BINTI AMLILIA MTOTO WAKE/ ALIMUACHIA MAMA YAKE MKUBWA/HAIJULIKANA MTOTO ALIPO MAREKANI AU MBEZI

  Рет қаралды 111,961

Geah Habibu

Geah Habibu

Күн бұрын

Пікірлер: 984
@habibakisiwa2605
@habibakisiwa2605 4 жыл бұрын
Hii Kali wanaoamini mtoto kauzwa like hapa
@hawamashaka7235
@hawamashaka7235 4 жыл бұрын
Pole tupo pamoja mamy mm mwenyewe nilizaa nikiwa mdogo ila nilikomaa na mtoto wangu
@evagodfrey62
@evagodfrey62 4 жыл бұрын
Kauzwa kabisaaa Kama sivyo wamwambie ukweli mtt yuko hapa njooo upajue anapokaa mtt na ajue kabisa husna Ni Mam yake n huyo anae kaanae Ni mama ake mlezi tuuu
@mariamselemani5208
@mariamselemani5208 4 жыл бұрын
@@evagodfrey62 huyo mtoto kauzwa lakn usikubali mpambanie mwanao ikiwezekana mpeleke police
@zeranchimbi2808
@zeranchimbi2808 4 жыл бұрын
Mtoto hajauzwa anasaidiwa malezi
@thumabby1537
@thumabby1537 4 жыл бұрын
Pole Sana Ila ungeshitaki ungepata usaidizi wa kutosha
@zeyzey5439
@zeyzey5439 4 жыл бұрын
Mashaallah kwanza kwa kuzaa mtoto inge kuwa mwingine ange towa mimba mashaallah my ongera zako ila dai mwanao nenda kwa makufuli
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Kweli,alijitutumua kuzaa kwa kweli. Mungu amfungulie njia.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Hapo atafaulu🤗🤗
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly in shaallh
@mwanalimagamunda997
@mwanalimagamunda997 4 жыл бұрын
Hatakama ni mdangaji,mtoto ni mchungu jamani,uzuri mototo alimuacha kwa familia hakumuacha kwa rafiki,mama mkubwa atoe mototo jamani,😭😭😭😭😭
@latifalatifa7171
@latifalatifa7171 4 жыл бұрын
Mie simulaum uyo dada mupumbavu San watoto wana uma san
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 4 жыл бұрын
Kweli mtoto auma ,wampe mwanaye jamani wasimdhulumu,hakumtupa ,alimuacha na familia yake,wampe mwanawe
@suzanaagustinookelo4953
@suzanaagustinookelo4953 4 жыл бұрын
Siachii hata kama
@mwajabumussa4860
@mwajabumussa4860 4 жыл бұрын
Maadam mtoto amekujua mwache asome utamchukua
@nadhirasalum1633
@nadhirasalum1633 4 жыл бұрын
Dada Husna pole sana kwa yaliokukuta lakini usichoke kufatilia pigania na kuwe nasheria nzito juu ya watoto hata kama ni mayatima ili wasisumbuke watakapo kuwa wakubwa wajijuwe na wao ni nani ktk masha yao ya badae isichukuliwe shida tuu itizamwe na future badae ili watoto wasije wakawa hawajijui nini nani kuwachanganya''-na vilele wewe mama mlezi hata kama umeuziwa au umegaiwa basi penda AMANI tambulisha family ndio muhimu na makubaliano badae ili pawe na amani na upendo juu ya huyo mtoto huwezi kuganganya maisha na wala hakuna linalojificha ktk hii dunia madhali lipata muanga wa juwa 'peace ✌
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 4 жыл бұрын
Play stupid games,win stupid prizes! Wazee wenzangu wamenielewa......Pole sana dada ila hii stori ungesimulia kwa kijana mwengine ajifunze.
@janeisrael3474
@janeisrael3474 4 жыл бұрын
Ushauri wangu Dada ulishachemka isipokuwa ungeomba kukutanishwa na huyo Mama anaemlea mwanao mkae mezani ujue anajua Nini juu ya mtoto huyo na juu yako ili umwache mtoto wako asome atakusaidia badae lakini siyo kumchykua hutaweza kumwendeleza tafuta suluhu kwanza siyo ukabidhiwe Dada mtoto yupo sehemu nzuri kikubwa unasomeshewa
@evachriss5906
@evachriss5906 4 жыл бұрын
Wampe mtoto wake ata km mdangaji wampe mtoto anaumaa sanaa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Haezi pewa
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 4 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 kwa uwezo wa mungu atapewa ila kwa uwezo wako na maneno yako hawezi kupewa
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
@@المهلهلالحراصي Inshallah apewe kwa uwezo wa Allah
@fetychina3273
@fetychina3273 4 жыл бұрын
Apewe jamani alikaa miezi tisa tumboni mwake ukipata uchungu
@fetychina3273
@fetychina3273 4 жыл бұрын
Duh!atali
@loicezosi5582
@loicezosi5582 4 жыл бұрын
Pole sana dada pia mimi nilizaa na umri kama wako lkn sikupatwa na akili ya kuachia mtu mwanangu kabisa asante mungu nilipambana nae mwenye ila mamangu mzazi alikuja akamchua kwenda kukaa nae akaniacha nikiendelea kupambana ila jumapili mpaka niende nyumbani kumuona mwanangu hadi nilivyo pata kwangu nikawachua mama na mtoto wangu nakaa nao mwenyewe
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
Husna anajua kujieleza hadi rahaaa , kesi yake ni rahisi sana , Mamkubwa akamatwe asukumwe ndani , ahojiwe , atanyoosha maneno yote na mtoto apatikane , Lissa anaweza kulelewa na huyo adopted mother lakini ni vizuri Husna apewe taarifa zote kuhusu mtoto wake yuko wapi , analelewa na nani . Kesi ni rahisi kwasababu Mamkubwa yupo hai , Mama mwenye kituo cha kulelea watoto yupo hai , tunashukuru pia mtoto yupo hai , mbona movie ishakwisha hapo . Mamkubwa analo hilo , Inawezekana Makubwa alikuwa na nia njema mtoto akapate malezi mazuri lakini njia aliyoitumia sio yenyewe . Huyo Mama Mlezi anaemlea Lissa kama ana shida ya uzazi na alidanganya Lissa ni mwanae wa kumzaa daaah ajiandae tu kudhalilika , Husna kashazinduka huku anataka mwanae . Poleni nyotee ...
