Bernard Morrison

  Рет қаралды 2,697,365

Benji Button

Benji Button

Күн бұрын

Пікірлер: 289
@ishinasitanzania
@ishinasitanzania 4 жыл бұрын
Aliekuja hapa baada ya tetesi za Simba kumsajili huyu kiumbe tujuane kwa likes
@terrabrandafrica
@terrabrandafrica 4 жыл бұрын
tupo ndugu
@rahisiinc4790
@rahisiinc4790 4 жыл бұрын
😁😁😁
@rahisiinc4790
@rahisiinc4790 4 жыл бұрын
Ilikuaje akatoka Orlando akaja Africa mi najua kule ndo kuna maslahi
@terrabrandafrica
@terrabrandafrica 4 жыл бұрын
@@rahisiinc4790 orlando ya south africa
@ishinasitanzania
@ishinasitanzania 4 жыл бұрын
@@rahisiinc4790 kwan Orlando iko wapi mkuu?
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 жыл бұрын
Haya tunasubil jumapl 17/4/2022 ukiwashe kwa Mkapa Stadium 🇹🇿 na Team yako ya zamani
@edmackmbilinyi8651
@edmackmbilinyi8651 3 жыл бұрын
Morrison Nomaaaa sn hapo mishon mwa hii clip alifunga Golii kwa mkono halafu anadai amefungaa kwa kichwaa😂😂😂🔥🔥
@BraightonNcheyeki-us1rq
@BraightonNcheyeki-us1rq Жыл бұрын
I love this guy super benard morrison
@lucasmadayu5470
@lucasmadayu5470 4 жыл бұрын
Morrison.... All the best my favourite team... Yanga Africans sc
@denismtaki3446
@denismtaki3446 3 жыл бұрын
Now all the best to Simba
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 2 жыл бұрын
@@denismtaki3446 😅no to yanga
@hyahasisimsigala4346
@hyahasisimsigala4346 4 жыл бұрын
Jamaa nomaaa kabisa kumbe kutembea juu ya mpira hakubahatisha....
@majidmakelele1515
@majidmakelele1515 4 жыл бұрын
Ghana is proud u bro
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
What a talented player and now he's playing for Simba 🦁 SC Tz
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 2 жыл бұрын
Noo. Yanga
@christinamsuya8857
@christinamsuya8857 4 жыл бұрын
Ahahahahahha nmekuja kumuangalia wakili msomi Bernard Morrison hahahhaha karibu simbaaaa chama la wanaa
@wilsongaudence7076
@wilsongaudence7076 4 жыл бұрын
😂😂😂✌🏼
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Huyu kiumbe mpira anaujuwa tokea huko alpotoka,,,,, Utoporo Fc 😂 😂 Cjuw wamemshndwa vp kumtunza,,,Kalbu Simba sports club ⚽ ila acha makuzi
@mindlo2079
@mindlo2079 3 жыл бұрын
I still don't know why we let this player go.
@mashiledr
@mashiledr 3 жыл бұрын
His first touches were horrible at times.
@rashidgogo5558
@rashidgogo5558 3 жыл бұрын
dasi vgh
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Go and watch him >>> Simba SC, Tanzania
@ashaosole4413
@ashaosole4413 2 жыл бұрын
O
@wizshine1904
@wizshine1904 4 жыл бұрын
Tuliokuja kumuangalia mkali wa Yanga.. gonga like.... mpaka mikia waone wivu
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 4 жыл бұрын
Naomba nijue huyu jamaa ni RAIA wa nchi gani
@malaikamushi6032
@malaikamushi6032 4 жыл бұрын
Tupogooo
@heria6685
@heria6685 4 жыл бұрын
Iuuyyuuui
@isayamwidete6420
@isayamwidete6420 4 жыл бұрын
😀😀😀😀😀Mungu fundi sana!!!😀😀😭!!!sasa hv 🐸🐸🐸🐸🐸🐸mnaoneana haibu tu,na Morrison kawavuruga kwelkwel
@countrywizzkid6129
@countrywizzkid6129 4 жыл бұрын
Yanga tujipange kibao kimegeuka Sasa🤣🤣🤣
@willdmalya3544
@willdmalya3544 4 жыл бұрын
Waambie hahhahahahha
@abdulkimwaga3847
@abdulkimwaga3847 4 жыл бұрын
Duuuh
@mipawabaya3068
@mipawabaya3068 4 жыл бұрын
Morrison seemed to be danger player hongereni wananchi mm ni simba lakini nimemkubali
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 4 жыл бұрын
We ni miongon mwa washabiki wachache sana tz ambae anaweza akawa upande mwingine na akazungumza ukweli weng huwa wanashabikia timu na si mpira Wa miguu!!wanasahau timu zpo kweny mpira Wa miguu !!hongera akili kubwa !!
