best movie in Tanzania and congolais zawadi

  Рет қаралды 30,358

SIKITU

SIKITU

Күн бұрын

zawadi ni filamu ya mapenzi ambayo inasimulia maisha ya mwanamke mwenye tamaa ambaye aliacha mwanaume mwenye mapenzi ya ukweli na kukimbilia mwanaume mwenye mapenzi ya uongo kwake
kisa tamaa

Пікірлер: 168
@petersambai7744
@petersambai7744 4 ай бұрын
Iko pouwa sana na inaujumbe mzuri kwente jamii tunayoishi mmeweza
@SlayQueen-gf3ck
@SlayQueen-gf3ck 2 ай бұрын
Hii movies ni nzuri sana, hii ni kwajili ya wana wake
@user-kc6hv6fn7f
@user-kc6hv6fn7f 10 ай бұрын
Mutowe ingine kweli uyu vieux anajua sana
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 3 ай бұрын
Filamu nzuri mashaallah
@aminaclaudina9984
@aminaclaudina9984 2 жыл бұрын
Nimeikubali hii kazi kupitia huyu mnonko Shiba/ tumeelimika yakutosha sana
@aishajumah3406
@aishajumah3406 Жыл бұрын
Mwamba huyo hapo mr Shiba umejua kunifuraisha aisee nimekupenda bure
@mfaumemengi7305
@mfaumemengi7305 2 жыл бұрын
Akuna muvi zuri kama hii kambini inahelemisha sana bin Laurent
@LouisMorata
@LouisMorata 10 ай бұрын
Mupo vizuri ila dada yetu zawadi ali kuwa akiliya anahangaliya chini
@castrofidel4424
@castrofidel4424 2 жыл бұрын
Mfalme wa Sanaa nyarugusu Mr Shiba,,nakupata vyema mwamba
@amisijumatano3626
@amisijumatano3626 Жыл бұрын
Kali sana hii
@rehanijafari287
@rehanijafari287 2 жыл бұрын
Vizuri sana vijana wangu
@MatendoElenesti
@MatendoElenesti 9 ай бұрын
Shiba we hufai shenanigans mkubwa wew
@feliciennkeramugaba-4186
@feliciennkeramugaba-4186 Жыл бұрын
Nimemkubali Shiba nipo burundi Ujumbe muri anajua kuigiza sana
@sadamahenge7218
@sadamahenge7218 2 жыл бұрын
Pitchen uko juu Sana hongera
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Thanx
@lampardmakecimmassa9475
@lampardmakecimmassa9475 2 жыл бұрын
Nina furaha sana kua nashuuudia movie za huyu jamaa Mr Shiba kwamaana ni muelimishaji mzuri n'a kuigiza anaweza sana
@clarisseaime-8441
@clarisseaime-8441 Жыл бұрын
Vizuri sana
@jumapaul4736
@jumapaul4736 2 жыл бұрын
Nice brather picheni King Laurent
@machozisumbuni7880
@machozisumbuni7880 Жыл бұрын
Mmeigiza vizuri sana ongereni ila huyu shiba mhhhhhh ana balaa hatari
@AwiloBalenga
@AwiloBalenga 7 ай бұрын
Mubarikiwe sana
@PendezaDaniel
@PendezaDaniel 5 ай бұрын
Ka movie kazuuuuuuuuri kametulia,kanaeleweka,kanaeleimisha,waigizaji wazuri,,aisee hongereni sana nimetamani sana kua muigizaji,
@SaidiSungela-gj3uv
@SaidiSungela-gj3uv Жыл бұрын
Nakukubali sana bwana pitchen shabiki Ako namba 1 tz
@machoziasa1898
@machoziasa1898 2 жыл бұрын
Inapendeza sana
@heritierbilosa4646
@heritierbilosa4646 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana hii ongera Kaka Shiba mfazili kweli akusimamie
@snopaking6220
@snopaking6220 2 жыл бұрын
Baba yang mr p unajua sana mungu akujazie baraka zakua nawaza vitu vizuri kama ivi nakupenda baba yang
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Thanx
@debabaeshisombe4916
@debabaeshisombe4916 9 ай бұрын
Babu kubwa actor bongo movie
@GIBABOYGBFROMASKU
@GIBABOYGBFROMASKU 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana bro pitchen
@Bilichadieudonne1
@Bilichadieudonne1 2 жыл бұрын
nakubali sana kweli kweli kazi ipo vizur, shooter wangu hongera sana nimependa ulivyo shoot
@leonardgoodneighbor4208
@leonardgoodneighbor4208 2 жыл бұрын
Shiba we mnonko alafu una matusi sio ya nchi hii! Zawadi ni movie ya kimataifa,,,nimewakubali bwana Shiba na zawadi,ongereni kwa kazi ya historia
@nigerboymzee8213
@nigerboymzee8213 2 жыл бұрын
Zidi kutupagawisha n'a kutuwakilishia kipaji chako Shiba kweli sponsor akufikirie tena kwa kifanya kazi n'a wasanii wajuu
@hamzaremyayubu6097
@hamzaremyayubu6097 2 жыл бұрын
