BINTI LISA - PART 85

  Рет қаралды 19,444

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

13 күн бұрын

Mapema jioni.
Gari liliingia kwenye maegesho ya jumba la Choka.
Chester aliposhuka kwenye gari, aliliona gari la kifahari aina ya Maybach likiwa limeegeshwa pembeni, kisha akaingia ndani ya nyumba hiyo kwa miguu yake mirefu.

Пікірлер: 232
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 10 күн бұрын
Asante Sanaa anko jay wetu kutuletea mzigo WA binti Lisa wadau mpoo nimeota ati Chester ameowa Eliza lazima hizo ndoto zitatimia wangapi wananiunga mikono nione like
@danielm.kahugusi2971
@danielm.kahugusi2971 8 күн бұрын
M
@user-ln3js4mo4j
@user-ln3js4mo4j 2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@rizmwMwriz-mf2cu
@rizmwMwriz-mf2cu 7 сағат бұрын
😂😂❤❤
@anethlyanda801
@anethlyanda801 10 күн бұрын
Oooooooooooooyoooooooyooooooooyoooo jaman njoon huk ank jay katupa za kichw Yan nasemaj sijuw mnanielew wot tunao subil vipol pia gongen na like 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@Evelynmoreen3655
@Evelynmoreen3655 12 күн бұрын
Wakwanza leo naomba likes na mimi wapendwa ❤❤❤❤❤
@user-jt9ur3pi1c
@user-jt9ur3pi1c 10 күн бұрын
Ankojai tuna shukuru kwa kutuletea manbomazuri mambo ya Eliza nacht Mimi nasema yes
@MwanahawaJuma-nt8wp
@MwanahawaJuma-nt8wp 6 күн бұрын
​@@user-jt9ur3pi1c89
@jfjgxcv5859
@jfjgxcv5859 10 күн бұрын
Wana familia wa ankoy jey naomba leo musininyime like kbx kwamaana nimewayi sanaa hayijaway tokey mm kuway ivii🥰🥰🥰
@user-ui6rf8yx7s
@user-ui6rf8yx7s 10 күн бұрын
Ngoja nigawe like kwenu woooteeee Kisha nikirud ni wa 46 leo namie mnipe like zenu
@MamahetuChikuti-mp5lj
@MamahetuChikuti-mp5lj 10 күн бұрын
Leo wa mwisho 😢mm acha nitasikiliza baadae maana niko na ya jela ya mapenzi na nimefungu ibada tusisahau nawapenda nyote Kwa ajili ya Allah mungu awabariki sana pamoja na mtuzi wetu na msimulizi pia much ❤❤❤❤❤
@user-nb6pj2lk6q
@user-nb6pj2lk6q 10 күн бұрын
Sjachelea team chesta tijuana qw like, chezea mapenzi ww
@Lucy-vp8pm
@Lucy-vp8pm 10 күн бұрын
Wanana familiya ya akoj hoyeee❤❤❤❤kwa kwa akoj kutupa utamu wa mwendelezo wa binti lisa wale tuna furahiya sumulizi za akoj gonga like hapa
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 10 күн бұрын
Wale tunatamani charity na Chester warudiane gonga like apa ❤❤❤❤❤
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 10 күн бұрын
,🌹🌹no1 timu viporo kujen moto huu hapa unachanja mbuga chesta azid kuchemuka🔥🔥🔥🏃
@user-rh6vp7bx1u
@user-rh6vp7bx1u 10 күн бұрын
Sijchelewa jmni watu wa viporoo hbu ngogeni like hta hpa maua yenu ndio hyo ankojey mwenyezi mungu azidi kkupa nguvu na afya jma utupe simulizi kila sku inshaallha
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 10 күн бұрын
Amin inshallah
@victoriangasa
