OSCAR RICHARD Amzaba KIBAO HASSAN NDONGA, FUJO ZAIBUKA GHAFLA, NACCOZ Wachafua HALI ya HEWA...

  Рет қаралды 10,028

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

Күн бұрын

OSCAR RICHARD Amzaba KIBAO HASSAN NDONGA, FUJO ZAIBUKA GHAFLA, NACCOZ Wachafua HALI ya HEWA...
MAMBONDIA wote watakaopigana kesho kwenye pambano la 'SAFARI YA BEACH' wamepima uzito leo katika uwanja wa Faru Mpakani Mabibo jijini Dar es Salaam.
Pambano la Safari Beach litapigwa katika fukwe za Rongoni Kigamboni na Main Card ni Oscar Richard kutoka Naccoz vs Hassan Ndonga kutoka Makatuni Pesa.

Пікірлер: 32
@user-ey9zk7ul1p
@user-ey9zk7ul1p 10 ай бұрын
oscar we kuma tyu hatakama unamuweza mtu so kiivyo wangapi wanajua zaidi yko
@matatamwaipopo-rp4vz
@matatamwaipopo-rp4vz 10 ай бұрын
Tyson wa bongo tunakuaminia
@yousufyousuf5963
@yousufyousuf5963 10 ай бұрын
Nakoz washamba nyinyi ngumi sio uhasama wew mwanaume onesha ulingoni tukuone sio jukwani humuendeleyi nyinyi
@user-ks3ly2tv4r
@user-ks3ly2tv4r 10 ай бұрын
Oscar nakukubali sana unavitu ambavyo unavyo Kwa kifupi kipaji unacho nawakubali team naccoz bondia yyt anatakiwa awe tayar anapokutana na mpinzan mwenzake cz ngumi ni vita iwe ulingoni kwa kifupi popote
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 10 ай бұрын
Nakozi wote mashogaa 2
@AminaLibisa
@AminaLibisa 10 ай бұрын
Kupigana bila sababu ni sawa na kujiumiza bila sababu
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 10 ай бұрын
Hassan ndonga mkalishe hyo boya
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 10 ай бұрын
Oscar mshamba tu
@fatumaomary6110
@fatumaomary6110 10 ай бұрын
Not fair
@user-qh8fv7dp6p
@user-qh8fv7dp6p 10 ай бұрын
Duuh mimi nilikua upande wa nakoz ila kitendo cha oscar kumpiga mwenzie kwenye kupima sjakipenda kabsa ya kime nifanya hata mfaume naanza kumchukia
@Ahmedsaid-cu3kh
@Ahmedsaid-cu3kh 10 ай бұрын
Haya mambo kawaida tu mbona
@kellybreezytz2491
@kellybreezytz2491 10 ай бұрын
Mfaume mshamba sana kilichofanya arudi kwa wanaolalamika kumpga Bondia wao sijaelewa ni nini 😢
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 10 ай бұрын
hiz ndızo clup za kuıngia mkataba hawazinguı cjuı promota umeingia mkataba na fualani cjuı nn, pima uzito tupigane basi
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 10 ай бұрын
Hii n kawaida mpinzan kumpiga kof kuslap n.k 1- kuhamasisha mchezo na watu waone kumbe jamaa wanekamıana 2- jılınde kıla wakat ww n mpiganaji
@salehestambul5535
@salehestambul5535 10 ай бұрын
Kinacho nishangaza heshima ya ngumj wanataka kuipoteza; kuturudisha nyuma ngumi kuambatana na uhuni, kuitisha nafsi watu tushindwe tena kuhudhuria matukio ya ngumi. Ulinzi uko wapi, utaratibu uko wapi, nani afanye nini kwa viongozi hakuna, sheria hawazitii, ni shida. Tuache ayo tuwe serious na kuendelea kuaminisha watu ngumi ni burudani. Ndio tunaona hata mbele(USA) mabondia kusukumana, vibao nk lakini sio mashabiki kutosikilizana na waandaaji, nao wako fastafasta km "funika kombe mwanaharamu apite". Utaratibu, heshima, amani na vivutio vingi vinahitajika ktk ngumi, sio fujo namna hiyo. Hao mabondia wapo kazini hapo, ni sawa na "kumtilia mchanga chao kitumbua". Tuache hayo kwa maendeleo ya mchezo wa ngumi.
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q 10 ай бұрын
Nacoz wanataarabu nyingi chuki nyingi na usela wa zamani
@user-pg8jd4te8b
@user-pg8jd4te8b 10 ай бұрын
Sababu ni pesa
@shekiffu
@shekiffu 10 ай бұрын
Ndomana mwakinyo atabaki kua juu siku zote na keshasema sipigani kama hakuna sabbu za msingi zakupigana mtamuelewa tuu mwakinyo
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 10 ай бұрын
Bongo raha 😊😊😊
@salehezimbwe6395
@salehezimbwe6395 10 ай бұрын
utaratibu mbovu... wahuni
@yussufpazzi6715
@yussufpazzi6715 10 ай бұрын
Tyson wa bongo auna baya wasalimie makatuni pesa
@RajabuAbdallah-yq3bh
@RajabuAbdallah-yq3bh 10 ай бұрын
Mabondia wapuuzi ndy nyie ss
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 10 ай бұрын
Hapa kunawahuni
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 10 ай бұрын
mawe
@kiya0910
@kiya0910 10 ай бұрын
Nawaombea mchozo mrizi yote atakae shinda nitamsuabikia nyinyi mashabiki acheni ushamba waku waongealea watu vibaya nakila mtu anatafuta riziki acheni ushonga nyinyi mashabiki
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 10 ай бұрын
Kwa upumbavu huo mtaishia kupigana tandale tu
@subetizaid6515
@subetizaid6515 10 ай бұрын
Hao wasimamiz wenye hawana nizam wizi wako kihuni huni box gan isiyoendelea hawana atauelew wakutengeneza nizam wapo wapo 2 humjui msmamiz Nan walamuongeaj Nan wahuni tu watu wanakataa kupanda ulingo kuepusha mamboyakihuni km ayo kuepusha visasi visivo natija yyte halaf mnawafungia kiwizi wizi nafain zenu zazulma
@SalimAbdallah-tg1yo
@SalimAbdallah-tg1yo 10 ай бұрын
Timu nakoz kumbe ni mama tu malipo si mbali
@thehunter5920
@thehunter5920 10 ай бұрын
Mabondia wa bongo bhna, uozo tupu
@hassanchuji8965
@hassanchuji8965 10 ай бұрын
Hawa nakozi pamoja nauyo mpumbavu mfaume wote washamba na tatizo lingine lipo kwa promota pia kwani liletukio hakuliona hana onekia yupo ubazi ye ao wapumbavu nakozi sasa kama huyo mfaume kaacha kutafuta mapambano ya kwake yeye hanaenda kuleta ushamba halafu mbale ya waandishi wa habari yani hina onekana wewe mfaume mchezo wangumi umekunda
@hassanchuji8965
@hassanchuji8965 10 ай бұрын
Alafu wewe mfaume unataka kushindana na hassani mwakinyo yani umepitwa mbali sana na hassani mwakinyo wewe pumbavu
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 91 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 9 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 59 М.
The Day Ronaldo Showed Messi, Neymar & Mbappé Who Is The Boss
19:19
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 91 МЛН