zawadi nitamthilia nzuli sana. lakini kuna baadhi yamakosa ndani yake kupitia wasani walo igiza ndani ya movie hii. kaka wanda uko vizuli kwa hisia lakini lafudhi yakiswahili bado sana. doctor pia bado sana. kaka shiba big up da zawadi uko vizuli nasra ongera mamy Alex big up man. asanteni jamani kwakazi nzuli ya zawadi. tuko pamoja
@Sam-ro2on
@Sam-ro2on 2 жыл бұрын
Asante kwa ushauri wako ndugu tutafanyia kazi next movie
@kgmildo5503
@kgmildo5503 2 жыл бұрын
C’est un bon film 🔥🔥🔥
@gracegustave2151
@gracegustave2151 2 жыл бұрын
Na kuku bali kaka yang natamani ungekuwa hapa na mimi niwe kwenye show yenu utafika mbali Mungu akusaidie
@sikitu8957
@sikitu8957 2 жыл бұрын
Wewe uko wapi
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Ahsante xana kwa maombi ako cster angu! Tuzidi kuombeana Mungu tutafika tu huko
@lablondeb5566
@lablondeb5566 2 жыл бұрын
@@sikitu8957 naitaji na number zenu nataka tuwasiliane nipo marekani nimependa movie yenu
@gustavesalumu4765
@gustavesalumu4765 2 жыл бұрын
Namkubali sana bwana shiba
@upendoiddy5521
@upendoiddy5521 2 жыл бұрын
Shiba and zawadi mmejua kunifuraisha,,Shiba unaweza sana aisee
@zawadiesperance7191
@zawadiesperance7191 Жыл бұрын
Penda sana shiba
@kichasamzoba4575
@kichasamzoba4575 2 жыл бұрын
Good talent m'y bro pitchen
@yassinjumatano5972
@yassinjumatano5972 2 жыл бұрын
Nzuri Sana nimeipenda vyema kabisa
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
P1 xana
@jumapaul4736
@jumapaul4736 2 жыл бұрын
Hongera kwa kazi jema kaka yangu picheni mungu anzindi kukunzindichia kipaji
@jumapaul4736
@jumapaul4736 2 жыл бұрын
King Laurent
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Ahsante xana ndugu
@mfaumemengi7305
@mfaumemengi7305 2 жыл бұрын
Nimehipenda sana bin Laurent
@geromekembo1989
@geromekembo1989 Жыл бұрын
Picha hii ni zuri, ila faam kwamba malanyingi huwa tunaziona 2kiwa na wazazi pamoja na watoto, namaanisha jitaidi kuigiza bila kuchezea kitandani, mambo ya aibu hacha, mtu asikimbie Tv akiwa na mtoto au mzazi.
@jacquilinenyota6545
@jacquilinenyota6545 2 жыл бұрын
Nimeipenda kuigiza kwa joji anajuwa sana kwanza nimempenda anajuwa kucheza na isia
@rehemamenga4409
@rehemamenga4409 2 жыл бұрын
Mejitaidi Sana ,Shiba,zawadi, Alex, mnatisha sana
@bmgmoney9825
@bmgmoney9825 2 жыл бұрын
Kazi nzuri wakuu wetu
@kitimasalumu9961
@kitimasalumu9961 2 жыл бұрын
Nawakubali sana ongera sana Shiba yani uwa nakukibali sana
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Ahsante xana
@espoirmzaliwa5740
@espoirmzaliwa5740 2 жыл бұрын
Movie nzuri xana hui mnafanya vizuri
@nandemoss5782
@nandemoss5782 2 жыл бұрын
Nimewapenda bure Shiba and zawadi ongereni sana
@nuhujumatano8156
@nuhujumatano8156 2 жыл бұрын
Kumbe mnaweza aisee Wakongo sahv nawakubaki sanaa ani💚💚
@rogerasifiwe6394
@rogerasifiwe6394 2 жыл бұрын
Hii ni kali zaidi kaka zangu
@ngangaamisi4790
@ngangaamisi4790 2 жыл бұрын
Pitchen Athumani mzee baba we noma sana
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Thanx bro
@TheoKozeki-ti1kq
@TheoKozeki-ti1kq Жыл бұрын
Nimehipend hiyoo Kaka endelea na kaz yak
@mtingwashantale7755
@mtingwashantale7755 2 жыл бұрын
Wow nawapenda San ndugu zangu
@saidlewis1864
@saidlewis1864 2 жыл бұрын
Ongera sana kaka pitchen,kazi kweli unafaa kuitwa king of the kings of art in nyarugusu
@farajastephano7014
@farajastephano7014 2 жыл бұрын
Nawakubal Sana ndug zang moo vizur
@brotherrunypatrice8638
@brotherrunypatrice8638 Жыл бұрын
Mhhhhhh pitchen bro kumbe
@jacksondinodmproduction2093
@jacksondinodmproduction2093 2 жыл бұрын
Mko vizuri vijana kazi nzuri
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Wabhejah xana
@aminaclaudine5911
@aminaclaudine5911 2 жыл бұрын
Vijana mmefanya kazi nzuri Sana,Shiba Mungu akujalie Na azidi kukusimamia katika uigizaji wako,
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Ahsante xana kwa Dua zako
@mwizarubinyaruba2103
@mwizarubinyaruba2103 2 жыл бұрын
Kazi nzuri, hongereni sana vijana.
