BODI YA UONGOZI NIRC YARIDHISHWA UTEKELEZAJI UJENZI BWAWA LA TLAWI 95% YAAGIZA WATAALAMU

  Рет қаралды 291

National Irrigation Commission

National Irrigation Commission

Күн бұрын

Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji inayoendelea kutekelezwa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji nchini ikiwemo mradi wa ujenzi wa bwawa la Umwagiliaji la Tlawi lililopo katika kijiji cha Tlawi halmashauri Mbulu mji mkoani Manyara.
Hayo yamejiri wakati wa ziara ya Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji katika mradi wa Umwagiliaji Tlawi ikiongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Henry Mahoo ambapo amekiri kuridhishwa na utekelezwaji wa mradi Bwawa la Tlawi huku akito ushauri kwa wataalamu kuboresha uoto wa asili kwa kupanda miti ili kudhibiti uharibifu wa mazingira unaoweza kuathiri bwawa hilo.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw. Raymond Mndolwa amesema mradi wa ujenzi bwawa la Tlawi una thamani ya jumla ya shilingi bilioni 6.4 ambao unahusisha ujenzi wa bwawa pamoja na miundombinu ya umwagiliaji katika mashamba ya wakulima yenye takribani hekta 90, ambapo utekelezaji wake hivi sasa umefikia asilimia 95.
Aidha Mndolwa amewaahidi wakulima wa skimu hiyo kutekeleza ombi lao la kuwaongezea eneo Kilimo kufikia hekta 110 na kusisitiza wakulima hao kuendelea kuilinda miundombinu hiyo kwani miundombinu hiyo imejengwa kuwanufaisha wakulima hao.
Bodi hiyo pia imetembelea mradi wa ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji katika skimu ya umwagiliaji ya Endagaw iliyopo halmashauri ya Hanang na kushauri wananchi kulinda vyanzo vya maji katika eneo la bwawa ili kuepusha kujaa kwa mchanga katika bwawa wakati Tume ikiendelea kutafuta mkandarasi mwingine kwa ajili ya kutekeleza mradi huo kutokana na mkandarasi wa awali kushindwa kukamilisha mradi huo.
....................................................................................................................................
Tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii
INSTAGRAM: www.instagram....
FACEBOOK: / tumeyaumwagiliaji
XTWITTER: x.com/nirc_tz/...
KZbin: • NIRC YAPOKEA VITENDEA ...
#01trending #tanzania #umwagiliaji #kilimo #kilimobiashara #kilimochaumwagiliaji #MAKALA #story #storybook #ikulumawasiliano #DktSamiaSuluhuHassan #Rais #agriculture #agranews #agranewstoday #agricultural #agronomia #agroecologie #agriculturelife #agriculturalmachinery #kilimoufugaji #agrieconomy #kilimo #trendingtanzania #ikuluzanzibar #ikulutanzania #ikulu #ccm #ccmtz #chamachamapinduzi #agrfilms #agrf2023 #cnbctv #cnbcnews #kbcchannel1 @TBC_Online @ikulutanzania5474 @globaltv_online @kilimotv1730 @millardayoTZA @uhondotv5210 @WatchTanzania @Channeltenonline @CLOUDSMEDIA @chamachamapinduzi-official2767 @CNBC @CNN ‪@bbcswahili7924‬

Пікірлер: 1
@wilbertkyando7474
@wilbertkyando7474 2 ай бұрын
Our professor Dam design Rain water harvesting
HATUA NANE ZA UKARABATI KINGA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
17:12
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)
Рет қаралды 172
MRADI WA UMWAGILIAJI SHAMBA LA BBT NDOGOWE WAMKOSHA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO
5:34
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)
Рет қаралды 559
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
ZAIDI YA WAKULIMA 9000 KUNUFAIKA NA MRADI WA UMWAGILIAJI BONDE LA LUICHE
4:12
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)
Рет қаралды 203
NIRC YAHIMIZA WAHANDISI KUSAJILIWA, WAENDANE NA KASI YA UWEKEZAJI WA RAIS DK.SAMIA
3:18
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)
Рет қаралды 71
MIUNDOMBINU YA SKIMU YA UMWAGILIAJI SHAMBA LA  CHABUMA YAKAMILIKA KWA ASILIMIA 90
4:38
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)
Рет қаралды 119
MKURUGENZI MKUU NIRC AWATAKA WAKANDARASI KUSAIDIA JAMII MAENEO YA MIRADI
2:30
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)
Рет қаралды 210
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН