#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 5,350

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

6 күн бұрын

#EXCLUSIVE: SAID BWANGA Ajibu KUCHEZA na SAID CHINO, AWATUPIA LAWAMA MAPROMOTA - "ANANISAIDIA NINI?"
BAADA ya kumaliza pambano lake na kuibuka mshindi dhidi ya Said Mkolla, bondia kutoka Mbagala Said Bwanga amefunguka kuhusiana na ombi la mashabiki la kumtaka ampige na Said Chino.

Пікірлер: 45
@saidmlali8559
@saidmlali8559 2 күн бұрын
Umeongea point sana champion,, Lazima uwe na focus maana hyo ndio ajira Yako, lazima uwe na malengo juu ya ndoto zako. Mungu aendelee kubariki kazi za mikono Yako.
@thabitgoboss3715
@thabitgoboss3715 5 күн бұрын
Dogo anaakili sana anajua malengo yake anataka kwenda wapi. Big up Bwanga Boy keep moving forward 💪💪💪
@fadhilially7357
@fadhilially7357 5 күн бұрын
SAFI SANA BWANGA
@ismailmwekilinga1203
@ismailmwekilinga1203 3 күн бұрын
Ukimskiliza dogo kwa skio la uteam lazma utachukia nikama anajikweza ila huyu dogo anaongea ukweli na yuko sawa. Malengo yake ni boxing iwe na watu wakubwa kidunia na sio kitanzania au Africa mashaliki no.
@makambaally6317
@makambaally6317 5 күн бұрын
Sure focus mbele mkali nani haina maana kwasasa
@MoosaMzinga
@MoosaMzinga 5 күн бұрын
Safiii bwanga......Mejaa SEMUNYU KASIKIAA.....mabondia wakubwa hawana mabadiliko mpaka xaxa.....Mda wenu kubadilishaa maisha kwenye mchezo wa ngumi.....STOP.......MKALI NANI
@HatibuRajabu-p5q
@HatibuRajabu-p5q 5 күн бұрын
We mtegemee allah2 one day yes kua nasubra
@zamuga1991
@zamuga1991 5 күн бұрын
Huyu dogo atakuja kuw bondia mkubwa sana km atajitunza na akipata wa2 sahihi wa kumsimamia ana nizamu sana hata anavyoongea unajua huyu ni bondia kwl big up kwke hiki ni kipaji sahh cha nhumi😮😮😮😮
@InnertraderGreyson
@InnertraderGreyson 5 күн бұрын
Hakika kabisa champ
@InnertraderGreyson
@InnertraderGreyson 5 күн бұрын
Hakika kabisa champ
@InnertraderGreyson
@InnertraderGreyson 5 күн бұрын
Hakika kabisa champ
@user-fq6xx4ww4c
@user-fq6xx4ww4c 5 күн бұрын
Kwa style iyo utakaa mwaka mzima ndio utacheza game
@manoramatv858
@manoramatv858 5 күн бұрын
Haropoki anapanga maneno pia ana future.
@ramadhaninassoro3445
@ramadhaninassoro3445 5 күн бұрын
Nimependa sana ameongea fact tupu
@FarajiFundi
@FarajiFundi 5 күн бұрын
Saf sana bwanga fact
@msemakweli243
@msemakweli243 4 күн бұрын
Safi champion
@ahadjuma8356
@ahadjuma8356 Күн бұрын
champion boy nakubar Sana dog
@fadhilially7357
@fadhilially7357 5 күн бұрын
UYU MTANGAZAJI MTU WA KULOPOKA SANA
@muckyamos5433
@muckyamos5433 5 күн бұрын
Umeongea point bwanga mkali nan hazina faida kwa mabondia wetu
@user-gg3qe3sj1x
@user-gg3qe3sj1x 5 күн бұрын
Mm namkubari sn huyu dogo Ana nizamu sn
@EyshaAlly-bo6fn
@EyshaAlly-bo6fn 3 күн бұрын
Bwanga nibondia mwenyekipaj kikubwasana
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 23 сағат бұрын
Baada ya hii imesha potea kwenye gem 😅😅😅 dogo
@user-vv3nc7pn9x
@user-vv3nc7pn9x 5 күн бұрын
