Wanaume wengi Europe kuna shida sana kwenye ndoa la kwanza its lady first mwanamke ana haki kuliko mwanamna inapotokea kuachana mwanamme anatolewa ndani ya nyumba kama mbwa pia ina kuhusu watoto asiwaone tena mali zigawiwe nunsu kwa kwa nusu kuna wanaume wanafika kujiua kutokana na mateso ya kuachana watu wasiojua maisha ya uzunguni wanaona wanastarehe wanaume wako wengi majela shauri ya wanawake imefikia wanaume wanaopa kuoa wanaishi as patner
@ntakirutimanacalixte3972 Жыл бұрын
Upewe maua yako big one love from Dubai
@MarthaMwanga Жыл бұрын
Haipo hii hata kwa wazungu. Kwan wao ndo akina nani
@hanialsaadi7394 Жыл бұрын
Stan bhana hapana😅😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HakizimanaMoustaphat Жыл бұрын
😂😂😂we stan mngese kweli😂😂😂
@malietamaliet Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂ila uyu kijana anasema tu ukweli upewe maua Yako yote ayo uliyoyaongea ni Mimi apa
@TaisonMlope6 ай бұрын
Noma kweli
@aminamwivita7690 Жыл бұрын
True
@robbymaseke9983 Жыл бұрын
Mule mulee
@thesevenum Жыл бұрын
True Story Stan mimi nipo europe nakuelewa kabisaa hahaha
@miradimayunga Жыл бұрын
Uhakika ❤️
@salmambalami1545 Жыл бұрын
Kwanini salma jaman😂
@busnaoman998111 ай бұрын
😂😂😂😂
@HerbertAsante-u5q Жыл бұрын
Ukiachana na vituko vya stan wanaume wakibongo actuary mnazingua kinoma bana
@ahz6907 Жыл бұрын
Hata nyie wanawake 😊
@mustafamusty Жыл бұрын
Africa 🌍Dizonga
@RozaliaJoseph-cg8he Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@benjaminimgaya7904 Жыл бұрын
😂😂😂
@saidmwinyi7062 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@antonmkuu Жыл бұрын
😂,😂😂😂
@Footballheritage-p6m Жыл бұрын
😂
@ryanthespy5898 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@missminnatz Жыл бұрын
Stan nenda hata english cours unafanya kaz kweny kituo kikubwa alfa mbaya zaid unapemda kuweka kizungu ktk mazungumz yako sasa kwann usijifunze? Basi tumia zaid kiswahili kama kinge kinakushinda maan unaharibu 🤣
@abdullatifkhamis9943 Жыл бұрын
Mchekeshaji vo uyo hhhhh
@saidmwinyi7062 Жыл бұрын
@@abdullatifkhamis9943 naona haelew kama anafanya kusudi