Hii nyimbo imenifana nitoe machozi. I love u. Mummy😍 kama wampenda mama gonga lik down
@mussatungu51244 жыл бұрын
Asante mama
@upendoladslaus55103 жыл бұрын
Nakupenda MAMA sana
@emmaflorajohn5162Ай бұрын
Kama bado upo na mama yako. Mpende sana😢😢
@jacklinebaghari85354 жыл бұрын
Mwenyenzi mungu awape maisha marefu mama wote duniani,nakupenda sana mama kama unampenda mama like nahitajii
@MagdalenaAbou-ls7ws9 ай бұрын
Amen ❤️❤️❤️🙏🙏
@vailethkalinga65046 ай бұрын
Nakupenda sana mama yangu ❤❤❤❤❤❤
@neemalymo25264 жыл бұрын
Sijasahau sadaka zako kutoka moyoni...uliponipa wakati wewe haunaaa...huu mstari umenikoshaaaaaaa nikapata feeling za ajabu mnoooooooooooo...continue to rest easy mom🙏❤️
@josephsanduli.52164 жыл бұрын
Hivi kwanini hizi nyimbo zenye ujumbe mzuri hawaipi sapoti jaman mpaka Leo haijafikisha views 1m jaman tuwe tunatafakari like kama nawe umeguswa na hili gonga like
@msuyamakoko87553 жыл бұрын
Umenena mkuu
@kephasieto81053 жыл бұрын
Good songs
@farhatmuhidini27403 жыл бұрын
Wimbo mzur sana ila nmechelewa kuujua
@fatumaathuman98303 жыл бұрын
Wanapenda za matusi
@josephmamba63693 жыл бұрын
I'll love you mother
@neemaflowers4 жыл бұрын
R.I.P Nimewakumbuka mama pamoja na baba Mungu awalaze Pema peponi😭😭😭
@jessicamaiko5474 жыл бұрын
Nakupenda mam sionichakukulipa mama ang
@tarimogervas53044 жыл бұрын
Good work by mr goodluck & benpol mungu Awabariki sana
@tarimogervas53044 жыл бұрын
Kama unampenda mama gonga like apo
@wallesmdoe91642 жыл бұрын
ngomahii imeimbwa Kwa hisia Kali inagusa sana tuko wangapi kwenye like
@joshuataramo73179 ай бұрын
Hakika Mama Mama Nakupenda wewe ni msiri wangu Rafiki yangu Mshauri wangu. Unabaki kuwa Mama
@LeophaziaSamuel-zp6fu7 ай бұрын
Naupenda huu wimbo , tha time unatoka nilikuwa mjamzito and on time uko hot nikajifungua so nilikuwa nafeel kila kitu kwenyw huo wimbo as a mama. Leo 2024 am here again kuusikiliza
@isunga19644 жыл бұрын
R.I.P MAMA 😭😭😭😭 PAMOJA NA KIPENZI CHAKO BABA R.I.P IPO SIKU TUTAKUJA ONANA PUMZIKENI KWA AMANI NAWAPENDA SANA
@nahyafaith56284 жыл бұрын
Isunga 1 yah kuwa na moyo wa ushajaa na mungu atakunzaa
@silviapumzikenikwaamanidam84364 жыл бұрын
Wapumzike kwa amani
@danforddavid60234 жыл бұрын
pole aise
@Chrisentertainment074 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Z6rXp3SLoc-NnK8
@wakubonya63354 жыл бұрын
Pole sana
@asmahanyally32254 жыл бұрын
Barikiwa mama waishi moyoni mwangu haijarishi upo mbali kiasi gani mama lv u more😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@betrinacharles2564 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana....hongera kwa mama na wanawake wote dunian
@tatuAlmasi-fk5ol5 ай бұрын
Nakupenda mamaangu jamani nikikumbuka nilivyokua naumwa nautuuzima huu lakini uliniangalia kama kichanga kukutaka hata mumewangu anisogeleee uwiiiii nakupenda mamaangu mungu akuweke kwaajili yangu nawanangu yani kilanikiusikiliza huu wimbo machozi yana nitoka 😢😢😢😢 mama mtamu jamani asikwqmbie mtu poleni wote mliopoteza wazazi wenu haswa mzazi mama mungu awape faraja kilaaitwapo leo ❤❤❤
@michaelrayson46514 жыл бұрын
Nimelia sana 😭😭😭😭wapendwa nyimbo mme imba kwa uhalisia wa hali ya juu nimekumis sana mama😭😭😭😭 nataman ungekuwepo kipindi niko na kaz nzur nikupe na mimi hata kanga nashindwa kuzuia machozi😭😭😭 yang mungu akulaze mahali pema peponi amina pamoja na kipenzi chako baba😭😭😭😭😭
@linahbynit75104 жыл бұрын
Pole kaka
@neemalymo25264 жыл бұрын
Oooh nooo🙏
@fadhilakabelege77464 жыл бұрын
Pole
@lengwasingae37284 жыл бұрын
Pole sana guy
@SarahMsinga8 ай бұрын
Sasa wanaosema Hamonize kakosea njoo sikiza hapa Mama ni mama Kiumbe Mke kimechaguliwa na Mungu ni nusu ya mwili wa mwanaume so nikitu au kiumbe cha kuheshimu na kuogopa 😅😂❤❤❤❤❤❤❤❤ Bravo all Women’s but Good ones🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@nikinizomsafi21504 жыл бұрын
Kama we unaona unapenda mama usipite bila kuweka like chin apo
@MagrethChiwanga10 ай бұрын
MAMA bado nakupenda japo ulishatangulia mbele za haki😢😢
@queentyna974 жыл бұрын
Rais,mbungee,kilaa kituu mama 😥😭 Pumzikaa kwa Aman Mama yanguuu😭
@MsuyaMsuyaJr4 жыл бұрын
Pole
@queentyna974 жыл бұрын
RAJABU MSUYA Asanteeee
@fadhilakabelege77464 жыл бұрын
AminA
@esthersteven28583 жыл бұрын
Pole dear
@queentyna973 жыл бұрын
@@esthersteven2858 asant mpnz
@bakarimakomola Жыл бұрын
Waliokuja kumuangalia ZUWENA kwa mara ya pili baada ya kumuona kwenye video ya diamond gonga like apa😁
@aronnyboy_tz77854 жыл бұрын
Kama unaamin mama yako alikuvisha #nguo# achia like yako acha wivu😍😍😍😍😍😍 #mama#
@japhetlust19284 жыл бұрын
ARON PAULO Official tz 🙌🙌🙌🙌🙌
@martinamturano21524 жыл бұрын
Ben Pol barikiwa mno kwa kuchagua lililo jema. Mama ndo kila kitu. Mungu abariki kazi ya mikono yako
@janifferemma34843 жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@michaelmasilili64983 жыл бұрын
sana sana
@AmisiMussa7 ай бұрын
I lo ve you too mumyy jaman nyimbo nzuri inanikumbusha mbali sana namuomba mungu awafanyie wepesi wazazi wetu washudie nakuyala matunda yetu jaman dah
@victorsomba8674 жыл бұрын
Siku hizi hamumuombi Mungu mnaomba like,mmelogwa nyie. All in all nyimbo kali mnoooooo
@waptrickcomhamisi40634 жыл бұрын
Ben hama kabisaa bro imba gospel
@konsolatatutu4234 жыл бұрын
Wewe mwenyewe unatafuta like😒
@officialngassama25394 жыл бұрын
🙆
@theresiagasto79114 жыл бұрын
😀😀
@videolyricsea44054 жыл бұрын
Ben pol_ Pete Lyrics 👉 kzbin.info/www/bejne/joO1k6ibebaaqqs Best Naso _Ediga Lyrics 👉kzbin.info/www/bejne/p6jaY4hojb6bldU Tundaman ft Richard_ Basi imba Lyrics 👉 kzbin.info/www/bejne/e3bFcoGmitqrbaM Pia naomba SUBSCRIBE channel yangu
@davidmarik46332 жыл бұрын
Uhu wimbo ni watofauti sana image nikiskiliza lazma chozi linitokee Mama MUNGU akuweke mwanao natafuta sijakusahau
@m_newstv22154 жыл бұрын
Kama unaamimi mungu ndo kila kitu duniani gonga like
@mlukumohamed38434 жыл бұрын
Ni mama tu ila mungu anatenda kwwao wamama
@hopeamosi57283 жыл бұрын
Nakupenda sana mama yangu kipenzi, mungu akupe maisha marefu
@queenmuthui5656 Жыл бұрын
My mum mwende muthui love you mammie mungu akueke
@mariananganga18584 жыл бұрын
Wow what a beautiful song 😍😍 wapi likes za ben pol today being mothers day.....
@stephaniewambui78042 жыл бұрын
As long as I am breathing.....I will always support my parents
@abdillahomary64474 жыл бұрын
Kama unampenda sana mama gonga like😭😭💗💗💗❣
@fatumahoseni Жыл бұрын
Mama ni kila kitu
@fatumahoseni Жыл бұрын
Mama ni kila kitu hapa dunian
@RamsyPesa-wc9ov Жыл бұрын
Hatar sana hakunakama mama
@GloryMathias-m4z Жыл бұрын
❤❤
@WaziliMohammed-xi9bp8 ай бұрын
Hakuna kama mama jaman aheshimiwe sana
@WalterLuther-cs2li8 ай бұрын
More love you mastaa wangu🎉🎉
@rickstyleboy93734 жыл бұрын
Fathers are just laughing they never bother of their wives being sung by their kids because themselves are proud of their Mama. I love you Mama
@peterjulius15294 жыл бұрын
Love my mother
@joyefecoolfam43034 жыл бұрын
True bro
@bushoke98543 жыл бұрын
Genius
@buyiyichangesdeus9173 жыл бұрын
Nakubalii Mungu ambariki mama angu
@joycedeniskizee24874 жыл бұрын
😭😭😭😭 Mama yangu Nakupenda sana Mungu aendelee kukupumzisha mahali pema Mama yangu .....
@merrykisonga78924 жыл бұрын
Amina kikubwa dua kumuombea
@mariamkilipa57814 жыл бұрын
Joyce denis kizee Amina
@videolyricsea44054 жыл бұрын
Ben pol_ Pete Lyrics 👉 kzbin.info/www/bejne/joO1k6ibebaaqqs Best Naso _Ediga Lyrics 👉kzbin.info/www/bejne/p6jaY4hojb6bldU Tundaman ft Richard_ Basi imba Lyrics 👉 kzbin.info/www/bejne/e3bFcoGmitqrbaM Pia naomba SUBSCRIBE channel yangu
@vickyalexander65074 жыл бұрын
Jmn huu wimbo can't explain naupenda ad sielew kama unampenda mama gonga like Mara mbili 😘😘😘😘
@mistakenya03710 ай бұрын
Any 2024 listeners...or am alone??🥶🥶
@dianasankei4964Ай бұрын
We are here🎉
@Salomeshimwela6 ай бұрын
Jamani hii nyimbo inanibariki sana, nakupenda sana mamaangu uishi miaka mingi
@luluwilliam79794 жыл бұрын
Mama mama mama uko wapi? Je unanisikia huko ulipo? Mimi mwanao nataka kukuambia kuwa nakupenda sana mama yangu 😭😭 nakukumbuka sana mama yangu Pumzika kwa aman
@aishaaaisha38154 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@petronilatimoth92414 жыл бұрын
sorry my
@fadhilakabelege77464 жыл бұрын
Pole
@robe6614 жыл бұрын
@@aishaaaisha3815 hyhhuuioo
@saida23283 жыл бұрын
Kweli kabisa hata useme umlipe lakini bado mungu wape mama zetu umri mrefu na wale waliotangulia mbele za haki allah awahifadhi mahali pema peponi amina
Mum wherever you will see this just know i love you from the bottom of my heart thank you Ben and Gozbert for such a Masterpiece.
@advocatechillongozi22214 жыл бұрын
Asanteh kwa kunibabua na kunikung'uta Mama... People are praising you, wanasema mama yako alokulea...ila mi ndo najua tumepitia mangapi pamoja. I love you Modo
@hadijanyundo45274 жыл бұрын
Aiseee naisikiliza hii ngoma kila cku...mbunge n wewe,wazir n wewe,rais n wewe mama
@kelvindagine95714 жыл бұрын
Hapo sasa utazan benpol ndo muimba gospel. . . Kagosbert kanajikubali hahah et asante kwa chapati . . Kazi nzuri mbarikiwe akina mama wote
@aloycengoso87494 жыл бұрын
Jmn du imetoa choz
@AbigaelyChambo-pr9ro8 ай бұрын
Pumzika kwa amani mama yangu mwanao usiku huu nimejikuta nakumic sana mama
@saidmpoya71764 жыл бұрын
One of the best songs. Big up Ben and Goodluck 👏👏👏
@nivahkhassan47534 жыл бұрын
Asantee mama yangu hukunitenga nilivo umwa hata siku moja ..mic u sana
@mrseed44 жыл бұрын
🔥🔥 I love this song so much
@katekim40064 жыл бұрын
You dedication to Toto Kristen is also awesome.i love it i be singing while changing the name and inserting my future baby's....🤗m'barikiwe sana
@erastuzaemun6864 жыл бұрын
Me tooo
@SuleimanKhamis-u9h9 ай бұрын
Mimi nafasi ya mama nampa bibi yangu❤❤❤❤❤
@kagwiriakirika93654 жыл бұрын
I loooove this song! Ben Pol thank you for this. Am not a mum yet but its still soooo special 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vincentkimutai23002 жыл бұрын
Guess you're now a mum. Two years down the line
@helenanabita7599 Жыл бұрын
Rip mama yangu nakukumbuka Mimi kusikia hii nyimbo amennn👏👏👏👏👏
@lazackbrown16454 жыл бұрын
Kama ulikuwa huna upendo wa kumjali mama mzazi ila baada ya kukumbushwa na benpol moyo umefadhaika weka like kwa mama!