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂asukumwe ndani kwa kweli
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly Ha ha ha ha . Mamkubwa kazingua .
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
@@chayogasperi9783 😂😂😂😂yaani hatari hatari
@zannihamza1926
@zannihamza1926 4 жыл бұрын
Umeonae apewe mwanae mtoto sio machungwa bwana
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly Mamkubwa ameamua akodi watu wa kumtukana Husna , anajisumbua tu , issue ya msingi ni Shani / Lissa arudi baaasi .
@mauahamisi7547
@mauahamisi7547 4 жыл бұрын
Da gea tunataka muendelezo wa hii hekaheka apewe mtoto wake hata asnte kayumba atasoma
@latiphaibrahimu6986
@latiphaibrahimu6986 4 жыл бұрын
Ndioo Mama ako mkubwa alimlea mbona huyo Dada ako akumlea
@winfridapeter4458
@winfridapeter4458 4 жыл бұрын
Mpeni mtoto wake ameshakua anataka kulea jamani,simsemi Sana huyu dada alikuwa na akili za kitoto na hata ukimuangalia ni kweli alikuwa mtoto
@madinakheri487
@madinakheri487 4 жыл бұрын
Kweli wampe mtoto wake jaman
@udaudauda8594
@udaudauda8594 4 жыл бұрын
kweli
@liliantheodory5423
@liliantheodory5423 4 жыл бұрын
Tena sana sana utamharibia tu Mtoto maisha yake ukizingatia wewe bado hata maisha yako hayajakaa Sawa chumba kimoja bado unahangaika kutafuta maisha kwakudanga kubali tu Huyo Mtoto akujue kama wewe ni mamake. Kama unampenda Kweli mwanao utafanya hivyo ili maisha yake baadaye yasije kuwa kama yako. Mungu akutangulie
@susanejd7775
@susanejd7775 4 жыл бұрын
Ungekua na uchungu na mwanao siku alokuja nyumbani. Usingemuacha aondoke. Ww sio mama. Nnavyojua uchungu wa mama hapo pangechimbika mwanangu asingeondoka ningepiga hata kelele za mwizi.
@pieremchome5202
@pieremchome5202 4 жыл бұрын
Namshangaa anacholia nini, si aliona kudanga bora kuliko mtoto
@pieremchome5202
@pieremchome5202 4 жыл бұрын
Alafu bado anadanga huyu, gonga like kama umegundua hili
@mwanaidingogo8419
@mwanaidingogo8419 4 жыл бұрын
Huyu husna namjua vzr sana kiukweli km anavyoelezea alizaa akiwa mdogo sana akuweza ata kubeba uyo mtoto ila sasa kakuwa ana kila haki ya kupewa mtoto wake jaman wafanye tu wampe mwanae
@happypa2027
@happypa2027 4 жыл бұрын
Camuhim nikupata mutoto wake tu
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Pole sana Husna, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga 🙏
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 4 жыл бұрын
Pole dada mungu atakusaidia da wamembadilisha mpk jina Mimi nahic Kuna mama kanunua kisiri bila mume kujuwa jitahid utampata huyo mama anae mlea itakuwa pengine hakubahatika kuzaa Sasa hapo kupatikana Ni ishu mungu atakusimamia
@mamahusein4476
@mamahusein4476 4 жыл бұрын
Yani usipochangamka humpatia mama mkubwa polisi lazima
@catreinakalamariam5537
@catreinakalamariam5537 4 жыл бұрын
Daaah! Pole usna mwenyezi mungu akuongoze katika ili akikisha unapapambana kumpata mwanao
@rashidngwele3935
@rashidngwele3935 4 жыл бұрын
Aaah kafeli mwenyew kiukwel auumache mtot asomeshwe Ila atsmbulike km Tu ndo mama maan mahali alipo Ni salama
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 4 жыл бұрын
Sheria ya kuadopt mtoto ndo bac maana wanaingia mkataba
@maryambarayan7599
@maryambarayan7599 4 жыл бұрын
Yenyewe inauma I say. Am mother of 4kids na ukweli siwaachi kulala hata kwa nduguzangu coz I always miss them nakuja kwa corona na lockdown 254 nimefurahi Sana coz am always with them. Kamchukue mtoto wako yaliyopita Si ndwele ganga yajayo da husna.
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 2 жыл бұрын
Ushauri. Muhimu ukabadilishe.mkataba ujue yyko wapi na ana nanii awe anakutembelea kisha arudi kwa.mfadhiri asome
@d.a.t3383
@d.a.t3383 4 жыл бұрын
Kwa nini unapoteza mudaaaaa NENDA POLISI MAMA KITUO AKANATWE MCHEZO UISHEEEEE
@aishaally8062
@aishaally8062 4 жыл бұрын
Pole sana mama Shani mwenzangu.
