BEKA FLAVOUR -SIKINAI VIDEO MAKING

  Рет қаралды 150,234

Beka Flavour

Beka Flavour

6 жыл бұрын

Utengenezwaji wa Video ya Sikinai chini ya muongozaji Msafiri kutoka kwetu studio, video imefanyika katika maeno ya Moshi pamoja na jiji la Dar es Salaam.

Пікірлер: 43
@claraachiengo-pd6vj
@claraachiengo-pd6vj Жыл бұрын
Uko poa xn bro kwa hii wimbo n noma joo
@boazballa1444
@boazballa1444 6 жыл бұрын
Sauti nyororo na beat zake zinaukonga sana moyo wangu. Big up Beka. Sikinai (Kangaroo)
@binttsulu647
@binttsulu647 2 жыл бұрын
Wimbo uu wanifanya mithamani my bby🤗😍😍
@djmistik8273
@djmistik8273 2 жыл бұрын
Mashaallah beka mature music....napenda ngoma zako
@AbiTech96
@AbiTech96 4 жыл бұрын
Ebwana Beka Sikugani wapangilia kuja Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Goma??? Siuje huko tucheze pamoja bwaaana! Naupenda sana muziki wako tok Easten Congo 🇨🇩 muji mkuu wa Kivu North, Goma
@harrisonosinya3701
@harrisonosinya3701 5 жыл бұрын
kazi nzuli kaka
@user-xh6zo2gi6r
@user-xh6zo2gi6r 6 ай бұрын
Very good
@yonathanyona2926
@yonathanyona2926 6 жыл бұрын
ur all de best brooo..beka flavour,aslay na mbosso mko p msigombane isogezeni bongo fleva ma broderz wengine 2 nakuja....
@matthewwachealsea5818
@matthewwachealsea5818 6 жыл бұрын
Daaaah Aise Mii Nakuelewa kinyama Beka F Nahuyu Dada NampendaGA kinyama Kama Unarudi nae Itapendeza zaidi. Ujage nae KAHAMA Siku moja nimuone 😂😂😂😃
@dullaboy9221
@dullaboy9221 6 жыл бұрын
kaka unajua ww unakitu kikubwa sana yani kipaji maana video unajua kutoa vizuli pia na nyimbo unajua kuimba usiwe unakaa kimya bhna uwe unatutolea ngoma Mpya Mpya aslay hakuwezi ukiwa unakomaa kutoa nyimbo hakufikii kabsaa
@lbognini
@lbognini 2 жыл бұрын
@Beka Flavour where's the Sikina Video clip?
@kuolnhialruot504
@kuolnhialruot504 4 жыл бұрын
Mazing video
@magessangurwa4353
@magessangurwa4353 6 жыл бұрын
pasua mwamba kk mzee wa mhudumu atakaa..
@SwahiliMedia
@SwahiliMedia 6 жыл бұрын
Endelea kunyoosha video like this..... Hope mbayuwayu na tuwesare hujaharibu kama kawa🙌
@tagabavicent3447
@tagabavicent3447 2 жыл бұрын
Please Vicent Uganda I wanted official video of sikinai ok
@alfredsagala2157
@alfredsagala2157 6 жыл бұрын
kaka tupe ngoma ingine mashabiki wako tupo kuku support acha kukaa kimya muda mrefu unatukwaza kaka
@nurulwesha1971
@nurulwesha1971 6 жыл бұрын
gudluck gozbet
@greenmedia002
@greenmedia002 2 жыл бұрын
Hii imetrend sana
@gilbertfuria5817
@gilbertfuria5817 6 жыл бұрын
Asley hakuwezi
@azaboicomedy
@azaboicomedy 6 жыл бұрын
Aaaah ulichelewa saaanaaa kuwa solo artist
@samwelbekaukovizurmathayo9598
@samwelbekaukovizurmathayo9598 6 жыл бұрын
Kaka uko vjzur
@samwelbekaukovizurmathayo9598
@samwelbekaukovizurmathayo9598 6 жыл бұрын
nyimb iko vizur Kaka
@harrisonosinya3701
@harrisonosinya3701 5 жыл бұрын
ajachelewa
@derickglobaltradingfactory7879
@derickglobaltradingfactory7879 6 жыл бұрын