@victoriangasa 10 күн бұрын
Sisi wa viporo had rahaa jomon unaingia KZbin kitu hicho Binti lisa 😂😂❤❤🎉 bas like😢 wanafamilia wote tupendane❤❤
@user-rm2lk8se3w
@user-rm2lk8se3w 10 күн бұрын
Vp wadau binti lisa inaendelea kunoga mwenye ana nogewa kama mm like n comments paka charity aowane na chesta
@Jasmeni-ns9dg
@Jasmeni-ns9dg 10 күн бұрын
Yule dada wa kutoa like mdogo mdogo naingia kuwapa like zenu ❤🎉 0:19
@user-vv7vq6by3b
@user-vv7vq6by3b 10 күн бұрын
😂😂😂😂
@Lucy-vp8pm
@Lucy-vp8pm 10 күн бұрын
😂😂😂❤
@yalalakashindi4594
@yalalakashindi4594 12 күн бұрын
Wow ❤❤❤❤😂shurkani sana anko mapesa 😂 leo nimechelewa nawaomba like jamani ❤nawapenda sana wana familia wa Ankojay ❤❤❤❤❤🎉
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi 10 күн бұрын
Charity naoma nivinzuri kurundisna na chester juu akuwauwa wazazi wa charity ni salrah ndio aliwauwa alafu bona Lisa aliolewa na alvin pia Pamela aliolewa na Rodney aolewe na chester maisha iendelee
@yalalakashindi4594
@yalalakashindi4594 12 күн бұрын
Wow ❤❤❤❤😂shurkani sana anko mapesa 😂 leo nimechelewa nawaomba like jamani ❤
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml 12 күн бұрын
Eliza afadhali angemsamehe Chesta na kuanza maisha upya, ugumu wake SIYO mzuri...na amekuwa akiwafanyia vibaya waliokuwa rafiki zake na kuwasababishia kupata ukimwi.. SIYO Sawa Hakuna uzalendo
@Ahmada15
@Ahmada15 11 күн бұрын
Ni kweri Eliza amusame chesta😊Sarah yeye jo amewanya uko
@annahmwenda
@annahmwenda 10 күн бұрын
Tunaomwombea msamaha chesta tujuanee kwa like jamanii
@user-be2nx5ks2l
@user-be2nx5ks2l 10 күн бұрын
Hakika msamaha ni tiba nhema Charity amsamehe Chesta na maisha yaendelee pia hata majina Yao yanaonesha uhusiano Kwa❤ herufii
@user-cw4mv3kw7y
@user-cw4mv3kw7y 12 күн бұрын
Mambo ni moto asante sana ankojay Allah akulipe kheri na akupe afya njema Inshaallah ❤❤❤❤
@berthamarandu9577
@berthamarandu9577 10 күн бұрын
Wakuchelewa kama Mimi mko wapi tujuane, tupo macho lakini tunashutukia tumeshapitiwa🤣🤣🤣
@javandaudi5553
@javandaudi5553 10 күн бұрын
Mwambieni anko j amegombanisha uchumba wangu kwa ajili ya sauti yake sasa adhabu yake ni kutupa mwendelezo wa simulizi tu😊😊
@ruthwaithera2650
@ruthwaithera2650 12 күн бұрын
Waoh❤❤❤❤❤ mapesa asante🙏🙏🙏🙏
@user-vr4pu2ot6j
@user-vr4pu2ot6j 12 күн бұрын
Ankojay haboi wala hapoi mambo ni 🔥🔥
@sephrinewarenga2745
@sephrinewarenga2745 10 күн бұрын
Wow,kazi nzuri kaka,listening from Kenya Much Love.
@violethezekiel251
@violethezekiel251 12 күн бұрын
Hee! Kumbe mambo hadharani, barikiwa Anko Jay
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t 12 күн бұрын
Wa Kumi like wa Kumi Coment acha nijipongeza🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏
@MishyYusuph
@MishyYusuph 10 күн бұрын
Nimewahi Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤️.