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 жыл бұрын
Mtt mzuri mashallha na kashakuwa. Mkubwa now sema ulikosea ulivyo muacha bira ata mawasiliano miaka yote hiyo
@palomabaraka3991
@palomabaraka3991 4 жыл бұрын
Mawasiliano yalikuepo sikiliza vizuri alikua anauliza anaambiwa mtt anasoma
@getmad9908
@getmad9908 4 жыл бұрын
Kama ,huna maisha mazuri na huna uwezo waa kumtumza mtt wako na kumwendeleza kimasoma ni Bora tuu umuwache tuu aliliwe kwenye mazingira mazuri na apate maisha Bora kuliko uliyo pitiya ww ,na ni vizuri ufanye mpango ama mkataba ili uwe unamtembeleye huyo mtto ,mana haja fichwa kuwa wewe ni mm yake , uwe Unaweza kumtembeleya mtto wako, kama ume pata mtu mwema na ana mtunza viyema na Kwa upendo , no Bora umuache alelewe na huyo ,na k mama , Kesho atakusadiya we mm yake , 🙏🙏🙏
@klystry1234
@klystry1234 4 жыл бұрын
Mtoto mzuri awwwww♥️♥️♥️♥️
@andreasabode7445
@andreasabode7445 4 жыл бұрын
Nimeamini ni sahihi kile wanachosema wataalamu kuwa si jambo jema binti kuzaa akiwa na umri mdogo. Haya yote ni athari kuzaa umri mdogo. Ni haki yake wampe mtoto wake pia na Yeye awe na uwezo wa kumlea vizuri asije akamchukua mtoto akiwa na maisha magumu kisa kataka mwanae.
@caronmussa3543
@caronmussa3543 4 жыл бұрын
Uyo mama mkubwa aseme mtoto kampeleka wapi apewe mtoto wake
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 жыл бұрын
Sn jp itakuwa mama mkubwa na kituo ndo wanajuwa kuhusu mtt nn wamefanya
@Nyamisango
@Nyamisango 4 жыл бұрын
Kwanza yeye alisema ana enda wapi alivyo ondoka?! Au atarudi lini
@siasmiles8057
@siasmiles8057 4 жыл бұрын
Hapa hata mtoto akiletwa hakuna mapenzi kati ya mtoto kwenda kwa mama🤦‍♀️"so sad"
@neemadeo7803
@neemadeo7803 4 жыл бұрын
Hapo ndo utajua hata aliyemchukua mtoto pia kamdanganya mumewe kuwa ni mtoto wake
@leonidakimtai4538
@leonidakimtai4538 4 жыл бұрын
😥😥😥😥
@udaudauda8594
@udaudauda8594 4 жыл бұрын
siku za mwizi40
@pyzzocatto1829
@pyzzocatto1829 4 жыл бұрын
Msisha nikuchezaana akili aisee 🤣🤣
@wildatmsellem7531
@wildatmsellem7531 4 жыл бұрын
Mtoto mzuri sana mashallah
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 жыл бұрын
Babake "simjui" so sad😂😂😂
@fethelasef8319
@fethelasef8319 4 жыл бұрын
Pole husna Allah akupe nguvu iliuweze kumpambania mtoto wako inshallah utampata
@rosepiere1857
@rosepiere1857 4 жыл бұрын
Nashauri pambana ujue alipo lakini Kama anaishi vizuri muache mtoto asome vizuri kwa manufaa yako na yake
@nasranakapala7447
@nasranakapala7447 4 жыл бұрын
Hilo ndo lamsingi
@aidaiddy2687
@aidaiddy2687 4 жыл бұрын
dah maisha haya yanachangamoto sana,ninavyomuona huyu dada kwanza hayupo sawa,,ninachokiona wamsaidie ajue mtoto wake alipo awe anamuona ,,lkn asipewe mtoto maana hawezi kumlea mtoto huyo,,,serekali imsaidie awe anapata nafasi yakumuona lkn asipewe mtoto hata soma,atamuharibia mtoto ndoto zake,,mungu asimamie kwahili
@أمينهأمينه-غ3س
@أمينهأمينه-غ3س 4 жыл бұрын
Mashallah mtt mzur pambana umpate mtt wako atapotea
@joharhamisi9140
@joharhamisi9140 4 жыл бұрын
Mtoto awezi kupotea labda mmoja wapo atangulie kwa Allah lakin mtoto atampata mama ake
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 4 жыл бұрын
Duh mzuri kweli
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 4 жыл бұрын
Haki ya Mnyonge haipotei bali hucheleweshwa
@cydrahope5251
@cydrahope5251 4 жыл бұрын
Huyu anataka kuvuruga tu maisha ya mtoto
@nikitadiamorelivingstone2831
@nikitadiamorelivingstone2831 4 жыл бұрын
umalaya na mtu kudai mtoto wake havihusiani, huyu dada ana haki ya kumdai mtoto wake ni bora apewe tu mwanae, maana huyo mfadhili angekuwa na nia njema basi angemsomesha mtoto bila kukata mawasiliano kati ya mtoto na mama MZAZI
@fatmalyego2531
@fatmalyego2531 4 жыл бұрын
Kweli kabisaaa
@mwanaseiph2853
@mwanaseiph2853 4 жыл бұрын
Mwambien Ukweli mtoto wake yuko wap
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 4 жыл бұрын
Hana haki umwache mtoto ana wk unategemea nan akulele
@maimunamwaren5885
@maimunamwaren5885 4 жыл бұрын
Nimeumia sana pole mpenzi nimeumiya sana mtt huwezi kummbadilisha na nguo
@babuubarotti8418
@babuubarotti8418 4 жыл бұрын
Kilajambo linafaida na hasara
@husnamamuya5784
@husnamamuya5784 4 жыл бұрын
Wajina kwanza hongera unajua kujielezea vizuri lakini chakufanya hapo mamkubwa anaujua ukweli mpeleke polisi ataongea ukweli na mtoto ako utapewa mtoto so kitunguu wala nyanya mtoto hapatikani gengeni
@nuruhabdul6900
@nuruhabdul6900 4 жыл бұрын
Nilichopenda huyu dada amekiri ukweli na inavyooneka huyu dada kapigwa upepo asahau mtoto lakini MUNGU mkubwa atampata damu nzito
@dorislema1814
@dorislema1814 4 жыл бұрын
aku cha upepo apo mdangaj anapata wap muda wa kulea ndomaana akamtelekeza mwanae sema ashaona mwanae anakaribia mafanikio ndomaana anasema mwanangu ndoanawza kuja kunilea,amuache mtoto kwanza asome watamrudsha ata nyuma kielim wakimtangsha ivo
@happypa2027
@happypa2027 4 жыл бұрын
