Mungemaliza penzi la mtoto wa boss ingekuwa vizuri sanaa
@SaddamSwalehКүн бұрын
Kabisaa umesema kwel....Cz wanaact movie nyingi wkti penzi la mtoto boss haujaisha uku hatuelewi sisi Donta TV banaa
@PascoKamanda19 сағат бұрын
Kweli kabisa 👍
@PelestoneObediКүн бұрын
Nilifikiria lovenes wataowana na kelvin movie zaozote wanatakiwa wawe wanapendana kwasababu wanaendana sio jarufu ilakazinzuri sana
@mwashitemakamba-uw2kmКүн бұрын
Nimekupenda sana
@josephnzuma-uv5vgКүн бұрын
I'm Jose wambua from Kenya bona ni KAZI nzuri
@JeniferKakengiКүн бұрын
Duh leo nimekua mtu wa kumi na sita jamani like za kutosha kwa Donta tv❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SarahNduwimanaКүн бұрын
Lovnes hakika unajua kuigiza ukiwa kwenye ubola wako wakazi❤❤❤🎉🎉😢😢😢
@DeboraLufingoКүн бұрын
Loveness akili yakuambiwa changanya na yako❤❤
@jamilashabani8580Күн бұрын
Haya Ndio Mapenzi Ukipenda Kwel Ndio haya yanatokea Jarufu ❤❤❤❤❤❤❤ Polee sn Loveness kanuna kwa Akili ya Amina ya kuambiwa kwa kudanganywa Akili za kuambiwa chnganyaa na Zako Lisaaaaaaaa Achana na Amina
@JarufuAhmad-ip9mt21 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jamilashabani858021 сағат бұрын
@JarufuAhmad-ip9mt Daimaa Allah Akusimamie na Akupe Hitajio Lako Na Baraka Telee Kwako Zikushukie
@HajiboAliКүн бұрын
Daaah!love kashayatimba tyr katembea n baba n mwana😮😮😮😢
@SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3rКүн бұрын
Duuh 😮love imeharibika uso
@BrendaBen-k1mКүн бұрын
May God give you strength in your work keep moving 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@DianaDiana-ej6fnКүн бұрын
Donta , the best channel ever ,,big up guys ,,,,na tunasubiri mtoto wa boss❤❤❤❤❤❤
@HlmS-y5l13 сағат бұрын
Tunasubiri mtt wa boss
@reginakalinga1183Күн бұрын
Sio kwa ubaya ila nyie mnaosemaga wa kwanza wa kwanza mnakela bhana toen comment kuhusu move ila sio haipendez
@HappyDaudi-ub4hwКүн бұрын
Kweli kabisa wanaacha kutoa comment kuhusu move wanafanya Kaz ya kuomba like na kusema wakwanza wakwanza sio vizur kabisa wanaboa Sana
@HajiboAliКүн бұрын
Kwani hizo likes zina maana gani haswaa
@reginakalinga1183Күн бұрын
@@HappyDaudi-ub4hw ushauri tu tuwe tunatoa maon au pongez kuhusu move hata wanavyoleta move nyingne wajue nn waboreshe na nn wapunguze
@reginakalinga1183Күн бұрын
@HajiboAli kuonekana tu unalike nying bac lakn ukitoa comment nzur unaweza kupata like nying pia tubadiliken jaman ❤️❤️❤️ nawapenda
@VictoriaNkoleКүн бұрын
Bora2 useme ww maan wanakeraaa saaaan
@AishaNibiziКүн бұрын
Lovenes ndagukunda caaane🇧🇮🇧🇮🇧🇮 mimi Aisha mutoto wa Burundi acana nahiyo kazi Amin sio lafiki mwema tunakuzowea unaigiza tafauyi nahivyo kipenzi wakutoe apo habikupendezi kipenzi
@aimablegasuga6700Күн бұрын
🇧🇮🇧🇮✅
@Wamwakera254Күн бұрын
Hi movie inamafunzo kw wenye kuelewa 🎉🎉🎉🎉 nawapa lkn kaka movie yetu ilotuweka mjini vp 😂😂😂 part 45 wengine wetu hatuna kampani isipokua simu zetu ndo kampani zetu 😂😂😂🎉🎉🎉❤❤🇰🇪🇸🇦
