Aloys na Lilian wow nawapenda sana hilo nawaomba mlijue naishi Tz D'Salaam niliposikia ushuhuda wako ulivyopona ukabaki na Mungu alivyokupa mke na baadae watoto basi hilo na kwamba ulimjuwa Mungu na kwa Imani ukapata watoto baada ya mengi uliyo yapitia mimi huwa nalia sana nikiona jinsi Mungu alivyo mwenye nguvu na uwezo Mr Aloys Mungu akubariki sana uniombee ni weze kusimama kwa Imani❤
@titonkundimana7552 Жыл бұрын
Imana ihabwe icyubahiro kubwo umuryango wa Aloys Kandi mpawe ibyiringiro n'ubuhamya bwabo. Imana ishobora byose ibakomereze mu buntu bwayo ❤