Mungujaria vita iishe mamia yawatu wanakufabira hatia
@SaraphinaKidoti-qe7gi7 ай бұрын
Free palestina
@AliNassor-qt6fm7 ай бұрын
Israel ameona hawezi kufikia malengo yake amepoteza vita , ameshindwa kidiplomasia na hawezi kufikia daima , free Palestine
@charlesboniphace22497 ай бұрын
Unajitekenya
@user-to6up4hg2w7 ай бұрын
@@charlesboniphace2249 you don't know anything about them
@emmadora78487 ай бұрын
Ila mnafurahishaga nyie 😂😂😂😂😂😂😂, mnajua sana kujitoa fahamu
@Anthonyzombie-d2s7 ай бұрын
We chz kwel watu waliokufa huon kam kaomdoa uhai wa watu wengi ,akil finyu ya kufikri
@emmadora78487 ай бұрын
@@Anthonyzombie-d2s tatizo huwa wanataka waonekane ni washindi katika kila kitu
@hawaaseif28627 ай бұрын
YaaRabbi,YaaAllah waokoe wenzetu uwape uhuru wao kwa rehma zako🤲
@hamisiprinsi52407 ай бұрын
{ وَإِذَا قِيلَ لَهُمۡ لَا تُفۡسِدُواْ فِي ٱلۡأَرۡضِ قَالُوٓاْ إِنَّمَا نَحۡنُ مُصۡلِحُونَ } [Surah Al-Baqarah: 11] Ali Muhsin Al-Barwani: Na wanapo ambiwa: Msifanye uharibifu ulimwenguni. Husema: Bali sisi ni watengenezaji.
@FoxManTZ7 ай бұрын
Napenda chambuzi zako Ali Masubi
@KhamisOmar-kt4kz7 ай бұрын
Wanaf8ki wakubwa hawa
@Brunotarimo107 ай бұрын
Wawape wapalestina uhuru wao
@omarmohammed51577 ай бұрын
Na hapa unaangalia wanachotaka wao ni malengo yao tu kutimia ni si kwa ajili ya palestine
@MylaJoel-h2p7 ай бұрын
Jamani tatizo mko kishabiki kasome vitabu hasa biblia aya yanayoendelea yalitabiliwa na lazima yafanyike
@azizayassin36237 ай бұрын
Israel warudi walikotoka Europe 🇪🇺
@MaurusMpinga7 ай бұрын
Moto ni ule ule tu marekani inataka vita iwe ya muda mrefu
@Mumewangu7 ай бұрын
Wamarekani wanafiki tu
@hassangaddafi23477 ай бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian 🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@Momero-q7p7 ай бұрын
Israel na mmarekani yote nikitu kijoma. Wanachezeya watu akili tuu. Mpago ni mmoja.
@King_Of_Everything7 ай бұрын
👊✌️👍.
@Shafikimanga77 ай бұрын
Mtu mzina kaona anapoteza, lakini uchumi wa israel umeshuka. Lakini hiyo ni njia ya mmarekani kuongeza nguvu ukrain kimdhibiti putin
@zebedayokatamaduni96767 ай бұрын
Kula ugali ulale unajua vita wewe😂😂.
@ManenoAlexander7 ай бұрын
Iyo imeonyesha nikweli kabisa
@hemedjackson22617 ай бұрын
Hawa jamaa zake Ruto wanafiki sana
@billskeez927 ай бұрын
Bro Sky mtafute ka melody kakinyamwezi kipindi ALLY MASUBI anapo kua anatoa uchambuzi kawe kanasikika
@JeannetteManirambona-o6m7 ай бұрын
Mwendo mdogo mdogo mungu anawaona wa pelestine watapata haki yao
@nadhifamustapha75577 ай бұрын
Free Palestine 🇵🇸
@omarmohammed51577 ай бұрын
Biden anazungunza pumba snaa nothing plan yao
@mapundawilliam3707 ай бұрын
Gaza imeisha yote na hamasi wamekimbia mafichoni,raia wanaisha kisha bwege mmoja anasema Israel imeshindwa Vita😂😂 kwakwe mtaliwa kila siku na mbwa
@Bahati477 ай бұрын
Ama kweli hujielewi hujui hata nini maana ya vita ukiona mtu anatumia nguvu kuuwa raia kuliko wanajeshi nchi km Palestine hawana jeshi hiyo hamasi ni mgambo tu ambao hawana silaha ya kupigana na Israel ambayo inapewa kiburi Cha silaha na nchi kubwa kubwa duniani yaani hii vita ilitakiwa ichukue wiki Moja tu kukmboa mateka na kuwamaliza hamasi lkn sasaivi ni mwenyezi wa 7 Sasa hamasi Bado wapo na mateka hawajawakomboa wanaishia kuuwa raia na watt wasiokua na hatia
@zebedayokatamaduni96767 ай бұрын
Unaona 😂😂
@konshazikonsha61807 ай бұрын
Sasa hapo kinacho kufurahisha ni Nini? Umesha sema Raia wanakwisha. Are u sick in the head or what, is there something wrong with u!!!!😇😇🤔🤔🤔
@nicksonnewton15407 ай бұрын
i bet Israel hawajafika malengo ya kuteka Philadelphia cordor lets watch i bet 100k
@888starzaffiliete7 ай бұрын
Dj sma ndio katimuliwa ama????