@@dorislema1814 aca zako labuda weye haujawayi kuzala
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
We mama mkubwa MUNGU ana kuona, sema kweli kuhusu mtoto
@florencemlay1291
@florencemlay1291 4 жыл бұрын
Huyu dada hawezi kumlea huyo mtoto,anataka kumburuga tu kwakweli, yeye aombe kumuona si kumchukua
@petronilamazamba9226
@petronilamazamba9226 4 жыл бұрын
Wamlete amuone unajua uchungu wa leba
@Idafa
@Idafa 4 жыл бұрын
The wellbeing ya mtoto ni muhimu.... Kumweleza mambo ya kikubwa bila wataalamu wanaojua mambo hayo ndio mwanzo wa kumuharibia maisha yake huyo mtoto akiwa mkubwa. Ni vizuri huyo mama wa kufikia alivyofanya. Ndiyo mzazi ni mzazi lakini hata mtoto ana haki pia. Yeye kakiri makosa aliyoyafanya huko nyuma lakini haina maana huyu mtoto anahitajika to pay for her mother's mistakes for the second time. Mama mkubwa alifanya uamuzi aliouona ni the best kwa huyo mtoto kwa kipindi hicho. Mtoto hajakaa naye miaka yote hiyo leo anataka amchukue? Hata huyo mtoto ana feelings. Kashazoea mtu anayemjua ni mama yake kwa miaka yote hiyo. Aache kuwa selfish huyu mwanamke. She was selfish then to dumped her child and run and she is selfish now to want to bring that child into her distractive life. Kucheza cheza hivyo ina maana alitumia madawa ya kulevia kipindi fulani na wala hakuna cha uchawi wowote. Huyo mtoto apewe contact info za mama yake akifikisha miaka 18 atamtafuta kama akipenda. Na watu hawa hawana shukurani. Mimi wazazi wangu walichukua mtoto na akalelewa kama mdogo wangu. Alipochukuliwa in 6 months mama yake alifariki. Hivyo wenye sauti wakawa ni wajomba zake. Alivyokuwa std 7 chokochoko zikaanza. Kumbe walikuwa wanamtaka ili wakamuozeshe wapate mahari. Walimjaza maneno huyo mtoto akawa anafanya wazazi wangu kuwa ni wabaya sana. Aliondoka baada ya std 7 akiwa 14yo na kwenda kuolewa. Maisha aliyonayo sasa hivi ni ya kusikitisha sana. Alipoteza nafasi ya kuendelea kusomeshwa na kuwa na maisha yake. Huyu mama au hao wanaomsukuma huko nyuma ili achukue huyo mtoto wanawaza mahari tu. I feel for this kid kwa kweli.
@sharifafatawy9874
@sharifafatawy9874 4 жыл бұрын
Mmhhh! Huu nimtihani yasikie tu kwa watu, naomba yasikufike.Kunaitajika umakini na ustaarabu maana nayule mama anamlea kwa Gharama na mapenzi itamuathiri sana . Kuwe na makubaliano mazuri isimuathiri na uyo mtoto.
@zuluftiabubakar3643
@zuluftiabubakar3643 4 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@irenesinare
@irenesinare 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@stellayusuf7778
@stellayusuf7778 4 жыл бұрын
Duuh hatar Jaman tuliza akili zako mi nilizaa Mapema lakin skutaka hata lisaa lipite nisimuone mwanangu sasa wewe kwakua hunamtoto mwingine ndo unamtafuta basi hata baba humjui Haya ni majanga Hakika 😥😥😥😥Da G muonesheni Sula mtoto ili liwe wazi hili Swala uyo mama atakua Kala cha juu
@winfridashayo9136
@winfridashayo9136 4 жыл бұрын
Huyo mtoto kauzwa na mamake wamemloga ndio maana akawa hamkumbuki kabisa mwanae mama kubwa apelekwe polis
@sictimbombo1121
@sictimbombo1121 4 жыл бұрын
Jamani mtoto kumbe ni mzuri akiwa mkubwa eee mwache athomee
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 жыл бұрын
Asanteni sana tena nashukulu kwakunipa nguvu asanteni sana ndugu zangu
@madinakheri487
@madinakheri487 4 жыл бұрын
Komaa mpaka wakupe mtoto wako na usikubali kuwapa kabisa mtoto ndio faraja yako
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 ай бұрын
Ulimpta mtot wew
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 жыл бұрын
Kwa kifupi ajue tu mwanae yuko wapi basi, ila amuache huko huko maana kumsomesha shule za English medium hatoweza ataishia kumuuza bure mwanae. Amuache mtoto akue vizuri mpaka apate kazi. Pia amshukuru aliyemlea maana hajamtesa amempa elimu bora wakati yeye akiwa anahangaika na dunia.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 жыл бұрын
Eti jamn..nashangaa watu wanasgadadia arudishwe. Angalia mitatoo aliyochora hiyo?!
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 жыл бұрын
@@masalakulwa7601 hatoweza kumlea, malezi ya chumba kimoja ni uhuni mtupu mtoto atarithi. Amuache tu kwa kweli hata ingekuwa Mimi ningemuacha
@jabirjabirhassan308
@jabirjabirhassan308 4 жыл бұрын
kabisaa jmn mtoto ataishia kubaya
@janethshio8936
@janethshio8936 4 жыл бұрын
We mwenyewe sinza unaendaga kufanya nn km nawe si..........
@janethshio8936
@janethshio8936 4 жыл бұрын
Toa maoni..si kusema mambo ya watu..na ya kwako yatasemwa na nani?????? Mwenye uwezo wa kuukumu maovu ya watu ni MUNGU mwenyewe..
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Pole best, ila tujifunze wanawake tusiwasahau watoto wetu😢😢
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 4 жыл бұрын
Wampe mtoto wake jaman mtoto anauma sana wazae wakwao ndowa mpehuyo mama duu mbaka huruma😪😪😪😭😭
@magrethjohn8576
@magrethjohn8576 4 жыл бұрын
Vyovyote vile itakavyokuwa apewe mtoto wake! Ma mkubwa aeleze vizuri wapi kapeleka mtoto!