@muamedmuamed5155
@muamedmuamed5155 4 жыл бұрын
M ninachojua yuajichenga mwenyewe
@allenmwambije8119
@allenmwambije8119 3 жыл бұрын
Hahaha hamna haja ya kutaja timu yako kama umemkubali MTU we msifie tu.
@pauljoseph1800
@pauljoseph1800 2 жыл бұрын
@@husseinmtima6106 Vipi na wewe saivi unamuonaje Morrison?
@barakaroby3082
@barakaroby3082 2 жыл бұрын
@@pauljoseph1800 mambo yamebadilika😂😂😂
@ansifridmkongoja3337
@ansifridmkongoja3337 4 жыл бұрын
kazoea viwanja vizuri aje uku akutane na uwanja wa sokoine mbeya ila Kwa moto huo uko vizuri
@sharifumniachi1864
@sharifumniachi1864 4 жыл бұрын
ANSIFRID MKONGOJA hivi jana ulimuona vizuri
@ansifridmkongoja3337
@ansifridmkongoja3337 4 жыл бұрын
SHARIFU MNIACHI nilimuona kaka hofu yangu imeisha najua wananchi tumepata kifaa
@harithussi4618
@harithussi4618 4 жыл бұрын
Samata
@barakalema4358
@barakalema4358 2 жыл бұрын
Skuizi tuna mwita wakili msomi super Bernard
@isackkinabo152
@isackkinabo152 2 жыл бұрын
a talented super player
@johansenbashange2628
@johansenbashange2628 4 жыл бұрын
😂😂 Yanga Afilika a.k.a Utopoli FC leo hawataki kumuona mchezaji mkubwa kuliko klabu
@makambakodhh2466
@makambakodhh2466 4 жыл бұрын
Mshikaji yup kamala tumbleweed aisee anafungaga na mkono pia
@ramadhanihamisi3097
@ramadhanihamisi3097 4 жыл бұрын
Tunaitaji vikombe sio show
@sa7cancelo651
@sa7cancelo651 Жыл бұрын
العساكر بانو هنا❤🖤💚
@paulmatonange6718
@paulmatonange6718 4 жыл бұрын
Mmi cjaona maajabu take anajipiga chenga mwenyewe na pass sake zote zinapotea cjaona hats cha kumuona was maana hats molinga kwenye CLP sake ni hatari Sana
@daniellaaidal2233
@daniellaaidal2233 4 жыл бұрын
Kuandika kwenyewe haujui,,utaweza kuona uwezo wa Morrison???? Kapumulie mkundu huko
@tindokamuti8142
@tindokamuti8142 4 жыл бұрын
Paul Matonange huna macho
@richarddinda8123
@richarddinda8123 4 жыл бұрын
Haruna hapo kati alf uyu jamaa pemben na tariq seif namba 9 kuna timu itakula kumi siku iyo pale kwa mkapa
@nasorospati3075
@nasorospati3075 4 жыл бұрын
Jamaa anaweza xana
@buluush9741
@buluush9741 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@aidanjulius3033
@aidanjulius3033 4 жыл бұрын
Tariq kweli ni mzuri sana kuwazidi hawa akina molinga na yikpe
@allyshenkawa3730
@allyshenkawa3730 4 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@thomasjunior3272
@thomasjunior3272 4 жыл бұрын
@@allyshenkawa3730 🤣🤣🐸🐸🐸
@saidu_th
@saidu_th 3 жыл бұрын
Great content again bro
@divamrembo8788
@divamrembo8788 4 жыл бұрын
Huyu msenge anajua sana mpira
@abdulseleman8631
@abdulseleman8631 4 жыл бұрын
Hatari nanusu kbs
@divamrembo8788
@divamrembo8788 4 жыл бұрын
@@abdulseleman8631 Msimu ujao kuna timu itapigwa goli 20 na simba
@aggreymsemwa1249
@aggreymsemwa1249 4 жыл бұрын
Kazi Nzur mbon Watakoma Haki Ntamcheka Shafii Dauda Siku Akifunga Huy mwamba
@goodluckmmasa6824
@goodluckmmasa6824 4 жыл бұрын
Vp kasemaje kwani hawezi kufunga?
