Kiukweli bado tunakuitaji sanaa kwenye game sema ndo ivyo tena game imebadilika watu cku iz ni mapiano tu ila kwa sisi tunaojua umuhimu wako bado tupo p1 na wewe tunaeshimu sana talent yako na tunakupenda pia one love ❤ brother from another mother
@djdisboy255tz Жыл бұрын
Shukrani sanaaaa
@chrissmpangala11 ай бұрын
Huna mpinzani kaka rudi kwenye game ya mziki wako mzuri sana
@remmyoneremsafimusic Жыл бұрын
Remmy One Was here....this Gai...stil on the game, , Mkali wao
@mimahtv2974 Жыл бұрын
Miaka 100…!❤wachache sana watu Kama nyie🙏🙏
@djdisboy255tz Жыл бұрын
Tuko pamoja sana kiongozi
@InnocentKimaro-c3o Жыл бұрын
Tunakuitaji 20% sana sana
@CharlotteTababula Жыл бұрын
Alishaka enda wapi?
@RashidBoscokamwela Жыл бұрын
Chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@rays_health_care970710 ай бұрын
good mix , kaz nzuri
@kibassaheri74539 ай бұрын
S3mjey ms. Q 4se
@lawimsakwa83172 жыл бұрын
Thanks for this,I have been waiting for it
@djdisboy255tz2 жыл бұрын
*DJ DIS BOY 255TZ BRAND NEW BONGO MIX VOL.24 2022* Habari ndugu mzikilizaji wa mix zangu nimekusogezea vol 24 ya brand new ngoma zote Kali zipo Apo gusa link kusikiliza na ku download👊 *hearthis.at/djdis-boy-tz/dj-dis-boy-255tz-brand-new-bongo-mix-vol.24-2022* Kusikiliza na ku download kupitia audiomack hapa🫡👇 *audiomack.com/Dj-Dis-Boy-255tz/song/dj-dis-boy-255tz-brand-new-bongo-mix-vol-24-2022* Listen like and comment
@marosylvester2851 Жыл бұрын
Maro from Rock city Mwanza Kwa sasa nasikiliza Ngoma zako nimefarijika Sana .I like your idea of Rihims in bongo flava
@djdisboy255tz Жыл бұрын
Yes follow me on Instagram @ *dj_dis_boy_255tz* down load my on hearthis DJ dis boy 255tz
@MushiJR Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉maua yako kaka
@SinyatThobias-mj8fy6 ай бұрын
Rudi kakA utupe maoni
@NestoryAgatoni10 ай бұрын
Wewe daaa Yan mwamba upewe maiwa tu😢😢😢😢
@EmmanuelChacha-z3l18 күн бұрын
Nilikuwa machimboni nateseka sana mda huo
@TambaHamisi Жыл бұрын
Twenty salut San
@Geofrey-we1tv Жыл бұрын
20 ni mwamba sana 06/09/2023 bado nakusikiliza mwamba heshima kwako kaka mkubwa 🤝🤝🤝💯💯💯
@mosesmkumbwa7980 Жыл бұрын
Pamoja sana bro
@Djkenzo2552 ай бұрын
ting tapa ting🔥🔥🌍🙌
@sydneympiluka79596 ай бұрын
oya kaka chapa nyimbo zake zote unajua 🎉🎉🎉🎉🎉 tupe mix kk