MSHINDI Wa Bongo Star Search Alivyoimba Kwa hisia Kweli anafaa kuwa mshindi

  Рет қаралды 238,853

BINGO ONLINE TZ

BINGO ONLINE TZ

Күн бұрын

#MESHACK #BSS

Пікірлер: 218
@ivarngasper2055
@ivarngasper2055 4 жыл бұрын
Mbeya boy✔✔ Pongezi ulistahili kutwaa taji homeboy✔✔ Mbeya House of Talent💝💝
@theclabatromeo9089
@theclabatromeo9089 4 жыл бұрын
IVARN GASPER Tisha sana
@marrymichael675
@marrymichael675 4 жыл бұрын
Yaan Jana nimekaa nikimuombea sana meshaki walahi nimefurahia ushindi wake kama vile tutagawana😀😀mungu nimwema nilikua Nikimuombea xana jamani.
@masoudmussa7242
@masoudmussa7242 4 жыл бұрын
Ametixhaaa xana
@johgalamwenda1464
@johgalamwenda1464 4 жыл бұрын
Namkubal San huyo jamaa
@zawadielias6251
@zawadielias6251 4 жыл бұрын
Hahahahahahaaaaaaa!!!!!
@magzakky2781
@magzakky2781 4 жыл бұрын
I need this guy he sang so much.. With perfection he made the song his he reminds me of lucky dube.... Kweli MBEYA pple are also talent like kigoma pple mmmmmm.. Rayvanny watch your bro.... Napenda bongo napenda wabongo much love from Kenya #254 🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@bakarionesmo8190
@bakarionesmo8190 4 жыл бұрын
Dogo hongera sana aiseee nakukubali sana unajua kutembea na beat 😂😂😂 like zenu kama unamkubali jamaa uyu
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Ndio bakar na mwaka huu Kuna vipaj vikal Kuna ay, kiba na zuchu hatar kwel kwel mambo ni moto
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Ya anakweda na biti kaka yangu ni msanii analipaj cha kuimba na kulapu mkal naye walikuwa kitaa na makempu wanamkubal wanamualika anatunga na nyimbo
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Zaman alikuwa anakwendaga Sana Kwa mastar j nilianza msikiaga kwake
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Naipendaga hiyo nyimbo nyimbo nyingi za laki dube nazipenda
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Anajuwa kuivuta saut
@winifridasylivestermachila9490
@winifridasylivestermachila9490 4 жыл бұрын
Ukweli ni haki yako kushinda sababu unazo Vigezo unavyo Uwezo unao God bless you Akufanye mshindi kakita kila hatua bg up Meshack I love youuuuuu❤️💞💋
@jastinmtewele8792
@jastinmtewele8792 4 жыл бұрын
Hongera meshack Hakika umestahili kua mshindi. God bless you
@neemamaisely308
@neemamaisely308 4 жыл бұрын
Hongera meshack wangu😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊Nakutakia kila la heri baba kaza buti utafanikiwa zaidi na zaidi ngoja niendelee kunywa juice ya ukwaju😋😋😋😋😋
@anethnyanga3848
@anethnyanga3848 4 жыл бұрын
Aiseeeee umetisha Meshack gooooooood
@carolmwinzi9845
@carolmwinzi9845 4 жыл бұрын
U are real a star ,may God shine ur stars bro from Kenya, I liked everything u did all the way.