@AplA-x9bКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@DachouDathiveMBONYIMANA-xe4vgКүн бұрын
Team fuluzi ndo tulivyo😂😂
@PrincessMaryam-c1rКүн бұрын
Yaaan acha kbx ulivo ongea ni kweli kbx na tumeimiss maana tuko board
@wemaluhende4080Күн бұрын
Sema kimeumana mtt na baba
@wemaluhende4080Күн бұрын
Haha ila ushoga huu,ndo mana cn permanent friends😂😂😂
@roudhamahmoud763Күн бұрын
Kweli umalaya c kazi mtihani
@LucyPeter-sp6ezКүн бұрын
Loveness acha ayo mafuta unayopaka paka ya zamani mana we siko ivyo we uko soft ila ayo mafuta yanakualibu kazi mzur sanaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@rizikisam6481Күн бұрын
Mm ndo maana mapaka ya mgando tu sitaki shida Kun mafuta unapaka una miaka ishirini naa lakini unakua kama ndo unabalehe
@SalamaTauraКүн бұрын
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@gloryKashililika-z9tКүн бұрын
Love anamkubali huyu jibaba jmn hapana 😔😔
@FaizaKabibi-tb2djКүн бұрын
Ww Amina huna maana hata kidogo huna ushauri mziri
@Black_cheeterКүн бұрын
Nakukubali sana Kelvin na team yako❤❤
@MulasiAimee-jr6dkКүн бұрын
Loveness itika ku olewa ❤❤
@UnrulyHope-e9j15 сағат бұрын
Filamu imenifunza kitu nawakubali sanaa wahusika wote mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ ila Jarufu akijuwa anakaa n mwanamke mmoja yeye n baba ake s hatari hiyoo 😂😂😂 Amina lakini eti kumbe loveness sometimes kipaaa anatoka eeh 😂😂😂
@Pat139enZaeadicКүн бұрын
Amina Amina Amina unanikera sana hauna ushauri mzr kabisa kwa mwenzio
@Kadzomudzo-h7o15 сағат бұрын
Umemuona adi ww
@OliverPaul-y3eКүн бұрын
Love jamanii hiyo Kazi so nzuri kipenzi nakupenda ety achaa maana kunamagonjwa😢😢🎉🎉
@jamilashabani8580Күн бұрын
Kitumbua kinauzwa❤❤❤ et niuzie Pekee Yangu Jarufu Nakupenda Mungu azidi kusimama na ww katika hali zote
@JarufuAhmad-ip9mt21 сағат бұрын
aminaaaaa❤
@noreennafula-zj8zpКүн бұрын
WAaaah...hii ni kali jamani part 3 kwa mpigo please 😂😂😂
@NajmahnyangasiКүн бұрын
Kazi nzuri Kabisa ❤❤❤
@RukiaShomaryКүн бұрын
Amina acha kumshauri ujinga mwenzio
@JeannetteManirambona-o6mКүн бұрын
Amina ni mtu wa hovyo kila siku
@SharifaMsuya-m6lКүн бұрын
Jmn loveness mbn umeharbik uso hvyooo jmn bby 😢😢😢😢😢
@GHh-l8cКүн бұрын
Amina Kila Siku uko mshaul mbaya walav
@gloryKashililika-z9tКүн бұрын
Yaaan ananikera
@jamilashabani8580Күн бұрын
itakuwa tabia yaKe ana Roho Mbaya piaa
@SoziSozi2020Күн бұрын
Roho yangu 💔😭inaumia sana nikiona kipenzi lovenes kazi anayoifaya lovenes ungemukubalia jalufu Roho yangu ingepona❤
@DoktaGidawidaКүн бұрын
Kashatembea na baba na mwanaye sasa itakuwaje
@ScholaticatoyiКүн бұрын
Kashayatimbaaaa tiariii😂😂😂
@SoziSozi2020Күн бұрын
@DoktaGidawida atapoteza( 4 )akifikia 8)
@SoziSozi2020Күн бұрын
@Scholaticatoyi 😢
@Kadzomudzo-h7o15 сағат бұрын
Sambaratisha moyo wangu💔💔💔
@SafariNkana12 сағат бұрын
Nakubali sana ila umu kama kelvin ka,ingua vile
