BINTI SIA - SIMULIZI FUPI YA MAPENZI NA YENYE KUSISIMUA

  Рет қаралды 80,539

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

LUCAS LUMBASI SIMULIZI

Күн бұрын

Пікірлер: 287
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 8 ай бұрын
Simulizi nzuri napenda sana naitazama muda wote
@saumunyadzua
@saumunyadzua 9 ай бұрын
Leo nimekua 60 ila sio mbaya ❤❤❤❤ku enjoy
@GiftGeorge-f5j
@GiftGeorge-f5j 7 ай бұрын
Simuliz nzur jaman Allah awafanyie wepes tuweze kuonana tena
@AminaHajikheri
@AminaHajikheri 7 ай бұрын
Story nzur kwel kwel kaka❤
@linetkhavugwi209
@linetkhavugwi209 9 ай бұрын
Me upenda story kama hizi za watu ambao watu ufikiria wawezi pendeka kwa sababu ya maumbile waliopewa na mungu ...nikiwa mmoja wao naskiaga furaha sana kusikia simulizi zakutia moyo
@MwanajumaMasudi-w5f
@MwanajumaMasudi-w5f 8 ай бұрын
Nimeipenda sana nimejifunza kitu Asante sana
@bahatimgaya6480
@bahatimgaya6480 9 ай бұрын
Uko vizuri data haziliwa bure. MUNGU Awatangulie kwenye kuburudisha.
@Zeina-y9i
@Zeina-y9i 9 ай бұрын
Aki leta igine tujulishe maana sojaamini imeisha❤❤🎉
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 9 ай бұрын
Belle histoire much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤ you.
@AishaSaid-f5k
@AishaSaid-f5k 9 ай бұрын
Simulizi ikiwa fupi inakua mzuri san🥰🥰🥰
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Kumbe😊😊
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 7 ай бұрын
Zenye masaa mengi ndio tam Zaid
@saumunyadzua
@saumunyadzua 9 ай бұрын
Pole kwa yaliyompata sia ila story tamu kweli🎉🎉🎉🎉🎉
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
You're welcome miss saumu😊😊
@samsung-zb3xi
@samsung-zb3xi 9 ай бұрын
Ewe Allah turindiye watoto wetu wamama muwe nauruma basi Aya mateso ya Sia Saba u nimama Sia pore nta Commenté badaye🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@samsung-zb3xi
@samsung-zb3xi 9 ай бұрын
Shukran usicotaka wagutendeye usimutendeye mwenzio asantemwenye sautiyake piga kerereeeeeeee💐💐💐💐💐💐💐💐💐
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
We wee weweeeeee😂😂😂😂 ndo mnavyopiga hvyo au😅😅
@SamsonMzehe
@SamsonMzehe 27 күн бұрын
Wanawake wanaroho mbaya kuhemea mwenyewe wanatoa Hela wanaume lakini karoho kama koroso
@agnesbasistian9248
@agnesbasistian9248 9 ай бұрын
Jamani ni tamu mno nimecheka sana leo Thanks more darling
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
You're welcome miss Agy😊😊
@ramazan1628
@ramazan1628 8 ай бұрын
Nice srory kaka hongera kwa kazi nzuriii unajua na unajua tena big up ❤❤💚
@jennytugara9470
@jennytugara9470 4 ай бұрын
Wamama waliozaa ndio tunaroho mbaya kuliko hata Watu waliozaa yani Mtu anakuharibia maisha dunia hii na yeye anauzao Mungu atuhurumie🙏🏾
@susansamira8137
@susansamira8137 9 ай бұрын
Wakumi Leo nimewahi nipewe like zangu
@irenekaijage1659
@irenekaijage1659 7 ай бұрын
Story nzuri sana🙌
@RahelIbrahim-id2li
@RahelIbrahim-id2li 5 ай бұрын
Utoto mwingi ,mambo mengine yapo waz kbs lkn utaingizwa mtegoni,utavuruga mahusiano yako kizembe kbs,,,yajayo yatatisha sana kwako Sia
@AminaHajikheri
@AminaHajikheri 7 ай бұрын
Story nzur kwel kwel kaka
@EmJesho
@EmJesho 9 ай бұрын
Daah ndoo ya chuma umenikumbusha mbali sana😢😢😢😢 sita kaa nisahau
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹 pole sana mumy... kwa tulioishi kijijin tufahamu moto wa hyo ndoo
@EmJesho
@EmJesho 9 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 🙏🙏
@EmJesho
@EmJesho 9 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 🙏🙏
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 5 ай бұрын