@chikuvictor552
@chikuvictor552 4 жыл бұрын
Yaani apewe
@timanyere9052
@timanyere9052 3 жыл бұрын
Mrejesho jaman geah
@magejuliani5293
@magejuliani5293 4 жыл бұрын
Cha msingi ungejua anapoishi na subiria wakusomeshee damu ya mtu haipotei! Huwezi kumsomesha tumia busara apate elimu!
@nasratkibwana9827
@nasratkibwana9827 4 жыл бұрын
Kiukwel ningekua mm ningemuacha mtoto asome Kwanza, damu ya mtu haipotei ,chamuhm fatilia ujue mtoto anapokaa Kisha ongea vzr na mtu anaekulelea mtoto wako muelewane harafu muache mtoto atulie alipo asome ,kusomesha mdogo wangu nakushaur tu
@aminaissah2693
@aminaissah2693 4 жыл бұрын
Ulifanya makosa, ulivyo muona ungesepa nae
@saniajuma6123
@saniajuma6123 4 жыл бұрын
Dada yangu 💓💕
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 жыл бұрын
Tena kamwita na mama kula keki
@latiphaibrahimu6986
@latiphaibrahimu6986 4 жыл бұрын
We chizi mjinga sana ulimpoteza kwa tabiazako mbya mbona sisi tumezaa tukowa watoto wadogo mbona tumewalea
@abdukhafidhdaud2029
@abdukhafidhdaud2029 4 жыл бұрын
Pole dad najua niutot ulkfanya uwembali na mwanao jmani daa
@mwanaidyibrahimu8861
@mwanaidyibrahimu8861 4 жыл бұрын
Husna mzur ..Maa shaa Allah
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 жыл бұрын
Mwanaidy Ibrahimu asante
@salmamussa786
@salmamussa786 3 жыл бұрын
@@sabrinahkizzer5245 umepata mtot wako
@pendomariki6562
@pendomariki6562 4 жыл бұрын
Pole dada mtoto kauzwa dada kwakuwa umekuwa utampata tu Muombe Mungu
@fefenailsandmakeup1353
@fefenailsandmakeup1353 4 жыл бұрын
Ulinzi kwa huyu mama mtu, asjekua kanunuliwa na mama yeyote aliedanganya kwa mumewe nna mimba, sasa wasimuue tu ili kupunguza madai
@mariej6962
@mariej6962 2 жыл бұрын
Bado hastahili kupewa mtoto. Mtazamo wake kuhusu maisha ni tofauti sana kuweza kumlea mtoto huyo vizuri. Wajuane na kufahamiana na mamake, lakini asiishi naye. Ila kama mtoto alifanyiwa adoption bila ridhaa ya mama siyo sawa. Mtoto yuko Mbezi Beach ⛱ mnataka akaishi Buza kweli? Kwa mtoto ni afadhali kusema baba kafa kuliko kusema babako simjui, inachanganya watoto.
@dianamuniro2594
@dianamuniro2594 4 жыл бұрын
Msiongee mengi usikute na uchawi umefanyika wamemuuza mtoto alafu wamemvuruga akili ili asahau kuhusu mtoto
@happypa2027
@happypa2027 4 жыл бұрын
Kwel Kwel
@aminielmbise2013
@aminielmbise2013 4 жыл бұрын
Kweliii
@nadhirasalum1633
@nadhirasalum1633 4 жыл бұрын
Mama ni Mama hata kama ni rikwama 😍
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 4 жыл бұрын
We Dada usinzingue mtoto muwache huko huko hunahuruma muongo mmoja wewe usitake kumuharibia maisha yeke mtoto mwache asome
@susanejd7775
@susanejd7775 4 жыл бұрын
Jadueli unasema sawa. Ingekua ana shida kwao au wazazi wamemfukuza tungemuonea huruma. Lkn ni umalaya tu na kama angekua nae huyo mtoto angekua na maisha hovyo. Ati alikua hajijui na wala hakumbuki kumuuliza mwamae
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 жыл бұрын
Hata Mimi nashangaa wanOsema apewe mtoto kwa akili gani..shenzy sana
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 жыл бұрын
Zamu yake mpeleke wako akasome
@mamasalhat
@mamasalhat 2 ай бұрын
Subhanallah
@maryamtrendskatalika3448
@maryamtrendskatalika3448 4 жыл бұрын
Mm naona mtoto ndo achague anataka kukaa wapi na mwenye makosa ni huyu dada aliemzaa mtoto kwani asingechukuliwa labda angekuwa na maisha mabaya zaidi
@fatma2496
@fatma2496 4 жыл бұрын
Hata huyu hana makosa, alikuwa mtoto, makosa ni Ya walezi wake
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 4 жыл бұрын
Mtoto apewe alifanya vizuri kumuacha mtoto mikononi mwa mtu hakutaka kutupa porini afe
@salehkhalfan1473
@salehkhalfan1473 4 жыл бұрын
Pole sana dd Allah atakujaalia utampata mwanao vuta subira huyo mm mkubwa ndio akamatwe aseme mtt yukowapi
@tinkiboniface3342
@tinkiboniface3342 4 жыл бұрын
Mimi ninachoona bora muache amalize masomo yake maana anasoma vizuri she's happy so vizuri ajue tu ana mama 2 uwasiliane na mtoto tu ujue anapokaa Ila usimchukue muache asome
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 жыл бұрын
Sasa wao ndoawataki kunipeleka anapokaa mtoto mpaka leo
@fahimayussuf362
@fahimayussuf362 4 жыл бұрын
Yeah lkn ni vema wakamwambia ukweli ili kujua mwanae yupo wapi nadhani hata yy àngekuwa radhi ila hivo wanavoficha ukweli ndo inampa wasiwasi huyu dada inaelekea ndo wanataka kumdhulumu maskini. ..fight for your kid husna mtt anauma
@belindasteve4749
@belindasteve4749 4 жыл бұрын
@@sabrinahkizzer5245 Duuuh,pole mwaya ila kwa ushauri wangu usikubali swala la kuambuwa akae amalize kusoma maana mwisho wa siku mmoja akitwaliwa mbele za haki watakuja kukukana...Chamsingi fwatilia mwanao umpate hata kama unakunywa uji wa chumvi kunywa naye mwisho wa siku mtoto atakupenda,usiogope eti kuambiwa mtoto amepoteza upendo kwako....No....hcho kitu hakipo labda kama sio damu yako.
@tinkiboniface3342
@tinkiboniface3342 4 жыл бұрын
@husna makame usikate tamaa, pigania haki yako utapata na ukimpata usimchukue mtembelee Kama ni simu wasiliana naye be there for her weekend mchukue Ivo tu Mama
@tinkiboniface3342
@tinkiboniface3342 4 жыл бұрын
Na fuata Sheria zote za haki ya mtoto na mama uwe na vielelezo vyote vya kuwa wewe ndiye her biological mother
@arafahsaif7867
@arafahsaif7867 4 жыл бұрын
Mimi nilipata mtoto nikiwa na umri 16 nyubani mama alipo juwa akasema simtaki mtoto huyo nakutaka kama ulivyo.....! Sasa nikawanza nita ipeleka wapi hii mimba nika pigwa mama akasusa kuogea na mimi takiribani3 nahapo hakunilea yeye nilieda kwa mama nikiwa na umri 14 siku kaa nae pia kanipeleka dar nika kaa mwaka 1 niliopo rudi nyubani kanipeleka Arusha do nilipo pata ujaunzito pamoja na mitihani mingi nilio pitia siku kata taama juu ya hayo niama kuvumilia maumivu ya mdaa nifanikiwa kujifugua salama nika lea mwanagu kwa tabu .... sasa hivi kila moja anampeda mtoto sasahivi ana umri miaka 7 na yupo darasa la pili.. NIME SIMLIA KIUFUPI TU. Kiuleli nime jitahidi kua mama bora nafurahi kua na mtoto wangu
@fei3668
@fei3668 4 жыл бұрын
amshukuru mamkubwa alimtafutia hata mlezi wa kumlea nae angemuacha kama yeye alivyo muacha leo huyo mtoto angemdai wap
@Safariking2010
@Safariking2010 4 жыл бұрын
Nashangaa sana watu wanashindwa kumuelewa mama mkubwa na huyu dada anasema atamsomesha kwa udangaji au kwa lipi
@dorislema1814
@dorislema1814 4 жыл бұрын
me pia namshangaa tena ashukuru et anadai alikua mdogo mbona alikua anajua kudanga si angekaa kwao atulie,mamkubwa apo kosa hana ni utaira tu wa uyodada anajida kapumbazwa maana anaona mtoto kakaribia kufanikiwa ndoanamtaka.et mtoto wangu ndoanaweza kunilea ajibweteke apo asubirie kulelewa
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 жыл бұрын
Dada Gea naomba uifuatilie kwa kweli.
@narfatkarama5743
@narfatkarama5743 4 жыл бұрын
Pole husna wangu
@queenlinda255
@queenlinda255 4 жыл бұрын
Kwanza mtu akisha kubaliwa na serekali ku Adopt mtoto si harudishwi tena kwa wazizi wake kwasababu proses ya adoptinon yenyewe ni ndefu sana narudia tena kama wamemua adopt ki halali ndugu yangu haupati kabisa .. MUNGU akuongozee mdogo wangu .
@fauziaabdillahi3395
@fauziaabdillahi3395 4 жыл бұрын
Mama mkubwa Hana haki na huyo mtoto
@asiamwarabu7510
@asiamwarabu7510 4 жыл бұрын
Mm nipo mbez beach hembu picha tuone kii Kama sikuletei hapo Kama kudanga ukadange na mwanao waii hii ishu itawaletea shida ngoja ifike meza kuu
@swaumumustaphamapondanga4707
@swaumumustaphamapondanga4707 4 жыл бұрын
Husna pole sn .....jamani mpeni mtoto wake leba pagumu..mama mkubwa na mama wa kituo police inawahusu......Husna unajieleza vzr sn kwa uwezo wa Allah utapata haki yako Insha Allah
@zulfatdidas369
@zulfatdidas369 4 жыл бұрын
Mamkubwa anaroho mby sna Hata Iwej mtt wa Mwanao Kwa dada yko huwez kumuuza Kwa tajr ilhal mamayke yko hai
@halimamiss8878
@halimamiss8878 4 жыл бұрын
tena ni mjukuu wake maana ni ndugu na bb wa mtotot
@annaandrea2273
@annaandrea2273 4 жыл бұрын
Angekuw na roho mbaya angemlea. huyo mtoto mpaka alipofikia mbona hujiulizi alivyokuwa anamuacha Nani alikuwa anamuhudumia
@zulfatdidas369
@zulfatdidas369 4 жыл бұрын
@@annaandrea2273 Ukicklza vzur utackia mtt aliacha kurud naye nyumban cku chache tu baada ya bint kuondka yn hta iwaj alishndwa nn xx kuendlea kumlea hadi amuulze? 😏
@batulimwammed2979
@batulimwammed2979 4 жыл бұрын
Kwaza kitendo cha kubadilishwa jina huyo mtoto kauzwa wallah duuu
@benardmwakilasa3969
@benardmwakilasa3969 4 жыл бұрын
Atawezaje kumsomesha mtoto shule nzuri ..wakati anakaa chumba kimoja..atamuharibu mtoto
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 4 жыл бұрын
Ng’ombe haelemewi na nundu yake.