@aggreymsemwa1249
@aggreymsemwa1249 4 жыл бұрын
@@goodluckmmasa6824 Kaja na Vitakwimu vyake Vya Kuokota okota Sijui Hata kavitoa Wap Yan Wemwenyew Si unamjuwaga Yule Kazi kuisema2 vibaya Yetu yetu
@goodluckmmasa6824
@goodluckmmasa6824 4 жыл бұрын
@@aggreymsemwa1249 atulie bhana sometime hawa jamaa wanachambua kishabiki..
@aggreymsemwa1249
@aggreymsemwa1249 4 жыл бұрын
@@goodluckmmasa6824 Kwel Kabisaa
@elizaatilio527
@elizaatilio527 4 жыл бұрын
Mpk sasahv Dauda hajazungumza chochote kuhusu Morrison, hvi vile vitakwimu vyake alivitoaga wapi au alipewa na manala?
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
atutumii ilizi si ni uwezo toka kwa Mungu, yanga iko vizur kwa sasa
@katsoasali
@katsoasali 4 жыл бұрын
Nami pia nimcheza mpira toka beni drc
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 4 жыл бұрын
Kashapotea kaja Yanga Mamaaa kuna mikosi pale 😅😅😅😅,.. Ila Yupo Vizuri da Vyura wamebahatika
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 4 жыл бұрын
Morise yupo sawa sanaaaa lakin kwayanga kiwango kitashuka kama majiiii
@hawasaidy9712
@hawasaidy9712 4 жыл бұрын
W mungu
@agnesrichard6456
@agnesrichard6456 4 жыл бұрын
Daaah me pia naona kwa kuwango chake ni sawa na kushuka ngaz baada ya kupanda kuelekea juu zaid ukwel kapoteza kuja huku
@salimmlala5351
@salimmlala5351 4 жыл бұрын
Huyu jamaa kwa hzi chenga watu watavunjika viuno
@angelfesto4765
@angelfesto4765 3 жыл бұрын
.
@RashidMrisho-u7d
@RashidMrisho-u7d Жыл бұрын
The new African ronaldinho!!
@Melanin_King895
@Melanin_King895 3 жыл бұрын
Good luck to anyone looking for an English comment🙆
@mindlo2079
@mindlo2079 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@Anza_tz
@Anza_tz 4 жыл бұрын
tumekuja kumfuatilia wakili msomi hahaha
@triplea3463
@triplea3463 4 жыл бұрын
Tupo
@otmarykiowi4132
@otmarykiowi4132 4 жыл бұрын
Kabla ya kuanza kumshangilia, tujiulize kidogo mfumo wa hapo alipo unafanana na hapa anapokuja?
@hajihassan4901
@hajihassan4901 4 жыл бұрын
Tusubir
@abdoulrahimmigomba3885
@abdoulrahimmigomba3885 4 жыл бұрын
Yanga mnkwama wapi?
