natujifuze kutokana na mahandiko mataka tifu ili tuwe watu safi mashozi baba yetu mungu
@yudamsongore651411 ай бұрын
MasomoYenuNiMazuriMno
@khairatzinzibar14348 жыл бұрын
Baraka zikushukie siku zote za maisha yako
@marthaluka90227 жыл бұрын
baraka ziambatane na maisha yako
@estaedwardedward77506 жыл бұрын
mungu akubalik na aweze kkzidishia zaid
@johnnyngowa90484 жыл бұрын
Amen
@graceamani64886 жыл бұрын
ubarikiwe sanaaaa
@eliudhajilingasiku55127 жыл бұрын
Bwana akutendee mema siku zoote za uhai wako, Ameen.
@johnnyngowa90484 жыл бұрын
Naww pia
@ledrahtanzaneasexual3246 жыл бұрын
Amn
@israelkinganga88495 жыл бұрын
Ubalikiwe
@stevenbupamba41612 жыл бұрын
Ahsante
@mamatuishi-mamatuondoke88228 жыл бұрын
Ufe uzee mwema na ujae heshima kama baba ibrahim--thenk you my frend
@johnmwakasege26477 жыл бұрын
Mungu akubariki sana siku moja tuonane mbinguni
@johnwilliam14207 жыл бұрын
heri mtu amtumaini yemungu hatatikisika kama mrima sayuni
@mutukumainga91035 жыл бұрын
Nina jengeka sana kiroho kwa kusikiliza biblia ikisomwa... Mungu akubariki sana kwa usomi mzuri
@rozaikelelo33746 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@ireneandrew16216 жыл бұрын
umebarikiwa.. ahsante sana mtume mwema wa Bwana!
@belianludisi34606 жыл бұрын
Barikiwa katika jina la Yesu Amen
@elibarikilaizer94316 жыл бұрын
Nashukuru ubarikiwe bilele. Daima
@mammyali34248 жыл бұрын
amen sichoki kusikiliza ubarikiwe na Bwana. ...
@mmasabahelanya29617 жыл бұрын
Mmsa bahelanya
@mmasabahelanya29617 жыл бұрын
Amen
@hurumasafarielisha73186 жыл бұрын
Barikiwa
@Nnnnnnnnnnnnnnnnnnnmmmmmmm4 жыл бұрын
Amen smen ubariwe saana 🙏🙏🙏
@ghhfgbgfhh19806 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@salmamustapha2896 жыл бұрын
Mungu akubaliki sanaaa
@sarahgichuru40068 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka unaye tuletea injiri mpaka kwa simu # jordan
@fridahmaingi60256 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka..
@Nnnnnnnnnnnnnnnnnnnmmmmmmm4 жыл бұрын
Amen Ubarikiwe
@sagilongonile41918 жыл бұрын
mungu ni pendo atupenda
@mariammariamjumatano81976 жыл бұрын
mungu akusimamie
@africafrank49938 жыл бұрын
Ameni
@nelsonishengoma62428 жыл бұрын
amen
@carolinetalam58325 жыл бұрын
Amen
@iddyissa81103 жыл бұрын
God is love
@MariettaNyoniАй бұрын
❤
@nambokasafi37804 жыл бұрын
Biblia takatifu agano
@abduldaniel62736 жыл бұрын
asante sana
@dimariaanger68918 жыл бұрын
nice
@antonymsemwa71487 жыл бұрын
matako majalii
@hurumasafarielisha73186 жыл бұрын
Mungu akupenguvu sikuzote uendeleee kutupa injili baba
@williamsville34932 жыл бұрын
@@antonymsemwa7148 Ndugu vipi tena hiyo post😠😠😡😠😠
@kelvinvenance14837 жыл бұрын
Asante
@isayangaiyoni28687 жыл бұрын
jamani tuogope maneno ya mungu
@ufc-ultimatefightingchampi84566 жыл бұрын
Tafadharini ndugu na jamaa, tukisikiliza kwa watu au tukisoma haya maneno yalio andikwa na watu Yaani ni Biblia au vitabu vyovyote vinavyo Hadithia maneno ya mungu , Tujitahidi kuelewa maana zake, la sivyo tutapelekwa motoni kesho kwa Mungu, kwa kuamini na kuhabudu visivyo habudiwa. Mungu hana huruma kwa makosa yetu wenyewe kwa kufauta ushawishi bila ya kufuatilia maana yake. sasa kama Adam na Awa walizaa watoto wawili, yaani Ken na Abel. Ki ukweli Duniani kote kulikuwa na watu wanne si ndio yaani Adam, Awa, Ken na Abiel, Na baada ya Ken kwa kumuhua kaka yeke Abel kwa chuki ya wivu na mungu hakupenda si ndio , na Ken hakaondoka kivyake, na Duniani kulibakia na watu watatu yaani Adam, Awa na mtoto wao Ken, na huko Ken halipo kwenda hakamuoa mwamke na kuzaa nae si ndio, swali ni hili, Huyo mwanamke halie muoa Ken nakuzaa nae, Halitokea wapi? naomba mni saidie kunijibu, God bless thanks.
@fridahmaingi60255 жыл бұрын
UFC-Ultimate Fighting Championship** pengine mungu alishusha mke kutoka mbinguni,you never know sababu kama akona uwezo wa kuumba je asiwe na uwezo wa kushusha mtu kukoka mbinguni?never doubt the word of God .
@ufc-ultimatefightingchampi84565 жыл бұрын
@@fridahmaingi6025** thanks kwa kunijibu Fridah Maingi.. ...lakini unachosema ni unakifiria kutoka kichwani mwako, na wala hakipo katika Biblia tunazozisoma kwamba mungu halishusha mke kwa Ken, jaribu kuwa mkweli na mlango wa peponi utakukalibisha, usiwe bendela ufuata upepo yaani usiogope kuwa mkweli na mungu God bless ..
@fridahmaingi60255 жыл бұрын
UFC-Ultimate Fighting Championship**sitasema sana nisije nikaleta kutoelewana ..pili mungu ujitetea mwenyewe.lakini si unakumbuka biblia inasema kuna mambo mengi mno ambayo yesu alitenda lakini hayakuandikwa?kwanini tusiamini baada ya mungu kuumba watu wa kwanza aliendelea kuumba?sio watu wote walioishi enzi hizo yenye yaliandikwa...bali tu yenye yatamfanya mwanadamu ajue kunaye muumba wake.
@ufc-ultimatefightingchampi84565 жыл бұрын
@@fridahmaingi6025 Asante Fridah..usijali hatutokoseana ni tuna helimishana kuhusu kumfahamu mungu,,Unaishi wapi