BIRTHDAY CEREMONY FOR MAMA MTALEMWA

  Рет қаралды 36,308

Apostle Mtalemwa Bushiri

4 жыл бұрын

Пікірлер: 163
@magdalenamatiko9995
@magdalenamatiko9995 4 жыл бұрын
Kama na wwe vazi LA mama halijakubariki like hapa
@saramalila4441
@saramalila4441 3 жыл бұрын
Ni kweli wewe mama mtumishi, ila mavazi sio
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 2 жыл бұрын
Huko mbinguni tutafika tumechoka sana, ajuaye Mungu Ila uhuni mwingi, mama Mtumishi, suruali ya kubana, uhuni tu
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 2 жыл бұрын
Kweli aise
@agathaabinala7503
@agathaabinala7503 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@humphreyfungo7669
@humphreyfungo7669 2 жыл бұрын
Mama mtumishi mbona kavaa suruali halafu imebana sana. Wanawake si wanatakiwa kuvaa mavazi ya heshima na ya kujisituri . Hapo wapo watu anawakosesha .
@jacquelineelly6684
@jacquelineelly6684 4 жыл бұрын
Kama umeangalia video hii zaidi ya mara 7 gonga like tujuane 💃💃💃... it's so beautiful, i love the whole idea. Mama deserves this and more❤
@zakariakabasa3790
@zakariakabasa3790 2 жыл бұрын
Brother!. Umepotea brother, umepotea brother, Umepotea brother???? Unaruhusu mavazi yanayochochea hisia za zinaa kwenye nyumba ya Mungu?? Daaaaahhh baba zetu, waliotumiwa na Mungu kuyanena maneno yaluyoroka kwa Mungu, wangeyaona yanayoendelea leo, sipati picha kwa moyo wao ingekuwaje!!.
@cecilrose6230
@cecilrose6230 3 жыл бұрын
Sijapenda vazi la mama aah poo mbingu unasema nini
@user-ne6bh3gl5u
@user-ne6bh3gl5u 7 ай бұрын
Napenda sana mafundisho yako mtumishi ila mavazi ya mkeo yamenitoa kwenye imani!!!!! Mavazi ya heshima kwenye madhabahu siyo hayo!!!!
@giftjannet1047
@giftjannet1047 Жыл бұрын
Waoooo Asante sana Kwaupendo munaonyesha kanisa na mataifa nawapenda sana muishi myaka mingi katika jina La Yesu
@sirnunda3758
@sirnunda3758 3 жыл бұрын
HAPO MUNGU HAYUPO HAPO.KWA MAVAZI YA AINA HIYO MNADANGANYANA NA KUPOTEZA MUDA WENU
@doricemwalongo1584
@doricemwalongo1584 3 жыл бұрын
Na mm natamani kuwa na mume kama wewe postel mtalemwa ,niombee na mm nipate wangu 💕
@marygregory7566
@marygregory7566 3 жыл бұрын
Live long Mama mchungaji..ila mom naomba mavazi badilisha kidogo Mama.
@angelmchome5526
@angelmchome5526 3 жыл бұрын
Kwel mavazi hayamtukuz Mungu
@jacksonpatrick2846
@jacksonpatrick2846 4 жыл бұрын
Mke wa mchungaji unavaa modo tena ya kuchanika duh kweli hizi no siku za mwisho
@youngbilioners4631
@youngbilioners4631 3 жыл бұрын
Wembwa kerere
@gloriambanda5908
@gloriambanda5908 3 жыл бұрын
hongereni sana Mungu awezidishie miaka mingi ya kuishi na upendo katika ndoa na umoja kati yenu katika Kristo Yesu Amen.
