JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@gfydfdf88692 күн бұрын
Jamani msiba usikie kwa mwinzio,pole familya, Mungu awatie nguvu ,
@MeedyBakari2 күн бұрын
Poleni sana ndugu msiba wetu wate wa Tanzania
@TyaleMkoma2 күн бұрын
Dah! Pale kwenye ulingo alipodondoka moja kwa moja wangempeleka Hospital sio nyumbani.
@UmumaherBakar2 күн бұрын
Hivi kwanini mnahoji mfiwa wakati ndiyo kwanza tukio bichi tafute hata mtu mwengine wa karibu bhana kupoteza mtoto ni jambo gumu kama Mimi hata kuongea nisingeweza
@Gsamir6942 күн бұрын
Mwenye zi mungu aiweke roho yake hassan mahali pema peponi milele na milele daima aminaa nimeumia sana poleni sana familia yake yote
@Vike333-l8o2 күн бұрын
Wanafamilia Mwenyezi Mungu Awape Subra inauma sana Apumzike kwa Amani Kila Nafsi itaonja Mauti
@AsiaAa-w5m2 күн бұрын
Kijana mdogo nikufanya mazoezi tu lakini sio kupogana wengine sio binadamu wengi e unapigana na mizimu
@HappyJohn-h8q2 күн бұрын
Kabisa
@paulabelleghe4512 күн бұрын
maskini mamake mzuri,pole sana dear, Mungu amlaze mahali pema Amen
@yusuphmwanza5072 күн бұрын
Mamaake mzuri tena😮
@Dullah_tz2 күн бұрын
Kijana wa chochote kitu
@EddahBure-te7ftКүн бұрын
Mlezi
@hamadKhamis-p6k2 күн бұрын
Waislamu wote kiujumla mambo aliyoyakataza kipenz chetu Muhammad rasulullahu tuyawache kila siku yatatufika mengi kwa kumkanusha kipenz cha Allah tuachani tusubir lile alotupangia Allah litufike liwe kwa uwezo wake sio kusababishwa na wengine
@Mohamedi-y1j2 күн бұрын
Sisi sote ni maiti .Mungu amuweke mahala pema peponi aaahmmin rabbil aghlamin
@AsiaAa-w5m2 күн бұрын
Masikini pole dadangu Allaah akupe subraah sana ndugu yangu inauma sana
Ni mipango ya Mungu but mngewai jamaniii mgaya angeponaaa mtoto wa watu bado mdogoooo
@sebastiankatalle27322 күн бұрын
HII MICHEZO HAIFAI.MTU HAMNA UGOMVI HARAFU MNAGOMBANISHWA UNATEGEMEA NN HAPO
@ZaidatuHittu2 күн бұрын
Ndugu yangu !Mama mlezi pole sanaa kwa msiba.Lkn sijuwi ulifungwa na kitu gani ndugu yangu?Hukupaswa kukubaliana na maelezo ya hao rafiki zake.ulitakiwa mda huohuo kwenda huko aliko mgonjwa!
@LindaMbilinyi-n3n7 сағат бұрын
Waandishi wa bongo sasa hawajuagi maumivu ya wafiwa😢😢wao wanachojal ni habar tyu
@AsiaAa-w5m2 күн бұрын
Huu mchezo sio mzuri waachiwe wenyewe akina mwakinyo na mandonga
@hassanmwallimu57672 күн бұрын
Tatizo hawa watu wanaotayarisha hayo Mapambano wanatakiwa washitakiwe na wajibu mashtaka ya uuaji
@Lulualshagri2 күн бұрын
Mchezo huu Mimi siuafiki kabisa
@BrunoNamanga2 күн бұрын
Hunishindi mimi siutaki hata kuusikia.ila nifanyeje tu
@lukumanisharifu2 күн бұрын
Jamani huu mchezo haupo na aifai wazungu wanatuaribu aiwezekani kupigana kichwani huu ni ujinga huu mchezo ufungiwe auleti tija Tz
@SylvesterKameo2 күн бұрын
Kwa nini kila tukio baya tunawalaumu wazungu? Ajali hii inawahusuje wazungu? Je, wazungu ndiyo walioandaa pambano hili? Je, sheria za nchi zinasemaje kuhusu mchezo wa ngumi?
