Hapa nilichogundua nikwamba beka yuko upende wa asley afu enockbela yuko upande wa mbosso,ila kwa ushauli nikwamb waache mamb ya timu wakae pa1 wamalize tofauti zao maisha yaendelee,inatakiwa wakumbuke kuw hawa Wametoka mbali sana kabla hata hawajaw mastaa
@sophiekanyengele32412 жыл бұрын
Tatizo mboso kuwa wasafi ameshajiona superstar anadharau wenzake
@joleenmasha2 жыл бұрын
Exactly
@karasuyazidi85472 жыл бұрын
Hayo yako maoni yako c kila mtu na maisha yake
@abdallahsaid77412 жыл бұрын
True
@officialtinnyaltezza98782 жыл бұрын
Nilichogundua Hawa madogo wanavimbiana wenyewe kwa wenyewe yan
@oswadjosefu30492 жыл бұрын
Amin mzee kilamoja anajiona mwamba kwamwezio
@lovek65932 жыл бұрын
True.kila mtu anajiona yy ndio yy
@ZINDUKAMUISILAMU302 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba hawa kina aslay wanaona dingo Kwa muhundi wa kusini
@sifatiiman2 жыл бұрын
@@ZINDUKAMUISILAMU30 kwa kipi na wewe kwa hio mkataba ya kinyonyaji?
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@lucyngash59412 жыл бұрын
Ya moto band was a hit.you guys should come together again we really miss you brothers.
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@alaindumutj67262 жыл бұрын
Dah Beka namukubali kabisa..yani musics zako nasikiliza mara Mia mia..big up my bro never give up.Unakibaji kweli...uko right kweli.wanadamu tubapenda beef zisizokuwa na faida yoyote..hasa unawependa wana band wenzako nivizuri sana.
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@subirachuta81692 жыл бұрын
Basi sawa🙏🙏 Ila jitahidi chuki ziwe fupi fupi maana mnatuchosha siye.
@sabinaonline65752 жыл бұрын
😅😅
@letisiamakonda38732 жыл бұрын
😆😆😆
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@esthercheptoo91122 жыл бұрын
Good move beka flavour...we still need yamoto band heroes
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@bensonkalumejeremiah2542 жыл бұрын
Wasafi for life ..nyinyi shaurienu
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@alisaidahamed80652 жыл бұрын
Merci mbosso 👋👍👍👋 bravo ❤️❤️❤️👋👋👋👋👋👈🏅🎖️🏆🐎
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@josephdidas3252 жыл бұрын
Ukiisikiliza Interview ya Dudu baya unaweza kuelewa Tanzania ni nchi ya aina Gani asilimia kubwa ya watanzania ni wapu................ Sana
@karasuyazidi85472 жыл бұрын
Hata dudu baya ni mpumbavu
@josephdidas3252 жыл бұрын
@@karasuyazidi8547 Kama watanzania walivyo
@piusphilip3072 жыл бұрын
"Before kabla ya Mimi"..wabongo wanda Sana umoja, Hadi wamepitiliza kutaka kuunganisha kingereza na Kiswahili iwe lugha moja😂😂
@sifatiiman2 жыл бұрын
😁😁😁😁🤣🤣🤣
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@purechuse2 жыл бұрын
safi sana mwanangu umejibu vizur
@khalossalim37232 жыл бұрын
Mbosso kawa mnafki kama boss wake diamond
@yustomwaisomania25878 ай бұрын
Af mbosso Hana shida huyu Beka ndo fisi mkubwa huyu
@moseskimaro34242 жыл бұрын
Beka Flavour ww ni mtu na Nusu keep up 🔥
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@bosschick24172 жыл бұрын
My favorite artist in Tz
@yolo52612 жыл бұрын
Uongo
@ZINDUKAMUISILAMU302 жыл бұрын
Goyalo
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@angelbb52172 жыл бұрын
Naipenda wasafi ❤️😍💕
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@meedyshow88072 жыл бұрын
Wasafi utumwani kule msanii unakua kama msukule tu mboso ni msukule hana ujanja ata kupiga picha tu shabiki adi aombe ruksa ..kwenye utawala
@karasuyazidi85472 жыл бұрын
Hayo yako unateseka ukiwa wapi
@ramsojimmykelly33792 жыл бұрын
Na ndio mana wanafanya vizuri kwa sababu awakurupuki
@msalabanireko15182 жыл бұрын
Uwelewa wako mdogo sana
@Great_thingz2 жыл бұрын
Kundi hili lishagawanyika.. 1.Aslay na Beka.... 2.Mbosso na Enock..😅
@salmahabdallah72032 жыл бұрын
Na wako hivo Toka zamani walivokuwa na Band Yao hata mbosso alisema Kuwa Yy yupo karibu Sana na Enock.
@davidbahati37482 жыл бұрын
Huna baya Beka, wewe ni mtu na nusu naseme ivi kwa sababu nimewasikiliza wote wawili. Mwanzo niliona mboso ndo yupo sahihi lkn wewe ndo upo sahihi, kwa ukaribu wenu mtu ata akiarikwa kwa mdomo tu inabidi awepo sio lazma mpaka kadi imfikie. Malizeni tofauti zenu, bado Watanzania tunawadai talent zenu Kama yamoto.
