Dah hamjawah kunianguxha wanangu nawapenda sana big up xana benroy picture tuko pamoja
@kmastertv Жыл бұрын
iko powa safi sana nara uko powa ongeza nkidogo uwezo
@huseinbusaba5064 Жыл бұрын
Mnajitahidi sana ndugu zangu Mungu awabariki sana
@PhilemonKalipera-dl5nl10 ай бұрын
Tobias nakupenda from Drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@trevordrake1343 Жыл бұрын
Kazi safii wakuu😘😘
@mirageayotv Жыл бұрын
Daah hongereni munajua stor kar director anajua benroy boreshen tencnology kdg2 mutakuwa km watu wambele huko munajua kuipangilia stor jins inavyo anza kma moves za nje
@RachelMdao2 ай бұрын
Movies ni nzuri sana jaman😊
@peterchikawe4284 Жыл бұрын
Kazi ni mzuri sana❤❤
@TIGER_TALENT Жыл бұрын
Kwa kwl hii kazi nzuri
@mary-cm5je Жыл бұрын
Mambo moto moto 🔥🔥🔥🔥🇰🇪
@harrentBanda-ec5mn Жыл бұрын
Safi sana🔥🔥🔥
@hamza0dongo972 Жыл бұрын
Napenda hawa jama ,Bonny thubaa , na marimu I love it this guy's good 👍 action ❤❤❤❤
@Khavanny5 ай бұрын
Benroyal movies mashabiki tunafurahia Kwa kazi nzr
@MohamedHamisi-n1z8 ай бұрын
Dah movie kali sana kumbe kuna watu wanajuwa kufanya eeh nala nakukubal usiach keep it up
@aloycemsacky9921 Жыл бұрын
Nyie jamaa mnajua halafu mnajua tena hongereni sana 👏👏👏👏👏
@mohamedmtangi4139 Жыл бұрын
Mko vizuri sana mnastahili mituzo mikubwa ya Africa
@JulietAmagover Жыл бұрын
Mko sawa
@Admirah77 Жыл бұрын
Mnafanya vizuri sana hasa bonny anajua Mpaka basii sisi on fire 🔥
@Dinho-Makavel5 ай бұрын
Nakubali sana benloyar pamoja na tim yako
@Rickplus_M47 Жыл бұрын
Safi sanaa nime ikubalii ngomaaa❤
@MeddytzkamchapejrKamchapejr24 күн бұрын
Umetishaaaa kinomaaa
@jeffykuria2853 Жыл бұрын
Safi sana❤❤❤
@AbdiAbubakar-v2b8 ай бұрын
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai Nimejifunza sana msonjo from kenya ❤ big love jamaaa ,
@DjumaNshimirimana-x4oАй бұрын
Ongereni sanaaa nimependa storry nzuri
@ERICKMAKENGO-cc9bk Жыл бұрын
You're so smart Tobias 👍👍
@mosesngome864 Жыл бұрын
Movie nzuri sanaaa
@MisifaNellyАй бұрын
Mwamba anajua
@pancrancekarisa5220 Жыл бұрын
Aaa I wish ninge kua hapo ukimchungulia 😂😂❤ nawapenda sana
@SamuellentrangoiSamuel Жыл бұрын
May God bless you man❤❤❤❤
@felisterelias-xk7fb Жыл бұрын
Kazi nzuri saaaana imeisha lakin nataman niendeleee kuangalia😢
@genfridmbonde41375 ай бұрын
Bongo kumbe mkiwa serious anaweza
@Gladys-254 Жыл бұрын
Hongereni jamani👏 mmeweza🔥
@CosmeEdmundoMadevo-zp5ru Жыл бұрын
Your are good for movies big up.
@YUSUPHDANKAN-gc4wc Жыл бұрын
Aisee wako vzur sana wazid kubarikiwa na waweze kutoa zingne zenye kufundisha
@RamoddyRamadhan2 ай бұрын
Mko poa sana aisee nyote ila Sebastian good broo..
