Wachambuzi wetu wengiwao hawasemi ukweli mmnashindwa kujuwa niseme hawajiwi wanachokizungumza au mapenzi yanawaathiri auwoga unawasumbuwa leo huyu kageuka
@leonardlubala3933 күн бұрын
Yaani nyie wachambuzi mbona mna shangaza? Hivi mna zichukuliaje timu zingine za ligi kuu? Kwa akiri zenu hizo timu zipo pale kujaza namba? Na kama ndio hivyo kwa nini kuwa na lundo timu mbovu. Mnatakiwa kujua kila timu huwa inasajiri pia kuajiri makocha wazuri ili washinde mechi. Akiri zenu zimeishia kudhani hii ligi ina timu mbili au tatu na wengine kuwa wasindikizaji. Nyie bure sana.
@Carolina-sm5zt3 күн бұрын
Kweli kabisa team zimejipanga na zimejipata wao hawalitambui hilo
@fettiemaganza14843 күн бұрын
Yaan hii ndo tanzania yetu watu kufuata mkumbo ndo wanajua hakuna timu imeanzishwa kusindikiza afu wajue wazi kuwa mwaka huu ligi ngumu timu zote zimesajili na zimejipanga lkn wao hadi leo wanazungumzia simba na yanga na ndo mana tunadumaa
@Carolina-sm5zt3 күн бұрын
Huo ulozi uliona Yanga akiroga si mtu anaweza akatengeneza tu kuichafua Yanga tusihukumiane anaye jua ukweli ni Mungu pekee
@abdulrahimsalim53333 күн бұрын
Kuwa na faini na timu ipokonywe pointi
@abedymtore27073 күн бұрын
Kweny swala la utovu wanazam ata Simba mbona kibao sana ivo v2
@MalulaMgasa3 күн бұрын
Hakuna chuma cha mjerumani.
@robartvyumavyuma8713 күн бұрын
Uyu nae boya sana yeye kusifia yanga tu muda wote
@leonardlubala3933 күн бұрын
Kumbe wewe niridhani unajua kitu kumbe ni bure tu, wewe sio mchambuzi ni mhuni tu.
@RenatusMatungwa-o7c4 күн бұрын
Chuma cha mjerumani😂😂
@kassimmgwami4 күн бұрын
Acha ujinga wewe kolo,kufungwa Yanga ni jambo la kawaida kwenye football punguza maneno ya kisenge utakuja kupata aibu kolo wewe.
@danielchamoto93763 күн бұрын
Punguza makasiriko wew pimbi😂😂
@jimmymnuano71654 күн бұрын
Chuma cha ki China wewe unahimiza Yanga kuongeza vyuma itabidi uongeze mchango wako Milioni ngapi utachangia au unaongea tu na kujifanya unajuwa saana. Unajuwaje labda watu wakimaliza ligi hii wanataka kumrudishia mwenye tim yake Magoma utajuwaje ? Wewe kaa studio na kuongea na maiki tu mambo ya ngoswe waachie ngoswe wenyewe.
@JosephEmmanuel-eb7gj4 күн бұрын
Kwahy unadhani mpira ni kutoa pesa tuu😂😂😂 Kwan yanga imeoMba msaada
@christinawarioba82262 күн бұрын
Saf chums Cha mjerumani fact mtupu
@OnesmoChua4 күн бұрын
Mkiwa vitan rafiki akaanza kutoa siri zako apana
@econmirajifacts54113 күн бұрын
Wewe mwandishi ni simba nn kawanyanganye wewe izo ponti naona unahoji ujinga tu msilete ushabiki katika kazi wapuuzi nyinyi
@econmirajifacts54113 күн бұрын
Mbona hamuoji hawo waliotaka kuhama ligi na kuandamana kwa kufungwa na yanga.