtetea ni watu walotumia muda wao kumfatilia TB Joshua, so kama una support izo allegations za BBC we sio mfatiliaji so nyamaza tu coz hujui unachokisema .
@rehemamwaitenda1872
@rehemamwaitenda1872 11 ай бұрын
God will judge you, just prepare for worse
@petersulle1937
@petersulle1937 11 ай бұрын
Mnaosema BBC ni waongo nyie leteni ukweli, kama laiti ungejua namna ambavyo chombo hicho cha habari kinafanya kazi zake kwa weledi na kwa uhakika usingethubutu kuwalaumu, wao wanajua vizuri mdhara ya kuandika au kutoa taarifa za uongo kuliko unavyodhani. Kama hizo taarifa ni za uongo Mke wake au kanisa lake lingefungua kesi na kuidai BBC gharama ya kuchafua kanisa na familia. Huo ukimya unadhihirisha kuna ukweli mwingi. Acheni kutetea msichokijua.
@wayaumememagari4633
@wayaumememagari4633 11 ай бұрын
Kweli kabisa
@langotv5071
@langotv5071 11 ай бұрын
Ndio ni waongo hili habari irushwe lazima store iwe imebalanc
@rockygappi1018
@rockygappi1018 11 ай бұрын
Aaaa wapi...eti BBC chombo bora na wana weledi wa kazi?wewe na BBC mko sawa..unazungumza vipi kuhusu water gate scandal walipokosea kuripoti..unazungumzaji kuhusu bbc kutetea rushwa mauzo ya rada kwa Tanzania na baada ya Tanzania kushinda kesi wakaomba msamaha weledi uko wapi hapo??wiki mbili nyuma wametoa habari za uongo kuwa vyuo vikuu vimeandaa maandamano kuipinga serikali kuhusu vita vya Israel na pslestina walipoambiwa kuthibitisha wakaomba radhi na mwandishi kusimamishwa kazi..hayo yote kuna hata moja unalolijua?? Na kukuthibitishia kuwa bbc ni chombo cha hovyo hata Marehemu Rais Magufuli aliwapiga marufuku kuripoti habari za Tanzania kwa kusema ni waongo,sasa wewe na Magufuli nani anawajua vema bbc?? Kagame ktk mahojiano na bbc kwenye kipindi cha hard talk kilichorushwa moja kwa moja toka ikulu ya rwanda huku mvua kubwa ikinyesha live alimwambia mwandishi nguli kuwa bbc ni wazushi na waongo linapokuja swala lolote kuhusu Afrika Jiongeze wacha ulimbukeni wa kuwakumbatia wageni..vipo vyombo bora kama The Sun,Fox News..Sky news na Hata Aljazeera ni bora maradufu kwa bbc.. Kwa taarifa yako shirika la habari la India ktk orodha ya vyombo bora vya habari shirika hilo lipo juu kwa BBC Haya na wewe weka hoja zako hapa ukiwatetea bbc tuone na sio kulalama bila hoja zenye mashiko Na ukitaka kujua wewe na bbc mpo chungu kimoja pitia maoni ili uone asilimia kubwa wanavyowapinga bbc
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 11 ай бұрын
​@@wayaumememagari4633waafrica tu ndo huwa wabaya?
@KilavyaMwitila
@KilavyaMwitila 11 ай бұрын
Story gani haijabalance , hata wangemuhoji mke wake tukaona amekataa ,au hata lka video kadogo yuko na hao wajinga wanaoigiza kuongea ......weledi gani wa BBC ....warushe skendo za mashoga kwao
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 11 ай бұрын
Wote wanaoongea naona kama wote ni mashoga
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 24/12/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 6 М.
Jinsi TB Joshua alivyoficha ukweli kuhusu kuporomoka kwa jengo
9:01
BBC News Swahili
Рет қаралды 9 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
'This is my truth'- Sihle Sibisi tells her story on TB Joshua
19:32
Eyewitness News
Рет қаралды 1,4 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 23/12/2024
28:11
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 20/12/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 19/12/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
Небанальность зла в деле Беркович и Петрийчук
22:19
НО.Медиа из России
Рет қаралды 34 М.
Nyota wa Afrika Mashariki
43:55
BBC News Swahili
Рет қаралды 839
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН