Safi sana wazee kazi nzuri sana mnazidu kutuburudisha
@anointedbellah7951 Жыл бұрын
Napenda kazi zenu zina mafunzo. Barikiwa sana
@tryphonefriday60102 жыл бұрын
Nakubali kamanda ben💥💥
@giftkyando6023 ай бұрын
Kama ukitaka lakini😂😂😂😂
@edwardsatulo55182 жыл бұрын
I really like this and it reminds me a lot of IGODIMA
@hawasandale59362 жыл бұрын
Asante sana benroyal❤️
@mariamkassimu5040 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 uyo kaka w bazo aki sawa saw so fan😂😂😂😂
@marckmark27382 жыл бұрын
Unyama sana wanangu wa mbeya
@kheriomar94822 жыл бұрын
Sisi filamu nzuri sana hongera kwa wote walocheza filamu ya Sisi tukopamoja by (utawala)
@mejumwinyi54042 жыл бұрын
Woooow nice wakaliii❤🔥💯👉😍hatuko tayari tuumie ili ww ufurahi🔥😁,asnte Kwa kaz nzr watu wangu💪
@jeanclaudeakili23722 жыл бұрын
Nakubali sasa sisi kwa sisi bechubechu ! Duh 😂kumbe ombi langu nimeskika ! Duh ❤much sana tu ! Natamani iwe ndefu zaidi ya ile ya juzi !Thx ❤much sana watu wangu !
@saadsuleyman73802 жыл бұрын
Ndugu Zangu Hawa jamaa Wamekuwa wakifanya jitihada Kubwa sana kutuletea hizi Move na Bilaa shaka pia hutumia gharama Kubwa na muda mwingi Sanaa hivyo tuwasapoti walau hata kila mmoja akaweka sh 2000 hata kwa uchache Hatuwez kuwarudishia chote lakin kwa Asilimia kadhaa Tutakuwa tumekuwa Team Ben Royal Picture Family
@Benroyalmovies2 жыл бұрын
Hakikaa
@nestfilmsproduction36682 жыл бұрын
Nizaid ya unyama kazi iko bomba
@raymondwadollare77672 жыл бұрын
Series tamu sana naicheki nkiwa Kenya
@danielboay83592 жыл бұрын
Kazi nzuri saaana nmeipenda hongereni kwa kazi nzuri
@HamadKamaghe-wz9se Жыл бұрын
Daah mnajua sana
@yusuphjoseph88512 жыл бұрын
Hongera sana director
@davidkijja61142 жыл бұрын
Nazi nzuri vijana gooood we enjoy alot
@LisaNashz Жыл бұрын
Wazee wakazi nmekubari SoMo kazi nzur na ongeleni kw kazi nzur I mitaa yangu alikiba aminia Sana Tobi mama Official wote
@Ann-Strong2 жыл бұрын
Asante sana , I was waiting for it
@danielmjarifu85462 жыл бұрын
Kama ukitaka ,kama ukitaka director hii series iendelee tu😂😂 chiti bhana✊🏾✊🏾
@dannypatrickambindwile59862 жыл бұрын
Mimi naipenda sana kazi yenu bro Mdach,mzalendo, mwasomola👊👊
@Boneseries2 жыл бұрын
💪💪💪
@jumajohn89532 жыл бұрын
Nakubali kila episode Kali endelen hvy hvy mtafika mbali Sana
@efootballtechniqueclasstv24102 жыл бұрын
Oyaaaa jamaaa mmetisha kinoma jamaaa 🔥🔥🔥🔥
@mpinaskid93162 жыл бұрын
Mmetisha Sana wajuba😁😁💪💪🔥🔥🔥🔥
@noelsoko1062 жыл бұрын
Kazi nzuri👍🏾
@سوزي-ع1ل2 жыл бұрын
Kapenda sana kanzi yenu Suri sana
@ashamwanganzi6400 Жыл бұрын
Wow chitiii u a so amazing bhana🤣🤣🤪nawapenda wote bure
@abdulzaidi60432 жыл бұрын
Tuache unafiki washkaji mko noma sana,kila mtu kasimama imara ktk nafasi yake,mungu awajaalie kila la kheri mfike mbali zaidi, nawapata vyema sana kutoka Oman 🇴🇲