@d.a.t3383
@d.a.t3383 4 жыл бұрын
Sikiliza NEW YORK ANAKWENDA KWA PASSPORT JEE KUNA RECORD HUKO HOME OFFICE??? NENDA USTAWI WA JAMII HARAKAAAAQ
@mariamdotto9392
@mariamdotto9392 4 жыл бұрын
Kuna watu wpanacomment upuuz mnahis huyo dada akipewa mtoto atamlea hata hawo waliomwambia kuhusu mtoto ni wanafiki wanataka mtoto aharibikiwe tu
@bernadethasanga6579
@bernadethasanga6579 4 жыл бұрын
Sijui kwanin watu hawaja like hii comment jmn ndio wewe naona umeongea cha maana
@damarismbitha253
@damarismbitha253 4 жыл бұрын
Nkama hugo mama mkubwa aliuza mtoto....
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 жыл бұрын
Ivyo ivyo kwanza kwann akampeleke kuelewa na kwa mti wkati mama ake yupo hp Kuna jambo kazana Dada mtt kitu lingine kbs kamsjitaki uyo mama ako atasema uyo mtt kampeleka wp
@christophermsekena616
@christophermsekena616 4 жыл бұрын
Ndio muachage kudanga na kutelekeza watoto kwa bibi na mama zao wakubwa, pole sana
@sabrinahkizzer5245
@sabrinahkizzer5245 4 жыл бұрын
Asante ila yule mtoto ajatelekezwa kaacha nymbani kwao unaelewa maha yakutelekeza au unaonge tu
@aishachambo3293
@aishachambo3293 4 жыл бұрын
Mtoto si nguo mpeleke polisi uyo mamkubwa ataongea ukwel
@khadijambuya794
@khadijambuya794 2 жыл бұрын
😭😭😭Pole sna dda angu kuna cha kujifunza lakni
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 жыл бұрын
Wewe apo cha msingi nenda kwa MAGUFULI sasa iv acha uzembe dada yangu mtoto ni kitu kingine mchukue mwanao umsomeshe mwenyewe
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 4 жыл бұрын
Aende kwa mag kufanya nini wakat aliona kudang ndo kunafaa wakat pich za mtoto anaonekana analelewa vizur akamchukue aje kumfundisha kudanga
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 4 жыл бұрын
Hata kama alidanga ila so wake jamani hivi ni nani ambaye hana kosa kwenye hii dunia na awe wa kwanza kumnyooshea kidole huyu binti mama ni mama tu hata kama alidanga ila ni wake wampe mtoto wake
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 жыл бұрын
@@dotnatajoseph2620 acha usenge wewe sikiliza vizur maelezo ya uyo dada...we fala nn au ujawai kuzaa unafkili mtoto ni kama emba unaenda mtin kuokota....nenda na ww kazae uone KUMA inavyo chanika na kushonwa msenge wewe umenkera uyo dada maelezo yake ukimckilza anajuta na zilikua ni akil za utoto asaiv wampe mtoto wake yeye ndo aloenda kumwaga damu ata kama hana uwezo wa kumsomesha international ata msomesha izo izo shule za sent kayumba
@dorisnkini9617
@dorisnkini9617 4 жыл бұрын
@@dotnatajoseph2620 hakuna mkamilifu hapa duniani watu wanatupa chooni lakini yeye alikubali kuzaa na akamuacha nyumban mamkubwa abanwe hadi aseme mtt alipo tu
@kishawillium8906
@kishawillium8906 4 жыл бұрын
@@dotnatajoseph2620 Acha kujifanya mkamilifu,,, kudanga Kwake ndo kulimpa mtoto kama rahisi nawe wakauze mwanao uone raha yake
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 4 жыл бұрын
Asiharibu maisha ya mtoto.kwani uchungu wa mwana uoikuwa. Likizo Sasa umerudi
@jacklinewilliam4565
@jacklinewilliam4565 4 жыл бұрын
Yani kweli tuko tofauti mimi nimezaa na miaka 17 lakini mwanangu nilikuwa namsamini balaaa
@milkamugomo218
@milkamugomo218 4 жыл бұрын
Mimi nilizaa na miaka 16 but nilimtunza ukishakuwa mzazi huwezi sahau mtoto huyu alizoea kudanga wengine wazaa na miaka 12 na wanawalea
@ManaL-ho9cr
@ManaL-ho9cr 4 жыл бұрын
Mm nimeza na miaka 15 nimelea mm namama paka akafariki akiwa na miaka 8
@neemapeter2615
@neemapeter2615 4 жыл бұрын
Mimi nishika mimba nikiwa na 16 jikazà a 17 sasa na sikuthubuthu kuacha mwanangu sasaivi ako na miaka 8
@phinakamugisha6074
@phinakamugisha6074 4 жыл бұрын
@@ManaL-ho9cr pole sana
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 4 жыл бұрын
Nilizaa na miaka 18..nimemlea mtoto wangu hadi amemaliza chuo kikuu ana kazi. Ungemlea tu mwanao
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Hapa Cha Muhimu ni Akazwe Ma.Mkubwa,Yeye Yuajuwa Walivyo Elewana na Kupeana Mtoto Kwa Mfadhili.Pole Husna ni Somo Hili.
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 жыл бұрын
Anakumbuka shuka, kumekucha mhh. Asubiri tuu atakuja ipo siku.