@joshuakiriama78442 жыл бұрын
Mi naukubali sana wimbo huu kiukweli maneno ya wimbo huu yamekwenda shule sio siri.more love mama mwaaaaaexht....
@asmahanyally32254 жыл бұрын
Kama nawe ulitoa chozi kwa mistari iliyoimbwa humu na ukalia kwa furaha usiache ku like hapa
@amankazimoto84014 жыл бұрын
Mama ninakupenda mama ninakueshmu
@revsamwelpanga16673 жыл бұрын
Nakupenda mamaaa
@revsamwelpanga16673 жыл бұрын
Nakupenda mamaaa
@agneshaule44903 жыл бұрын
Nakupenda mama
@LisaElias-vw2vqАй бұрын
Nimelia kwa uchungu wa kumpoteza mama mlojaaliwa kuwa mama watunzeni,nawaombea wawe na afya njema
Nakupenda sna Mama yangu Mungu akupe umri mrefu❤❤❤❤
@mwajumamtari64474 жыл бұрын
Hakika ukitoa mungu raisi niwewemama jembelangu nakupenda mamayangu popoteulopo
@vanicjames3434 жыл бұрын
MAMA❤❤❤❤never getting enough... I love you momma
@noadiawilliam13202 жыл бұрын
Hiyo nyimbo inanibariki kilaninapo isikia ubarikiwe sana kwenyehuo wimbo
@sameerabdallah21124 жыл бұрын
Fathers are always the unsung heroes. Their power and sacrifices always get ignored like they offer nothing to the family. I hope one day you make a song recognizing fathers. They suffer inside.
@puritynjeru86784 жыл бұрын
Search King Kaka ft Elani 'PAPA'
@princewensen44324 жыл бұрын
Umesema kwel nduguuu 👍
@ithankgod57334 жыл бұрын
And sauti Sol Asante sana baba yangu
@mercy50884 жыл бұрын
True they're the heroes behind the unclosed love in our hearts
@iammofrank4 жыл бұрын
They always sing for pu***es in different ways...
@twaibaabdul16776 ай бұрын
R.i.p mamaangu kipenzi bamoja na baba nawapenda sana mungu awape kauli thabiti wazazi wangu❤❤❤❤
@immanuelcharles26994 жыл бұрын
Wimbo huu umeniliza😭😭😭😭RIP mamangu kipenzi.
@MsuyaMsuyaJr4 жыл бұрын
Pole sana
@allyshariki4347 Жыл бұрын
P1 sana mama
@fatumamjaka76844 жыл бұрын
Nikickiliza hii nyimbo hakika inanitoa machozi nakupenda saaana mama yangu inshaaallah allah akupe umri mrefu
@damarisakiru64184 жыл бұрын
My mum is my world!My everyday motivation to work hard because i want her to live a better life.She is my reason and icon.I love her more than life itself♥️
@kennybizzoh4 жыл бұрын
Moja safi....nmependa hii
@alistidesanastory31334 жыл бұрын
Kaka asante kwa kazi nzuri sanaaaa, R.I.P Mama angu
@khamiskamtoi50944 жыл бұрын
Rip my mom yangu😭😭
@halimaisaidi41054 жыл бұрын
R.i.p mama yangu kipenzi mungu ampunguzie adhabu za kabur
@joyceamani37864 жыл бұрын
Hakuna ka wewe dah? Nawaombea wamama wote mungh awatie nguvu siku zote no one like mom love u mom hakuna chochote kinachokuzidi hapa duniani malezi yako kwangh ni ya tamani sanaah🙏🙏🙏🙏🙏
@Turphy14 жыл бұрын
Awesome song. Makes me appreciate the gift of having a mum around and being a mother too. Love is priceless!