@betinaidifonce8213
@betinaidifonce8213 4 жыл бұрын
wap wa2 wa mbeya jaman nilikuwa nataman sana uwe mshind na kwel imekuwa hongra sana ❤️❤️
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 4 жыл бұрын
Nimejaribu kumtoa kasoro lkn duuh kanishinda hongera
@clarakapinye6129
@clarakapinye6129 4 жыл бұрын
Yan kumbe kuna watu wanaimba vzr to mlikuwa kila siku hamis hamis aaaaaah big up meshaki
@raheemalewa9219
@raheemalewa9219 4 жыл бұрын
umeonaeee
@angeljohn6116
@angeljohn6116 4 жыл бұрын
Nakupenda meshack Rudi mbeya kwa kishindo 😚😚😚
@fahammbegu8825
@fahammbegu8825 4 жыл бұрын
Angel John bondiamwakinyo
@zabronsimfukwe
@zabronsimfukwe 4 жыл бұрын
Ajee om tumpeshangwee
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 жыл бұрын
Nyimbo za marasta wooote duniani pqmaoja na Master J ndo maana kawa mshindi BSS
@mohamedmwandugu6627
@mohamedmwandugu6627 4 жыл бұрын
Meshack keep going bro and let the sky be the only limit in your dreams,mob love from#254 Mombasa
@agneschinguku1022
@agneschinguku1022 4 жыл бұрын
Hongera meshack umetuwakilisha mbeya vizur
@mathewandrew3141
@mathewandrew3141 4 жыл бұрын
Meshack ni moto msingine
@elizabethafrolence6499
@elizabethafrolence6499 4 жыл бұрын
Umeona jamani
@amynarajab9557
@amynarajab9557 4 жыл бұрын
Meshack jmn hujui ni jins gan nilikua nataman ushinde
@prosperjuma905
@prosperjuma905 4 жыл бұрын
BSS mmetenda haki kabisa hapo. Big up
@seyaorongo7466
@seyaorongo7466 4 жыл бұрын
Meshack Meshack Meshack Meshack Meshack Meshack umestahili kuwa mshindi Mungu awe pmj nawe ktk sfr yako ya muziki hongeraaaaaaaaaaa mwaaaaaaaaaah
@victoriamkilya928
@victoriamkilya928 4 жыл бұрын
Hongrera sana Meshack, ulistahili. Hongereni pia judges mmetenda haki. Heshima ya taasisi yenu imekua sana!
@charayohana3463
@charayohana3463 4 жыл бұрын
saf sna meshack kwa kazi nzuri uliyoifanya
@erickjery8884
@erickjery8884 4 жыл бұрын
Big up meshack
@feysanga4172
@feysanga4172 4 жыл бұрын
Waohhhhh so lovely God bless you meshack
@arbogastemiykimario2721
@arbogastemiykimario2721 4 жыл бұрын
Ni nipo tafauti hii mambo inakuaga ni uwezo but plus bahati bana .kama unanikubalia gonga like
@sharifaselemani4608
@sharifaselemani4608 4 жыл бұрын
Mi nilianza kukupenda nangia umeingia mbeya kwenye usahili love u my brother
@priscargodwel8333
@priscargodwel8333 4 жыл бұрын
Daaaaaaah!! Nilijua tu kua mshindi atatoka mbeya kozi daaaaaaha hongera meshack
@jesusislordrepentanceandho4432
@jesusislordrepentanceandho4432 4 жыл бұрын
Am so much excited I was wishing for him
@benpius3076
@benpius3076 4 жыл бұрын
You have nailed it mercilessly brother and you deserve to be le champione ... congratulations
@maryfocus5499
@maryfocus5499 4 жыл бұрын
U made day happier thanks meshack 😍😍😍
@tuntumajan5091
@tuntumajan5091 4 жыл бұрын
Mimi simkubali masta J. Wala meshak. Hamis ndo alikua mpango mzima. Japo Mm napenda reggae music. Ila hamis ni nooma
@rabbythedon753
@rabbythedon753 4 жыл бұрын
mwanangu umetisha sanaaa nakukubali💪💪💪
@stephanomwankamanga472
@stephanomwankamanga472 4 жыл бұрын
Mshind tulimuon tokea mwanzo
@halisiaisaya7832
@halisiaisaya7832 4 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kujibu maombi yngu.