@mariamelias1915
@mariamelias1915 4 жыл бұрын
Siyo hivyo alikua mdogo sana hakua na akili ya kulea mtoto
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 4 жыл бұрын
Kanisa atulie ajue tu yupo amwache asome
@dorislema1814
@dorislema1814 4 жыл бұрын
@@angelanaftael7965 kabsa amwache asome asimuaribie future
@dorislema1814
@dorislema1814 4 жыл бұрын
@@mariamelias1915 udogo upi akajua kunakudanga
@juliamodesty6590
@juliamodesty6590 4 жыл бұрын
Asipewe mtoto kamuacha miaka yote hio alomuacha na bado hana stable life ya kumlea Huyo mtoto hana kazi hana biashara bado hayo mazingira sio bora kwa mtoto hastahili kupewa atafute mwingne azae
@fauziaabdillahi3395
@fauziaabdillahi3395 4 жыл бұрын
Hakumtupa jua Hilo alimuacha na mamake mkubwa alimchukua kumlea hakufuata sheria
@mantoummantoum1392
@mantoummantoum1392 4 жыл бұрын
Ila uyodada nae alikuwa na umalaya sana mpaka umekosa kukumbuka mtoto wako sasaivi ndio unajifanya unauchungu na mtoto
@omarisuleiman2611
@omarisuleiman2611 4 жыл бұрын
Tena kbay zaid hat baba yake hamjui ni yupi man yake alkuw anagaw kwa kla anaetak kwa cku watu 70
@pieremchome5202
@pieremchome5202 4 жыл бұрын
Huyu mwehu,hakuna mwanamke anayeweza kuacha mtoto muda wote huo
@sleimanhamadtv6110
@sleimanhamadtv6110 4 жыл бұрын
Unachotaka kumuharibia future huyo mtoto uwanze kumdangisha mapema kama ww muache mtoto apate malezi bora
@aqssaomarynizwa9738
@aqssaomarynizwa9738 4 жыл бұрын
Malezi gan ww mama ke mkubwa akidondoka atakuja kumpata wap kikubwa asaidiwe apate mtoto angekuwa wakumtupa angetoa mimba mbona mimba alilea
@bintsulaymansuleiman668
@bintsulaymansuleiman668 4 жыл бұрын
Cha muhimu ajue mwanae yko wp na mtt nae ajue huyu ndie mmngu lkn mamkubwa hataki hvyo yuampeleka hku akimrudisha uku na umpe mwanawe hta akifundisha lkn atakua amemfundisha mwanawe
@manjuja993
@manjuja993 4 жыл бұрын
Bora spate at a malez mabaya ila aishi na mama ake
@asherqusher4076
@asherqusher4076 4 жыл бұрын
Wew baba unaesema anataka kumdangisha mapema unaakili kweli ushawai kuzaa wew acha usenge. Kuma wew ujui uchungu mbwa wew
@sleimanhamadtv6110
@sleimanhamadtv6110 4 жыл бұрын
@@asherqusher4076 uyo mama mwenyewe hana malezi, ndiomana walimjaza mapema, atajua wapi malezi ya mtoto? kwani wangapi walitengenezewa future na watu mbali baadae anarudi kusaidia familia yake, kwamtazamo tu huyu ataingiza bwana chumbani wakati mwanae anaona, kwa akili zako mtoto atajifunza nn,
@vanessadahnilly8551
@vanessadahnilly8551 4 жыл бұрын
Da gea tunaomba utuletee mrejesho #geahabib
@nizaelluka627
@nizaelluka627 4 жыл бұрын
Aisee
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 жыл бұрын
Mackin mdangaji kaamua kurud nyumban 😢anatafuta mtt wake ila mungu yupo utampata tu mwanao damu ya mtu haipotei Bure
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 4 жыл бұрын
Ma Mkubwa na Mwenye Kituo Polisi inawahusu. Da Geah chonde mshike mkono huyo Binti msindikize kwa Walinzi wa Raia na Mali zetu.
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 4 жыл бұрын
Nawe una roho kweli miaka 6 hukumbuki wala kufikiria mtoto..uliyataka
@atuganileswedy4830
@atuganileswedy4830 4 жыл бұрын
Aliyataka kwl,, ujue kwenda dangulo, ujue kudo, ujue kuzaa ushindwe kulea na Bado ukamsahau hata salam uulizi miaka yote....
@aishadaudi1081
@aishadaudi1081 4 жыл бұрын
Huyu mtt ameuzwa so huyo mamkubwa alikuwa anamroga asimkumbuke mwanae
@bintsulaymansuleiman668
@bintsulaymansuleiman668 4 жыл бұрын
@@aishadaudi1081 yawezekana lkn hakujua km dawa zna mwisho
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 жыл бұрын
Watu wanaloga usikumbuke chezea pesa
@justinajustus7025
@justinajustus7025 4 жыл бұрын
Amuache mtoto asome kwanza, ataharibu future ya mtoto wake.
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 4 жыл бұрын
Wangemsaidia kumuweka wazi mama mzazi na mama mlezi ili kuwepo na maelewano sasa mwenyekituo anamficha mama mkubwa nae anamficha had kumtumia watu wamtukane sasa atawezaje kutulia na je km anavyosema mama mkubwa km anakufa leo yule mwenye kito atamruka maana mtoto kapelekwa kituon na mama mkubwa wangemuweka wazi na anaemlea ajulishwe hali halisi na waelewane mtoto aendelee kukakaa kwa mama mlezi wakt mama mzazi anajua mtoto yupo wapi maana yeye alimkabizi mama.mkubwa sasa unaweza dhania km mamkubwa kmfanya biashara kamtaifisha🤔
@pyzzocatto1829
@pyzzocatto1829 4 жыл бұрын
Before future kwanza wawekane wazi
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 4 жыл бұрын
@@pyzzocatto1829 yes!
@rahmssalum3163
@rahmssalum3163 4 жыл бұрын
Lkn huyu dada hajielewi
@amour5535
@amour5535 4 жыл бұрын
Utoto ulichangia pia tusimlaumu sana
@rahmssalum3163
@rahmssalum3163 4 жыл бұрын
Kweli
@dorislema1814
@dorislema1814 4 жыл бұрын
kabsa kama mimi ndouyo mtoto ningemkataa uyo husna kiukwel kwenda kulelewa nae
@cathelinemaurid898
@cathelinemaurid898 4 жыл бұрын
Hana jipya mwaka yote alikuwa wapi wadada tujifunze kwanza amshukulu mungu mtoto yupo na analelewa vuzuli ye akaendele kudanga
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 187 МЛН
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 21 МЛН
NILIJARIBU KUIBA MTOTO MUHIMBILI KUNUSURU NDOA YANGU
14:05
Wasafi Media
Рет қаралды 25 М.
DADA WA KAZI AELEZEA SIKU YA TUKIO! MAUAJI KIMARA
29:46
WanawakeLive Tv
Рет қаралды 312 М.
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 187 МЛН