@LavoisierKubuya-s7k
@LavoisierKubuya-s7k Ай бұрын
Pow
@samsonyermos8857
@samsonyermos8857 2 жыл бұрын
Asanteni kwa ushauri wenu ushauri wenu ni Kati ya mafanikio yetu
@pitchenalathumanjmasoud6465
@pitchenalathumanjmasoud6465 2 жыл бұрын
Kazi ya hatari kweli hii yani haijawai kutokea
@jennyjk4093
@jennyjk4093 2 жыл бұрын
Nzuri
@sadamahenge7218
@sadamahenge7218 2 жыл бұрын
Umeweza babu
@espoirmzaliwa5740
@espoirmzaliwa5740 2 жыл бұрын
Ongera pitchen kazi Zako uwa nzuri
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Thanx guy, ubarikiwe xana
@emmymwaipopo7227
@emmymwaipopo7227 2 жыл бұрын
I like this Movie kwa kweli, Mr. Shiba Keep it up Bro....unaweza sana endelea kukaza tu! Kazi nzuri mno🙏✨✨✨✨✨✨✨
@tibasango4082
@tibasango4082 2 жыл бұрын
I see thé Best moviea and best actor,, =Shiba=
@user-jr2sl3wr7p
@user-jr2sl3wr7p Жыл бұрын
Nice movie broh
@masokamangalabinti3111
@masokamangalabinti3111 2 жыл бұрын
Wanao SEMA sponsor akuzizame wanamaanisha
@mfaumemengi7305
@mfaumemengi7305 2 жыл бұрын
Hongera sana Kaka picheni
@rizikilubacha35
@rizikilubacha35 2 жыл бұрын
Nastra she did it 😜
@phabricemmamba237
@phabricemmamba237 2 жыл бұрын
Kazi imekaa vzr sana
@Mkatoliki001
@Mkatoliki001 2 жыл бұрын
Movie Nzuri San 🔥🔥🖐
@demashussein8906
@demashussein8906 2 жыл бұрын
Shiba umetuelimisha ipasavyo thanx sana
@rusimbanamuzungu-sw4qp
@rusimbanamuzungu-sw4qp Жыл бұрын
Napenda sna hii film ya uyu jamaa kama ndo Shiba amefanya mzuri Niko Congo nashauri acheze ingine nashauri kama mzee
@nicodemniyokwizeraalex-fo6ik
@nicodemniyokwizeraalex-fo6ik Жыл бұрын
Naipenda Sana zawadi Shiba Ongereni
@safariharuna191
@safariharuna191 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana,nimempenda Shiba on top and wanda
@sffilm3924
@sffilm3924 2 жыл бұрын
Nice one from hom
@sikitu8957
@sikitu8957 Жыл бұрын
Big up
@zaharansuleiman1459
@zaharansuleiman1459 Жыл бұрын
Ni mov mzuri sana yenye mafunzo mazuri pia
@douglasrichard3965
@douglasrichard3965 2 жыл бұрын
Hii movie ni Kali kuliko,bwana Shiba kiukweli unaweza kuigiza na unakipaji ndani yako kwa mtu ambae anamawazo chanya,, sponsor angejitaidi sana kukuinua ufanye zaidi ili kuiwakilisha Sanaa kitaifa kiukweli ubarikiwe na wote ila wewe zaidi ahsanteni
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Thanx bro
@dewelkiza8329
@dewelkiza8329 2 жыл бұрын
Naipenda
@saidlewis1864
@saidlewis1864 2 жыл бұрын
Unafanya kazi nzuri sana
@hamisibarunguza3721
@hamisibarunguza3721 2 жыл бұрын
Kaka shiba nimependa sana ujuzi wako! Mungu akuzidishie kwa kipaji chako uzidi tutusua zaidi
@shumbutz4548
@shumbutz4548 2 жыл бұрын
nice short
@Ali.623
@Ali.623 2 жыл бұрын
El tuyo es un canal muy bonito y la película también es muy buena. Que Allah te dé salud y éxito.
