Рет қаралды 22,412
"Poa" by Blvck Queen & Joefes | Official Music Video
Kindly Subscribe: @BlvckQueenTv & @Joefes
Stream: BlackMarket.ln...
Track No.2 Off "Malkia Mweusi" Album by Blvck Queen
#BlvckQueen #MalkiaMweusi #RapMusic #BlackMarketRecords #Joefes #Poa
Poa Lyrics
CHORUS
Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)
Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)
VERSE 1: BLACK QUEEN
hata ukiniona loco mi sijali,
Kitu najali ni kuchill na washkaji,
Tunakula ganja tunagonga na manyagi,
Wewe si Mungu endelea Kunijaji,
Kunawatu unajua wanaboa ,
Unampa ngoma mambo ye anachukulia poa ,
Nikipita na mabling wanaanza kukohoa ,
Nikiwapa hi hawataki kama wanasubiri ndoa ,
Mbona poa ata ukiniona kwa soko ,
Sipigi luku na ado napiga maphoto,
Sinaga pesa nabado naagiza keroro ,
Nashtua ubongo mana sipendagi makero,
Chorus
Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)
Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)
Verse 2: JOEFES
Bila dready bado mtaa nimelock
ka halls za lecture
Nimekuja ku collect hizo blood bila pressure
Sit down skiza, kick na bassline
Chunga line uki cross ni deadline
News aligenya, few walipenya
Ju few si iliscrew wakablow ka ndeng’a
Johnny ako mtaa ameleta form ako gwethe
Yeah, we back seat more leta mzinga mbwegze
Tumalo tuende
Mbogi imezima kila mtu na unenge
Walikula crate nzima
Nimekuja ku collect hizo blood bila pressure
Chorus
Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)
Nikipanda matatu mbona poa (mbona poa)
Hata ka sipigi luku mbona poa (mbona poa)
Nimetoa hii ngoma mbona poa (mbona poa)
Mbona poa(mbona poa) mbona poa (mbona poa)
Poa 3 Piece;
drive.google.c...