Ben pol ni msanii bora asante kwa kumuelewa EBITOKE
@zaifathussein81957 жыл бұрын
mtangazaji unajua KAZI yako vizuri hongera afu Ben POUL nimefurahi kwa kumwelewa Ebotoke na subiri sana vigeregere.
@johnmongi20037 жыл бұрын
you've made me proud!!! you are a star!!! but proved down to earth .....big up bro .you are an example to many... a real man
@fatumadjumbe25517 жыл бұрын
BEN pol kwakweli kaka yangu Mungu akubariki kwakuto kumdharau mtu yeyote napia uzidi kuji heshimu kama jinsi unavyo jiheshim, hakika ww ni mtu mzuri kaka , kwaninsi tunavyo waelewa wasanii, kwamwengine msanii awayeyote Ebitoke ngechambwa sana mitandaoni big up sana kaka
@beatricebunana40277 жыл бұрын
Asante kwa busara yako kaka kwakumukubali mwenzio Mungu awasaidie katika mapenzi yenu ili mkaunge mbindu zamaisha 👏
@rahapaulina14517 жыл бұрын
wow nimeipenda hiyo kama umemkubali umefanya vizuri ebitoke Ni mwanamke anae jitambua hongereni na mungu awasimamie👌👌👌👌
@mejumaamwakalato37767 жыл бұрын
big up sana mr Ben ila nitakushauri tu usiwahi kumtelekeza bint wa watu. Anaekuthamini mpe thamani yake na anaekuheshimu mpe heshima anaekupenda mpe penzi lake. i appreciate the the love you have now. Ben u are a gentleman mungu aweke mkono wa baraka kwenye ndoa yenu. Nimekubali kutika +254%
@veronicasarvatory95167 жыл бұрын
Hongera Sana Ben poo Una roho nzuri Sana. Wanaume wengine wakipendwa. Wanajidai Sana. Umefanya vizuri kupokea hisia zake. Mungu awabariki siku moja mfunge ndoa .
@RamazaniMulongeca7 жыл бұрын
Very nice interview, big up for the smart Questions, and #Ben Nice answers. #BenPol kaomba #Kutekwa #Ebitoke kaomba #Kurogwa 1+1=1
@sheilahbaby23477 жыл бұрын
This dude is just one in a million..A celebrity but so humble..nimekupenda bure 😚😚
@saidykaniki71087 жыл бұрын
msanii namba moja anaejua kujieleza tz km unakubalia na mm gonga like big up sana
@ganzamuyonga53697 жыл бұрын
Sure
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Kwakweli
@annamwambosya85777 жыл бұрын
yupo vzr mno.
@Officialyussy7 жыл бұрын
Kwel
@innocentmboya14207 жыл бұрын
big up kwake nimekubaliii sanaaa
@omarychediel13077 жыл бұрын
Nampa hongera sn ebitoke mana sio rahisi kupata ujasiri km huo na pia ben mungu akuzidishie kwakua mjasiri na kupokea ujumbe kwa ebitoke na pia kuheshimu hisia za mwanamke nakupenda ben unabusara sana ww nimeamua ahujaa i love u Ben😍😍😍💛
@y6y6hg777 жыл бұрын
Mm nampenda Kelvin Shayo from Oman
@anjelakiprop73117 жыл бұрын
Kama umekupali hii relationship nipe like jameni.. wowowow
@applebrighrvumu61517 жыл бұрын
ANJELA KIPROP hamna kitu hapo. anemkataa kistaarabu ndo maana hataki kumuaibisha. Uuuuupss
@applebrighrvumu61517 жыл бұрын
angalia vizuri picha ndo utajua, soma ata kwa picha
@allyhamad79997 жыл бұрын
Apple Brighr Vumu , hiyo ni point. sawa sawa
@allyhamad79997 жыл бұрын
Apple Brighr Vumu , hiyo ni point. sawa sawa
@salvatoryjeremia98347 жыл бұрын
mh bado cjaelewa
@verynicestanley57867 жыл бұрын
Saf San Ben poo respect Kwako fanya mjenge Familia bora na ebitoke ndio chaguo Lako inshalaa mwenyez mungu atawasaidia
@irentirop63047 жыл бұрын
oh nice Ben pol wewe ni mtu mxuri God bless you guy's
@sallykanze7 жыл бұрын
Kelvin shayo unataka kujua undani na Siri za watu hahaha Ben pol unaongea vizuri sana,kwa kweli nimeipenda interview yako una ujasiri .nawaombeeni muishi pamoja jamani mungu awawezeshe.