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Thanx man
@hamzaremyayubu6097
@hamzaremyayubu6097 2 жыл бұрын
kizazi zaidi mmefanya vizuli
@bmgmoney9825
@bmgmoney9825 2 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wangu
@salehengelelo1667
@salehengelelo1667 2 жыл бұрын
Samsoni ume amuwa Vizuri kweli
@masokamangalabinti3111
@masokamangalabinti3111 2 жыл бұрын
Kwa movie hii na story hii shiba umeziirisha kua wewe Ni kinara wa Sanaa hapo nyarugusu,umetisha hatari na ongera kwa kazi hii na wengine ongereni Shiba juu,,nawapata sana nikiwa uganda
@snopaking6220
@snopaking6220 2 жыл бұрын
Kwaajili ya my father mr p
@emmymwaipopo7227
@emmymwaipopo7227 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mr. Shiba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mcrajnu6492
@mcrajnu6492 2 жыл бұрын
Marekani wa kubali sana mr shiba
@phabricemmamba237
@phabricemmamba237 2 жыл бұрын
Nimeikuli sana hii kazi
@kondelagilbert9053
@kondelagilbert9053 Жыл бұрын
Mbona huyo jamaa ni muigizaji mzuri alafu atoi picha zingine? Unwell anajua sana kwani anaishi wapi huyo shiba
@queenlovelove-kj2lj
@queenlovelove-kj2lj Жыл бұрын
Niko uvira shiba ongera
@agnessqueenagness2445
@agnessqueenagness2445 2 жыл бұрын
Mnajua kbs mjitaidi mzidi ku boresha zaidi
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Ahsante kwa ushirikiano wako
@angelmakas6259
@angelmakas6259 2 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka Shiba,nimekukubali xana
@dewelkiza8329
@dewelkiza8329 2 жыл бұрын
Nawakubali sana kwa ajili ako shiba
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Ahsante xana, support enu Ni muhimu xana ucxahau kusambaza kazi hii
@hamzaremyayubu6097
@hamzaremyayubu6097 2 жыл бұрын
zawadi ni movie nzuli sana
@pitchenalathumanjuma3729
@pitchenalathumanjuma3729 2 жыл бұрын
Kaabiixa
@everinaeverina2587
@everinaeverina2587 2 жыл бұрын
Nice
@sikitu8957
@sikitu8957 Жыл бұрын
Thanks
@mmekelwangumbamnyaka9975
@mmekelwangumbamnyaka9975 2 жыл бұрын
Zawadi. 💘💝💓❤️
@emmanueledibalikijohn8938
@emmanueledibalikijohn8938 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anae itsa shiba ni wawapi? Mbona anaigiza kama si wa Africa hii? Nimempenda bure mawasiliano yake please
Penzi la shilling 200 too (bongo movie)
1:02:42
SIKITU
Рет қаралды 14 М.
SIKUJUA (Swahili Feature Film) - FULL MOVIE
1:05:49
Mararu Film Production
Рет қаралды 85 М.
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 44 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [36]
24:28
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 96 М.
AISHA | Inspiring Tanzanian Drama about a strong women | TidPix
1:52:24
TidPix - Authentically African
Рет қаралды 95 М.
ALLofUS - Episode 1
39:38
ALLofUS
Рет қаралды 3,2 МЛН
FIRIGUS PART   A - THE BEST OF HEMEDY SULEIMAN
1:02:07
BONGO FILMZ
Рет қаралды 278 М.
TRUE LOVE FULL MOVIE
1:01:50
hemedy chande TV
Рет қаралды 1,2 МЛН
TETE (Official Swahili/Bongo Movie)
1:02:07
36 Pictures
Рет қаралды 207 М.
Kubwa Kuliko - A Swahili Movie
1:29:05
RIVERWOOD BONGO MOVIES
Рет қаралды 590 М.
Ngoma ya Roho - Part 1 (Bongo Movie)
1:07:18
Swahiliwood
Рет қаралды 550 М.
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 44 МЛН