BIBI wa KIMASAI AMPIGIA MAGOTI MAKONDA - AMESHINDA KESI HAJAPEWA CHAKE - ''KAMKABIDHI KESHO''...

  Рет қаралды 19,244

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@hezronsanga5197
@hezronsanga5197 8 ай бұрын
Mungu akulinde sana kiongoz na akusamehe kwa yale madogo km binadamu. AMEN
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 8 ай бұрын
Team Makonda Ukombozi... Jamani wapendwa, kila mmoja kwa imani yake, tuwaombee hawa waliojitoa,walioagizwa na mama Samia wakiongozwa na mhshmw Makonda kututetea walalahoi, wanyonge,wakandamizwaji... Hi kazi ki uhalisia inahitaji kuombewa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 8 ай бұрын
Mnaomzunguka mheshimiwa Makonda chondechonde, mnaomhudumia, Mungu awasimamie , Mungu awaongoze.
@veronicalaiser7869
@veronicalaiser7869 8 ай бұрын
Pole sana Mh. Makonda kwa kazi ngumu unayopambana nayo. Mwenyezi Mungu aendelee kukutetea, akutie nguvu na akupe hekima zaidi uwasaidie wananchi.
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 8 ай бұрын
Itoshe kusema mh Rais wangu, mama yangu nakushukuru sana kumpeleka Makonda Arusha yaani shida ni nyingi hata akisikilza mwaka mmoja hata maliza maana kumeoza. utadhani kulikua hakuna mkuu wa mkoa. MPE SABAYA NAE UKUU WA MKOA TZ ICHEMKE SAWA
@LeopardAmoskomba
@LeopardAmoskomba 8 ай бұрын
Mama samia ubarikiwe sanaa kumpa nafasi makonda hujakosea kabisa
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 8 ай бұрын
Kila mkoa kila mkuu wa mkoa aweke mkutano kusikiliza wananchi hiv jamn very simple
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 8 ай бұрын
Ivi hii nchi Ina mkuu wa mkoa mmoja tu ?
@faustinaurio3703
@faustinaurio3703 7 ай бұрын
I wonder 🥺
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 7 ай бұрын
Mlimtoa katika Ukatibu uenezi mkampa ukuu wa mkoa.Kama alivyowasha moto katika Ukatibu uenezi na kwenye ukuu wa mkoa anawasha moto hivyohivyo Kwa watumishi wazembe.Chuma kinafiti Kila sehemu.
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 8 ай бұрын
Kumbe wasomi ndo chanzo cha matatizo
@KamardinTebe
@KamardinTebe 7 ай бұрын
Makonda aliwahi kumwambia marehemu Jpm nikikuwa ntakuwa kama wewe jpm akamjibu mimi nataka ukikuwa unizidi mimi sasa mungu naona amejibu duwa zao hakika mungu acha aitwe mungu ni swala la mda tu tutaona jpm mwingine tena
@evelina9621
@evelina9621 7 ай бұрын
Hivi.sellkari.inafanya Nini.mpaka.makondo Awe.mamuzi.apewe.urais Kazi.g>l
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 8 ай бұрын
Kwann raisi asitoe kauli kila mkuu wa mkoa aweke mkutano kwenye kitengo chake mkoa wake jamn malalamiko ni mengi
@HamisiForogo
@HamisiForogo 8 ай бұрын
Wengine wameoza
@joyeemollel2092
@joyeemollel2092 7 ай бұрын
Team makonda
@mustaphamuslim1161
@mustaphamuslim1161 8 ай бұрын
Hivi jaman mna uhakika hii mikoa mingine ina wakuu wa mikoa,
@LeopardAmoskomba
@LeopardAmoskomba 8 ай бұрын
Hapa tunajifunza shida haiko kwa rais bali watendaj wake
@MRPRESIDENT-w4l
@MRPRESIDENT-w4l 8 ай бұрын
HII NCHI INACHOSHA SANA. NAAPA Siku nikiwa RAISI NITAWAUA WOTE Wanaonyanyasa wananchi wanguu Maskini ✍️✍️
@stevenjoshua5866
@stevenjoshua5866 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 8 ай бұрын
AMINA ❤❤❤❤❤❤
@Happizo
@Happizo 8 ай бұрын
😢😢😢😢asee
@LeopardAmoskomba
@LeopardAmoskomba 8 ай бұрын
Tunaomba kila.mkoa akae mwaka mmoja
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@livingstoneshakur5970
@livingstoneshakur5970 8 ай бұрын
Lakini wa TANZANIA WENZANGU MNAONA JINSI VIONGOZI WALIO KARIBU NA WANANCHI HAWAWAJIBIKI KUTATUA MATATIZO YA WANANCHI
@aloycesamba998
@aloycesamba998 8 ай бұрын
Yaan kwa kweli baadhi ya viongozi wamekuwa wazembe sana
@geoufo2858
@geoufo2858 8 ай бұрын
Kwani wakuu wamikoa mengine hawana nguvu kama za makonda watusaidie au mbona cwasikiii kabisa
@jamesakhabuhaya4747
@jamesakhabuhaya4747 8 ай бұрын
Mnaomzunguka makonda naombeni chonde chonde MUNGU awalinde muweze kumlinda sana huyu jamaa.tusije yukampoteza kama tulivyompoteza magu wetu
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 8 ай бұрын
baada ya makonda huyu mwanasheria Ni mtu wangu wa nguvu
@IdrissuHassan
@IdrissuHassan 8 ай бұрын
Kisha wanatokea kundi la wahuni kumponda Kwa kazi anayofanya
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 8 ай бұрын
😢😢😢
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 8 ай бұрын
Wazembe wakubwa
@EliudMigishagwe
@EliudMigishagwe 8 ай бұрын
Kiukweli mpaka nimemwaga machozi inaumasana
@evelina9621
@evelina9621 7 ай бұрын
Inatosho.rais.apu?
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 8 ай бұрын
Makonda umesahau wilaya moja katika mkoa wa arusha wilaya ya ngorongoro chonde chonde wakumbuke
@hellonmabeche8999
@hellonmabeche8999 8 ай бұрын
😢😢
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
NDATHIITE KUONA A FAMOUS GOSPEL ARTIST NGIINUKA NDI PREGNANT 🤰
8:37
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 3 М.
🔴 LIVE | RC MAKONDA ANAKIWASHA ARUMERU MUDA HUU...
4:30:37
OFFTRACK TV
Рет қаралды 1,6 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН