#live

  Рет қаралды 2,711

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 2 күн бұрын
Mm nachokukubali mjeruman ni kwamba timu ikifany vzur unasema na ikifany vbaya unasema piah 🙌 big up san nakuelewa
@HamadiMgeja
@HamadiMgeja 3 күн бұрын
Nakukubali sana mzee upo sahihi kabsa
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 Күн бұрын
Mshaanza kurudisha chenchi ubaya ubwela is everywhere 😂😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 3 күн бұрын
Hamjasema bdo simba hii mtatapika sanaaa😂😂😂😂😂😂
@AmosiMugisha
@AmosiMugisha Күн бұрын
Umeongea kwel Wana yanga hatufulahii matokeo yatim yetu
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 2 күн бұрын
Ila jean baleke jamani eti Coach Migueli Gamondi anamuweka beanch daaah kama Yanga tumelogwa ivi jamani daaah
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Күн бұрын
Wa Tanzania kweli ni watu wa kushangaza timu ikifungwa magoli mengi watu wanataka Takukulu eti amenunuwa mechi na timu ikidindisha kufungwa pia watu wanaongea kwa nini timu haikufungwa magoli mengi ? Hivi hawa watu wanaujuwa mchezo wa mpira kweli ? Au hawo watu ni wazee wa kubeti nini ? Maana nini nashangaa
@MichaelErasme-x4q
@MichaelErasme-x4q 2 күн бұрын
Kazuramimba unamuongelea Nani Ww Kwan Ww wa wapi?
@johnmgoroba379
@johnmgoroba379 2 күн бұрын
eti gari limewaka!wewe jamaa muongo sana,usitudanganye wana simba
@johnmgoroba379
@johnmgoroba379 2 күн бұрын
nani kakwambia hakuna mwana yanga anaefurahia?Research umefanya wapi na lini?
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 2 күн бұрын
Mjerumani upo sahihi sana unaongea kitu sahihi ila kumbukeni kwamba ata mwaka jana ilianza kwa kusua sua ila mliisema weeee mliisema weee mwisho wa siku zikapasuka timu hapa bongo mpaka watu wakagombana
@MgazaMhina
@MgazaMhina 2 күн бұрын
Yanga msimu ulioisha ilianza vizuri,mechi 3 za kwanza gori 10 mechi ya 4 ndio ikachezaga na Namungo.
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 күн бұрын
Tushindetusishinde kikubwa uzima🎉🎉🎉
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
MAPYA, MWIJAKU AFICHUA UCHAFU WOTE, DIAMOND NA P DIDY, KALIWA
10:05
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН