Beatrice yaani mimi uliniponya hapokwahapo kupitia wimbo wako wa kijito cha utakaso sauti yangu ilikauka kwa wiki mbili lakini nilipowasha TV tu nikakutana na wimbo wako ndipo nikawa natamani kuimba nikaona machozi yananitoka, Mara kitu kikaniambia imba nikaimba na sauti ikafunguka, haleluyaaaaaa
@jeanninemuhawenimana81653 жыл бұрын
Muhone Asante kwakuludi nilikupenda Sana nyimbo zako zinanijenga kiroho,Mungu azidi kualinda.
@salomemchewa51873 жыл бұрын
Mama anajua kujipenda
@beatricempepo-lo4wf10 ай бұрын
Mmenibariki sanaa sana kuliweka wazi hili jambo. Kwani mmemfedhehesha shetani. Jina la Bwana libarikiwe.
@deborahtalkuzurinanguvunda7291 Жыл бұрын
This is so powerful. Interview inapendeza ionwe na wengi zaidi
@maryandason18152 жыл бұрын
Uyu dada at kabla sijaokoka nyimbo,zake nilianza kuzisikilza zilianza kunitengenezea iman y WOKOVU.kwel nlikuwa nackilza ndan nalia Sana nasema kumbe YESU yupoo.woow mpka nmekuj KUOKOKA 2011.nikawa simuoni Tena simsikii nyimbo zake .dah nliumia.kumbe uyo my sister wooow nmefurahi sana kupitia nyimbo nmeokoka.YESU ameingia ndan yangu ninaishi nae jina la YESU litukuzwe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@beatricemhone7558 Жыл бұрын
Aaawww nimefurahia ushuhuda wako sifa kwa Yesu Soon utanisikia mtumishi
@jamessebwache5107 Жыл бұрын
Kazi zako ni nzuri Mungu azibariki
@emmanuelminja3219 Жыл бұрын
Amen, Mungu awenanyi daima nawapenda sana majirani zangu
@FrankMichael-us4dr Жыл бұрын
Mtumishi wa kweli anajulikana tu asante sana dada yangu mpendwa asante yesu kwa kumtunza huyu hata sasa,nilishakata tamaa nikazani umeshamuacha yesu kumbe bado uponae ubalikiwe kiukweli nakupenda sana hasa wakati huu ninapokuona umesimama katika kristo nyimbo zako bado ninazo na naziona mpya kila itwapo leo.
@beatricemhone Жыл бұрын
Siwezi Mwacha huyu Yesu hata iweje 🙏🏽
@ndayizeyefredina-ni8uf11 ай бұрын
Ohooo. Barikiwa mama nakumbuka nikiwa Congo wakatihuo mwaka ilio pita wimbo habarinjema rahangu nakumbuka hongerasaaaana mama. Kwasas nipo Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🎧👈👈
@magrethmbuma30452 жыл бұрын
Nakupenda sana nimekua nikisikiliza nikiwa mdogo haipiti siku sijaikia na kuona nyimbo zako...Baba angu alinirithisha kukusikiliza ww tunakupenda sana mpaka sasa nimekuwa mkubwa nakupenda Mungu akubariki sana sana
@beatricemhone7558 Жыл бұрын
Asante sana barikiwa mtumishi
@beatricemhone Жыл бұрын
Yesu apokeee hizi sifa!!!!❤❤❤
@fredrickJackson-pn5mu10 күн бұрын
huyu dada namkubali sana ni kioo na mfano wa kuigwa kwa waimbaji wote Tanzania hongereni kwa kutunza ndoa yenu mbarikiwe sana
@leahjames7711 Жыл бұрын
Beatrice Muhone ,Mungu akubaliki sana wimbo wako,habari jema nilikuwa nausikiliza sana sana ukaniletea utulivu moyoni ,wakati Mume wangu aliniacha akachukua mjane kumtunza na watoto wake ,Mungu akanisaindia kupitis huo wimbo.asante sana .
@beatricemhone Жыл бұрын
Hallelujah 🔥 🔥 🔥 mshike Yesu
@clotildatarimo78477 ай бұрын
Mmenibariki mnoooo Mungu awabariki sana muwaone wana wa wana wenu
@jothammunene3 жыл бұрын
Your music is such a blessing. God bless you. Jotham from Kenya
@beatricemhone75583 жыл бұрын
Thank you so much be blessed.