@markodaniel2662
@markodaniel2662 2 жыл бұрын
Vema sana, ila hii mivaliyo ya suruali kwa wake za wachungaji imetoka wapi
@ruffinbagula7654
@ruffinbagula7654 2 жыл бұрын
Be blessed Pastor. We're so thankful from Bukavu/DRC
@lumuliasibwene886
@lumuliasibwene886 4 жыл бұрын
Ndio nguo gani hizo mke wa mtumishi, kanguo kanabana, hakuna ushuhuda hapo
@annajustine5104
@annajustine5104 4 жыл бұрын
Mmmh yetu macho
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 3 жыл бұрын
Nguo hiyo sio mahala pake
@elizabethmwasile2871
@elizabethmwasile2871 3 жыл бұрын
Yaani nguo haina ushuhuda kbsaaaa
@elizabethmwasile2871
@elizabethmwasile2871 3 жыл бұрын
Yaani nguo haina ushuhuda kbsaaaa
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
kumbe tupo wengi nilidhani ni mimi tu nimeona
@RedemptaShio-yi9dx
@RedemptaShio-yi9dx 3 ай бұрын
Amen mtumishi
@queenyahaya3147
@queenyahaya3147 4 жыл бұрын
Jamani adi raha hongera sana baba 👏👏 mie natamani atokee ata wa kunipenda tu ni wachache sana katika dunia hiii
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Жыл бұрын
Amen Mtalemwa na yapenda mahubiri yako sana
@AdelaidaZachariah-id9ft
@AdelaidaZachariah-id9ft Жыл бұрын
The best of you mama, God bless you!!!😊
@leerimoy5477
@leerimoy5477 4 жыл бұрын
Our Very Own Pride! Mama and Half! My Angel on earth!! I love Loving You. Proudly a Member of this Family
@vailethywalter5674
@vailethywalter5674 4 жыл бұрын
nimeipenda sana papaaa gud mungu ampe Mamy maisha marefu Na afya njema.
@neemasamwel8968
@neemasamwel8968 Жыл бұрын
😅😅nimeipenda hongera kwake
@donnngeta2022
@donnngeta2022 4 жыл бұрын
nlichokigundua mama mtalemwa hajapenda pikipikii
@salomefesto9225
@salomefesto9225 4 жыл бұрын
Woooow asante daddy kumfurahisha mama
@julianamsofe6445
@julianamsofe6445 4 жыл бұрын
Amazing soo lovely ,and you deserve it Happy birthday our lovely mama mentor ,GOD bless you
@doricelema2591
@doricelema2591 4 жыл бұрын
Wooow! Happy Birthday Mama ❤❤❤. And Congratulations for Toyo and BMW Latest version.
@jemimahowiti
@jemimahowiti 2 жыл бұрын
Waaaw,i just love the simplicity and how you celebrate with everyone!
@lilianlubanga4010
@lilianlubanga4010 3 жыл бұрын
Wonderful Mama Happy birthday to you.
@irenengina233
@irenengina233 2 жыл бұрын
Wow! Happy birthday to mrs mtelemwa
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
amaizing sana mbarikiwe baba na mama mnatufundisha upendo
@naomifavor2887
@naomifavor2887 3 жыл бұрын
Hata kama ,si vyema the dressing is indecent
@zenalawlent2660
@zenalawlent2660 Жыл бұрын
Mungu mbariki
@kenonpeter3692
@kenonpeter3692 Жыл бұрын
Mependeza sana chifu
@rosemarylamsy3230
@rosemarylamsy3230 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana, nawakumbuka sana
@kaboberdo227
@kaboberdo227 3 жыл бұрын
Happy birthday to you 🥂🥂🥂
@dorkasfrank6944
@dorkasfrank6944 4 жыл бұрын
Happy bon day mamaah ishi sana kwasababu yetu maaaah
@ruthmaurice496
@ruthmaurice496 4 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu mama nawapend sana
@eliadimsaki9754
@eliadimsaki9754 3 жыл бұрын
Hongera sana Baba Nabii Mtalemwa Mungu awajalie maisha mema.!
@joycejumaa7181
@joycejumaa7181 4 жыл бұрын
Wauuuuu happy birthday mama
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
mungu ampe miaka mingi sana ya kuishi na mtu wa mungu.
@salomeshila3671
@salomeshila3671 3 жыл бұрын
Ilipendeza mnoo!!