Asante mtunzi pamoja na Lucas,nimeelimika na kuburudika sana♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌿🌿🌿🥀🥀🥀🎋🎋🎋🪴🪴🪴🥗🥗🥗🦞🦞🦞
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 9 ай бұрын
Aweeee umepigaje hapo hii tamu sana ❤❤
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Tumetoka mbali saaaana, tumemfata lucasii😊😊😊😊 weee binti Sia umepigaje hapo😅😅😅
@AbigaelMalashi
@AbigaelMalashi 7 ай бұрын
Eti nn 😂 congo ❤❤❤❤ DRC yetuuu ❤
@hawababy120
@hawababy120 9 ай бұрын
Asante san Lukas simuizi zako zinanipa campany san nikitulia home.🇧🇮🔥
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Wonderful 😊😊😊😊😊😊🎉🎉🎉
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 9 ай бұрын
Waaaa😢😢
@AlidaTheobard
@AlidaTheobard 9 ай бұрын
Kaka Lucas simlizi zako zinafundisha Sana kiufupi nasipenda Sana sia pole sana
@annakinyi218
@annakinyi218 9 ай бұрын
Nimeskia mara tatu simulizi tamu sana 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻
@kisaagustino3278
@kisaagustino3278 9 ай бұрын
Hii ninoma aiseee nimempenda suley Hana baya
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 7 ай бұрын
Am in love with sigara man
@lilianmbogo1638
@lilianmbogo1638 7 ай бұрын
Tam balaa
@francksylvester7844
@francksylvester7844 8 ай бұрын
Nzur sana
@RenaldaMsuya-s1f
@RenaldaMsuya-s1f 9 ай бұрын
Kila siku lazima Nipitie hapa jaman❤
@aishapogwa2916
@aishapogwa2916 9 ай бұрын
Pole sia kwa mapito
@MusaLongi
@MusaLongi 6 ай бұрын
Dah noma Sana hiii ipo kwenye life jaman
@irne2926
@irne2926 9 ай бұрын
Wee yani nipambe🎉🎉❤
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Umeona eeh😊😊
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 9 ай бұрын
Sia nae alikuwa mjinga kweli hata kushituka2 hakushituka khaaa
@MwanamkuuOmar-n5r
@MwanamkuuOmar-n5r 8 ай бұрын
Dada sia usiamini marafiki mm mwenyewe sina marafiki rafiki yangu n mama angu n ndugu zangu basi
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 9 ай бұрын
So sweet nice story tamu hadi tamu tena mungu azidi kukubariki kila wakati usicheko kutupa vitu vipya na moto moto ❤❤❤🎉🎉🎉
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Amen Fetty😊😊😊
@patiencembekelu240
@patiencembekelu240 9 ай бұрын
Woooow!nice story i have really enjoyed listening from Kenya .God bls ur union Fednard and ur wife I love u both❤🤗
@annemwinuka1766
@annemwinuka1766 9 ай бұрын
Hongera sana simulizi nzuri sana
@AnnaMukhwana-pf4qr
@AnnaMukhwana-pf4qr 8 ай бұрын
Shukuran Lucas
@AliRahma-tw7cz
@AliRahma-tw7cz 2 ай бұрын
Nmekubali ni nzuri ajab
@SabrinaNais
@SabrinaNais 9 ай бұрын
Waooo simlizi kali ❤sana na Tamu sana Du
@KhadijaKassim-k8d
@KhadijaKassim-k8d 9 ай бұрын
Asante sana Lucas
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Karibu sana😊😊😊
@NgendahayoJeanmarievianney
@NgendahayoJeanmarievianney 9 ай бұрын
Respect you bro Nice story tupe ingine
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Zinakuja saaana😊😊
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 9 ай бұрын
Huyo mama alikua mjinga kabisaa😭😭😭🙆🙏🇰🇪
@Sur-v9s
@Sur-v9s 4 ай бұрын
Woow jamn kitu kitamuu ichi
@issanuru9552
@issanuru9552 6 ай бұрын
Safi kaka Lucas lumbasi❤❤🎉
@rayfasaid7873
@rayfasaid7873 8 ай бұрын
Hi simulizi inanifanya ck yangu iwe nzuri
@livinodamiano6739
@livinodamiano6739 9 ай бұрын
Aiseee nimeipenda hii
@deborahgodda7052
@deborahgodda7052 9 ай бұрын
Simulizi tamu sana jamani kaka Lumbasi
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Kabisa dada debo😊😊
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 9 ай бұрын
Simulizi ya huzuni
@doristanga5987
@doristanga5987 8 ай бұрын
I love it ❤
@Holiness-to3wp
@Holiness-to3wp 9 ай бұрын
Asante lucas lumbas nimeinjoy simlz tamu sana yenye kusisimua na uzuni tele
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Karibu saaaana😊😊😊
@SaraBeauty-v6y
@SaraBeauty-v6y 7 ай бұрын
Yan imenoga kabla hata sijamaliza kusikiliza
@faridakanda-ct8uo
@faridakanda-ct8uo 9 ай бұрын
Jamani ni nzuri sana ❤
@FaithMuthoni-h6k
@FaithMuthoni-h6k 9 ай бұрын
Be blessed maisha mema , God be with you ❤❤❤
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 9 ай бұрын
Ahsante ndugu Lucas kwa mambo mapya mungu akubariki ❤❤❤
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Amen Saada😊😊😊
@saadamohammed7431
@saadamohammed7431 9 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI shukran
@aminakatangaza1141
@aminakatangaza1141 6 ай бұрын
Safi saana ndungu mpezi
@DeniseKarafuli-fn2qb
@DeniseKarafuli-fn2qb 4 ай бұрын
Nashukuru sana kweli ni kweli
@MariamWambura-f6m
@MariamWambura-f6m 9 ай бұрын
Nimeipenda sana
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 9 ай бұрын
Wow nyc story av really enjoyed.it .what a wonderful voice dear.much ❤ bro.big up
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Thank you so much Mwana😀
@marykabuto
@marykabuto 9 ай бұрын
I Like your job Lukas
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Thank you ❤❤❤❤😊😊😊😊
@lulusenzia4807
@lulusenzia4807 9 ай бұрын
❤❤❤❤ nimeipenda sana
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
You're welcome miss lulu🤍
@lulusenzia4807
@lulusenzia4807 9 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI thx napenda mnavyosoma comments
@FredBoni-fw4cn
@FredBoni-fw4cn 9 ай бұрын
Story nzuli ❤❤❤❤❤
@girukwishakaclaudine5374
@girukwishakaclaudine5374 8 ай бұрын
Yan Sia very much 🤭😂🤣🤣 Lucas ahsante
@carolinemaina1416
@carolinemaina1416 8 ай бұрын
Nice story
@Mohammedaa-xp3tq
@Mohammedaa-xp3tq 9 ай бұрын
Mauwa yangu plz kaka Lucas 🎉🎉
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😊😊
@MaryamomaryShaban
@MaryamomaryShaban 2 ай бұрын
Jamn ❤❤❤❤
@ZenaidaDaniel-r9d
@ZenaidaDaniel-r9d 9 ай бұрын
😂😂😂hivi Lucas unasauti ngap?🎉🎉🎉 Nakupenda bure
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
😂😂😂😂 Shukurani na sifa ziende kwake alienipa sauti hii.... God's plan 🙏 😊😊😊
@saumunyadzua
@saumunyadzua 9 ай бұрын
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI jibu una ngapi hizo sauti
@faridakanda-ct8uo
@faridakanda-ct8uo 9 ай бұрын
Kwakweli
@saudaalawi6013
@saudaalawi6013 5 ай бұрын
kw kwely kmb cjuuliz peke yk😂😂
@HoseyaAmos
@HoseyaAmos 9 ай бұрын
Oooh! Kaka uko hot sana ❤❤💜💜💜🥰🥰🥰
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
I need 🥶 🧊 😅😅😅😅
@faithndenge-cz8pe
@faithndenge-cz8pe 9 ай бұрын
Asante sana yani nmejibamba❤❤❤
@ObbyPeter
@ObbyPeter 8 ай бұрын
Nimeipenda kaka ukovizuri
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 6 ай бұрын
Story tam🥰🥰🥰
@tegemeamhimba832
@tegemeamhimba832 9 ай бұрын
So sweet 🎉🎉🎉
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 9 ай бұрын
Mama alikua mpuzi sana mama wa ovyo
@sitimjhhindimjh2019
@sitimjhhindimjh2019 9 ай бұрын
Simulizi yako Yani yanivunja mbavu😂😂😂😂😂😂❤❤
@HafashimanaDorine
@HafashimanaDorine 8 ай бұрын
Nzuli sana😊
@slyla2565
@slyla2565 9 ай бұрын
Wakati wa mungu niwakati sahihi
@husnapablo
@husnapablo 5 ай бұрын
Lukas na wewe izii simulizi mboni una ludia story
@MwajumaAli-w3o
@MwajumaAli-w3o 9 ай бұрын
Sante Kaka LUKAS
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Enjoy😊😊😊😊
@CyprianMhanga
@CyprianMhanga 8 ай бұрын
Tabia ya mjomba ilikuwa bovu kabisa na mungu analaani vitendo kama hivyo