@aidaraphael1956 Жыл бұрын
Amina tumepokea, mhuu!! Ebu waimbaji.walioachana kwa kibur wajifunze kwa mtumishi bethlice
@DavidMpambalyoto Жыл бұрын
wajinawangu beatrice. mymodel.
@MARGARETHMHANDO-p2v3 ай бұрын
Nakupenda sana beaty toka zamani tangu nilipokufahamu❤❤❤❤❤
@nigananurunjema Жыл бұрын
Godfrey mahukuru Mungu kwa kupata mke. Kuna tofauti ya mke na mwanamke wewe una mke ambae Mungu ameweka baraka zako hapo
@beatricemhone Жыл бұрын
Hallelujah 🔥 ❤
@beatricemhone Жыл бұрын
Yesu apewe utukufu wote
@HappyMinja-mu9mr Жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua sana my love
@godfreylyimo41772 жыл бұрын
Hongera sn Watumishi wa Mungu! Nimeona umuhimu wa kujua neno la Mungu...Tabia za mazoea na ukawaida ndio umeleta udini kwenye dini...
@beatricemhone Жыл бұрын
AME❤
@pericykiko61983 жыл бұрын
Uko vizuri dada na ungetoa hio mikucha bandia na huo mzigo kichwani hakika ungekua vizuri zaidi
@maryandason18152 жыл бұрын
Na mapambo yote aache YESU anapenda tubaki n asil yetu mapambo yote yanatoka kwa malkia yezebel.
@zakiamseka96982 жыл бұрын
Hahaha
@AdrianMallya-l4h2 ай бұрын
Mimi nakuunga mkono kwenye hili. Beatrice tunakufahamu na kukupenda ulivyokuwa na ule muonekano wako wa asili. Nywele fupi na sura yako ya asili. Hayo makucha na nywele hapa dadangu kipenzi.
@HeleneAlma-t7y Жыл бұрын
Nyimbo zako zinanibariki sana❤
@renathastephano48083 жыл бұрын
Kweli dadangu Roho wa Bwana yuko pamoja nawe unanibariki sanaaaa
@zefrinwambura10043 жыл бұрын
Nimewapenda tangu Shangilieni kwaya enzi hizoooo Congole kwenu
@SalamaNautharАй бұрын
La la la la!!' ni wimbo naoupenda hadi kesho
@joycelaizer46003 жыл бұрын
kweli MUNGU mkuu saa hii Beatrice anamuheshimu mume wake na kumpenda daah... MUNGU ashukuriwe pia pole na hongera kwa uvumilivu mtumishi wa MUNGU GODFREY MUHONE
@pericykiko61983 жыл бұрын
Ilikuaje kabla
@janethsadock45592 жыл бұрын
😀😀😀
@beatricemhone Жыл бұрын
Jesus ❤
@TrifoniaKiwango5 ай бұрын
Nakupenda sanaa mtumishi❤
@costamaiko74233 ай бұрын
Amina 🙏🏽
@emmanuelhaule76353 жыл бұрын
We miss you Beatrice, please be back
@beatricemhone75583 жыл бұрын
Am Back just stay Tuned and please follow my social media page for more info
@emmanuelhaule76353 жыл бұрын
@@beatricemhone7558 I'll be happy to get your usernames for the social media
@emmanuelhaule76352 жыл бұрын
@@beatricemhone7558 naomba nisaidie namna ya kupata nyimbo zako za album ya AMEJIBU AHADI.
@beatricemhone7558 Жыл бұрын
Oooh Uko mkoa gani wewe kwani
@julianajaphet88642 жыл бұрын
Hakika nami nimepona mtumishi wa Mungu@ Beatrice Muhone. Yesu akuzidishie Hekima na Maarifa na Unyenyekevu mkubwa.
@beatricemhone7558 Жыл бұрын
Amen Mtumishi sifa kwa Yesu
@bedanchimbi8152 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@beatricemhone Жыл бұрын
Amen 🙏
@nshomajuke25532 жыл бұрын
Kwa kwelinimepona. Ubarikiwe sana
@beatricemhone Жыл бұрын
YESU SIFA ZAKO
@tamarikyando89432 жыл бұрын
I love them.
@beatricemhone Жыл бұрын
❤
@amandalawuo36383 жыл бұрын
Wow amazing God bless you i would love to meet both of u wow be blessed
@beatricemhone Жыл бұрын
WELCOME 🙏
@uwamahorofloribert3734 Жыл бұрын
OLALLAA MTUMISHI WA MUNGU KABISA. NYIMBO ZAKO ZINANISAIDIA COURRAGE MAMA
@nigananurunjema Жыл бұрын
Hakika shemeji yangu uyasemayo yanajenga. Ubarikiwe kwa tasnia ya ndoa haina wataalamu wakiroho waliopo ni wale wa Dunia ambao hawawezi kudaidia mambo ya Rohoni.
@beatricemhone Жыл бұрын
Nitaanza mafundisho very soon ya Ndoa endelea kunifuatilia
@elibarickntatou36093 жыл бұрын
Be back dada we miss you sana!
@beatricemhone75583 жыл бұрын
Am back just stay tune be blessed
@aidaraphael1956 Жыл бұрын
Barikiwa mpendwa.
@jeremiahmwalukosya84313 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kama unajari ndoa yako unamjari mumeo utafika mbali sana
@lovenessinakelasanaa54773 жыл бұрын
Nawapenda sn,mungu aendelee kuwasimamia,♥️♥️
@beatricemhone75583 жыл бұрын
Amen asante
@beatricemhone75583 жыл бұрын
@@lovenessinakelasanaa5477 Amen
@beatricemhone75583 жыл бұрын
asnte sana barikiwa
@filbertcarlos29462 жыл бұрын
Yaaaani wewe dada sina cha kusema kabisa mungu ni mwema mbarikiwe sana
@edwardnaanita2 жыл бұрын
Blessed couple. True marriage is a secret of God.
@beatricemhone Жыл бұрын
Is Jesus
@emwanuelmapalala80993 жыл бұрын
Mungu awabaliki Sana
@beatricemhone75583 жыл бұрын
Amen asante
@tanakipaul61012 жыл бұрын
Nimejifunza Mengi ,blessed couple
@beatricemhone Жыл бұрын
Utukufu wote kwa Yesu ❤
@hidayaswai31193 жыл бұрын
Beatrice i love you mpenzi. Natamanii kufanya kazi na wewe mnoo. Nakupenda Dada Bite,i mean it
@beatricemhone75583 жыл бұрын
Asante sana . Ni follow kwenye mitandao ya kijamii Facebook na Instagram
@beatricemhone Жыл бұрын
Karibu❤
@mcisabellasimon1566 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana. Miaka 26 si midogo. Mungu amewafanikisha!
@beatricemhone Жыл бұрын
AMEN
@beatricemhone Жыл бұрын
AMEN
@daffagunda-rm3hj Жыл бұрын
Not easy to believe, but we should know That it is possible. EIMEN.
@beatricemhone Жыл бұрын
JESUS
@geraldsanzala8119 Жыл бұрын
Mungu ni mwema saaana tupe ujumbe tena
@christianmwenimana662210 ай бұрын
Lakini wewe ulikuwa umekwenda wapi, tunakupenda sana hapa Rwanda. Nyimbo zako zinajaa Roho mtakatifu!
@asiamsangi80842 жыл бұрын
Nimepona sana
@beatricemhone Жыл бұрын
Amen
@mamamiguel25523 жыл бұрын
VERY TOUCHING INTERVIEW
@beatricemhone75583 жыл бұрын
awwww thank you so much
@beatricemhone Жыл бұрын
Glory be to Jesus
@julithamuhale72713 жыл бұрын
Ameen!
@emwanuelmapalala80993 жыл бұрын
Nimejifuza kwako kitu kisuli Sana Mungu akubaliki sana
@robertgeofrey41182 жыл бұрын
Mbarikiwe mno interview ni Njema
@ElineemaLema3 жыл бұрын
One of My Favorite, Tunasubiri Dada☺️☺️
@paulinalala39493 жыл бұрын
Nakupenda sana dada
@beatricemhone75583 жыл бұрын
Amen barikiwa mtumishi
@beatricemhone75583 жыл бұрын
@@paulinalala3949 Amen watafaulu wote kwani Mungu alishaweka ahadi kuwa watoto wetu watakuwa vichwa na wala sio mkia kwahiyo usiogope ufaulu ni wako.