@elizabethnyato1449
@elizabethnyato1449 4 жыл бұрын
Mungu akutunze mama yetu
@ruthmuia2228
@ruthmuia2228 2 жыл бұрын
Love this video
@vickiemerere4056
@vickiemerere4056 3 жыл бұрын
Kama uliona kuwa mama hakufurahia toyo gonga like
@libinarobert3830
@libinarobert3830 3 жыл бұрын
Hata aibu hamna nguo gani hio kavaa dunia simama nishuke mm
@uwrtvuwrtv3575
@uwrtvuwrtv3575 4 жыл бұрын
Safi chief mtalemwa
@joylethfaustine5970
@joylethfaustine5970 2 жыл бұрын
Waoo hongera sana faustina
@ibrahimpius4906
@ibrahimpius4906 4 жыл бұрын
Hbd to u,Hakika Mungu amewatoa mbali,nakumbuka wakati ukiwa TTC,njisi mlivyokuwa mnapendana
@merryjohn9520
@merryjohn9520 2 жыл бұрын
Waoh 🥰
@emilygesare508
@emilygesare508 4 жыл бұрын
Nimependa sherehe lakini mbona akavaa trouser jamani mwanamke kiongozi, mungu turuhumie sisi
@Neema.kitchen
@Neema.kitchen 3 жыл бұрын
Unahitaji kuhurumiwa wewe mpenzi na kujifunza kwamba Suruali sio dhambi
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 3 жыл бұрын
Tena ile bottle tight kabisa anyway atakae toa hukumu ni Mungu tu SSI macho tu
@mariamnamwa188
@mariamnamwa188 3 жыл бұрын
@@everlyneiminza5722 pia mm sijapenda.
@wilfredroberttv7619
@wilfredroberttv7619 4 жыл бұрын
Hakika umefanya mambo ya kushangaza kabisa HBD
@janeisaac4530
@janeisaac4530 4 жыл бұрын
Papa your too much. Your true Dady. We love you Dady. Happy birthday Mama. She deserve.
@gerryanvolan2021
@gerryanvolan2021 4 жыл бұрын
Papa truly you have a kind heart
@clairemuchai623
@clairemuchai623 3 жыл бұрын
Wow 🥺🥺🥺🥺 nice
@asifiweabellumato4262
@asifiweabellumato4262 4 жыл бұрын
Hi cku ilikuwa nzur Sanaa
@gloriamalisa3033
@gloriamalisa3033 4 жыл бұрын
it was so amazing, waooo!!!
@arthurmwakanyamale7651
@arthurmwakanyamale7651 4 жыл бұрын
Nzur sana
@annyungelle3792
@annyungelle3792 4 жыл бұрын
God namimi Baba k aninunulie
@kasekebukaba2941
@kasekebukaba2941 2 жыл бұрын
Ongera sana mutu wa Mungu.
@pastoremmanuelmhomisoli9782
@pastoremmanuelmhomisoli9782 4 жыл бұрын
Hakika hii siku niliipenda Mungu awabariki watumishi wake na kuwatunza
@gamelahg4613
@gamelahg4613 4 жыл бұрын
waooo
@julianayoramu9780
@julianayoramu9780 4 жыл бұрын
Hbd Mamaa
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 nimeipendaaa Sanaa hii zawadii
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
HAYO MAVAXI SIO KWA MAMA KIONGOZI.IGA MFANO KWA EVELYNE JOSHUA.HAKUJA HAJA YA KUONYESHA VITU HIVYO MAKANISANI AU KTK MITANDAO.VIMEMCOST BUSHIRI
@mercylineinjoke9682
@mercylineinjoke9682 3 жыл бұрын
Wow maixha ikiwa hivi utatamani kifo kweli
@entoroboyamama2239
@entoroboyamama2239 3 жыл бұрын
Nakwambia
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
happy birthday mama
@juliethbaraka4856
@juliethbaraka4856 4 жыл бұрын
Tunakushukuru Mungu kwaajiri ya mama,Zidi kumpa maisha mazuri na marefu,Happybirthday mom ninakupenda sana
@happynessminja487
@happynessminja487 4 жыл бұрын
I Connect
@happynessminja487
@happynessminja487 4 жыл бұрын
Happy Birthday mama Chief
@annyungelle3792
@annyungelle3792 4 жыл бұрын
I connect
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 3 жыл бұрын
MAMA MCHUNGAJI ANAVAAA NGUO ZA KUBANA IVO SURUALI MANYWELE YA BANDIA ANAFUNDISHA NN WAUMINI WE MTALEMWA MBONA HUJAVAA PENSI FUNDISHA UVAAJI NA MAPAMBO YAANZIE KWA MKEO NI DHAMBIKUBWA SANA NI WAKALA NN
@raphaelkatanga5335
@raphaelkatanga5335 2 жыл бұрын
Mungu yupi huyo
@ruthmaurice496
@ruthmaurice496 4 жыл бұрын
i connect mamy
@shqueenmody9612
@shqueenmody9612 4 жыл бұрын
🙏😍
@jacksonpatrick2846
@jacksonpatrick2846 4 жыл бұрын
Ww mchung aji sio acha kuibia watu
@faidaimmaculee28
@faidaimmaculee28 2 жыл бұрын
Amen
@elishapeterbalele3879
@elishapeterbalele3879 4 жыл бұрын
we love you Mama.
