ooh mahaba mpenzi wangu ananipa tele si kwa dawa wala ndumba nishampa siti ya mbele ye ndo wangu dakitari ninapo ugua tiba napata ah kwenye hii safari sitaota mbawa nikamuacha Ona mwanamwali ananipa pendo hatari sitamwacha mniroge kwake siendi mbali Ona mwanamwali ananipa pendo hatari sitamwacha mniroge kwake siendi mbali Umenifuga umenifuga umenifuga