@edgarndoleki7639
@edgarndoleki7639 4 жыл бұрын
Safari hii taifa kila baada ya dk 10 tunashangilia na wawa atakuwa kaisha teguka nyonga
@elizaatilio527
@elizaatilio527 4 жыл бұрын
Hahahaaa
@depaolo3461
@depaolo3461 4 жыл бұрын
Sijaona magoli zaidi ya chenga tu
@yusufufraiton4370
@yusufufraiton4370 4 жыл бұрын
dah kila nikisoma nacheka sana
@pauljoseph1800
@pauljoseph1800 4 жыл бұрын
Delete comment yako tafadhali maana saivi Morrison ni adui yako, mamae!
@ommyngigidy2087
@ommyngigidy2087 4 жыл бұрын
Mbona Kama ni balaaah hii
@tumainimatemba7894
@tumainimatemba7894 4 жыл бұрын
Morrisoooo welcome yangaaa
@kondosaid216
@kondosaid216 4 жыл бұрын
Waletwe 3 wengine kutoka pale pale alipotoka Morrison wataisoma no
@husseinkalamba1384
@husseinkalamba1384 4 жыл бұрын
Aisee kwani sisi na mkia nilini mahana morson hatar
@isayamwidete6420
@isayamwidete6420 4 жыл бұрын
12/07/20 na majibu mliyapata 😀😀😀😀mleteni na messi. Kabisa
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 4 жыл бұрын
Morrison anatufaa saaana SIMBA. YANGA wanataka tumchukie tu. Waarabu watatukoma. Miquison na Morrison...... nyuma yao Chama na Kahata🤔🤔🤔🤔🤔 siku hiyo YANGA wataonja Juice ya TEMBELE
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anatakiwa kuanza game za CAF za Simba SC ...... anakitu ktk mpira.
@FootballGalacticos
@FootballGalacticos 2 жыл бұрын
Morrison 🔥🔥
@davisalphonce7001
@davisalphonce7001 4 жыл бұрын
umekuja mkununguni aka utopoloni🐸🐸 umewapanda vichwan had wanaomba pooh😂😂😂
@mtumishi1904
@mtumishi1904 3 жыл бұрын
Lakini kuna kitu nimekigundua Tanzania mpira unazidi kukua Aisee unajua unaweza kumchukulia Morsoni wa kawaida angalia Timu ambazo amecheza nazo na amezifunga kama Ajax hivi Nani aniambie Africa nzima kuna Timu ya kuifikia AJAX Tuhamke hawa wachezaji tujue kuwatumia Aisee
@BNT05
@BNT05 Жыл бұрын
He seemed to have the potential to achieve bigger things with the right coaches and good attitude along the way: but that is gone, now! A lot of showboating with little or no end product underpinned in this compilation. Unfortunately, with his age now, it appears everything is a pie in the sky to change his fortune and be the best he can be... In a nutshell, this is how African talents are wasted. Big time! Not only in football but in many aspects of life. Until we learn how to properly use our talents, Africa will prosper on many fronts. Otherwise, we will continue to be a "pushover" and 'weeping boy" of other continents.
@emmapoulo3651
@emmapoulo3651 4 жыл бұрын
Kwa mpira wa tz ataweza hivyo maana wachezaji wa tz wanakaba hadi kivuli
@perfecttz2690
@perfecttz2690 4 жыл бұрын
VP bado unaongea shdu
@barick
@barick 3 жыл бұрын
2021 mo fire
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Nimekuja kuakiki ubora wa wakili msomi wa Simba huyu bwana anajua
@sirajimkongewa6764
@sirajimkongewa6764 4 жыл бұрын
Kabla hauja msifu angalien kwanza wachezaj haliokuwa nao wanauwezo sasa wachezaj alio wakuta huku wakina kaseke ngassa
@emmanuelkasuwi6901
@emmanuelkasuwi6901 4 жыл бұрын
Hujuwi hata kuandika
@mtupeactambi5773
@mtupeactambi5773 4 жыл бұрын
Chama hata akaroge km kagere lkn hmfkii huyu Fundi
@isayamwidete6420
@isayamwidete6420 4 жыл бұрын
😀😀😀😀🐸🐸🐸Utopolo sasa mnaoneana haibu tu!!!kombe mlilonalo mwaka huu ni. La kuongea tu😀😀😀😀#Na zaid chama mchezaj bora waASFC,na kiungo bora wa mashindano. Gongowaz nyie
@seiphajalomba7456
@seiphajalomba7456 4 жыл бұрын
Yupo kama Idd Nado tuuu...anachezea mpira ila hawez kufunga
@mohamedisadiki3864
@mohamedisadiki3864 4 жыл бұрын
kumbe nawe umeona jamaa sio mfungaji
@edgarndoleki7639
@edgarndoleki7639 4 жыл бұрын
Sisi atutaki afunge tunamleta ili amvunje wawa nyonga
@richardmwandali7722
@richardmwandali7722 2 жыл бұрын
Uyo ndoo bm3 💪🏿
@morelovekombe9548
@morelovekombe9548 4 жыл бұрын
Siyo mfungaji jamaa ila kabumbu analiweza sanaaa
@mashalubumngazija9168
@mashalubumngazija9168 4 жыл бұрын
Simba na yanga
@dhulfiqaarally7274
@dhulfiqaarally7274 4 жыл бұрын
He is good player
@rummyyusuph9664
@rummyyusuph9664 4 жыл бұрын
Mitimingi
@rummyyusuph9664
@rummyyusuph9664 4 жыл бұрын
Life chamitimingi
@rummyyusuph9664
@rummyyusuph9664 4 жыл бұрын
Kifochamitimingi
@benardsenguji8254
@benardsenguji8254 4 жыл бұрын
Jamaa yuko poa,wasiwasi wangu msimu mzima wa 2019 hakuwa na timu
@isaacmatandu1443
@isaacmatandu1443 4 жыл бұрын
Anajua
@ramabendera8183
@ramabendera8183 4 жыл бұрын
Uxijali kama unajua unajua tu
@mkhondoj.feruzi2052
@mkhondoj.feruzi2052 4 жыл бұрын
kweli jamaa anajua
@zuberhonomar4101
@zuberhonomar4101 4 жыл бұрын
Nawaonea hurumua Tim flan ivi watakavyopelekwa mbio na huyu kiberenge
@jonasamos555
@jonasamos555 4 жыл бұрын
wapelelezi wa mwananchi tupo hapo
@furahasimon215
@furahasimon215 4 жыл бұрын
Anafaa kucheza beki maana hana uwezo wa kufunga😂😂
@ninjadamour5592
@ninjadamour5592 4 жыл бұрын
Furaha Simon au sio 😀😀
@joshuamchiwa861
@joshuamchiwa861 4 жыл бұрын
Tujuane wote tunaoangalia hii baada ya Morrison kuhamia chama kubwa mnyama SIMBA SPORTS CLUB.
@husseinkatunka7548
@husseinkatunka7548 3 жыл бұрын
acha Ayo mambo
@abrahambalamba7108
@abrahambalamba7108 4 жыл бұрын
Duh! Huyu jamaa mbona siyo wa level zetu, kaja bongo kuua kipaji chake tu
@juliusneymar8424
@juliusneymar8424 4 жыл бұрын
Jmaa anajua mpk keroo yn mikia kz wanayo
@kadehajoseph4852
@kadehajoseph4852 4 жыл бұрын
Najiuliza kwa niini kaja bongo?