@douglaskimala9925
@douglaskimala9925 4 жыл бұрын
What comes out of someone's mouth define him or her self
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 2 жыл бұрын
huyu mama mchungaji ni miyayusho nguo alizovaa hazimfai
@framsirona
@framsirona 4 жыл бұрын
POWER POWER POWER
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 2 жыл бұрын
Mnapomwombea msisahau kumwombea akome kuvaa hivyo vijisuruali vya kishetani
@salmahassan3521
@salmahassan3521 3 жыл бұрын
Mama mtalemwa Mungu hajawahi sema na wewe hata siku moja kuhusu mavazi?, Try to be like a real mama
@eunicehezron3481
@eunicehezron3481 3 жыл бұрын
But Our God have mercy
@annyungelle3792
@annyungelle3792 4 жыл бұрын
She is soo beautiful like rwandanian
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 3 жыл бұрын
Hakika. Sura za kinyarwanda hizo.
@saidimulengima367
@saidimulengima367 3 жыл бұрын
Pahahahahaha nimefurahia hahaha
@youngbilioners4631
@youngbilioners4631 3 жыл бұрын
Mhh bahati zao
@samrecordvwawa9133
@samrecordvwawa9133 2 жыл бұрын
Namba huo wimbo kwanza
@monicakatabi4306
@monicakatabi4306 4 жыл бұрын
Mbona hamjamwogesha mama yangu??
@bukuruphilibert2968
@bukuruphilibert2968 11 ай бұрын
Mafundisho mazr ila kwa mavaz hayo ya kikahaba hamna nisamehe kumsema vibaya ubavu wako
@gracekwila5674
@gracekwila5674 4 жыл бұрын
Hii inaitwa zawadi na nyongeza ya TOYO
@tausimhando6866
@tausimhando6866 4 жыл бұрын
Chiiiiiiiiiif,nimeona iyo apostolic gift ya toyo hahahaaaa, nawapenda watu wa Mungu
@olesimangakimbey4147
@olesimangakimbey4147 2 жыл бұрын
sas hapo nan mama wakaty wote wawili mmevaa surually mwenyezi Mungu awasamehe sna coz sio kwa. Mavazi hayo na ndiomaana kitabu Cha yeremia inasema kua watu wangu wamekua kondoo waliopotea wachungaji wao wamewapoteza
@jjbornagain813
@jjbornagain813 3 жыл бұрын
Haya mambo binafs siyo ya kufanyia madhabahuni madhabahu ni maalumu biblia inasema je hamna nyumba za kulia nakunywea mpaka iwe nyumba ya Mungu alafu unawatumia watu wa Mungu kwa mambo ya ajabu yakumfurahisha mke wako nawatoto hayo ndyo inayomgharimu bushiri now
@careeninnocent738
@careeninnocent738 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣💐🎈🥃
@ilovecomputers1630
@ilovecomputers1630 4 жыл бұрын
Inasikitisha kuona watu hawakenei mavazi ya kikahaba kama hayo alievaa anayejiita mama kanisa
@annaurio4873
@annaurio4873 4 жыл бұрын
Malaya mbovu wewe mavazi ya kikahaba unayajua mbwa wewe au unawashwa unahitaji kutiwa vidole nguruwe wewe shenzi kbsa
@annaurio4873
@annaurio4873 4 жыл бұрын
Wewe malaya uliyeshindika na walimwengu njoo na wewe tukuite mama mchungaji kama unawez ili uvae kimalaya n wewe mbwa mwitu wewe
@ilovecomputers1630
@ilovecomputers1630 4 жыл бұрын