WE BEKA ACHA KUDANGANYA WATU HAPO NI MOSHI TENA WERUWERU RIVER LODGE ARUSHA YA WAPI
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 Жыл бұрын
👍🏽👍🏽👍🏽
@ChrisNyota-lx5rq
@ChrisNyota-lx5rq 8 ай бұрын
❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mwalabumwangag6389
@mwalabumwangag6389 5 жыл бұрын
nakubali beka
@urwatarah7611
@urwatarah7611 6 жыл бұрын
Kweli nakukubali
@evaevance5932
@evaevance5932 6 жыл бұрын
Hiyo sehemu y shmba mbona haipo jamani
@nichodemuschabi5776
@nichodemuschabi5776 2 жыл бұрын
Nowadays the video is not available
@Swahili_Best_Series
@Swahili_Best_Series 6 жыл бұрын
Nimependa ulivyosema niko zangu Arusha..Ila hapo ni Moshi weru weru..
@umikuruthumamasi7760
@umikuruthumamasi7760 4 жыл бұрын
🥰❤❤❤
@sionnnko411
@sionnnko411 2 жыл бұрын
wimbo wako lissu nakumiss
@mdiiddi2611
@mdiiddi2611 2 жыл бұрын
beka
@wa_kambucommunication92
@wa_kambucommunication92 Жыл бұрын
Na hii video ulitoka kweli?
@guzutoni5346
@guzutoni5346 6 жыл бұрын
Qui peux m'expliquer la chanson plz?? J'adore ♡♡♡mais je sais pas la signification. ♡♡♡♡♡♡
@emilipaul9474
@emilipaul9474 6 жыл бұрын
Good video
@franciskawllifred7987
@franciskawllifred7987 6 жыл бұрын
nc
@wisdomjaccohnyondoh
@wisdomjaccohnyondoh 6 жыл бұрын
Poa sana
@dorothyonyango8508
@dorothyonyango8508 6 жыл бұрын
Uwezi panda farasi na heels..vaa boots
@msafiriebuela1856
@msafiriebuela1856 6 жыл бұрын
Take our the picture on your account and put you a and you r girlfriend is like your girlfriend I think that
@tonyomondi2609
@tonyomondi2609 6 жыл бұрын
Poa sana
Beka Flavour -  Are You Okay (Official Video)
3:53
Beka Flavour
Рет қаралды 668 М.
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 123 М.
1,000 Diamonds! (Funny Minecraft Animation) #shorts #cartoon
00:31
toonz CRAFT
Рет қаралды 41 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
Beka Flavour   _  Libebe ( Official Video )
3:34
Beka Flavour
Рет қаралды 476 М.
Neyba -  UJE (Official Music Video)
3:32
Neyba
Рет қаралды 8 МЛН
BEKA - LIBEBE VIDEO MAKING
7:57
Beka Flavour
Рет қаралды 63 М.
KADANGANYA
10:21
Joti TV
Рет қаралды 138 М.
TOT Kwaya  - JPM KANYAGA TWENDE (Official Video)
10:39
𝗧𝗢𝗧 𝗣𝗹𝘂𝘀
Рет қаралды 104 М.
Maua Sama - WIVU ft. Aslay (Official Video)
4:06
Maua Sama
Рет қаралды 1,6 МЛН
Beka Flavour - Nakupenda (Official  Video)
3:41
Beka Flavour
Рет қаралды 422 М.
JAMAL & GANJA, ИРИНА КАЙРАТОВНА & КАЙРАТ НУРТАС - TUN (LYRIC VIDEO)
3:41
ИРИНА КАЙРАТОВНА
Рет қаралды 1,3 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 13 МЛН
IL’HAN - Bir aida (official video) 2024
4:01
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 148 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Erta indin (Official Music Video)
4:32
NevoMusic
Рет қаралды 2,9 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,3 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,4 МЛН