@stellahmutheu92497 жыл бұрын
Big up #Benpol kwa kweli nmependa majibu yako yana hekima zaidi. kwa niaba ya mkeo mtarajiwa #Ebitoke mimi nakupongeza kwa ujasiri na utu ulionao.Asante kwa kuzijali hisia za wengine hasa hisia Za Ebitoke Nakubaliana nawe kabisa kwamba hupendi drama hivo kama kweli mpo kwenye mahusiano na Ebitoke basi mimi nawaombeeni muwe na mahusiano mema yasiokuwa na drama wala Kiki kutoka +254 Nawapenda sana
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Jamani nimefurah sana *Benpol*, hongera sana cjuh wanaume wote wangekuwa kama wewe tusingeumia, relationship hii Woow nice.
@stellangumbi32347 жыл бұрын
so prudent congregations Ben ,you know what you speak good
@mrsd8467 жыл бұрын
mm pia nakupenda Ben pol ujasiri ninao 😀😀😀it's funny halafu uyo host Mmh cmchezo ana maswali balaa
@faithmsuya25297 жыл бұрын
😍😍😍 nat jus ur songs but ur life too speak how nice u are like u Ben Paul😊😊
@fabianoalberto75297 жыл бұрын
big up sana we mtangazaji kwa kuuliza maswali ya akili Sana!!!!!!!!!!! %
@nassorobaggo80487 жыл бұрын
Nice brother,umeongea kisomi tna kibinaadam sn hukujikweza wala kumshusha na kufanya mengine kuwa siri ynu cz umetambua hisia zake na kuziheshim,wangekuw machizi cfa hapo dada wa watu angekoma kwa kashfa na kejeli.big up bro na huo ndio uanamme!!!
@paulomizingo19717 жыл бұрын
Ben Pol, mimi pia nimefuatilia interview za Ebitoke,yuko vizuri na anajitambua pia kama ulivyosema ana confidence na anauwezo mzuri wa kujieleza na kujibu maswali.
@samsonikambarage73697 жыл бұрын
safi kiongoz
@sonatmapunda4837 жыл бұрын
safi sana binafsi nawaombea mfike mbali
@dianaahdarlingkenya76167 жыл бұрын
Paulp Kasankala great one❤❤❤❤❤
@newasdsong52937 жыл бұрын
Maa Sha Allah huo ndio uume..penda Sana weye.
@fizersaid64217 жыл бұрын
Dianaah Darling medaclassic z😆😊
@julianamakau87427 жыл бұрын
Nani anatamani kuwa na chali kama Ben pol?gonga like kupush Ben pol kuharakisha hii kufunga ndoa
@msellemhashim97 жыл бұрын
ok
@divajoseph29417 жыл бұрын
Asante kaka unaonekana huna dhalau kwa watanzania waelewa mungu akubariki wangekuwa wengine mmmmmm asante kaka huna dhalau wewe ni mstaarabu
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Kelvin shayo upo vizuri bro keep it up nakukubali sana...big up ben paul shikilia poa huyo mdada
@stlstl45177 жыл бұрын
Damn! Respect to Ben..he's so humble and mature
@mlaponievansi46197 жыл бұрын
kevini wewe ni mtangazaji safi unauliza maswali yenye busara kabisa.hahaha benpol safi kwa majibu bora
@ibrahimally56157 жыл бұрын
dah huyu jamaa kaongea kama anafundishwa na malaika....yaan kama anaambiwa aseme hivyo.....busara tupu kwenye hayo maneno
@salmayahya34407 жыл бұрын
namie nampenda kelvin shayoo😊...Kelvin lv uu😚
@tegemeajacob53897 жыл бұрын
Daaa naona umri wako si mkubwa sana ben pol lakin kuna hekima ya tofauti sana ndani yako. Umewashinda hadi wanaume wengine wenye umri zaidi yako!