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 10 күн бұрын
Gud mrng team ANKOJAY ...wa2 wanalala humu nipeeni like 2kisonga mbele
@user-rc3om5hs9i
@user-rc3om5hs9i 10 күн бұрын
Twendeni naro ad tujuwe mbvu na mbichi charty na chesta
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 10 күн бұрын
​@@user-rc3om5hs9ipamoja swtie ❤
@salmaebrahim2058
@salmaebrahim2058 11 күн бұрын
charity amekuwa jeuli mpaka ana kela. Ni kweli amekosa hila yy alikuwa afanyi kwa makusubi ivyo ukipendwa pendeka acha kiburi na kejeli Kuna siku utakuja kumuitaji ivyo tujifuze kusamee Alvin amekuwa baba mwema Sana hila Lisa aliteseka mnooooooo na mwisho wake nin mbona Sasa wako pamoja ivyo hata ww msahamee
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 9 күн бұрын
Wewe mama huruma umerudi tena hata Rodney ulimhurumia nakumponda Pamela ninawasisi na uhusiano wako na hiyo huruma utakuja kuletewa ugonjwa siku moja.
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 12 күн бұрын
😂😂😂 Chester amekuwa kiumbe kipya 😂😂😂 aaah,shikamoo mapenzi 😂😂😂
@yalalakashindi4594
@yalalakashindi4594 12 күн бұрын
Yaani hatari chezeya mapenzi weee 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mwanaashashokowa2151
@mwanaashashokowa2151 12 күн бұрын
Tunashukuru sisi vvip thise time unatuover dose anko sijamaliza ushaleta ingine jamani jamani ❤😊😊
@vailethmwakipesile6698
@vailethmwakipesile6698 12 күн бұрын
Il ht chalit anakupenda chest nawaombea🎉🎉🎉
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 10 күн бұрын
Vipenzi wa anko jey mje tusukume gurudumu la kuondoa mawazo na mafunzo leo 59 natumaini tupo kwa pamoja🎉🎉🎉🎉
@zainabmohamed9439
@zainabmohamed9439 12 күн бұрын
Hi guys Leo wa kwanza like zenu please
@debrahshelymaca5339
@debrahshelymaca5339 10 күн бұрын
Nilidhani nimewahi but Hola aise 😂❤, nipewa 😢hata like mbili jamani, heading to 100k subscribers congratulations team ankojay ❤ ❤,, pokea Maua yenu🎉🎉🎉🎉 🎉 jamani ❤❤
@DorcasMuomba-gd3sw
@DorcasMuomba-gd3sw 10 күн бұрын
Wow congratulations God bless you anko jay we love you forever 🎉🎉🎉🎉🎉team alvilisa tunasonga mbele team Elizabeth tunapambana 😮😮😮😮😮
@user-rl9sd8hl5o
@user-rl9sd8hl5o 10 күн бұрын
Minapeana like tu sisemikitu na jester anaerekea kua kama Rodney team gulf vipi🎉🎉🎉🎉🎉 anko we ni shujaaa wetu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 10 күн бұрын
Mpe mauwa yake hayo shujaa wetu 🎉🎉🎉
@user-zj7hd6sg3y
@user-zj7hd6sg3y 10 күн бұрын
Tuko hapa team fulus
@mariam-yw3nn
@mariam-yw3nn 10 күн бұрын
Waangap tunamkubali bint lisa