@emmanuelkapinga71712 жыл бұрын
Need to see u
@reubenkissinga58022 жыл бұрын
Muuane tuu,,,tumechoka kusikia upuuzi kila siku!!
@raybby92912 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣wauwane tena
@ashinalucy_562 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@reubenkissinga58022 жыл бұрын
@@raybby9291 Wauwane tuu,,,apromoti albamu yake na si kukaa kulaumu watu kutokuja kwenye uzinduzi wako kwani ni lazima hata kama walikuwa kundi moja,,,shida ya wasanii wetu lawama,,chuki na bifu bifu za kitoto,,,fanya kazi zako wekeza nguvu kuzipromoti zako hilo ndio la msingi sasa kila siku mara huyu hakuja kwenye bethidei yangu,,mara huyu sijui hakuja kwenye uzinduzi wa albamu yangu,,,mara sijui huyu hakuja kwenye 40 ya kichanga changu sasa sisi tufanyaje,,,waache upuuzi wafanye kazi lawama lawama hazitawasaidia kitu!!!!Na Bila kusahau,,, sijui naruhusiwa Kukupenda Mamii,, kama hutojali lakini!!
@raybby92912 жыл бұрын
@@reubenkissinga5802 🤣🤣🤣🤣 wee nipende tu kumpenda mtu sio zambi
@reubenkissinga58022 жыл бұрын
@@raybby9291 Nashukuru Mnoo Mamii,,,wala usijali Nakupenda sana na nitazidi Kukupenda mnoo Ray!!!🤩🤩🤩
@davianjosephjoseph31212 жыл бұрын
Beka my favourite
@ankalmzito2542 жыл бұрын
tatizo hawa jamaa ni wakali ila tu kila mmoja anajiona ni mkali kuliko mwengine hilo tu ndio tatizo .....
@nassjog990youtube62 жыл бұрын
Mwamba ZOTE ni kelele yako ni point kabisaa akuna jibu lingine zaidi ya Hilo
@yustomwaisomania25878 ай бұрын
Hasa Beka na Aslay walijifanya wanajua kuimba kuliko wenzao sahz kimewageukia wasenge wanaanza kubwatuka Mbosso n habar ingine
@husnahabityhabity95172 жыл бұрын
Beka amejieleza vzr lkn wacheni chuki kuwachonganisha hawa jamaa bado watu wanawakumbuka asilimia mia.pk waleo sichoki kuskiza nyimbo za yamoto band
@mwanatumuali22382 жыл бұрын
So sad,watu walioanza vizr pamoja na Sasa wanakosa kupeana ushirikiano. Kiburi ndio mwisho wake ni nini. Just a matter of time
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@tonygee56802 жыл бұрын
Mbosso angefanya kazi yeye 2 hawa wengine hawana kitu in life hufika times mtu anakata kamba
Sisi mashabiki ndio tuna shusha wanao jisikikia, kauli mbiu yetu kuanzia Sasa hakuna kusikiliza nyimbo za mbosso tofauti na kwenye basi la abilia, no kumfolo Instagram, no kuview nyimbo zake tuko Sawa, gonga like kama tuko pamoja, kwa watu wenye majivuno kama mboso
@shabanihamisi1152 жыл бұрын
Semea nafsi yako usiisemee nafsi ya mwingine
@abdulrahmanmwadini59252 жыл бұрын
nyanda usikurupuke msikilize kwa makini Beker utasikia tofauti zao,kwanza sisi washabiki ndio tuna wagombanisha wasanii,jambo ni dogo mmno ni missunderstand ya wahusika tu
Mbosso mjinga ila hajui majivuno hayafai kuna kesho mzungu ni aslay tuu.
@yustomwaisomania25878 ай бұрын
Mbosso mpambe wake n Enock bella af Aslay na Beka waliokuwa wanajifanya wanajua kuimba na wakasanabisha kundi livunjike ni Beka na Aslay walijifanya wanajua Sahz kimewageukia wasenge kwelii hao
@tsumajullo50942 жыл бұрын
Sisi wasomi tunaiita SUPREMACY BATTLE
@rosewambo51842 жыл бұрын
Namiss Yamoto band sana
@simonpeterofficial.23322 жыл бұрын
Kiukweli mshagrow yamoto family ila mkumbuke mlikotoka ni mbali mshikamane na msaidiane tu,,,ndo undugu huo
@aishaissa25122 жыл бұрын
Mbosso anavimba hajui haya nimaisha tu kwani hata akina Richie mavoko walikua wasafi haya nimaisha tu
@karasuyazidi85472 жыл бұрын
Hayo yako harafu mboso yupo chini ya label siyo unakurupuka tu ooh njoo
@chazddotto98332 жыл бұрын
Kumbukeni mboso alizungumza watoe ngoma ya pamoja wamuinue Enock Bella hapo ndio kunamchezo iliofanyika
@KatemboKayo Жыл бұрын
Apo sasa munatuchanganya tunashindwa kuwaeelewa bana muishitukwaupendo na umoja kamandungu
@makame35242 жыл бұрын
Sasa nimeelewa mzozo wao ulianzia wp
@sululuzungu95872 жыл бұрын
Yn nilichokigundua mnavimbiana xn wapuuz nyny alf bado hamna ela ila yt nayote mupunguz makasiliko kenge wa mzee fela nyny
@tatoorashedi17872 жыл бұрын
Nilikuwa nawapenda nyinyi wtt
@daudichoghoghwe46712 жыл бұрын
Umeeleweka
@CHATEAUDEDRAMESFILMS2 жыл бұрын
From DRC congo 🇨🇩🇨🇩🔥🏅🇨🇩
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@gilbertgabriel78002 жыл бұрын
Beka flavour nakukubali sana mm
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@Omarvibez2 жыл бұрын
Wasafi fuels misunderstanding among mbosso,enock bella, beka flavour and aslay
@luxeyvevo31242 жыл бұрын
True 💔💯💯
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Toa wasafi kwa hii story kabisa. Listen to the boys well. Aslay aliingia roho mbaya mbosso alipoanza kufanya vizuri......