@suzychikaka64114 жыл бұрын
Nakupenda sana mama yangu, kipenzi changu Mungu akupe maisha marefu
@mathiaswalichupa4 жыл бұрын
Chorus kalii mwee "mama ninakupenda Mama"
@rosemarymathias49383 жыл бұрын
My sweet mama I love u saaaaaaannnaaaaaa. Mungu endelea kunitunzia mama yangu.
@pendoanzigar31724 жыл бұрын
Kila siku zinavyoenda ndio upendo wangu unavyozidi kwako mama nakupenda mama😘😘😘😘 gonga like kuonyesha upendo kwa mama yako na kumwombea maisha marefu kama yupo hai na kama ametangulia gonga like ishara kuwa bado unampenda na kumuhitaji maisha yako yote ikiwemo na kumwombea apumzike salama peponu ameen😭😭😭😭
@daviskaoneka83554 жыл бұрын
Kila siku zinavyozidi kwenda wanamuziki wanaotoa nyimbo za mama zinakuwa bora, nzuri kuliko za nyuma @Iambenpol hongera sana kaka nyimbo kali na mtumishi Godluck safi sana
@johnsaid91434 жыл бұрын
Asanteee kwa kutukumbusha upendo wa Mama nyimbo yenye mafundisho🙏🙏🙏
@rauranzion94162 жыл бұрын
Aki good luck angekua bongo yy ndo angeweza kufuta wcb
@idrissahazard60424 жыл бұрын
Mara paaa Ben paul kawa mwaposa maaake duh
@khamiskamtoi50944 жыл бұрын
😂😂😂Au Pascal Cassian
@uyanjongura36584 жыл бұрын
Mama nilipopitia magumu hukusita kulia nami, mama siwezi kukulipa, nakuombea Mungu akupe maisha marefu! Nakupenda mama🙏
@hoccyhilary67894 жыл бұрын
Siwezi kuskiliza huu Wimbo nisilie , I cant handle my tears on this, nimeshindwa 😭😭😭😭😭🥰
@saudanyagawa27494 жыл бұрын
Nakupenda mama Sana wangu ❤️ rip
@ellyewahanuru9780 Жыл бұрын
Pole sana Mpenzi MUNGU akupe Amani 😭😭🙏
@DoreenEsther-p9k Жыл бұрын
I love you so much Martha good job 👍👌 nawaombea kina mama duniani mungu walindeee❤❤❤❤❤❤
@juicyhub93804 жыл бұрын
Ujumbe mzuri, Melody nzuri, uchaguzi mzuri wa collaboration. Ben Paul Kama shemeji yetu kambadilisha Sana hivi 😂
@CatherineIkwila7 ай бұрын
I love my mummy❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mpaka mwisho wa dunia❤❤❤❤❤❤❤❤
@aindamuthee14054 жыл бұрын
I miss you mama💔💔. Continue resting in peace❤️
@khamiskamtoi50944 жыл бұрын
😭😭😭miss you mom
@dicksonreuben11594 жыл бұрын
I love mama
@samwelijoseph25784 жыл бұрын
Mama nakupenda
@khamiskamtoi50944 жыл бұрын
@Macharia Jean Dah ilikua cna jinsi ni kumshukuru mungu tu Ahsante
@maryjack15373 жыл бұрын
Nakupenda Mama yangu pumzika kwa aman
@ellymsemo61244 жыл бұрын
Mungu awabariki wamama wote duniani.....like tuende sawa
@fatashkibz74214 жыл бұрын
Nani kama mama as we dedicating to all mothers nd today is mother day drop like plzz😍😍😍
@gladnessmakinda25374 жыл бұрын
Baada ya kuisikia hii nyimbo nimejikuta namkumbuka sana mamaang R I P kipenzi pumzika kwaamani nakumiss xana
@emmaconstance88304 жыл бұрын
Mama ....... for real you mean more than life to me love you moms may the Grace of the Lord be with you always 🙏 Amen
@antianestory1294 жыл бұрын
Duuuh jisong kalii ben pizzle ft mnyama.......all in all stay bessed mama wote ......Mungu atutie nguvu amen
@muniraahmed6244 жыл бұрын
100% Influence 100% talent 100% inspiration 100% Mama love 0% corona disease 😀.
