Du! Mi msukuma MASANJA IDAHYA NTEMI niko South Africa kwakweli nyimbo hii inaniliza Sana ila selikali yetu isipoweka mikakati Mizuki kwa wasukuma ipo siku tukwinyola gete, chuu
@muhumuzajames65822 ай бұрын
I
@sololuchagula63628 ай бұрын
siwezi acha kucheza zeze hata kama ninaishi maisha mjini never forget my culture❤❤❤❤❤
@abdullahsida74805 ай бұрын
Solo wa donge huyu huyu ama
@shukulunzenzule11133 жыл бұрын
Kwenye huu wimbo bulemela umepiga kiasili Safi kwelikweli shikilia hapohapo kwenye mbulukenge
@ErickMwendwa-n8c5 ай бұрын
Safi sana guku
@MathiasMagina13 күн бұрын
Bhulemela uko vizur brother
@MasungaMashauri-px6mn Жыл бұрын
Namkubali Sana huyu jamaa kwani nchi bila utamaduni nisawa taifa mfu
@VikitoryFlans20 күн бұрын
Xawa mzee
@abdullahsida74805 ай бұрын
Mwaka 1999 ilikuwa nianze chekechea nikakataa nilikuwa kwa bibi kucheza ngoma
@edwardguguyu75462 жыл бұрын
Daaah nakupata vzr mkuu kutoka hapa Botswana nakuskiliza vyema,
@danielmengoru2304 Жыл бұрын
Nakubali mno nyimbo zako shuwa mno
@joycesamsonsitta10132 жыл бұрын
Kilakitu nikizuri sana angeza zeze nakubina mabega 🍾🇹🇿
@tryphonenghwaya97243 жыл бұрын
Hii kazi ni nzuri sana....! Inayo ladha asili kabisa. Wazalishaji wa mziki wa asili wa Kisukuma wajitahidi sana kutoharibu sauti za waimbaji kwa kuchakachukua ili ladha halisi ipatikane. Kama hapa "producer" amefanya la maana sana; sauti na ladha halisi inatoka. Heko lwale Bhulemela kwa hiii kazi nzuri.
@MussaMhwelaАй бұрын
hivi ndivyo ilivyo asili yetu acheni kuwa mnapiga manyimbo yenu kwamziki pia imbeni kwakisukuma sio kiswahili ndio uhalisia wetu
@MussaMhwelaАй бұрын
sawa
@ramadhanimagedula63342 жыл бұрын
Bei gani hiyo
@nkwabitz2333 жыл бұрын
Home boy☀️☀️
@ElephantBBoy2 жыл бұрын
Mwenye account hii nataka nimtumie hela ya mb apost nyimbo yangu .