@dboy9293
@dboy9293 4 жыл бұрын
Huyu jamaa angeshikana na makambo
@elizaatilio527
@elizaatilio527 4 жыл бұрын
Ingekuwa balaa kubwa
@paschalmnaly8884
@paschalmnaly8884 4 жыл бұрын
Sasa mbona kazi ya kukosa 2
@raymondkipipi516
@raymondkipipi516 4 жыл бұрын
Ha ha ha 😂😜😜😜
@muhubiriproduction69
@muhubiriproduction69 4 жыл бұрын
yanga kumedamsh mbaya
@isdorykitunda
@isdorykitunda 4 жыл бұрын
Morrison ni moto wa kuotea mbali
@johnchale939
@johnchale939 4 жыл бұрын
Kwa nini kaja yanga wakati hata fedha haina mmejiuliza lazima kama mchezaji mzuri kiwango hicho kimeshuka maana mchezaji mzuri angeshasajiriwa na timu kubwa zenye fedha why yanga?utata hicho kiwango hakipo
@husseinmillinga1920
@husseinmillinga1920 4 жыл бұрын
Nizam yetu kujakumuangalia morrison
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 4 жыл бұрын
Kribu Simba sport club Morrison
@franciskitte198
@franciskitte198 4 жыл бұрын
Wananchi mpooo😁😂
@marceclasisc5480
@marceclasisc5480 4 жыл бұрын
T
@benedictodamas7227
@benedictodamas7227 4 жыл бұрын
Francis kitte Matuo. Yareo
@abuukhudheifajuma5281
@abuukhudheifajuma5281 4 жыл бұрын
Tupooooooo
@hamisyohana8245
@hamisyohana8245 4 жыл бұрын
Mchezaji mzur ila kwatim aliyo fikia atashuka kiwango
@daniellaaidal2233
@daniellaaidal2233 4 жыл бұрын
Acha uchawi
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 4 жыл бұрын
Hamis Yohana we ulitaka afikie wapi kwa mfano
@elizaatilio527
@elizaatilio527 4 жыл бұрын
Acha wivuuu Yanga co km cmba inayoua viwango vya wachezaji ww,
@hamismgonyoro2111
@hamismgonyoro2111 4 жыл бұрын
Huyu jamaa mhuni sana alifunga goli la mkono "aliu tambwe"
@salimsalum7728
@salimsalum7728 4 жыл бұрын
Yaani unatoka South una kuja jangwani?
@daniellaaidal2233
@daniellaaidal2233 4 жыл бұрын
Kinakuuma nn
@daniellaaidal2233
@daniellaaidal2233 4 жыл бұрын
Ulitaka aje bunju kwa magofu au
@elizaatilio527
@elizaatilio527 4 жыл бұрын
Ukiona unaumia Morrison kuja Yanga ruksa kwenda kushtak FIFA!
@franciscomasungulwa3820
@franciscomasungulwa3820 4 жыл бұрын
ulitaka aje kwa HAMIDA?????
@habibaiddy8589
@habibaiddy8589 4 жыл бұрын
Na aloyetoka Brazil kaja hirizi Fc
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 3 жыл бұрын
TALENTED PLAYER BUT MISSING DISPLINE
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 2 жыл бұрын
Hahahaaaa
@dianajeremiah3180
@dianajeremiah3180 4 жыл бұрын
Simba inabidi tumsajili Morison atatufaa sana badae
@muhmmadilutando9561
@muhmmadilutando9561 4 жыл бұрын
Morrisoni mpira anajua
@idrisali2891
@idrisali2891 3 жыл бұрын
Yaa
@ahmedabdalah3
@ahmedabdalah3 4 жыл бұрын
Angekuwa anajua asingekuja bongo
@franciscomasungulwa3820
@franciscomasungulwa3820 4 жыл бұрын
Kwahiyo Chama hajui????