@BigZhumbe7 жыл бұрын
Interviwer uko chonjo I like ur questioning style
@januarykapinga1797 жыл бұрын
Big up Ben and this will a sacrifice love to Ebitoke
@bfxvhgvbkgcvfc19337 жыл бұрын
January Kapinga 😘😘
@emtee26357 жыл бұрын
marry her boi
@sauda34517 жыл бұрын
msaga sumu
@mamarama63607 жыл бұрын
uwiiiiiiiiiiii nami kesho nitafunguka humu hahaaa Ebitoke big up
@masudally11737 жыл бұрын
Bim Khamid wee njoo kwangu
@lucymbaza2127 жыл бұрын
hongera sana Ben kwa kumthamini na kumuheshimu na kuitikia wito wake ubarikiwe sana
@mildrededward77697 жыл бұрын
Yes thanks for advising ladies be confident
@janemusumba42057 жыл бұрын
ebitoke kulingana na kuongea Kwa Ben inamanishakuwa alifurai kukutana na ww wala siyo kuwa bwana yako mmmh😅😅😅
@lindalove32837 жыл бұрын
hiyo ni kweli kaka I like you words 👏
@samwelynoely95417 жыл бұрын
samwely Noely hongera Ben pol kwa kumkubali Dd etu
@halimambwego82877 жыл бұрын
Nimekupenda mtangazaji. Mahojiano yako vizuri tu.... Ila mie hii story ya benpol na ebipol mie huwa naachiaga kicheko sana ila acha move iendelee
@hedayaals2507 жыл бұрын
nice nimeipenda hii kijana unajua kuuliza maswali mazuri hawa ndio wanaotakiwa sio wengine wanauliza maswali yasiokua na mbele wala nyuma
@coolmom73297 жыл бұрын
Good job wish u all the best
@emmanuelmwangwa36207 жыл бұрын
Really Gentleman !! Salute!.
@bettiejoy-mtotowamama7 жыл бұрын
Yaani umeongea vizuri kabisa 👏👏 Akili zako ziko smart sana sana
@kakalezakaria33817 жыл бұрын
nijambo kubwa sana mwanamke kumtamkia mwanaume hisia zake dah!! mpende kama anavokupenda hongera ben poll
@famiathereziadorcas59857 жыл бұрын
ben pol uko vizuri sana kwakujibu ma swali zako...mungu akutangulie sana bro
@rhouzieosore51437 жыл бұрын
I prayed sana tht u ans her plight n yes coz of her confidence I wish u see tht n love her back n I like ur openness
@rehemachriss44407 жыл бұрын
honger ebitoke na ben pol Mwenyez Mungu awalind malengo yenu yatimie
@nadhlfasalmazena74447 жыл бұрын
Ben Pol maashaallah we kijana jasiri ,Una busara Sana kiriku wangu mungu akuzidishie
@magedalenamfano43047 жыл бұрын
hata mimi nampenda sana bn p jamani eb toke mbona umeniwahi😂😂😂😂
@rashidkawawaopwonya54766 жыл бұрын
Ben pol hongera San una maneno yenye Hakim
@johcandyrina97247 жыл бұрын
Jaman yan benpol nmekuelewa sanaaa.....una Bonge la msimamo yan unajua kutunza na kuziheshimu private issues zako good sanaa
@mariamika28347 жыл бұрын
wewe ni wa tofauti sana na wasanii wengine ,big up Ben Pol
@adelqueenshayo17107 жыл бұрын
kweli ebitoke anajiamini ...na ujasiri wake umemsaidia....hongera zake
@thomasmbassa80137 жыл бұрын
noma Sana ben unajitahd kujieleza kaka big up👊👍
@jackyharrison12647 жыл бұрын
Big love Kaka nimekupenda bureeeeee ur real man
@frankkisimba17147 жыл бұрын
nakupongeza sana kwa kujali hisia za mwenzio.hongera sana kijana.