@November19tv2 жыл бұрын
Daaah kipindi nasoma nilikuwa naisikiliza album ya ingoje ahadi ya huyu dada ilikuwa inanitia moyo na ilinisaidia sanaaa Mungu amempa kitu kikubwa sana
@beatricemhone7558 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana Mtumishi
@upendotarimo29652 жыл бұрын
We miss you so much
@beatricemhone7558 Жыл бұрын
This year soon utanisikia
@duncanmponda46456 ай бұрын
Naitwa Mponda niko Mombasa Kenya ,nampongeza huyu dada nimefurahi saaana kumwona tena
@martinmaina408511 ай бұрын
Nilisikia nyimbo zake nikiwa USA.Kama intercessor huyu ni baraka kwa watu wa maombi
@mmuruericka37022 жыл бұрын
Mbarkiwe sn
@johnpoda64052 жыл бұрын
Dada Beatrice tunakuhitaji huku Rwanda
@beatricemhone Жыл бұрын
I'm so excited ❤
@duncanmponda46456 ай бұрын
Lakini naomba nambari ambayo nitaweza kuwasiliana hasa hayo mafundisho
@elishaathanas99143 жыл бұрын
Hapo kwenye ndoa hapo ndo umenifanya nitaman saaaan kumpata mwenza anaemjuwa mungu zaid kuliko kawaida
@beatricemhone75583 жыл бұрын
Amen Sifa kwa Yesu
@NUSSURPETRO3 ай бұрын
Nimependa sana majibu yako naitaji ushauri wako
@hildabasil65902 жыл бұрын
Interviewer uko vizuri lakini punguza yeah yeah wakati watu wanazungumza itapendeza zaidi please
@RichMotherr2 жыл бұрын
This couple❤
@beatricemhone Жыл бұрын
Amen
@barikimbacho6731 Жыл бұрын
Naomba kujua kama Beatrice Muhone amewahi kuimba kwenye kwaya ya st. James Tumaini kwaya... hasa ule wimbo wa alitengeneza safina....
@calvinraymond8375 Жыл бұрын
Ndio ni Yeye
@beatamhongole7176 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana Mungu awabariki japo nimechelewa kuona video
@beatricemhone Жыл бұрын
Endelea kunifuatilia soon kwa mafundisho ya ndoa
@tumainlession4113 жыл бұрын
Jamani tulikumis ulikuwa wapi?
@thawabuunique91543 жыл бұрын
Dada nakupenda ww! Mpaka bas! Naomba nikuone Yana nakupenda
@beatricemhone75583 жыл бұрын
@@thawabuunique9154 Asante sana ipo siku Yesu atatukutanisha
@rubefabi83662 жыл бұрын
Utafanya mengi kwa jina la Yesu hata sauti ya Bwana utaisikia lakini siku ukifa mlango wa mbinguni utakuwa mgumu sana kufunguka sababu yule mshitaki wetu atakudai mawigi yake na mapambo yake. Na muda wa kusema sorry utakuwa umekwisha.
@daffagunda-rm3hj Жыл бұрын
Theres some hidden inside about this couple, I doubt one Thing why many peoples asked about divorce?I'm sure was some thing back the door.mungu awatunze.
@beatricemhone Жыл бұрын
Glory be to Jesus ❤❤
@prinahkay54163 жыл бұрын
Nyimbo iko wap ssa,youTube haupo
@beatricemhone75583 жыл бұрын
Usijali soon itawekwa
@lucyvalerian23243 жыл бұрын
Ni interview ya mda mrefu, lkn kuna upande imeniponya!
@beatricemhone75583 жыл бұрын
Amen Sifa kwa Yesu
@wisemelodytz589 Жыл бұрын
Men unaanzaje kum cheat ama kuacha mwanamke kama uyu
@blessedaggie9159 Жыл бұрын
Beatrice ni mrembo
@beatricemhone Жыл бұрын
Mrembo wa Yesu hakika
@obedidamasi35378 ай бұрын
@@beatricemhone mi nakupenda sio kwasababu ya urembo wake bali nampenda kwakuwa anamcha Mungu. Nimeanza kumfuatilia enzi za Shangilien Arusha