Safi 26 umengea yamoyoni nahayo uliyongeea kila bondia inabidi awe nakauli kama izo ili mpate maendeleo juu yaichokipaji sio mnawatajilisha maplomotar.26 alalali nanjaa anachelewa kula tu subra na misimamo inshallah utafika kwenye malengo salute
@user-yq7gz7qo6d
@user-yq7gz7qo6d 5 күн бұрын
Mdogo angu bwanga umeongea point kubw sn lzm ifikie mahali maboxer wetu waje kuwa na mafanikio makubw kupitia kipaji walicho sio kuwanufaisha mapromota tu na hizi comments zetu zifanyiwe bc kwa wadau wa ngumi
@EyshaAlly-bo6fn
@EyshaAlly-bo6fn 3 күн бұрын
Kikubwa dogo atafute kochi wenyeuweled mkubwaaa
@issagym8615
@issagym8615 5 күн бұрын
Bwanga umekua mdogowangu acha Nana mkalinani chezea hela jina taali ambae hajakujua aache
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 5 күн бұрын
Maneno hayo ya mkali Nani apewe gari akiyaongea Mwakinyo utawasikia akina Mfaume na taarabu zao za vidole juu😂😂
@SalumkifuLukwe-wk7sp
@SalumkifuLukwe-wk7sp 4 күн бұрын
Bwanga mtu mbayaa
@tonnyelias9454
@tonnyelias9454 5 күн бұрын
Dogo komalia humo humo lazima kuna maisha baada ya ngumi.
@user-ho8op4rs8q
@user-ho8op4rs8q 5 күн бұрын
Ninakukubali bwanga
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 5 күн бұрын
Bwanga mdogo wangu mshukuru Mungu kupata Ile knock down maana Saidi Mkola alikuzidi round zote bila ubishi yeye ndiye angekuwa bingwa kwa maana nyingine umebahatisha.
@Basagamp4
@Basagamp4 5 күн бұрын
Ndio mchezo mzee....ndio maana hua tunasema HAIJAISHA MBAKA IISHE😅
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 5 күн бұрын
Kiufupi amebebwa Bwanga
@user-ze8hp1ls6t
@user-ze8hp1ls6t 4 күн бұрын
Ww macho yako kengeza eee😂
@ramsootz
@ramsootz 4 күн бұрын
wewe mchezo unaatokeo matatu Tu kaka so akuna cha kubahatisha apo
@saidseif941
@saidseif941 2 күн бұрын
Hizo ngumi ulianglia peke yako
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 5 күн бұрын
Chino umuwezi huyo class tu amepewa juu ya chino ila amepigwa sana
@OsmanDembele-z7h
@OsmanDembele-z7h Күн бұрын
Daaa we broo we yani utopolo wako chino ndo ampige class
@user-uv8eg1ye4t
@user-uv8eg1ye4t Күн бұрын
Kama hujui ngumi na namna zinavyohesabiwa point zake usizungumzie huyo chino ni bondia wa kawaida sana tena kapigika round zote
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 Күн бұрын
@@OsmanDembele-z7h Kolo wewe kaangalie pambano tena
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 Күн бұрын
@@user-uv8eg1ye4t Tulizeni vishundu hvyo
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 3,7 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 50 МЛН
Vita ya maneno ya mabondia Said Mkola, Said Bwanga
7:41
Azam TV
Рет қаралды 2,7 М.
Amiri Rashidi Matumla. Akiwa kwenye sparring 🥊
4:51
Gerald The Boxing Coach
Рет қаралды 2,2 М.
Sinaga Swagga Session 7  - Msukuma Mjanja
5:50
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 87 М.
Быстро воспитала бешеную девушку!
0:56
БЕЗУМНЫЙ СПОРТ
Рет қаралды 1,9 МЛН