Blessed Hango - Immanuel (Official Live Video)

  Рет қаралды 51,980

Blessed Hango

Blessed Hango

Күн бұрын

Пікірлер: 183
@paulclement25
@paulclement25 Жыл бұрын
Mdogo wangu Neema ya MUNGU izidi kwako sana sana nakupenda.
@zenithjosue9801
@zenithjosue9801 Жыл бұрын
Kabisa mtumishi
@faithmumbi
@faithmumbi Жыл бұрын
Nilidhania ni wewe , wow 👏👏👏👏👏👏
@eber-w3b
@eber-w3b Жыл бұрын
Let's Praise Till We Shutter Our Limits
@pastorpetermfoi2806
@pastorpetermfoi2806 Жыл бұрын
😂😂😂😂mtu wa watu naye ka comments 💪
@MRiki03
@MRiki03 Жыл бұрын
MUNGU Hutunza Karama na Baraka kwa watu wasiokuwa na nafasi katika Jamii nini najaribu kusema hapa ni Mungu huinua wanyonge na kuwapa nguvu ya kuliinua Taifa (Mungu hujitukuza kupitia wanyenyekevu)
@godlovestafford2536
@godlovestafford2536 Жыл бұрын
Something is coming Tanzania🔥🔥🔥🇹🇿
@FurahaFrank-ud5ww
@FurahaFrank-ud5ww Жыл бұрын
Mungu pamoja nasi
@jamessteven8405
@jamessteven8405 Жыл бұрын
Sasa naweza sema jambo moja #MUNGU aliye ianzisha safari hii akaikuze kwa utukufu wake ameen, ukawe utukufu kwa mataifa @blessed hango
@joshcleopa8859
@joshcleopa8859 Жыл бұрын
GOD BLESS YOU BROTHER, TUMEUONA MKONO WA BWANA HAKIKA
@joshuakashimba3492
@joshuakashimba3492 Жыл бұрын
Niseme tu Kwamba Nakufurahia Mdogo wangu❤️✊ MUNGU akubariki sna Ninakukubaliii Sanaa...!!
@barikitomanofficial989
@barikitomanofficial989 Жыл бұрын
Mimi ni wa kwanza kukoment hapaaa Mungu akubariki sana blessed kaka yangu
@andrewkihweloofficial6589
@andrewkihweloofficial6589 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mdogo wangu
@itstabitha6253
@itstabitha6253 Жыл бұрын
Nina comment kwa mara ya pili 😂😂😍😍😍aiseee😪Mungu ana vyombo jomonii
@ObbyAlpha
@ObbyAlpha Жыл бұрын
Barikiwa sana babaaa
@francismatosha6467
@francismatosha6467 Жыл бұрын
Wenye tumeona mkono wa Bwana let's say Ameen🔥🔥
@eliamtishibi4129
@eliamtishibi4129 Жыл бұрын
Emmanuel Mungu pamoja nasi uongezeke sana mdogo wangu
@georgedemsemo02
@georgedemsemo02 Жыл бұрын
My bloody i cant believe if its You Mungu azidi kukupandisha unanifundisha vingi😏🤗🤗🤗🤗
@barakakamugisha8182
@barakakamugisha8182 Жыл бұрын
💥💥💥
@isayamwaipopo2068
@isayamwaipopo2068 9 ай бұрын
Emanuel, God with us 🙏🏾 ❤️ 🙌 ♥️ 🔥🔥🔥 be blessed brother Hango 🙏🏾 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@samwelisrael1557
@samwelisrael1557 Жыл бұрын
Mungu awabarikini nyote Kwa huduma nzuri
@deboramremi6873
@deboramremi6873 Жыл бұрын
Blesseeeeeed💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
@rebeccamsechu6067
@rebeccamsechu6067 Жыл бұрын
Woooow...hongeraaa.blessed
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 Жыл бұрын
Bado tunaendelea kubarikiwa na KAZI hii mtumishi Wa Jéhovah
@estherlabanghuliku4668
@estherlabanghuliku4668 Жыл бұрын
Hongera Sn B Mungu azid kukuinua Mno Bwana harusi Mdogo Wa harusi Yetu hakika Umekuwa na Mungu azid kukuinua tunakupenda Wewe Wajua.