Biblia inasema nyakati za mwisho Mungu ataachilia nguvu za upotevu kwa sababu watu hawapendi kuambiwa ukweli, kama mama wa Kanisa kweli kampokea Yesu hawezi vaa mavazi kama hayo
@ilovecomputers1630
@ilovecomputers1630 4 жыл бұрын
@grace kwila asante, ila jua Yesu hakuja kufa msalabani ili ujinga kama huo ufanyike kanisani, nakuombea siku uokoke umpokee Yesu kabla hujachelewa
@asifiweabellumato4262
@asifiweabellumato4262 4 жыл бұрын
Pastor mwaminifu njooooooooooooooooo
@samrecordvwawa9133
@samrecordvwawa9133 2 жыл бұрын
Yaaani wewe inanibidi niseme tuu jamaa maana kuna wakati nafurahi sana najiona nipo hapo kwakweli
@proviousnatukunda3892
@proviousnatukunda3892 2 жыл бұрын
Am so disappointed in you mama mtalemwa the way u a dressing in front of congregate and yet I once had your husband preaching about bad dressing and that's what made me start following your channel
@daudimwakalinga2768
@daudimwakalinga2768 3 жыл бұрын
Kumbukumbu la toratI 22:5
@ilovecomputers1630
@ilovecomputers1630 4 жыл бұрын
Mavazi kama malaya wa buguruni
@asifiweabellumato4262
@asifiweabellumato4262 4 жыл бұрын
Kumbe Malaya huwa Wana pendeza HV?? Haa haha haaa
@asifiweabellumato4262
@asifiweabellumato4262 4 жыл бұрын
Kumbe Malaya huwa Wana pendeza hvii ?hahaha haaaaa
@asifiweabellumato4262
@asifiweabellumato4262 4 жыл бұрын
Em nitumie hapa ,Wachungaji wako wanavo vaa jmn ,,,
@blazelupine801
@blazelupine801 4 жыл бұрын
Shida yako ni kua uncivilized uneducated unglobalized to the fact that ur simple incompetent mind can't begin to fathom the greatness of God's grace coz if u did then u wouldn't be spitting unethical rabbish out of ur bowel that u call ur mind
@douglaskimala9925
@douglaskimala9925 4 жыл бұрын
So kituo chako ni buguruni....uko vizuli mpaka unajuwa vituo...ebu niambie sasa wewe katika kituo cha buguruni unava je. Etakuwa yakwako ni bala...
@rhodagiston3443
@rhodagiston3443 2 жыл бұрын
Po
@delehfinakabamba183
@delehfinakabamba183 2 жыл бұрын
Mavazi tumwokope Mungu yooooooo
@delehfinakabamba183
@delehfinakabamba183 2 жыл бұрын
Mavazi hayafanani na mmamtumishi sijapenda mavazi hatukouraya niafric
@delehfinakabamba183
@delehfinakabamba183 2 жыл бұрын
Mavaziyamama asirudikutuvaria hivi utazuiya wengiku okorewa tutaonamengi tumwokope Mungu
@delehfinakabamba183
@delehfinakabamba183 2 жыл бұрын
Mapenzimengine yanatakiwa cumbani hayana ushuhuda
@happynessisack7918
@happynessisack7918 2 жыл бұрын
Kwenye mavazi 0:0=000
@magdalenaobet8502
@magdalenaobet8502 4 жыл бұрын
Yaani umeonyesha upendo was dhati si kwasababu ya zawadi kumuwazia tu hbd. Wanaume Kama ww wanaofanya hivyo ni wachacheeee
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 35 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 19 МЛН