@davianjosephjoseph31212 жыл бұрын
My favourite artist
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@whitetigerprincy58822 жыл бұрын
Sasa hapa beka kakosea wapi nyie shabiki wa wcb ni wapuuzi tu
@karasuyazidi85472 жыл бұрын
Na wewe shabiki wa konde girl ni mbumbumbu
@yolo52612 жыл бұрын
Nyie akili zenu zakitoto bado
@peekayshow45152 жыл бұрын
Upo😁
@kudrasuleiman44302 жыл бұрын
Muhim kusapotiana na kupendena man nyot mlikuw wamoj na mlitok mbal
@mtazycomedy2 жыл бұрын
Kiukweli mbosso angeimba nadhan leo asingefanya interview ila mbosso kamsapot sana
@samaritanke46702 жыл бұрын
Itabidi mufanye tena iyo project mpo 😂😂😂
@michaelmatemu34902 жыл бұрын
Wakubwa wanawachochea wadogo wapotee Mnatengeneza interview za kichochez
@bensonkalumejeremiah2542 жыл бұрын
Nakubali
@suwediselemani88842 жыл бұрын
Munajitahid sana kufichaficha
@KatemboKayo Жыл бұрын
Fresh
@kultomkultom53902 жыл бұрын
nimecheka kwenye umbea
@RandB_Channel2 жыл бұрын
Umoja ninguvu
@makatym61512 жыл бұрын
Salary the best... Is homeboy n doesn't Brag... Mbosso think twice man
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Wasemaje
@kaksvidoke87002 жыл бұрын
Yamoto kwaa Kwely hadi nyie wasafi mngetii
@Dennybwoy40722 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nGTFloqNfdSKe9U
@karasuyazidi85472 жыл бұрын
Kwa lipi
@kaksvidoke87002 жыл бұрын
@@karasuyazidi8547 we hujui chochote siri zote mie nazulitambua
@gibsonagrey2002 жыл бұрын
jibu ni wote mafahali
@patsonnzogoro14762 жыл бұрын
Before na kabra 😀😃😄😁😆😅🤣😂
@abubakarifundi50072 жыл бұрын
Ego battle ya Aslay na Mbosso ndio chanzo cha yote haya anyways Yamoto to the world 🤗
@swahililandtv12 жыл бұрын
WASANII WANAO LELEWA BONGO MOVIE/ DIRECTOR FEKI
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Aslay is the biggest problem here!!!!
@faithmeyakeah84982 жыл бұрын
Upo✋
@denisngoinde36932 жыл бұрын
Upoo
@davidwalalason76302 жыл бұрын
Tushajua wanafiki kuna nani
@ezekielmugeta24272 жыл бұрын
Mnaendekeza chuk wasaf mwatka wachukiane
@assadmakene97922 жыл бұрын
Beka unajua kuongea saaana
@KoreanDramaMoviesKiswahili2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@Dennybwoy40722 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nGTFloqNfdSKe9U
@anastaziakilaza74562 жыл бұрын
Nakuelewa bea
@yahyajuma88302 жыл бұрын
Kweli kwa enock Bella umeleta dharau yani siku husika nd anapewa kadi na umechelewa kumpost wkt nd watu wa karibu
@eugendawilson16442 жыл бұрын
Hii nchi imekua na ujinga mwingi sana mtu anaamini kwenye kupostiwa kuliko undugu dah😭😭
@bulliy32412 жыл бұрын
Upo duuuh😳
@davidbahati37482 жыл бұрын
Una busara mno
@TIZZOBOYOFFICIAL2 жыл бұрын
Wana ignore tu mkubwa😁😁😁😁
@dadivencetv86082 жыл бұрын
Ila mboso nae anamalingo
@salimbilali51742 жыл бұрын
Lkn huu n ufala awa madogo walikuwa pamja alfu sai wanaongea umbwakni uwo n utoto ata ao mameneja wao n wafala pia mnawaanglia instead of kuwaleta pamja