@cheifmirambo17064 жыл бұрын
👏👏🙏🙏
@mercydeo40404 жыл бұрын
Lol...🤣🤣
@regiekarera54634 жыл бұрын
Munira Ahmed for sureeee
@merrybernad87074 жыл бұрын
Munira Ahmed 😁😁😁
@tumainiabel18514 жыл бұрын
Unajifany mcha mungu c o xax kwa taarifa yako mungu hajakuweka ht kwenye kumi bora
@lucynakhanuwanyela20372 жыл бұрын
Enyewe mama hana mbadala. Mungu awalinde mamazetu kwa kazi njema na kujitolea.🙏🙏
@Onmywaytoberich4 жыл бұрын
Kama una mpenda mama yako usipite bila ku gonga like apo chini
@salumy7684 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jWnJdH5umbuLg5o
@jasegamusic.32274 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bJSWg6l7lLGnpck 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mapenzi kwa mama
@videolyricsea44054 жыл бұрын
Ben pol_ Pete Lyrics 👉 kzbin.info/www/bejne/joO1k6ibebaaqqs Best Naso _Ediga Lyrics 👉kzbin.info/www/bejne/p6jaY4hojb6bldU Tundaman ft Richard_ Basi imba Lyrics 👉 kzbin.info/www/bejne/e3bFcoGmitqrbaM Pia naomba SUBSCRIBE channel yangu
@abdulhaji67084 жыл бұрын
Love
@julietmasika8214 жыл бұрын
Saaana mummy love her too much
@ellyewahanuru97802 жыл бұрын
mom nakupenda ...sina chakukulipa nakuombea maisha yenye furaha ..Mungu akutunze Loveness wangu 😭😘🙏
@eleanorahchao94074 жыл бұрын
Rest in peace my lovely mother Lilianna it has been Two years now without seeing your beautiful face
@novatijames47883 жыл бұрын
Sorry God bless
@erickboy53363 жыл бұрын
Stay strong ndugu mepia sina mama hu wimbo ume nifanya nimisi mama yangu jmn
@meryaanadominic70757 ай бұрын
Mama angu nakupenda sana.❤❤❤
@othmanabubakar66304 жыл бұрын
Dakika ya 78 watu mshaviw 2000 duuu 😎fanya km unalike hivi twend sawa kwa mama 😢😢
@ayshershabban9694 жыл бұрын
Othman Abubakar sawa
@leahdamian77914 жыл бұрын
nakupenda xana mama yang
@johnathelisha7297 Жыл бұрын
Tuliokujq kumuona zuwena wa diamond tujuane hapa
@supermanpopstar5271 Жыл бұрын
I can't get enough of this song. I watch it everyday. Bigger guys.
@paulhenry31104 жыл бұрын
watu wengi wamepoteza mama zao poleni sana Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi Amen!
@joelkahuya19404 жыл бұрын
Cku nyingine muimbe na umuhimu wa baba jmn tunawasotea watoto jmn! Sema hamjui tu
@magrethrichard80794 жыл бұрын
Sio kweli
@joelkahuya19404 жыл бұрын
Muone ww simwanamke?
@jephtajoseph1784 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka upo sahihi. Na sisi kina baba tuna umuhimu bhana
@jephtajoseph1784 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka upo sahihi. Na sisi kina baba tuna umuhimu bhana
@praisekavy4 жыл бұрын
Subscribe channel yangu pia usikilize kile kipo huko na siku ya wababa ntaachia huo wimbo
@fefenailsandmakeup13534 жыл бұрын
Kale katoto ka kiume kanakomuimbia mamake kamenileta huku😁 #love you mama
@tiktokbest72614 жыл бұрын
R. I. P MY BELOVED MUM YOU WOULD HAVE BEEN HER AND SEND U THIS SUPER VOICED SONG THANKS THE ARTISTS I CANT STOP WATCHING
@fabianoyusuph65974 жыл бұрын
mama ni mama
@erickboy53363 жыл бұрын
Dah mama siurudi nikuone jmn mama nime kumisi jmn stay strong ndugu tuko pamoja me pia mama yagu kaniacha juzikati
@happykoteihappy-vd7ce Жыл бұрын
Hata Mimi niliachwa na mama yangu nikiwa darasa la 6