@innocentthomas982511 ай бұрын
Mbona location naona kama green city home kabisaaaaaaaa. Safi sana
Nawakubali xana wanangu natamani Hadi na Mimi niwe muigizaji mzur kama nyie brother's
@ishaniramadhani8710 Жыл бұрын
Nimefurahi sana mlivyo iwekahivi shukurani
@shidogoalex8017 Жыл бұрын
Nimeangalia alama ya kengere but sijui ni ipi hiyo
@furahakenga6619 Жыл бұрын
Hii movie ni 🔥🔥
@flourishagbor335 Жыл бұрын
Nice one my Africans brother you guys did a nice job, but do you guys truly fight kung-fu in real life because it will be interesting oo😂❤ make I come lean😅
@ahmedbakari9223 Жыл бұрын
Wanangu moves zenu nasifuayilia mnoo na mkovizuri sanaaa
@ramkhanfilms4978 Жыл бұрын
I'm first
@Raz254ka Жыл бұрын
Wow so nice🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@ayoubjaphet709 Жыл бұрын
Nice job😊
@wilsonMalaki-ee3en Жыл бұрын
Safi Sana kazi nzul Niko pamoja nanyi
@ODONGSIMON-zt3ix Жыл бұрын
Love from pader, uganda
@EvansKalinga5 ай бұрын
Waisaaaaa 😅😅😅😅
@hamzasogodo Жыл бұрын
Mko vizuri wazee
@ashamwanganzi6400 Жыл бұрын
Wow mko vizr san hongeren🤞❤️
@michaelisolomon6059 Жыл бұрын
Lete jina bhana weee
@merchant_prince Жыл бұрын
Been watching part 1 & 2 of this movie ... I liked it ...good job guys☺️
@diegofagundesmorales4275 Жыл бұрын
Nice this 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZulkMeja-y4o18 күн бұрын
Wang wanaanglia lkn hawakoment
@meshack3266 Жыл бұрын
Ben naona finder zangu bado zinanoga kwenye gari yako
@josephharun1381 Жыл бұрын
fantastic
@Benroyalmovies Жыл бұрын
Thanks
@tonywambuatony83116 ай бұрын
Very creative actors and they measure what they say I'm proud of u
@ayubumadai2946 ай бұрын
Hii kazi naiona ina part 2 kabisa
@AusiAbdallah-v8w4 ай бұрын
Haahaahaahaahaahah mali iko poa sana
@mashafestusmramba7577 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Born hapo umeweza ....ungependa kumchungulia tena ? Hiyoo imeendaa
@tinashedoma6521 Жыл бұрын
I want part 3 guys please ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SalmaRamadhani-g7n Жыл бұрын
nice
@dennisdanda471 Жыл бұрын
Nawakubali
@nicholaschalle8288 Жыл бұрын
Kazi zenu mnafanya vizuri sana sana, Ingieni mkataba na Azam tv au na kampuni zingine, mshakuwa wakubwa sasa.
@Benroyalmovies Жыл бұрын
Kwan ukubwa nikuonekana azam?
@JENIFFERKIPROP7 ай бұрын
I am in love with thobias guy aki from Kenya....he is very cute😮
@willykijanaa004 Жыл бұрын
Mim naktafta sana JESHI LA UKOMBOZI FULL MOVIE vipi Mr Ben kwan naimiss sana yaan
@ShitararaPius3 ай бұрын
Nice movie but this language I can't understand it use English please
@lovenessshanjila4926 Жыл бұрын
Actually I real love and enjoy watching Benroyal movie well done keep up good work ,
@SaimonLameck-p5s3 ай бұрын
Move ikopoa sana
@ByiringiroOlivier-bj6uc Жыл бұрын
wooow Africans, proud of you brothers
@tinashedoma6521 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@drought4955 ай бұрын
Your a genius on schenes and action your the best in Tz
@Dickson202 ай бұрын
Naombeni jina la mwimbo jamani, please 🥺. " Sisi ndio jamim,"
@OlaxBadmus11 ай бұрын
ⁿⁱᶜᵉ ᵐᵒᵛⁱᵉ
@hadidjahassan7305 Жыл бұрын
Kinyonge tena jamaa kha😂😂😂
@lovenessshanjila4926 Жыл бұрын
💪💪 big up sanaa
@AllyBabu-kr6lg4 ай бұрын
Boniiiiiiiiiiiiiiiii❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉kongole
@BadiOmmy Жыл бұрын
Kama ningekuwa rais ningewapa tuzo bora kwa move hii nimependa sana. Lakini Tobi nafurai sana kumwona