@MwanalimaMwalimu-c4mКүн бұрын
Leo wa thelathini from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦ila loveness huendani nakuigiza kua ukijiuza mwili dadangu
@jellysazaina8491Күн бұрын
Kwer aendan ni mpole mno nakujiuza
@MwanalimaMwalimu-c4mКүн бұрын
@jellysazaina8491 pia wewe umeona yule Amina na hao wengine ndio wanafaa mambo hayo
@FaizaKabibi-tb2djКүн бұрын
Waaah LV kachanganywa na MTU na babake maskini😢😢
@BrigitteNgoy-r8fКүн бұрын
Mr Kelvin vs êtes un bon artiste merci
@MussanKing-hr4xw15 сағат бұрын
Eko pw sana
@CathrineMlialiaКүн бұрын
Kazi nzuri sana ♥️
@neemamabena-xx5erКүн бұрын
Bila shaka Amina ndie alie mshauri love kujichubua Hadi Amekua Ivo usoni😂😂
@SharifaMsuya-m6lКүн бұрын
😅😅😅.....😅😅😅😅😅
@StellaDaniel-me6jqКүн бұрын
😦😄😄
@umikifupa-mi3re19 сағат бұрын
Haujakosea Amina mambo yake ya hovyo sana
@paulinengeresa864918 минут бұрын
Ila ikifikia hapa huwa mtu anakosa confidence kabisa
@HadijaVinyuКүн бұрын
Loveness nakupenda ila iwe ni kuigiza 2 isiwe paka kwe maisha yako Alisi uko hivi mpenzi ❤❤❤❤❤
@olicej7837Күн бұрын
😂😂😂😂ni watu wajifunze kupitia movie 😂
@JulianaMagodi-d3dКүн бұрын
Kumbe na huku kutamu ee🎉🎉
@mildredzainab17015 сағат бұрын
😂😂saaaaanaa
@ZuraAmisseAbudoКүн бұрын
Lavnes inabidi uolewe,iyo kazi ya kudanga sio kazi,uyo lafiki yako sio wakueli kabisa,utajuta lavnes 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🎉🎉🎉🎉
@NoorEesaКүн бұрын
Jarufu mkaka nimzuri sana ❤❤❤❤
@jamilashabani8580Күн бұрын
pia Anatabia Nzuri ana Moyo wa Huruma
@NoorEesaКүн бұрын
@jamilashabani8580 kabisa mwaya umeonae
@JarufuAhmad-ip9mt21 сағат бұрын
❤❤❤❤❤@@jamilashabani8580
@boazigisogi3479Күн бұрын
Mh love umepata mshauri ambaye anahakiri kama za kuku
@joycemuenimutua4506Күн бұрын
Loveness baba na kijanake wote 😅uko side ngani sasa ❤ Kenya
Ukute mubaba keshagonjweka 😅😅😅😅jarufu kazana adi lisa akuelewe😅😅 kumbe jarufu na limubaba ni mtoto na baba😂😂 kwahyo lisa anakula kuku na mayai 😂 aloooh patamu apa tuendelee kuwatch😂
Mumalizie ya mtoto wa bos kwanza jaman japo nahii nzurii
@CatherineKirugumiCathyКүн бұрын
Loveness kwa kweli hii part umeicheza vizuri ww na jarufu hongera sana filamu ni nzuri sana pia ina mafundisho nimejifunza kitu muendelee hivo hivo
@JarufuAhmad-ip9mt21 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤saw
@suzanakisusi9863Күн бұрын
Wakwanza Leo naomba like hata Moja tu jamani ❤
@TatuMkesoКүн бұрын
Duh love umekula kuku na mayai,umeharibu sasa
@HlmS-y5l13 сағат бұрын
Vip kuhusu mtt wa boss
@joyceandrew7892Күн бұрын
Jamani shenaizer unaushauri mbaya sijawahi kuona movie ubaya igiza ukiwa na roho nzuri sikupendi Mimi.
@roudhamahmoud763Күн бұрын
Hata mimi natamani jarufu ndo angekuwa mume kwako love nes ila ndo mafunzo tunapitiya
@Kadzomudzo-h7o15 сағат бұрын
Hapo ni kelv na loveness
@NorahMsofe-d8iКүн бұрын
Love love love nimekuita maratatu hii sin aijakupendeza hii n ya kina Amina bhana.
@StevenDavid-d6nКүн бұрын
Fire🎉🎉🎉🎉
@arikibok4735Күн бұрын
Courage ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@HaliimaJuma40 минут бұрын
Jaman tujifunze kuwa marafiki pia tulionao sio coz ukimueleza kitu cha maendeleo hawapendi....na hayo maisha ya love yapo kiuarisia
@CristianMbelwaКүн бұрын
Mimi Leo nimekuwa wa sita naombeni hata like kumi
@roudhamahmoud763Күн бұрын
Baba na mwana wanakula sahani 1
@JacintaMalobaКүн бұрын
😂😂😂😂
@LeilaAbdi-p4iКүн бұрын
Lavu wacha hiyo biashara dada ni noma olewa na jarufu mama nawapenda sana kwa mafunzo mazuri ❤❤❤❤❤
@SimonKilonzo-i6kКүн бұрын
Namba kujiunga nanyinyi
@MDMehndiHassan-ve9zyКүн бұрын
Lovuness achakazi soyomzulikwako achana Amina anakuwalibu Sasa unakula jogoo namtoto wajogoo Sasa lovonesi kitakulamba sikuyakwenda kutambulisha usowako utauwekawapi😮😮😮 my way home now
@webnet5652Күн бұрын
Lovennes kubali uwolewe na Jalusi uwachane nauyo Amina ❤❤❤
@KeristiStelКүн бұрын
Loveness ume changanya baba na mwana hiyo biashara haram achana nayo 😢😢😢😢
@SharifaMsuya-m6lКүн бұрын
Kweli kbsaa
@mauapaschalКүн бұрын
Jarufu kazi nzuri
@JarufuAhmad-ip9mtКүн бұрын
asanteeeeeeeee❤❤❤❤❤
@JacobBernardoAmbone-e7mКүн бұрын
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@LidiaTerryКүн бұрын
Filamu nzuri sana ❤❤
@noorrajpar3928Күн бұрын
Mtoto wa bossss 😢
@BarakaPaul-d2k15 сағат бұрын
Kwann musingemalizia ile mkatuletea nyingine hiyo ya sasa
@chrismamesofficiel1996Күн бұрын
Najiskia vizuli kuona kazi zawenzangu zikiendelea vizuli
@SimonKarisa-d9yКүн бұрын
Pia ww ziko poa sema tu kuna matapeli kweny page zako
@RebeckAuntКүн бұрын
Amina aiko rafiki muzuri ataki ubaki uolewe
@AnastaziaSebastian18 сағат бұрын
Mmalize mtoto wa boss mnatuchangaya.
@AnnahLusekeloКүн бұрын
wakwanzaaa 😂
@MorinEliaКүн бұрын
Kwa kweli haya mambo yapo sana,
@FurahaChristine-g8wКүн бұрын
Love achana n'a hiyo kazi unayo fanya kumbuka jarufu ana kupenda sana achana n'a huyo mzee tena tambua ginsi ni baba yake n'a jarufu
@olicej7837Күн бұрын
Ukute limubaba ni gonjwa😂😂
@JarufuAhmad-ip9mt21 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@akimanamariam4451Күн бұрын
Uyu Amina siyo rafiki lave achana naye maraya mubaya
@Damacline4004Күн бұрын
LoveNess umefanyaje uso mama.....
@MunaBintbadruКүн бұрын
Duh biashara sonzur kawachanganya baba na mtt
@everlinekenga43715 сағат бұрын
Dah mto na babake wamechangia mwamke❤❤❤😂😂😊
@LLl-p4r3lКүн бұрын
Daa umerudi Tena kwahuyo mzee daaa 😢😢😢
@KizaSamwelmpenda-y4xКүн бұрын
Baba na mtoro wanakul sahan mja
@AishaH-e3k3wКүн бұрын
Mh laveness mapenz na pesa bora nn halafu mbona umefany vpere my
@thabitharange-vz2ruКүн бұрын
Waah lisa hii kazi yani baba na mwana😢,ila hongera ni nice movie🎉suzi anakushauri vibaya haki
@jamilashabani8580Күн бұрын
Amina hajawahi kuwq na Roho Nzuri wala ushaur Mzuri Kwa Loveness Hata Mara Moja yaan ana ushauri Mbaya Tu
@SomoehHussein-x8wКүн бұрын
Kazi nzuri😍😍
@PaschalPius-b6sКүн бұрын
Nawapenda2 sana
@TabuBaya-mr4lxКүн бұрын
Ila loveness achakimdaganya mama sio vzri
@JoeriaAbdallahКүн бұрын
Next plz nione vile mzee anabokelewa binti yake😅😅😮
@RedempterKith-y2gКүн бұрын
Kazi nzuri
@RukiaShomaryКүн бұрын
Love acha iyo kazi mim nakushauri jarufu anakupenda Sana
@MalkaNinikКүн бұрын
Sasa itakuwaje na babake jarufe atamueka wapi
@JarufuAhmad-ip9mt21 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Maryam-e2x8pКүн бұрын
Amina we uachi roo chafu sijui kwa nn 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦
@AndrewFundiКүн бұрын
Wakwanza leo jamani nimewahi kwaku comment mauwa yangu na likes pia 🎉🎉🎉