@EmmanuelMajele2 күн бұрын
Malafiki fek toka jana wapo nae geto akiwa aongei wamekaa nae tu uzembe mkubwa sana na kukosa helimu
@HarsonKisanga2 күн бұрын
Sana kaka hao marafiki ni feki tena hawafai kuwa rafiki. Japo kifo ni ahadi @@EmmanuelMajele
innalillahi wainnalillahi rajioun.hapo Mzee amesema wawe wanaangaliwa afya ni Bora zaidi..pole sana wafiwq ..Mungu awape subra inshaaAllah
@femidayahaya92932 күн бұрын
kufanya chekap kila mara nini😢😢😢 bondia wa ngap huyu anafarik ondoen huu mchezo kwang me binafsi cutaki😢😢😢😢😢
@lisahhans2952 күн бұрын
unafanana na Nandiiii
@MusaRajabu-rw7uz2 күн бұрын
Ndiomana mwakinyo anavyogombana na mapromota watu wanamsema vibaya ngumi sio nzuri unakufa unaona watu wajue haki zao
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb2 күн бұрын
Poleni sana wanafamilia.Mungu awape faraja.
@tinanicholasligwile69722 күн бұрын
Michezo ya ulaya hiyoo mnaleta tz ndo afyaa zetu mgogoro
@RamadhaniKitala-gx6wc2 күн бұрын
Innalillah wainan lillah rajoun , kwahiyo mwezi huu wamefariki bondi wawili yule aliyefiwa zanzabar na huyu au nimekosea mimi
@AlameiAlamriКүн бұрын
Ndy mtihani kwa kweli
@JoyceFaustine-s1gКүн бұрын
Kifo kina fumbo.shida sio marafiki zake kifo kinakufunga
@mwanjaarashidi74022 күн бұрын
Pole sana
@spesiozabisansaba64243 сағат бұрын
Hii pia ni dhambi jamani, Mungu hapendi😢😢
@tinanicholasligwile69722 күн бұрын
Mm michezo ya ngumu sitak kiukweli japo kifo huwa kinasababu
@anithawidambe75432 күн бұрын
NA NYIE SERIKALI HV KWANINI MTU AKIUMWA AKIENDA HOSPITAL ANAAMBIWA BILA HELA HATIBIWI KWANINI HAMUWEZI KUREKEBISHA? CY MASKINI TUNAKUFA BILA KUWA NA HELA.
@minaelnathanael18462 күн бұрын
Poleni sana ndugu wa marehemu. Apumzike kwa amani
@Bosslady-f5e2 күн бұрын
Pole mama
@ScopionScopion-zj9cdКүн бұрын
bina bn pengne hata alikua hampend ila hapa analia kunafiki
@GhardesGh2 күн бұрын
Poleni sana
@ChausikuAli2 күн бұрын
Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote wa marehem pola ampe khauli thabiti ndugu yetu
@HasnatMustafa-n1q2 күн бұрын
Pole sana mama daa h nimelia sana allah amuweke mahali pema peponi 😢🙏🙏🙏🙏
@nourannouuran35142 күн бұрын
Hii michezo ni hatari,yan sipendi kama nini ALLAH MSAMEHE MREHEM
@ramlaleila374Күн бұрын
Yenyewe jina Hassan Lina upendo sana roho ya huruma anapenda watu na anapendwa pia Yani rafiki kwa Kila rika
@patelokoh58282 күн бұрын
Ni kweli hu mchezo sio mzuri
@anithawidambe75432 күн бұрын
SERIKAR EBU LIANGALIENI HUYU NI WA NGAPI KUFAIKI. SASA NI MICHEZO GANI HY?MAANA NI YA HATARI SANA TUNAKAA KUSHANGILIA TUNAFURAHIA KUMBA NI MATATIZO.