@gillianjared
@gillianjared Жыл бұрын
Brilliant work. hongera sana. Hakika Mungu pamoja nasi
@amonramothy6790
@amonramothy6790 Жыл бұрын
Emanuel Mungu pamoja nasi ,, Tumeuona mkono wako Bwana ..Amen Amen barikiwa sana watumish wa Mungu..
@gloryjonathan5003
@gloryjonathan5003 Жыл бұрын
Tumeuona mkono wako Bwana🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🏾 Tumeyaona matendo yako bwana
@Gracemdodo24
@Gracemdodo24 Жыл бұрын
Uzidi kuongezeka Blair ✊🏾
@naftalimimbi7717
@naftalimimbi7717 Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana brother mungu akubariki na kukuinua uweze kulitangaza jina lake kwenye mataifa yote
@nancyharryson229
@nancyharryson229 Жыл бұрын
Mimi Ni Shahidi Wa Yale Yesu Anatenda kwangu na kwa watu wengine,Nimeuona Mkono Wake Personally Wala si habari za kusimuliwa na mtu😭🔥🙌🏻
@SomaBiblia
@SomaBiblia Жыл бұрын
Amen🙌🏼
@EdgarKimaroni-zo2yx
@EdgarKimaroni-zo2yx Жыл бұрын
Sooo good brother siku zote unafanya vema MUNGU akuinue sana♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@apostlewilsonmassawe3672
@apostlewilsonmassawe3672 Жыл бұрын
Blessed be The Name of Jesus Christ
@noahmisholi1080
@noahmisholi1080 Жыл бұрын
Mimi bado nairudia Intro bhana🔥🔥
@artysarah7716
@artysarah7716 Жыл бұрын
Beautiful song may God give you more beautiful songs like this powerful worship song imenibariki barikiwa
@witnessvictor7645
@witnessvictor7645 Жыл бұрын
Heeeeee😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Emmanueeeeeeelllllllllll eeeeeeeeeyyyy Mungu pamoja nasi.. 🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭
@happymwashilindi1132
@happymwashilindi1132 Жыл бұрын
Amazing... uinuliwe na kupata kibali zaidi
@boscocosmas4674
@boscocosmas4674 Жыл бұрын
Hongra kazi nzuri Kuwa mnyenyekevu tu bro utafika mbali zaid ya hapo
@neemajackson4232
@neemajackson4232 Жыл бұрын
Tumeuona mkono wako bwana kwenye maisha yetu 🙌🏻🙌🏻😇
@designerford
@designerford Жыл бұрын
Umebarikiwa sana Blessed! Mungu azidi kukuinua.
@hosenisamweli5500
@hosenisamweli5500 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtu wa MUNGU
@tunudaimon6604
@tunudaimon6604 Жыл бұрын
Hakika MUNGU azidi kukufunika..kama kuna mtu hajausikia huu wimbo kuna kitu bado hajajiskia kama shahidi anavyopaswa kujivunia...Nimebarikiwa sana Kaka
@tausihussein9017
@tausihussein9017 Жыл бұрын
Mwema juu ya neema 🙌🙌
@uwumutimaaimepatrick8637
@uwumutimaaimepatrick8637 Жыл бұрын
Wow!! 😘😘Am in love to this song God bless you more more we love u from RWANDA 🇷🇼
@MatundaAfya
@MatundaAfya Жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia kwa utukufu wake
@ministerayoubamosi0016
@ministerayoubamosi0016 Жыл бұрын
Kaka your blessed as your name unanibariki mnooo❤❤❤
@derickmunisi2043
@derickmunisi2043 Жыл бұрын
Kazana mdogo wangu
@j.d.aministries5531
@j.d.aministries5531 Жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu yangu 🙏
@hopenorbert6066
@hopenorbert6066 Жыл бұрын
Daaaaaah i feeel soooo🔥🔥🔥 i cant explain.. nimeuona mkono wake Bwana na matendo yake makuu maishani mwangu, be blessed sana kaka for this song with a message that rise a voice of praise from inside to praise our Lord God for what he has done to us.
@nancyharryson229
@nancyharryson229 Жыл бұрын
Wouuuuuuuuh🗣🗣🔊🔊🔊
@samvoice-28
@samvoice-28 Жыл бұрын
Manyon boy Keep it up broh ♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥
@nenoninuruyauzimatv.6257
@nenoninuruyauzimatv.6257 Жыл бұрын
Hongera sana , Kijana , Mungu aendelee kukutumia Zaidi.
@farizglobal
@farizglobal Жыл бұрын
Immanuel mungu pamoja nasi🙌🙌
@kulwambez6270
@kulwambez6270 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙇‍♂️,,,, Emmanuel hakika sisi ni mashahidii
@itstabitha6253
@itstabitha6253 Жыл бұрын
Aaron nimekujaa😂😂😍😍😍aiiiiiiiiii
@Chambivictor
@Chambivictor Жыл бұрын
Kaka yang 🔥🔥🔥🔥🔥 MUNGU azidi kukuinua kazi nzuri sana
@netomusic_tz5891
@netomusic_tz5891 Жыл бұрын
Nakubal blessed JITU
@victormaestroofficial3986
@victormaestroofficial3986 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@edsonpeter2206
@edsonpeter2206 Жыл бұрын
Greats .. Mungu awe nawe huduma nzuri kwa Bwana.
@kingseth1018
@kingseth1018 Жыл бұрын
Amen amen Mungu akuzidishie BLESSED
@ministerpatrick6
@ministerpatrick6 Жыл бұрын
Hongera man
@barakapascal5896
@barakapascal5896 Жыл бұрын
Hakika tuneuona mkono wako BWANA ❤️
@manpierre571
@manpierre571 Жыл бұрын
Glory to God,,We jamaa unajua ... .count me your big fan from today.....Keep shining. the intro 🔥🙌
@georgedavid8358
@georgedavid8358 Жыл бұрын
Nakupenda brother kazi nzuri sana
@dalam1010
@dalam1010 Жыл бұрын
Mashahidi wa Bwana🔥🔥🔥🙌
@Chambivictor
@Chambivictor Жыл бұрын
Hakika emmanuel Mungu pamoja nasi
@happythomas7968
@happythomas7968 Жыл бұрын
🔥🔥🔥 Mungu ni mwema sana hongera.bless Mungu aendelee kukubarik na kukuongoza na kuwa pamoja nawe katka safar ya kumtangaza yeye Big up👍🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@gospelleo-e6b
@gospelleo-e6b Жыл бұрын
Wah!!! I'm blessed kiukweli. Barikiwa sana brother
@nathanaelsabibi
@nathanaelsabibi Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki na kukufunulia mengi zaidi.
@floraomary7335
@floraomary7335 Жыл бұрын
Nimebalikiwa🙏
@Dr.ostine
@Dr.ostine Жыл бұрын
Good broo kazi nzuri barikiwa
@alexanthony3750
@alexanthony3750 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kijana wangu, kazi nzuri sana
@dorcassimeon3549
@dorcassimeon3549 Жыл бұрын
Aisee kijana nakuona juu sna, Mungu azidi kuwa na ww mdogo angu, na mwalimu mzurii❤❤ wimbo n mzuri sn🔥🔥🔥🔥
@inocentmwakalinga5836
@inocentmwakalinga5836 Жыл бұрын
Ooooooh 🔥🔥🔥
@happychami9374
@happychami9374 Жыл бұрын
Glory to the Most high God , God with us🙌🙌🙌
@zenithjosue9801
@zenithjosue9801 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@zenithjosue9801
@zenithjosue9801 Жыл бұрын
Tumeuona mkono wako Bwana wimbo iyo ni baraka,neema ikubebe mtumishi 🔥🔥🔥
@marykasimbazi
@marykasimbazi Жыл бұрын
Nimeuona mkono wa Bwana🙌😭
@allengodfrey1461
@allengodfrey1461 Жыл бұрын
Thank you for a good song.Really we have seen .God bless you more and more my brother Blessed
@dnc8949
@dnc8949 Жыл бұрын
Immanuel god with us
@kalebukimambo5334
@kalebukimambo5334 Жыл бұрын
Kaka am Kaleb apa GOD bless you like your name
@Seer_Min_Elijah_J
@Seer_Min_Elijah_J Жыл бұрын
Ooh GLORY BE TO GOD ...my young brother blessed hango for sure this is too much anointing 🔥 🔥
@samuelmethew8277
@samuelmethew8277 Жыл бұрын
Am Bleesed with You Brother Hango🙏
@robertwisdom4019
@robertwisdom4019 Жыл бұрын
Truly He's Emmanuel God with us God bless you my brother 🙌🙌🙌 More grace 🙏
@trueworship9306
@trueworship9306 Жыл бұрын
Najiskia vzurii kukuona mdgo wng
@pastor.gideonmwarandu3931
@pastor.gideonmwarandu3931 Жыл бұрын
This song nare sana!!!! 🔥 🔥 🔥
@abednegomjata6727
@abednegomjata6727 Жыл бұрын
moto ni moto ase bigup beyond team
@juniorjephter7749
@juniorjephter7749 Жыл бұрын
The strong song which returns the groly to the almighty . Be blessed my kaka nakupenda mnooo endelea kumtumikia Bwana
@HopeRyan16
@HopeRyan16 Жыл бұрын
Sema kaka daaah 🙌🏿 im speechless kwakweli nisifiche
@cambelz4211
@cambelz4211 Жыл бұрын
I love that jazz instrumental flow at the intro part😊
@geofreymfello
@geofreymfello Жыл бұрын
Keep Going mdogoangu
@rachelmaneno7030
@rachelmaneno7030 Жыл бұрын
🙌🙌🙌
@Gracey_Katana
@Gracey_Katana Жыл бұрын
🔥🔥🔥Added to my favorite list🙌 More grace @blessed hango
@bernadethawelya8776
@bernadethawelya8776 Жыл бұрын
On my Playlist….Be blessed as your name 🙏
@vostin3537
@vostin3537 Жыл бұрын
Proud of you young
@barakasija5716
@barakasija5716 Жыл бұрын
Glory to God! Young brother Enjoy Immanuel, Isa 7:14
@salomenjerikariuki9748
@salomenjerikariuki9748 Жыл бұрын
Wow! It sounds amazing and well arranged.. kudos.. from from Kenya ❤️
@rebeccajames7429
@rebeccajames7429 Жыл бұрын
Woooow hongera sana wimbo mzuri
@godwinmrema8239
@godwinmrema8239 Жыл бұрын
Ubarikiwe brother Blessed
@salvatoryelias3193
@salvatoryelias3193 Жыл бұрын
da hangora sana umefika mbali
@neymomichaelly785
@neymomichaelly785 Жыл бұрын
Wow nice song bro ..keep moving forward God bless you more and more !
@agnessnazar3088
@agnessnazar3088 Жыл бұрын
Glory to God He is so great!! 🙏
@jamessteven8405
@jamessteven8405 Жыл бұрын
Hizo Kona kwa soprano na Alto ni hatariii
@kwekalucasferan
@kwekalucasferan Жыл бұрын
May the Almighty God continue to bless your Path, hongera sana. This is wonderful...
@erickkeneth8586
@erickkeneth8586 Жыл бұрын
Hallelujah!... MUNGU NI MKUU
@glorymoses6601
@glorymoses6601 Жыл бұрын
I love everything about this song!!!!!
@onlinetembovevo7473
@onlinetembovevo7473 Жыл бұрын
Kakah hii nyimbo utuwekee kwenye audiomack pia asee
@blessedhango
@blessedhango Жыл бұрын
tayari ipo kwenye platform zote
Blessed Hango Ft Paul Clement Hubadiliki (Niko Ambae Niko)
15:49
Blessed Hango
Рет қаралды 7 М.
Blessed Hango - Umekuwa Mwema (Official Live Recorded video)
11:34
Blessed Hango
Рет қаралды 35 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 82 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 71 МЛН
Zoravo - Nimesogea (Official Live Video)
10:42
Zoravo Official
Рет қаралды 83 М.
Bella Kombo ft. Zoravo - Ameniona (Official Live Video)
11:50
Bella Kombo
Рет қаралды 3,8 МЛН
Benjamin Dube ft. Hlengiwe Mhlaba - Kubobonke OThixo (Official Music Video)
15:28
Dube Connection Enterprise
Рет қаралды 3,3 МЛН
Emmanuel [Mungu Pamoja nasi]  - Boaz  Danken ft tafes ardhi/ Live recorded
9:47
Blessed Hango Ft John Kavishe - Napona (Official live video)
14:19
Blessed Hango
Рет қаралды 13 М.
Blessed Hango Ft Zoravo - Mfalme Wa Utukufu (Live Video)
22:30
Blessed Hango
Рет қаралды 13 М.