@MoshiMoshi-qy8dq
@MoshiMoshi-qy8dq 10 күн бұрын
Hii simulizi ni zaid ya 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 ukijumlizmsha na saut ya ankojay ndo inazid kunoga❤❤❤❤❤
@FatmaHassankhamisi
@FatmaHassankhamisi 10 күн бұрын
Asante anko jey 🪑🪑🎧🎧🎧🎧🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@binthassan9191
@binthassan9191 10 күн бұрын
Life has no balance at all 😂😂,,Thanks Ankojay for the nice stories 🎉🎉we're appreciate ❤❤
@AishaAisha-yz3ns
@AishaAisha-yz3ns 12 күн бұрын
Jamani jack ndio Haji tena😢
@FatumaRamadan.Mwalim
@FatumaRamadan.Mwalim 10 күн бұрын
😂😂😂na m miss
@user-fp8gf3ik8p
@user-fp8gf3ik8p 10 күн бұрын
Leo kwakwel. Nimewai. Ankojay. Ansante kwamuendelez❤❤❤🎉🎉🎉
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml 12 күн бұрын
Zimwi likujualo halikuli ukaisha
@Wamburus
@Wamburus 10 күн бұрын
42 comments in 9 SEC's eish for real we love Lisa ❤❤❤❤n our bby boy ankojay ❤❤❤
@emmaonalloh5515
@emmaonalloh5515 8 күн бұрын
Binti Lisa tumekusikiza sunu mwaka ❤🔥🔥🔥
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 10 күн бұрын
Team Elisa tujuane 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤣🤣🤣🤣🤣 from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@Shadia544
@Shadia544 10 күн бұрын
Haya jamaniii usiombe ufumaniwe jamaniii 😂😂😂utaomba aradhi ikufunike😂😂MDOGO MDOGO NDIYO WENDO LIKE 10 😂😂
@RakaPk
@RakaPk 10 күн бұрын
Asante sana anko wetu kwa kutujali ubalikiwe sana kwa kutupa kitu roho inapenda ❤🎉
@suzanajonas3548
@suzanajonas3548 12 күн бұрын
Wowowowo ❤❤❤❤
@catherineluboneka7359
@catherineluboneka7359 12 күн бұрын
Oyoooo AnkoJay ❤❤❤❤
@mozabayabanda4248
@mozabayabanda4248 12 күн бұрын
Anko we kiboko Asante sana mungu akubariki sana ❤❤❤❤❤❤
@FathimaFathima-jj9ni
@FathimaFathima-jj9ni 10 күн бұрын
Anco Jey irudishe lisa Tanzania wakenya mm nawajuwa watasema lisa yakwao na uncle jey niwakwao😅😅😅😅😅
@user-hb4jh2rr7w
@user-hb4jh2rr7w 10 күн бұрын
yani nasikiliza to hii simulizi kwa vile nimeizoea bado natamn kwà Rodney nayeye 😔😔😔😔😔😔😔😔
@MarimGodifrey
@MarimGodifrey 9 күн бұрын
Habari zenu wapenzi wa anko jey saramu kwenu
@saumukambi8562
@saumukambi8562 12 күн бұрын
Wakwanza Wailing Watauga mm hapaaaaa Ankooo mauwa nakupa hongera sana kwakutufurahishaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-re1qf5ph9l
@user-re1qf5ph9l 10 күн бұрын
Anko tupe simulisi ya lisa mwala wangap waungana na mm
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml 12 күн бұрын
Eliza anaonekana kujigamba na kujiona kwa sababu ya fedha utajiri alio Nao...