@khalsasalim79302 күн бұрын
Mapambano ya vichochoron hakuna professional mtu anapiga popote refa hajielewi hii ndio shida
@mdosephayta80752 күн бұрын
Usiseme hivyo mama kila nafs itaonja umauti hakika madaktari hawawez kuzuia umauti
@aymankhadija6192 күн бұрын
Shukuru Mungu ila usiwalaumu watu,huyo mwanao wa kumzaa?Unaweza ukakubali kweli uambiwe mwanao kapatwa na jambo ila tulia hadi asubuhi utaweza kulala kweli?,Usilaumu rafiki zake lawama kwako pia ni nzito
@nsiamasawe4578Күн бұрын
Waliyoitisha pambano waiilipe familia fidia
@RahmaAli-jd7byКүн бұрын
Innalillah wainna ilayh rajiuun Poleni sana ni juzi tuu Hassan alikua kariakoo akiwasaidia kuokoa watu kwenye ajali leo allah amemchukua hiki ndio kifo hakuna anaejua kifo chake
@hailatomantatusefu3433Күн бұрын
Innalillah wannalillh rajiun poleni familia na ndugu na marafiki ila Uyo dd wanase mama mlezi ninamsikia hapo mtsngazaji je mama mzazi yuko wapi au.ndo Uyo Uyo ila mtangazaji anaita mama mlezi. Hakika sote ni wa ALLAH na kwake tutarejea
@bakariomari24omar212 күн бұрын
Jamaa wamemdhulumu kwanini wasimuwahishe hospitali wakampeleka kwa nyumba?huo ni uZembe
@AishaSabo-r6t2 күн бұрын
Poleni sana ndugu zetu
@gladnesswazir-zz9lkКүн бұрын
Pole sana mama 😭😭🤲🙏
@aymankhadija6192 күн бұрын
Miaka 26 mdogo sanaa mi naona
@AlameiAlamriКүн бұрын
Kabisa
@Shekhahamed-v2f2 күн бұрын
Bona wamemchelewasha hsptl jamani
@AishaSabo-r6t2 күн бұрын
Allah ampe pepo ya fldaus iwe makazi yake
@HalimaAthuman-us8gi2 күн бұрын
Amiina thuma amiin
@ZawadiKiluwasha2 күн бұрын
Ss kwann muda wote hawakumpeleka hospital jmn mbona uzembe hivyo
Hafadhali jogoo kapona, Halafu nyie mchezo huu Ktk uislamu umelaaniwa nanyi,,,,wamchongo mnawaruhusu mtoto kucheza huu mchezo haramu wa ngumi, Sai mnalia
@yasminjuma9146Күн бұрын
Mchezo mengine aaah. Inasikitisha
@betitympeleta9697Күн бұрын
Jamani pole mama
@stamillusatila9084Күн бұрын
Sasa hao mtu kadondoka halafu wamekaa nae tu sijui walikuwa wanategemea nini jamani. Wapuuzi sana hao kwanini wasingemkimbiza hospital muda huo huo.
@nsiamasawe4578Күн бұрын
Huu mchezo ungefutwa jamani. Afya za kwetu hizi hazimudu huo mchezo
@MwajabuMussa-c2gКүн бұрын
Poleni sana jamani
@febochannel49642 күн бұрын
Hii michezo mtume ameiharamisha ila kwa kufata mayahudi acha yakukuteni tu
@samwa94962 күн бұрын
Mpuuzi unaleta upuuzi kwenye msiba
@annalyimo1270Күн бұрын
Pole dada jamani nimeumia sana😢😢
@ScopionScopion-zj9cdКүн бұрын
usikisahau kifo mana kifo haki kusahau wewe
@Husnasalim-f2g5 сағат бұрын
Hata mm nilitak kusem ili mtu anapoingia kwenye michezo lazim afanye vipimo vya Afya aijalishi alipim lin
@hamadKhamis-p6k2 күн бұрын
Mm namlaumu san huyo mama ingaw limeshapangwa litokee wew unaambiwa mtoto kapata tatizo unaendeleaje kulala
@YahyaNuru-v7dКүн бұрын
Inna Lillah wa inna illaih rajiuuna nas tupo nyuma
@neemaisrael6882 күн бұрын
JAMANI VIJANA TAFUTENI KAZI ZINGINE NGUMI HAPANA.
@NasibuSalimКүн бұрын
Alie mpiga Hassan nae afungwe
@aminamareta92972 күн бұрын
Pore sana mama nimeria sana😭😭😭
@nasrachaya2 күн бұрын
Pore sio pole tn
@JahedaSalmin2 күн бұрын
Poreni sana wana familya 😢😢😢
@crepinakatundu-h4c2 күн бұрын
R.I.P.Marehemu.Poleni Wafiwa.