@kelvincharles5331
@kelvincharles5331 4 жыл бұрын
Hahaha
@aishaqute7656
@aishaqute7656 4 жыл бұрын
Meshack 💕💕💕💕💖
@anethjoachim580
@anethjoachim580 4 жыл бұрын
Hongera mungu ni mwema wewe ni muimbaji hatari
@biviankamulali2169
@biviankamulali2169 4 жыл бұрын
Bonge la star ktka mbeya ongera sana
@rahimmanjolo7312
@rahimmanjolo7312 4 жыл бұрын
Meshack atari sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@monicasimon6845
@monicasimon6845 4 жыл бұрын
Ila humu wanafki mwanzo mlikuwa mnamsifia hamis sasa hivii kwa kuwa kaanguk mnaanza kumponda kwel binadam sio watu
@azizimakotha4929
@azizimakotha4929 4 жыл бұрын
Hahahaha
@salumramadhan6221
@salumramadhan6221 4 жыл бұрын
Jaman like hata moja
@mwajejasson6995
@mwajejasson6995 4 жыл бұрын
Mbeya city home bress to meshark mungu kakufungulia njia
@seyaorongo7466
@seyaorongo7466 4 жыл бұрын
Mwaje Jasson Mungu ni mwema maombi yetu yamesikika nilimuombea sana Meshack ashinde
@mwajeynzitto2367
@mwajeynzitto2367 4 жыл бұрын
Sjawah kukupa kura yangu lakin hongera mpepo na hamis kidogo maana alikupa changamoto ya kujitma zaidi
@annahkimani3141
@annahkimani3141 4 жыл бұрын
Mwenye aliimba wa kwanza naeza mpataje I would like to join him
@amourzubeir7306
@amourzubeir7306 4 жыл бұрын
Jamaa ameweza kama mwenyew amefufuka dah aiseee ,anabalaa hyu jmaa, congratulation boy marshak
@mbarushimanajeanmarieviann6275
@mbarushimanajeanmarieviann6275 4 жыл бұрын
I like
@cristianjackson6128
@cristianjackson6128 4 жыл бұрын
Criaz nkachukuw nyimba ya chrss brown nikaa naataye imba ya reyvan vizur ila yule wa chrss ilye znguwa ataonekana anauwezo mkubwa sana kibongobongo
@anthoniajulianus7494
@anthoniajulianus7494 4 жыл бұрын
Kwa straggler hii afu mtu anadhulumiwa asee walaaniwe wote waloshiriki upuuuzii huo
@mariamusaid2851
@mariamusaid2851 4 жыл бұрын
Hongeraaa
@kisegeselokisegeselo3815
@kisegeselokisegeselo3815 4 жыл бұрын
Kura nilizopiga hazijaenda bure hongera Meshack Fukuta mbeya boy
@hildakalist7651
@hildakalist7651 4 жыл бұрын
daaaah umeshinda kiharali big up
@hassanmsonde7426
@hassanmsonde7426 4 жыл бұрын
Jamaaaa co pouw kabx
@shalifumlanzi7328
@shalifumlanzi7328 4 жыл бұрын
M nlisema toka mashindano yanaaza mshind n meshack fukuta weng wakabisha sasa wamejionea hamis kuimba ilkuA n 0 n nyota tu ndo ilmpa Cheo fukuta safffffff
@jailosmbwilo5862
@jailosmbwilo5862 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘😘
@jumalove2631
@jumalove2631 4 жыл бұрын
Ana style msim huu mlizingua kwa Mariam tu yule Dada alikua shida
@zuhuranadahhinda1366
@zuhuranadahhinda1366 4 жыл бұрын
Duwa zangu zimepokelewa
@braysonmajani8557
@braysonmajani8557 4 жыл бұрын
Wangempaga tu mapema mbona nilijuaga kua anastahili ushindi hongera Sana meshaki nakutakia mafanikio
@mrzugamelck6247
@mrzugamelck6247 4 жыл бұрын
Jamaa anaimba ni fundi
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Hivi kumbe alishindaga meshak mwaka uliopita nilikuwa namkubal naye nilizan alishinda sarafina kama naye alishinda.
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Good trial brother
@zabronsimfukwe
@zabronsimfukwe 4 жыл бұрын
Wale tulio mbeya oyeee home boy oyeee nilijua
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 4 жыл бұрын
😭😭😭Remember Me Rip Lucky Dude
@floraritha1454
@floraritha1454 4 жыл бұрын
.ajal
@jacquecharles9282
@jacquecharles9282 4 жыл бұрын
meshak SAFIIII,,, unastahil
@haggymeee530
@haggymeee530 4 жыл бұрын
Congrats meshack👏👏👏👌
@saidsoud5967
@saidsoud5967 4 жыл бұрын
Meshack ni msanii zamani huyu
@emmanuelqaday6949
@emmanuelqaday6949 4 жыл бұрын
anafaa hongera sana tangu mwanzo nilikuwa mshabiki wake
@dunianitunapita3535
@dunianitunapita3535 4 жыл бұрын
Yaan watu hawana nyota kabisa pamoja na kufanya vzr ila hamisi ndio maarufu sana utafikiri ndio mshindi wa bss 2019
@nyandongotv7585
@nyandongotv7585 4 жыл бұрын
Good
@jacquriciouslusekelo3096
@jacquriciouslusekelo3096 4 жыл бұрын
Jomooon hom boy nlikup mia toka nmekuona japo Leonard alikuw akinitixh ckukat tamaa kusem wew and mxhind chezea mbya 2018 tulichukua namb mbil ya asagwile now ni balaaa mbya hatujawah kufel
@annnyoks7008
@annnyoks7008 4 жыл бұрын
Million votes
@mkandaabushiri5481
@mkandaabushiri5481 4 жыл бұрын
Kilichomwokoa ni kelele za mashabiki tu kweri maleem alikuwa akiimba ivyo mh izi BSS jamani mashabiki kelele tu bas
@minaside6717
@minaside6717 4 жыл бұрын
Alafu bado mdogo , Mungu akukuzie kipaji chako.