@frankmajaliwa13287 жыл бұрын
macho na maskio yet kwen haha usanii bongo had kwenye mapenzi 😁😁👐👐
@rayrayroblox56637 жыл бұрын
Safi sana my brother mwana mke mwema katoka kwa mungu
@magerhaule4707 жыл бұрын
Mapenz ni kikohoz.kujificha huwez.. big up sana wapendwa
@asifiwemandele45857 жыл бұрын
nmekpenda bureeee ben pol wew n mwnamme unayejitambua
@marblebaswige6147 жыл бұрын
Nimekupenda bure kwa kusamini hisia za mwenzio
@priscamkonongo99697 жыл бұрын
waaaoooo vizuri sana nimekupenda bure kwa kweli nimeamini sasa kuwa mwanaume cyo suala tuu la kuwa na maumbile ya kiume maana hata shoga anayo mwanaume anapaswa kuwa aina hiii
@pililameck18667 жыл бұрын
Nimependa maelezo yake, yupo vizuri hajivuni big up
@nurusiame20647 жыл бұрын
waooooh Nyc Big up
@sopiaahmad77957 жыл бұрын
congratulations
@nasrairunga77307 жыл бұрын
kaaaaah jamani napenda kutoa pongezi kwa msanii Ben yani hongera cn kwa kujitambua
@estherpeter71777 жыл бұрын
Ben Pol na wewe ushaanza vituko kama mke wako eehh....congrats anyway nakukubali sana. unitumie kadi ya mchango wa harusi
@magufuliprosper13367 жыл бұрын
nampenda sana benpol anavyo ongeya kiutu anatulia naomba wengi wana mme tujifunze sana kwa huu mweshimiwa
@esronmakundy79016 жыл бұрын
Very good at expressing imself
@mustaphaathuman31427 жыл бұрын
Mr Poul upo sawa nakukubari Sana wangu
@khadijamalifedha60087 жыл бұрын
jmn ukimpenda mtu ongea kwa sauti mpaka ikauke kasema ben sasa mm nasema mama nakupendaaaaaaaa ..
@kichunawayusuf63367 жыл бұрын
Khadija Malifedha Hapo uko Sawa nakukubali pia mm acha npaze saut nakupenda mamaaa
@khadijamalifedha60087 жыл бұрын
Kichuna wayusuf hahahaha sasa hivi ni kujiamini tu na kufunguka tuache kujirudisha nyuma tutakosa tuwapendao
@monicajulius23457 жыл бұрын
Khadija Malifedha haha 😂😂😂😂
@khadijamalifedha60087 жыл бұрын
monica julius hahahaha sasa hivi ni kupayuka hakuna kuremba
@janethkwigema45537 жыл бұрын
Hongeleni sana, ila twawaombea kwa Mungu mtjmize ndoto zenu
@papilumona18967 жыл бұрын
mimi napenda sana huyo jamaa mtangazaji uwa ananipa huwondo big up mtangazaji
@josephkasika14616 жыл бұрын
Safi benpo
@janesarah67117 жыл бұрын
Congratulate bro nice talk
@mlulamsiliwa71235 жыл бұрын
Ben Pol I am old man but I appreciate your understanding
@bitimohamedomar59347 жыл бұрын
This is the best love story.... Ben pol should be with her 😇
@biommy94727 жыл бұрын
ben ..love yeah tu snaa..kuongea kwako tu kwa upole..heshima., ntaratibu...kibri ipo mbali sanaa nawe..nakupedea hao
@mustafampitanga30307 жыл бұрын
you are Real Men akika Ben pol we ni mwanaume wa kipekee
@lynnachi51897 жыл бұрын
Wow! Ben Pol Mungu akusaidie nime furahia Sana na kuongea kwako Niko +254 walai uko juu
@samanthaali8737 жыл бұрын
Umenimaliza Ben pole uko juu👍
@khadijasaid54617 жыл бұрын
Ben your cool jamani sooooo sweet your very humble wewe ni mwanaume mmoja wa pekee duh?
@prettyakoth43067 жыл бұрын
BEN POLL you r areal
@hasanhasan86257 жыл бұрын
safi ben yani ww ni mwanaume ulie kamilika
@rennyjohnbosco56747 жыл бұрын
Wew kaka una busara sanaa Mungu akubariki na Yesu akutunze
@christinethoya16567 жыл бұрын
nmefurahi sana kuheshimu hisia za mwenzako Ben
@rhodamoraa31667 жыл бұрын
hata mie nakutaka Ben pol😂😂😂😂
@joanmwivanda67417 жыл бұрын
you are a real man hongera Ben Pol
@innofilex67727 жыл бұрын
brooo unaongea point balaaaaaaa
@joanmwivanda67417 жыл бұрын
Inno Filex i just loved him the way he talk he's matured enough he knows what is right or wrong
@joanmwivanda67417 жыл бұрын
Inno Filex i just loved him the way he talk he's matured enough he knows what is right or wrong
ndiyo hivyo jaman! Bahari ya mapenzi ina kina kirefu Bali Bahari ya Moyo ina kina kirefu pia. unaijua thamani ya mapenzi!? May no one be unsuccessfull in LOVE!!!