@rehemasalumu51472 күн бұрын
R i p ila ngum tuwachie wenzetu uko nchi za watu kwa apa Tanzania tuwachie morogoro na tanga wengine kama tunanguvu tulime ata miparachichi tutapata ela
@selemankishema57802 күн бұрын
Poleni saana ila jogoo kasave na mjue huo mchezo haramu jamaa hela zitatuuwa
@EmanuelMbandiКүн бұрын
Kwani ww hakujua ngumi ni kifo
@TunnuGombayeka2 күн бұрын
Rest in paradise hassanooh my comrade
@HamisiHemediWaguga2 күн бұрын
Wapare ubahili ni jadi yenu, rip
@stevenhassan2692 күн бұрын
Kupigana sio mchezo kupigana ni kupigana
@paulabelleghe4512 күн бұрын
naomba kuuliza huyo bondia mwenzie anaenda jailor ama ndo mchezo ila itamuuma hiyo kitu kuua mwenzie kwakupiga kama mi mkewe namkimbia
@byabatotv32832 күн бұрын
Ajali kazini
@rogerabdallah4392 күн бұрын
No jela ila inauma
@yusuphmwanza5072 күн бұрын
Mmmmh 😂❤
@paulabelleghe451Күн бұрын
@@rogerabdallah439 sana
@paulabelleghe451Күн бұрын
@@yusuphmwanza507 hahaa we uogopi
@RajabuAbdi-rs7sp2 күн бұрын
Innalillah wainaillah rajuun
@hamadKhamis-p6k2 күн бұрын
Ata km wamesema kuwa uende asubuhi usingeliwaafik ni bora uende ujue hali yake kwanza sio uambiwe tu pumzik uje asubuhi na liwe fundisho kwa eengine uzembe wa huyo mama
@JacksonMwailamlaКүн бұрын
ajar kazini kama jeshini tu hivi ni vipaji hata mimi ni bondia kiukweli siogopi kufa
@JnatJaaa2 күн бұрын
Kila kazi ni ziwa na mkatamba likitokeaABC akiwa kwa kazi au kwa pambano km Hilo ni juu yao..kwani hivyo😮😮😮😮
@SalumuRamadhani-y4y2 күн бұрын
Jogoo akuna tena baada yake msiba daaa
@AnnieChikasa5 сағат бұрын
Hivi nyie mnaohoji akili zenu ziko.wp mtu yuko na uchugu af nyie mnamsumbua siku mtakuja kula teke za kwenye magoroli
@SaidAbdallah-sm1ft2 күн бұрын
Lakin pia huu ni mchezo ambao haufai umekatazwa kisheria hivyo watu wajiepushe na mchezo huu
@rehemamahendeka-rm2ekКүн бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiun,hakika kila mja na wkt wake,napo siingilii MAPENZI ya mtu ktk kuchagua mchezo aupendao lkn UKWELI AMBAO NI MCHUNGU,ngumi/masumbwi/ndonga ni mchezo KATILI MNO,na ndio maana zama hizo kule kwetu(.......) ulipigwa marufuku,🤔🤔🤔🤔🤔🤔,haya MTU APENDACHO !!!.
@Fear_Allah3942 күн бұрын
Mtu umeumbwa na nguvu na akili unaenda kupigana/kuuhujumu mwili wako na afya yako ili upate riski? Halfu hufikirii km hii michezo wenzetu hua na hospitali nzuri na madaktari wazuri, ww unayaiga hayo upo Tnz? Pahala ambapo watu wanaumwa maradhi ya kawaida yanashindwa kutibiwa mpaka yanakua makubwa/sugu na kusabbisha athari kubwa na pengine vifo.
@user-to6up4hg2w2 күн бұрын
Sorry mama so sad
@HadijaOman2 күн бұрын
Hii michezo siyo mizuri jamani mbona mnaikazania
@fredkangethe74972 күн бұрын
Nonsense nani hajui huu ni ujinga. Vita vyanini?. Hata kama ni pesa zikae. Mwenzake angekufa mgelia?! 31/12/2024