@daniellaaidal2233
@daniellaaidal2233 4 жыл бұрын
Congratulations Meshack
@gelefasjames4287
@gelefasjames4287 4 жыл бұрын
Anastahili Jamaa Yuko poa Sana'a
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 4 жыл бұрын
Nilihisi ndiyo atashinda hongera Sana hakiyako
@elizabethafrolence6499
@elizabethafrolence6499 4 жыл бұрын
Tunashukuru hm boy na mbeya tumeonekana
@yunnpaulo8131
@yunnpaulo8131 4 жыл бұрын
Nom cna ongera
@elizabethafrolence6499
@elizabethafrolence6499 4 жыл бұрын
@@yunnpaulo8131 asantee
@frankmussa4093
@frankmussa4093 4 жыл бұрын
Halina ubishi ni moto🔥
@edsonpeter5269
@edsonpeter5269 4 жыл бұрын
yaan bila unafki huyu dogo anajuaaa yaan n fundii wa muzikii
@hidayayussufu7080
@hidayayussufu7080 4 жыл бұрын
Kujiamini raha Sana,huwezi kukuta unakosea popote kwa kujiamini kwako.hongera sana
@evachengula1473
@evachengula1473 4 жыл бұрын
Kweli kabisa kujiamini ndo kila kitu
@hidayayussufu7080
@hidayayussufu7080 4 жыл бұрын
@@evachengula1473 kabisa yani
@Johnnyphilimon
@Johnnyphilimon 4 жыл бұрын
Mbeya stand up
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
Lkn Hamisi alipaswa kuimba Redemption song ya Bob Marley kwa utulivu wake angewabwaga naamini🇦🇽🇦🇽
@hadijasalimu1808
@hadijasalimu1808 4 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤💪💪👄👄👄ninavyo penda iyi nyimbo
@jastinmamba6022
@jastinmamba6022 4 жыл бұрын
Ukhuty khadija hii nyimbo inaiywaje nataka nitafute mana yake jina la nyimbo please na msanii alieiimba
@amidusamson8168
@amidusamson8168 4 жыл бұрын
Jamaa anaweza
@beatricenzagara8431
@beatricenzagara8431 4 жыл бұрын
Thanks God for Meshack
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 4 жыл бұрын
Figisu San hastahili uyu bora hamiss
@anethjeremiah2659
@anethjeremiah2659 4 жыл бұрын
Hongera mno mdogo wangu
@salmasaid2401
@salmasaid2401 4 жыл бұрын
Hingera meshark ila angeliwekwa hamis fainal usingelishinda kwa kweli
@happyjustine3364
@happyjustine3364 4 жыл бұрын
Hamis hat kam angelikuwep asingeshinda
@nurumnyota8615
@nurumnyota8615 4 жыл бұрын
Huyu si wa kumfananisha na mtu ambaye hajaingia final dear,huu mziki mnene😍😍😍
@atasioanatenda610
@atasioanatenda610 4 жыл бұрын
Asante dogo
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
🔥
@benjamindenice53
@benjamindenice53 4 жыл бұрын
Diamond tafadhari, usitupe hiki kipaji
@michaelgermany173
@michaelgermany173 4 жыл бұрын
Dogo ww ni sumu unajua hatar yaani ww ni staa tu haina namna konki huyu dogo
@priscargodwel8333
@priscargodwel8333 4 жыл бұрын
Mimi nilisema mshindi anatoka mbeya kozi dogo unajua jamani
@eliluckgodluck642
@eliluckgodluck642 4 жыл бұрын
ulistahili kupata tunzo kijana kwanza unaonekana unanidhamu
@harithiothman7074
@harithiothman7074 4 жыл бұрын
Hongera
@winfridamchelema7876
@winfridamchelema7876 4 жыл бұрын
Meshack mungu ni mwema
@hildakalist7651
@hildakalist7651 4 жыл бұрын
umeitendea haki hiyo nyimbo saf
@loseaofficialchannel4665
@loseaofficialchannel4665 4 жыл бұрын
Lady jay dee timiza haadi yako
@neemakombe4535
@neemakombe4535 4 жыл бұрын
Kwa kweli alisema ata ritaya
@barakaeleneus7859
@barakaeleneus7859 4 жыл бұрын
Frank alipotoka jide alikasirika akaondoka hakurud tena
@loseaofficialchannel4665
@loseaofficialchannel4665 4 жыл бұрын
Kiukweli sitegemei kumuona tena maana Frank alikuwa anajua lakn ndo ivo @lady jdee timiza hii haadi plz😊😋
@KhibeHulama
@KhibeHulama 4 жыл бұрын
mshind na nusu wa bss ndo huyu
@masoudsaid6427
@masoudsaid6427 4 жыл бұрын
Kuna kitu cha kujifinza utawala huu watu hawatunzi vyuma v.....