@alicelohrmann2917
@alicelohrmann2917 10 күн бұрын
Jameni Eliza nihodari kwa kuigiza hakika Nami unga mkono 👍👍👍👍💗💗💗💗
@EliasMwakanyamale-ru9zt
@EliasMwakanyamale-ru9zt 10 күн бұрын
Safi sana Anko jay MUNGU mwema azidi kukupigania na kukupa afya njema Kila siku na uwe mzima wa afya
@peninahmmbone4648
@peninahmmbone4648 11 күн бұрын
From 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 nasema Asante sana Ankojay ♥️♥️♥️
@elizabethmuhati8758
@elizabethmuhati8758 10 күн бұрын
Hongera sana ankojay nimejifunza mengi Kwa hi I simlizi❤❤❤❤❤❤❤
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 10 күн бұрын
Waooo,barikiw Anko j,Siku hizi hutuangushi kwa burudani🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@user-fu6ew1jb6e
@user-fu6ew1jb6e 9 күн бұрын
Jomba wajo umetupiga na kitu kizito mara hii vpnde vyte hich ndo nimepigwa na ktu kizto mtu ukimwi unagundulika cku moja tu hii nimechoka kwel 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 9 күн бұрын
Hao madakatari wamehongwa kutoa majibu ya uwongo itakuwa
@sharon3600
@sharon3600 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 8 күн бұрын
@@sharon3600 🙌😅
@aumuelly2909
@aumuelly2909 10 күн бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi sikuhizi hatukauki wala hatuliviporo❤❤❤😂😂😂😂
@Mariam55-hz8if
@Mariam55-hz8if 12 күн бұрын
Ahsante anko leo mapema tuu
@angelmauja1846
@angelmauja1846 3 күн бұрын
Mhhhhhh anko j ukimwi unaonekana kwa nusu siku loohh,😂😂😂 haya bana
@user-hz5bo3mn9t
@user-hz5bo3mn9t 10 күн бұрын
Waooo,anko ahsante
@agnesdondo-dz1ml
@agnesdondo-dz1ml 12 күн бұрын
Ajidhaniye amesimama, aangalie asianguke
@sarafinahprince4265
@sarafinahprince4265 10 күн бұрын
Jamani weeee anko jay ❤❤❤ tafadhali 🙏 leo tuwekee 86 plz nakuomba sana
@user-tv6ii7pc4z
@user-tv6ii7pc4z 9 күн бұрын
Hii ni Kali 🔥🔥 Ngoma nzito kimenuka loooh 🤣🤣🤣🎧🪑
@mumbikibathi7036
@mumbikibathi7036 10 күн бұрын
Mumbi Wa Naivasha Ndani Ndani wapi likes
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 10 күн бұрын
Wow mundu wa nyumba nmegonga like basi
@elizabethfrank271
@elizabethfrank271 10 күн бұрын
Nimewahi leooooooo 🎉🎉🎉
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 12 күн бұрын
Thanks Ankojay wetu ❤️
@Kellyperry947
@Kellyperry947 10 күн бұрын
ᵂᵃᵏʷᵃⁿᶻᵃ leo😅😅😅😅
@usterbae
@usterbae 10 күн бұрын
Team viporo mpo asante ankojay kwa simulizi tamu tunakupenda ujue❤❤❤
@angelmauja1846
@angelmauja1846 3 күн бұрын
Charity stak nataka,utaingia tuu 18za chester niko hapa nasikiliza Binti lisa
@SurprisedAirboat-ur6bx
@SurprisedAirboat-ur6bx 10 күн бұрын
Asante saana anko kwa kutuletea mzigo uko jonjo saana
@wertqwe8326
@wertqwe8326 10 күн бұрын
Ubarikiwe jamani we mkka asante sana❤🇰🇪
@florenceakoth8700
@florenceakoth8700 10 күн бұрын
😂😂😂😂 nyie watu wa vipiro mpo au ni mm pekenyangu😅😅😅
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 9 күн бұрын
Nyie wanawake wenye huruma kuwasamehe wanaume duhh mnakera
@JanethMgunya
@JanethMgunya 10 күн бұрын
Mchelewaji maarufu❤❤❤❤❤❤😂😂😂 lek zangu
@reginarichard3349
@reginarichard3349 9 күн бұрын
Asante sana ancle na jomba kwa hii❤❤
@elizabethkatoko8867
@elizabethkatoko8867 10 күн бұрын
Mm sinanga bahati nachelewa tu kila mda jamani
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 10 күн бұрын
Anko Jay wanikosha weye ngoja nifanye mpango maji upoze koo🎉🎉🎉🎉
@DortheaMaria-ti5er
@DortheaMaria-ti5er 9 күн бұрын
Haya jamaniii usiombe ufumaniwe jamaniii utaomba aradhi ikufunike 😂😂😂
@user-jl7ju9pu9h
@user-jl7ju9pu9h 8 күн бұрын
Jmn habar zenu wadau nami leo naomba like hat 10tu😂😂😂😂sijawai pata like😢
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
@MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r 12 күн бұрын
Woow 😂😂😂😂😂😂
@samychance
@samychance 10 күн бұрын
Nmezembea na nimewahi jaman🎉🎉🎉❤.