@aidanjulius3033
@aidanjulius3033 4 жыл бұрын
Kama wabrazili
@morlovzeboy4926
@morlovzeboy4926 4 жыл бұрын
Aiseee hi ni sumu kwel ten duuuh
@halfahalfa9728
@halfahalfa9728 4 жыл бұрын
Nimekuja kujiridhisha kumbe nilivyoviona Taifa hakuwa anabahatisha
@jafetmichael7915
@jafetmichael7915 4 жыл бұрын
Karibu sana yanga
@afidbillmusic8461
@afidbillmusic8461 4 жыл бұрын
Yaani mbwembwe zote imeonekana assist 1 na goal 1??? 😂😂😂😂
@graceabel7945
@graceabel7945 3 жыл бұрын
Kesi ya Morrison
@samwelirobert2576
@samwelirobert2576 2 жыл бұрын
🔥🔥
@kauyegeorge3335
@kauyegeorge3335 2 жыл бұрын
Morrison
@a.boupendza1453
@a.boupendza1453 6 жыл бұрын
Come to #HATAYSPOR 🇹🇷
@rachelkimario9976
@rachelkimario9976 4 жыл бұрын
Keruc
@nicodemasissack3524
@nicodemasissack3524 3 жыл бұрын
so good
@hassanzubeir4400
@hassanzubeir4400 4 жыл бұрын
Msaada mdogo sana kwa tim, chenga tawala😏
@mangapmanga1539
@mangapmanga1539 4 жыл бұрын
Maneno yk kayazumze msimbazi
@swalehemkwango9518
@swalehemkwango9518 4 жыл бұрын
Hahahahaha kiboko ya simba koko
@williamkigonela5467
@williamkigonela5467 4 жыл бұрын
Kiboko kivp alitufunga
@respiquspaschal7550
@respiquspaschal7550 4 жыл бұрын
Hii tv mnazengua sanaaa
@hopegaga6625
@hopegaga6625 4 жыл бұрын
Welcome DAR youngafrican
@mzaha
@mzaha 3 жыл бұрын
Morrison simba sc huyu ni mtu na nusu
@ramabendera8183
@ramabendera8183 4 жыл бұрын
Mmm fire
@joycefrance4660
@joycefrance4660 4 жыл бұрын
You man you know
@damasvahaye6545
@damasvahaye6545 4 жыл бұрын
Mafinga molisoni hatari
@sephaniamwakipesilemwakipe9939
@sephaniamwakipesilemwakipe9939 4 жыл бұрын
Mbona wa kawaida
@daniellaaidal2233
@daniellaaidal2233 4 жыл бұрын
Kamaww tu ulivyo wakawaida
@adearsalum9932
@adearsalum9932 4 жыл бұрын
Ukawaida wake amekuonyesha jana😂😂😂😂
@barakamwanjila300
@barakamwanjila300 2 жыл бұрын
Good player bm
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 4 жыл бұрын
Jini mkata kamba...
@omigaiamasi9829
@omigaiamasi9829 4 жыл бұрын
Huyu fundi
@katsoasali
@katsoasali 4 жыл бұрын
Vizuri
@gka9147
@gka9147 4 жыл бұрын
Mwananchi
@philipodushi7501
@philipodushi7501 4 жыл бұрын
duh huyu jamaa ni hatar
@jovinusijohnni5618
@jovinusijohnni5618 4 жыл бұрын
Yanga ushindi lazima
@SwahibuAthuman-yv2mn
@SwahibuAthuman-yv2mn Жыл бұрын
Kipindi kile ulikuwa na akili
Benard Morrison |Goals ,Skills & Assists
9:40
SimbaVideosHD
Рет қаралды 600 М.
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 9 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,6 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 26 МЛН
VITUKO VYA MORRISON IKULU MBELE YA RAIS SAMIA VYAWAVUNJA MBAVU
7:06
Barcelona vs Real Madrid 4-0 - All Goals & Highlights - 2024
11:18
AMSOllO Gaming
Рет қаралды 2,8 МЛН
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
23:51
Azam TV
Рет қаралды 5 МЛН
Where The Ball Lands, You Get!
23:44
Futcrunch
Рет қаралды 26 МЛН
0% Sportsmanship but it gets increasingly more disrespectful
12:27
The Day Ronaldinho Became a Barcelona Legend
15:14
BR7 Football
Рет қаралды 5 МЛН
When teenage Messi TERRORIZED Juventus and Fabio Capello
8:19
SombreroFlicks
Рет қаралды 2 МЛН
Nobody has matched Ronaldinho's magic at Barcelona 👑
18:46
Rptimao Videos
Рет қаралды 7 МЛН
Ronaldo vs Mike Tyson Box Fight 🥊
0:17
Ball Duell
Рет қаралды 1,2 МЛН
Messi VS Cristiano Ronaldo !! 😱😱
0:17
Tibo InShape
Рет қаралды 1,4 МЛН