Ndugu yangu wewe usilete mapenzi ya ushabiki kwa kulazimisha kitu kama hujuwi ni hujuwi ni nini kinachoendelea Mo alisha mkataa Chama kumpa mkataba mpya kwa makubaliano mapya na Magoli alimtaka bali Mo alimwambia yeye Magoli akimtaka Chama basi yeye amlipe yeye Magoli sasa kwa nini wanam bania ?
Morrison..na chama..hivi ni tofauti..nauliza hivi marehemu.na.hayati..kunatofauti..!
@MrishoMatimbwaАй бұрын
Na bado mpaka waseme
@EmmanuelMalangaheАй бұрын
Simba haina haja na chiba snapewa displin tu
@salumzambwi8941Ай бұрын
Yani huyu jamaa anaongea kishabiki waziwazi, Iko hivi yanga wamemsajili chama taerehe 1/7)2024 asubuhi, wakati mkataba wake na simba uliisha takrinani masaa 6 nyuma. Je shida Iko wapi? Kwani mazungumzo ya kumsajili mchezaji ni lazima yachukue miezi??
@jacksonsungwana7253Ай бұрын
Duuu,kwel Kwan thank you walizotoa waliwapa taarifa kabla ligi hajaisha? Acha kupotosha
@ErastoOmari-ij1zsАй бұрын
Msemaji wasima Kashasema Chama Nimchezaji Wa Yanga Hawezi Kumzungumzia
@MrishoMatimbwaАй бұрын
Simba wanaweweseka tu kipigo walichopigwa ni kikali sana Cha kuchukuliwa huyo chama na bado mpaka waseme
@ErastoOmari-ij1zsАй бұрын
7:10 Kipengele Gani Kinasema Mchezaji Akimaliza Mkataba Ananyimwa Hakiyake Yakusajiliwa Timu Nyingine
@MotibaMashana-hv3tfАй бұрын
acha kuongea ujinga ww
@AbdulIsrahАй бұрын
Mbape ametangazwa real madrid kabla ya hapo alishawahi kukataa mara mbili kusaini pale psg kuongeza mkataba.Mara ya mwisho mbape na babake waliomekana kwenye viunga vya madrid prpbably ni mazungumzo ya mkataba wa awali kusain pale Madrid mbona hatujasikia Psg wakilalama kuhusu Mbape kwenda Spain ?????? Israel Lugano unabumba maneno acha kung'ata maneno
@user-dz8ex4fk2xАй бұрын
Acha uongo hujui chochote, vipi kuhusu morisoni kipindi Simba inamchukua walitoa taarifa kwa yanga?
@JackKanyigoАй бұрын
Yataisha mbona Fei alienda Azam huku ana mkataba na Yanga?..TFF wali😂 fanya nn?
@veelmng7746Ай бұрын
Tupe hicho kifunga namba ngapi? Mchezaji akibaikiza miezi sita hakuna kifungu kina lazimishi timu inayomtaka kuongea na timu. Simba ni wahuni tuu hakuna hoja yoyote