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 9 ай бұрын
Sauti zako ni ngapi 😂😂😂😂😂😂 naenjoy vile unasimulia aiseee
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Mpaka leo sijajua nina sauti ngapi😂😂
@Pretty22750
@Pretty22750 9 ай бұрын
Ila kwangu mie kuna jambo aliniahidi lkn ni km amebadilisha 😊😊😊jmn why @lucas do it for me napenda sana
@JoyceKristopher
@JoyceKristopher 8 ай бұрын
Traaam sana❤❤
@FunnyClownfish-uc6ye
@FunnyClownfish-uc6ye 9 ай бұрын
Asa. Kauzu. Nae. Jaman. Siamuache. Binti. Wawatu
@Abuubakarii
@Abuubakarii 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤nice
@fetreshazKhamisi
@fetreshazKhamisi 9 ай бұрын
Wamwishooo💃💃🤣🤣🇴🇲🇴🇲❤️🤸❤️❤️🌹
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Acha uchawi 😅😅😅😅😅😅 nani kakuambia wewe wa mwsho😅😅😅.. (jokes)
@ashleymohamed6935
@ashleymohamed6935 9 ай бұрын
😂😂
@DarikeJanet
@DarikeJanet 9 ай бұрын
So sweet❤❤❤
@TausiAlly-d8e
@TausiAlly-d8e 12 күн бұрын
Dah stor tamu sana
@Fatum112
@Fatum112 9 ай бұрын
Amiin..twakupenda pia tumeburudika sana simulizi nzuri
@FatumaIddy-h4r
@FatumaIddy-h4r 9 ай бұрын
❤❤ wow bro am aiishi hamu kusikiliza jmn dah ni tamu km kipande cha keki
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
🎉🎉🎉😊😊😊
@RoseMbuya-cn5dg
@RoseMbuya-cn5dg 9 ай бұрын
Tumependa
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 9 ай бұрын
Pole Sana Dada sia mungu yuko pamoja na wewe dadangu maisha yako kwa mungu shatani hameshitwe kwa Jina la yesu asente Sana Lucas lumbasi
@BimukubuwaMusa-hd9np
@BimukubuwaMusa-hd9np 9 ай бұрын
Simulinzi Nzr Sana
@YasintaSimon-df9lg
@YasintaSimon-df9lg 9 ай бұрын
Nice story❤
@habibamura5255
@habibamura5255 5 ай бұрын
Kazi zuri ❤️
@ZinaTanzani
@ZinaTanzani 9 ай бұрын
Mashallah jamani mimi wa mwisho
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 9 ай бұрын
Wewee😅😅😅😅😅 nani kakuambia ww ni wa mwisho wakati kila dk kuna waskilizaj wapya
@KwizeraSalma
@KwizeraSalma 9 ай бұрын
​@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZImwambie uyo😏😏 anataka asikilize mwenyewe😂😂😂😂
@AnnaMshanga-l5r
@AnnaMshanga-l5r Ай бұрын
Ni nzuri
@pascalinaerasto9501
@pascalinaerasto9501 9 ай бұрын
Nimewai wa 17
@aminanuranassor660
@aminanuranassor660 9 ай бұрын
Very stor so much ❤❤
@AlineNdoole-s2p
@AlineNdoole-s2p 9 ай бұрын
Santé ❤❤❤❤
@NahiratyMachela
@NahiratyMachela 9 ай бұрын
Uyo kaka sigar
@ZuhuraThabit-y3c
@ZuhuraThabit-y3c 9 ай бұрын
Safi sana❤❤
@UwamahoroTidjara
@UwamahoroTidjara 8 ай бұрын
Asante sana tunakupena
PENZI LA MUUZA MAZIWA.
1:06:24
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 198 М.
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 42 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
BINTI JENERALI
3:01:42
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 760
ANITA - SIMULIZI FUPI
49:34
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 28 М.
BINTI SONIA - MAPENZI NA MAISHA YALIVYOMTESA MREMBO SONIA
1:32:15
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 44 М.
KILIO CHA YATIMA SEHEMU YA 18 Imeandikwa na kusimuliwa na Salma Rasheed Ramadhani
34:05
Simulizi Za Salma R Ramadhani
Рет қаралды 327
SIMULIZI FUPI: KIVURUGE, SIO CHAGUO LANGU.
2:02:15
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 31 М.
BINTI YUSRA - SIMULIZI MPYA YA KUSISIMUA
1:42:33
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 29 М.
MSELA - SIMULIZI YA MAPENZI
2:04:52
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 55 М.
SAJDA (KAJICHANGANYA KWENYE PENZI LA MWANAJESHI) - SIMULIZI FUPI
1:33:04
LUCAS LUMBASI SIMULIZI
Рет қаралды 23 М.
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН