Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa SHUGHULI nyinginezo nyingi na nzuri. BI STAR AMFUNDA NANDY JINSI YA YA KUISHI NA MAWIFI NA MAJIRANI #Shughulizetu #sharehe #Nandy
Пікірлер: 65
@leiratykisura67182 жыл бұрын
Ma sha Allah mependeza sana mwari na kwingwi wake maneno kumtu 😘😘😘😘ila makavumirie na mkapendane❤❤❤...ila ukiona unashikiwa kisu au bastora nandi wangu usivumirie mahana shetan kashaingia haraka sana toka,,,
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Bi star hongera kwa kurudi ujana Masha Allah ahsante kwa kumfunda bint yetu
@wardawarda65352 жыл бұрын
Naichukuwa na hii 🤗nikiolewa hakuna kuachwa hahahaha ncheke mie...
@nadanasser10202 жыл бұрын
Masha allah wallah nawapendaa nyote muliomfunda Nandi wallah mmetufunza wengi siyo Nandi Peke yake woow Ni fupi harafu Tamu❤️🌹🌹🌹🙏
@sophiahmedza9292 жыл бұрын
👌👌👌👏👏👏
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
Kbs mpenz wng
@aishavogelmann50212 жыл бұрын
Hongera sana Nandy.... Ndoa nzuri sana Dadangu na kupa zawadi ya kichungi but sichaakuchunga chai niyakuchunga mabaya ubaki namazuri tu chochote utambiwa au ushikie ya inje dadangu anza uchunge na kichungi mazuri baki nayo mabaya yatupe....Baraka tele kwenye ndowa nyenu🥰🙏🙏🙏
@ansilalulehana47152 жыл бұрын
Umependeza mfundaji
@yassintaibrahim242 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah 😘😘😘 Mwali Na Kungwi Mmependeza Saana
@neemamkoma3043 Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo bi star big up
@azzaalmaamry58172 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@zaudiamuna92132 жыл бұрын
Govida Shikamo kumbe wew ni moto hivyo Nakupenda sana
@arafamahadhi71412 жыл бұрын
Mwadawa Hana ndoa ila bi star yuko moto🤣🤣🤣🤣
@maryamalhabsi43642 жыл бұрын
Maa shaa Allah 🥰🥰🥰
@asmaali29112 жыл бұрын
Nampenda sana bi star🥰🥰natamni siku moja nionane na😘
@shanimbaruku20712 жыл бұрын
Asante bi stra
@ndayushimiyerungarunga87122 жыл бұрын
Mansha Allah ❤
@aishaissa25122 жыл бұрын
Mashaallh ❤️
@ladysasty2 жыл бұрын
Mashallah🤗🤗❣️🤗🤗
@sakinafrancoise71342 жыл бұрын
MashaAllah
@nurulainabubakar39742 жыл бұрын
Hongera nandy ❤️
@zuhurajonathan89992 жыл бұрын
Mamake semeni nilikua naona maruhani watakuja.🥰🥰🥰
@nai78762 жыл бұрын
Hahahhaha nilikuwa najiuliza ni yeye au ….
@anthoniamaji36712 жыл бұрын
Ahahhahahah hahahahaha
@stellahjulius58582 жыл бұрын
Uyo mama semen anachekesha 🤣🤣 nisingeweza kumsikiliza kwa umakini jmn bt ongera nandy🥰
@jacquilinenoah9492 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hawaabdu552 жыл бұрын
Mashaallah
@babyhamisi14372 жыл бұрын
MashaAllah tabarakaAllah nandy mrembo hata bila makeup
@tantinejuma6842 жыл бұрын
NANDI,usi wahangushe hote waliyo kufunda. Tuko hapa sisi kuwahagalia tu,ndowa itahendaje!!!!!! Basi
@khadijanjama87212 жыл бұрын
Kweli nandi amepata wafundaji maa shaa Allah
@foodbae1242 жыл бұрын
Ahaa jmn Mama Semeni uyu Wa Jua Kali 😊
@hazrathassan11342 жыл бұрын
Govinda kama govinda
@zenajustus57312 жыл бұрын
Govinda kama Neelam leo😂😂
@fatumajumanne35292 жыл бұрын
❤️
@flaviandeo9123 Жыл бұрын
👏👏👏👏
@binthkhamis80422 жыл бұрын
Mama ake mashavu na semeni kumbe nae ywatyumia dozy
@salhakristina94342 жыл бұрын
❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🙏🙏
@moudmgomo57422 жыл бұрын
mwadawa kikala. kawa malaika😅😅
@jenyyusuph49732 жыл бұрын
By the way mimba imekunogesha
@aika30242 жыл бұрын
🤍 Namm nimejifunza mengi🤝
@anifaally48162 жыл бұрын
Jaman n movie au maana Kila mtu anamfunda.
@jenyyusuph49732 жыл бұрын
Mwali kacheka amenikumbusha mbali
@salmazaidalabrawi37232 жыл бұрын
kweli twamtaka bi Chau na Salma kungwi wa makungwi