@MamahetuChikuti-mp5lj
@MamahetuChikuti-mp5lj 10 күн бұрын
Tunamiss kakake Alvin ama ndo alikufa kweli
@shalomsfamily341
@shalomsfamily341 12 күн бұрын
❤❤❤
@user-bx5tc3px6c
@user-bx5tc3px6c 10 күн бұрын
So amazing 😍😍
@angelmauja1846
@angelmauja1846 3 күн бұрын
Kuna watu naona bado hawajamuelewa Eliza ,et monte amuoe Eliza kama nawaona mnavyoanguka familia nzima
@christinemwendejuma4401
@christinemwendejuma4401 10 күн бұрын
❤❤❤ from Kenya Nairobi
@Shan-px3bs
@Shan-px3bs 10 күн бұрын
Atimae leo nmewai😂😂 we uwogop
@nurafedrick378
@nurafedrick378 7 күн бұрын
Eliza ananganganiwa kweli kweli nakupigwa vita mambo nimoto kweli kweli sasa hapa sijui ni maks ama cheaster
@AphiphaMussa
@AphiphaMussa 10 күн бұрын
Anko asante pokea maua yako 🥀🌻💐
@mamudequeen
@mamudequeen 10 күн бұрын
Jamani hamusemi kama tayari huku😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SurprisedCakeSlice-go1ii
@SurprisedCakeSlice-go1ii 10 күн бұрын
𝐕𝐩𝐨𝐫𝐨𝐨𝐨𝐨 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐚𝐳𝐚 𝐥𝐞𝐨𝐨❤❤❤❤❤❤❤
@LyidiaSilayo
@LyidiaSilayo 10 күн бұрын
Asante anko Kwa burudisho la simuliz twakupenda mno mungu azidi kukulinda ❤❤❤❤❤
BINTI LISA - PART 86
3:11:03
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 17 М.
BINTI LISA - PART 89
3:01:22
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 13 М.
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 2,7 МЛН
Why You Should Always Help Others ❤️
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 130 МЛН
UTANIUA WE KAKA - SIMULIZI MPYA YA MAPENZI
2:39:44
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 23 М.
HANDSOME WA KIJIJI: SIMULIZI YA SAUTI
2:11:48
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 3,2 М.
Yeriko,
12:03
The Outburst Band
Рет қаралды 10 М.
BINTI LISA - PART 90
3:00:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 10 М.
FATINAH: SIMULIZI TAMU YA SAUTI.
2:52:59
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 2,7 М.
JELA YA MAPENZI - SIMULIZI MPYA YA MAISHA
2:30:00
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 30 М.
PASSIONATE LOVE: SIMULIZI TAMU YA KUSISIMUA
2:12:06
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 3 М.
SIMULIZI YA MILELE - PART 04 [ MWISHO ]
2:07:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 22 М.
BINTI LISA - PART 88
3:02:21
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 14 М.
Why did the angel disappear?#Short #Officer Rabbit #angel
0:38
兔子警官
Рет қаралды 5 МЛН
elim yara olduğunda benim haller #shorts
0:16
Mert Sarı
Рет қаралды 19 МЛН
Студия төрінде жобамыздың жемістері!
1:17:44
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 233 М.
кот на подоконнике #shorts #животные #котики #shortsvideo
0:37
Тайные Истории
Рет қаралды 4,2 МЛН