@dilipdab3714
@dilipdab3714 4 жыл бұрын
Mipango.yenu.imetimia.tayari.hio.uyoo.hanakitu.bc.mpelekeni.wcb.tena.kwa.venlboy
@jackiemac1525
@jackiemac1525 4 жыл бұрын
Tokea mashindano yanaanza niliwaambia home huyu ndo mshind wa bss
@happydavid7194
@happydavid7194 4 жыл бұрын
Mbeya oyeeee
@hamiskalulumbe7768
@hamiskalulumbe7768 4 жыл бұрын
Noma xana jank katixha mbaya mazeee
@captenndunga6199
@captenndunga6199 4 жыл бұрын
Mi naonaga hii BSS kama kaujinga flani hv mngekua mnawaambia washiriki waimbe nyimbo za kutunga wao na hayo ndo mashindano ya kutafuta vipaji sasa mtu anakua mshindi kwa nyimbo za watu... NDO MANA MIAKA YOTE MSHINDI WA BSS HAFIKI MBALI. Sasa hapo anaimba vizur lakini kumbe utakuta kwenye utunz wa nyimbo zake ni bora ukawasikilize SIKINDE NGOMA YA UKAE.
@gisellebusime6578
@gisellebusime6578 4 жыл бұрын
CAPTENN DUNGA siyo kilamutu anakipaji chakutuga nyimbo kunawasani wegi ambao wako na sauti nzuri ila awajuwi kutuga iyo nikipaji kigine kutoka kwa Mungu ata America got talents wanaimba Ka zawatu siyo tu BSS na usisahau kuwa ata kuimba nyimbo zawatu nayo nikipaji kigine siyo wote njo wanawezaka kuimba zawatu
@captenndunga6199
@captenndunga6199 4 жыл бұрын
@@gisellebusime6578 sasa huo sio usanii na ndio mana nikasema namba moja wa BSS hawafikagu mbali hata huyo mpe mwaka 1 utamsahau au niambie ni namba 1 gani wa BSS yuko kwenye indasri? Ila PITA MSECHU, KALA JEREMIA, LINNAH, ni matunda ya BSS na hawakua namba 1.. kwa mfano huo utaona kabisa kua kuimba nyimbo za watu bila kujua kutunga za kwako sio kipaji.
Bongo Star Search 2019 | Ep 10 Top 10 Full Show
59:20
BongoStarSearch
Рет қаралды 600 М.
Nyimbo ya Hamiss wa Bss na Harmonize kwa mara ya kwanza kwenye jukwaanu
10:14
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 4,4 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 3,6 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 6 МЛН
5 UNEXPECTED Golden Buzzer Auditions that will SHOCK YOU!
33:17
Popcorn
Рет қаралды 2,1 МЛН
Bongo Star Search 2019 | Ep 9 Top 10 Full Show
58:39
BongoStarSearch
Рет қаралды 464 М.
Madam Ritha aeleza kila kitu Kilichomrudisha Hamisi BSS
5:57
Director Willy
Рет қаралды 113 М.
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 4,4 МЛН