@Benroyalmovies2 жыл бұрын
Asante Sana
@fatumajuma25692 жыл бұрын
Phamwenga dj👍
@hamidabaliyanga25842 жыл бұрын
Hongereni san
@nicholousmtemi39022 жыл бұрын
Daaa wanangu mnajua mpaka Basi yani
@نجمةكينيا2 жыл бұрын
Mambo moto sana sisi
@johnmshan40172 жыл бұрын
Good sana boss's
@fathmakajo26622 жыл бұрын
Benroyol safi kwa kazi nzuri
@emmanuelmcgwer39522 жыл бұрын
Nakubal kak nalaa mzgo umetulia
@einsteinfromeastern27042 жыл бұрын
Unyama Sana 🙌❤️
@pauloflansisco50062 жыл бұрын
Jaman mungu awabariki sana. NARA nakukubali sana kutiko mimi nipo sumbawanga ila kunasiku naamini tutaonana. Msalimie BEN ROYAL
@sijo76272 жыл бұрын
Kama Ukitaka Ukitaka Bro Mkali Sana 😂😂😂
@maduwamohamed28632 жыл бұрын
Makin sana wana
@volonteprotv2 жыл бұрын
Nawakubali sana waze wangu
@ashuraismail9730 Жыл бұрын
Asanten saaaana kwakaz nzuri
@sherryeverest25222 жыл бұрын
Thanks so much guys nawapenda sana kazi nzr Mungu awaimarishe
@jmictz Жыл бұрын
Big up Kwa Nala mzalendo,Boni,Thobias,inspector Banzo,Inspector miriam,Chitti,Froliani & Crew nzima kwa kazi nzuri
@yusuphmohamedipaula23952 жыл бұрын
It's Amazing 🥰🥰💯
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG2 жыл бұрын
Ya saba tunaisubilia kitu ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Benroyalmovies2 жыл бұрын
Imeisha hii
@ignasmtilega98342 жыл бұрын
Sijawai kuona seriez bora na ya kusisimua kama hii pongezi kwenu benroyal tunasubiri P.M.D
@Benroyalmovies2 жыл бұрын
Asante sanaa
@Boneseries2 жыл бұрын
Dudee soon 🔥🔥🔥
@missdee254632 жыл бұрын
My bebbby booo Good work❤❤❤❤❤ kunywa pepsi kwa pill yangu
@shukranipicha40042 жыл бұрын
Wanangu wambeya👏👏👏👏
@عاملهمنزليه-ي8ض Жыл бұрын
Love so much ❤❤❤❤
@annesialyakurwa58442 жыл бұрын
Nice 👍
@izackiaroni30792 жыл бұрын
Kazi Nouri san❤❤❤❤
@Hanskapella2 жыл бұрын
Mnafanya kazi nzuri Sana mwanangu
@makingijr2 жыл бұрын
Mwanangu sana.... Nala Mc.... uko juu mawinguni Chiiiiiiiii👆👆👆....! Mwanangu still unamuwaza ndege wako even u are in big trouble.... Hahahahaaaa akili 3 sana blood.... That day uliliwa buku 10 kwenye free style kisa ndege 🤣🤣🤣🤣 Unajuwa mwamba Nala Mc na mwanao Bony nyie ndio best main attractions characters
@xhenobizzy33452 жыл бұрын
Kitu kizuri akijifichi thats real benroyal
@asap-kevy50402 жыл бұрын
Mmmmh iko kitu cha pmd mbona zaidi ya mbele acha tusubir hunaga baya benroyal 🔥🔥🔥🔥
@SuleimanSaleh-fd4jj Жыл бұрын
Nakukubali jamaa wee ndo mwanangu jamaa
@farajikazumari26932 жыл бұрын
Kama mkitaka😀😀🖐
@felixmutua70452 жыл бұрын
I like the way chitty talks 'kama ukitaka ukitaka'. anyway I too likes your movies Bazo and your boyz👍
@allymachejo29962 жыл бұрын
Chitiii banaa "kama mkitaka mkitakaaa m mtuhumiwa" na nikitok nampa dada ako mimba ..... 🤣🤣🤣🙌🏿