@mahawijr967 ай бұрын
Kila kukicha mipango
@josepheriah59777 ай бұрын
Vita iendeleee
@Awatee7 ай бұрын
Vikiendelea utafaidika nini ifriti weye mjukuu wa iblis maluun
@fatmaOmmy7 ай бұрын
Huna huruma wallah 😢mungu akusamehe
@AliNassor-qt6fm7 ай бұрын
Ili iweje? what kind of foolish
@mustaphakhamisikhamisi7 ай бұрын
Muombe mungu asije kuletea baina yako wewe na family yako ikawa kama adhabu kwako
@MohamedAhmada-ie7ke7 ай бұрын
Iyo ndio rangi halisi ya roho yenu na tutaona kuliko haya, na dunia itajua jinsi makafiri mlivo na roho ya kikatili
@mapundawilliam3707 ай бұрын
Hao magaidi wakome, waliomba Vita na Israel sasa wanalia nini? Kerere zanini,kama huna uwezo usimchokoze Israel,mtatawanyika kwa njia 7.God bless Israel
@user-to6up4hg2w7 ай бұрын
@mapundawilam you're so stupid you don't anything
@johannesssamsonambogo41257 ай бұрын
Mchambuzi ni sheik sasa unategemea nini 😂😂😂
@salehkhalfan73457 ай бұрын
Bs haya Izrael imetimiza Malengo yke
@zebedayokatamaduni96767 ай бұрын
@@salehkhalfan7345bado
@Latifahhassan-lr8ew7 ай бұрын
Aly, unamaanisha nini unaposema wanamgambo?
@bonifacemeela52477 ай бұрын
Ni makundi au vikundi vya wapiganaji ambavyo havipo chini ya serikali yaan jeshi au polisi Sawa na kusema wananchi wanakusanyana na kupambania Hitaji lao flan
@thefactbook...16077 ай бұрын
@@bonifacemeela5247ahsante sana 👏
@hawaaseif28627 ай бұрын
Ni Kama kikosi kazi agila wakiongozwa na cardo dalisay 😂@@bonifacemeela5247
@zuricakes68177 ай бұрын
@@bonifacemeela5247 Magaidi..hata ukiremba vipi😀
@adamkapolo88177 ай бұрын
Kuna watu hawataki kuwaunga mkono wapelestina eti kisa waislamu tuacheni udini jamani tuangalie ubinadamu hizi ni damu za watu wasio na hatia watoto wadogo ipo siku zitalipiwa
@emmadora78487 ай бұрын
Wasio waisilamu wangapi katika Dunia hii wanaandamana Kila siku na kupinga hivyo vita? Acha wehu wewe ,umeona watu wakiandamana Qatar,Saudi,Jordan ,misri au kwenye nchi zenu 57? Always ninyi ndio mna roho mbaya sana , wakifanyiwa tukio baya wasio waisilamu mnashangilia na kufurahia sana kama tu mlivyofanya October 7
@zebedayokatamaduni96767 ай бұрын
Lengo la Hamasi ni dini siyo utawala. Acha Hamasi wapigwe
@festokasongi45377 ай бұрын
mbona watu africa wanakufa lakini akuna anaepaza sauti duniani...please israel keep it up😢