BONGO STAR SEARCH DAILY SHOW MWANZA MONDAY

  Рет қаралды 202,836

BongoStarSearch

BongoStarSearch

Күн бұрын

Пікірлер: 156
@davidkauki9797
@davidkauki9797 3 жыл бұрын
Jamaa wa Africa beauty ni nomaa nilitaman aimalizie iyo nyimboo ( i likee
@AnethJoseph-x6t
@AnethJoseph-x6t 3 күн бұрын
Minza umetisha🔥🔥🔥 mimi sukuma pia
@walawioutreach4055
@walawioutreach4055 3 жыл бұрын
ommy uko vizuri sana sana wanajifanyaje waingereza>kiingereza chenyewe hawakijui>tujitahidi kuunga mkono kiswahili chetu,na tukitangaze kimataifa.
@abimaelkilasi2946
@abimaelkilasi2946 3 жыл бұрын
Bongo Star Search Njooni Kigoma kuna vipaji vya Hatari OG.
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 3 жыл бұрын
We mkaka unatuliza tu ukitukumbusha kiongozi wetu shupavu ametutoka tukiwa bado tunamuhitaji, eee mungu mlaze mahalipema peponi amen 🤲😭.
@henrymapunda4602
@henrymapunda4602 3 жыл бұрын
Helen, the must have spirit
@beatricedaudi8233
@beatricedaudi8233 3 жыл бұрын
Mmemuonea Minza...this girl has a power house vocal she just needed a brush off...jeeeez🙌😤
@roi2554
@roi2554 3 жыл бұрын
Dada wamemzulumu
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 3 жыл бұрын
Huyo salama anataka mtu aimbe vip mbona Minza kaimba vizuri tu
@erastonicholas5589
@erastonicholas5589 3 жыл бұрын
Kila mtu hukosea ndio maana wewe umeandika kizungu na cc hatujui wote nyie uzungu mwingi (yunoo yunoooo yunoooo)shida tupu
@hellenmollel6679
@hellenmollel6679 3 жыл бұрын
Huyu salama hayuko fair kabisaaa
@sporahsende4187
@sporahsende4187 3 жыл бұрын
minza kaimba vzr sema mmemkazia2
@stallonesamba6571
@stallonesamba6571 3 жыл бұрын
Mpo vizur sana bongo star search
@Az__2012
@Az__2012 3 жыл бұрын
Jamaa anae chana na guitar, is a great artist kapigwa
@immaculatejohn9906
@immaculatejohn9906 3 жыл бұрын
Sana ana muondoko flani hiv adim hapa bongo ndio maana cc tunaockiliza hipop tunaelewa kaonewa
@Dienacademy
@Dienacademy 3 жыл бұрын
Kabisa aise jamaa ana kitu
@immaculatejohn9906
@immaculatejohn9906 3 жыл бұрын
Ila salama ananifurahisha da huendi
@rehemaathuman6669
@rehemaathuman6669 3 жыл бұрын
Majaji mnakata Sana duu Kuna sister kaimba vzl mmemkata Moto kaimba nyimbo ya rubi
@tusmokinana3836
@tusmokinana3836 3 жыл бұрын
Amechanganya nyimbo mbili kwa pamoja
@emanueleleutel5741
@emanueleleutel5741 3 жыл бұрын
nyie majaji mnazingua alafu pia tafuteni watu wanaojua maana ya mziki maana hakuna mnachojaji mna masihara kupitiliza na kuna watu wanajua mnawakwamisha kuna huyo jamaa wa hiphop kelvin mlivyomjaji sijapendezwa
@roi2554
@roi2554 3 жыл бұрын
Salama ujui mziki wallah kuanzia leo naacha kufuatilia bongo star search unaua vipaji ww Angalia alivyoimba minza vizuri kuliko hata hao munaowachukua nyie ufala huo
@priscajoseph261
@priscajoseph261 3 жыл бұрын
Minza ariludie
@walawioutreach4055
@walawioutreach4055 3 жыл бұрын
nina jambo moja ninyi ma examiner ambao ni wanamuziki msiwaonee hawa vijana hasa wanao perform live wapeni haki zao kwasababu miongoni mwenu hamna uwezo wa kuperform LIVE .so ondoeni inferiority complex.AMEN,mungu awabariki.
@stallonesamba6571
@stallonesamba6571 3 жыл бұрын
Mnanikosha sana sikuhizi @bongo star search
@emilykaimuri8378
@emilykaimuri8378 2 жыл бұрын
Huo mshiriki529,anafaa kuwa muhubiri au mwanasiasa
@winnermariah
@winnermariah 3 жыл бұрын
Ila Mdada Minza Mkulima Anaimba Jamani sanaaa tu, Salama Una tabia Chafu
@innøvator-611
@innøvator-611 3 жыл бұрын
Wanafelii sasa minza alichokosea nn shame on you Judges 😏
@roi2554
@roi2554 3 жыл бұрын
Wamenzurumu
@hamiskadogo8665
@hamiskadogo8665 2 жыл бұрын
Salama huyo ana roho mbaya kinyama mshenzi tu utazani yeye anajua sanaaaa wakati mkundu tu
@mshokela
@mshokela Жыл бұрын
Minza ndo amenichekesha
@zainabali3793
@zainabali3793 3 жыл бұрын
M Salam nampenda tuuu
@sharrifidris3422
@sharrifidris3422 Жыл бұрын
Hawa majudge wenyewe mashuzi tu,wananiboo kweli.ebu angalia leo harmonize ni vile walimsema hajui leo kawadhibitishia sio kweli.
@omarathuman5813
@omarathuman5813 3 жыл бұрын
Salama anamasifa tu huyu jamaa anajua salama Bure kabisa surambovu tuu
@Zainablicious
@Zainablicious 3 жыл бұрын
Kweli, usikute hata kuimba hawezi
@rosemzava5149
@rosemzava5149 3 жыл бұрын
Na akizeeka atakua mwanga huyu mdada😂
@kuruthumuissa5539
@kuruthumuissa5539 3 жыл бұрын
@@rosemzava5149 hahaha ilajaman simpend anamisifa
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 жыл бұрын
yaani huyu dada sio salama ni SALUMU HANA HATA BOYFRIEND umri huu DUIME DUME mmmmh
@MwashaMwash
@MwashaMwash Жыл бұрын
Uyo Salama huwa ananikera
@heavenlightlyimo4725
@heavenlightlyimo4725 3 жыл бұрын
Mnahitaj kukubali na watt wenye vipaj wapo tu wanateketea
@buges6145
@buges6145 3 жыл бұрын
Madharau sana ma judges uff
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 3 жыл бұрын
Madamu Rita huwa ananivunja mbavu sana 🤣🤣🤣uoga wake huwa unaniacha hoi
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 3 жыл бұрын
Minza ni wazi sana mmemdhulum kabisa...sometimes hamko fair kabisa
@badmanno.1650
@badmanno.1650 3 жыл бұрын
Minza mmemkazia dah mbona anajua sana tu... Ajipange aende mkoa mwengine alafu aimbe ile nyimbo ya kisukuma...
@innøvator-611
@innøvator-611 3 жыл бұрын
Anajuaaa kaka dah it pain
@Mamadaddy0710
@Mamadaddy0710 3 жыл бұрын
Kweli wamemuonea
@jacquesmulalirya1704
@jacquesmulalirya1704 2 жыл бұрын
Huyo alieye imba nyimbo ya ommy mume mkosea jamn
@rubenibernald6138
@rubenibernald6138 2 жыл бұрын
Nardiaa tenaaa Salam mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pumbafuuuuuuuuuuu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@dalilahamadi3894
@dalilahamadi3894 3 жыл бұрын
Nimejuwa kucheka kwenye corona
@heavenlightlyimo4725
@heavenlightlyimo4725 3 жыл бұрын
Nimeuona uwepo wa pepesuka kinkikaka
@kanabenjamani1635
@kanabenjamani1635 3 жыл бұрын
BSS mrudisheni IDRISS SULTAN awe Host wenu ananogeshaga mashindano
@mniraharuna989
@mniraharuna989 3 жыл бұрын
Hapana ana misifa
@gracerichard8145
@gracerichard8145 3 жыл бұрын
We dada nakupenda, na nimekupenda zaid
@gracerichard8145
@gracerichard8145 3 жыл бұрын
Minza uko vizur
@abdirahimabdullahi7633
@abdirahimabdullahi7633 3 жыл бұрын
"DAR uendi lakini" Rita 😅🤣
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 3 жыл бұрын
Salama hafai kuwa jugde akasomee na kujifunza kuongea na vijana kama hao hata kama hawajui kuimba sio inavo takiwa kuwaondosha kama hivo wape moyo pole pole sio unawatolea maneno usiwadharau hao ndo mustakbal wa watanzania
@hammedfatma8727
@hammedfatma8727 3 жыл бұрын
Ushasema yote. Kuna maongezi mengine unaeza ambia mtu umkufishe moyo hadi ashikwe na depression.
@roi2554
@roi2554 3 жыл бұрын
Salama afai
@mimikiki8225
@mimikiki8225 3 жыл бұрын
Kuna mmoja kwenye American got talent alijifatyua na gani akafaa sababu hii
@esterromanus6213
@esterromanus6213 Жыл бұрын
Muwe mnakuja kututembelea songea
@wellbrand3415
@wellbrand3415 3 жыл бұрын
Huyo msela wa mwisho mmemvumilia mnooo... Kafeli
@lynucelutta1471
@lynucelutta1471 3 жыл бұрын
kweli judges mna kazi yakufanya
@tanuatvcomedy9923
@tanuatvcomedy9923 3 жыл бұрын
Huyu Jamaa wa kumugiza Magu ajua saaaaaaaanaaaaa
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 3 жыл бұрын
Yule Dada aliyeimba wimbo wa rubi yuko Vzr bhn mmembania Tu Mwanangu Salama Ecejay Acha Ukorofi Ila Nakukubali Sana Ila Hii Nchi Ina Vijana Wa Hovyo Sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@255_apollo26
@255_apollo26 3 жыл бұрын
Sure
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 3 жыл бұрын
@@255_apollo26 Mda Mwingine unajiuliza Wanataka Mtu Wa Aina Gani
@winnermariah
@winnermariah 3 жыл бұрын
KWELI KABISA JAMANI
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 3 жыл бұрын
@@winnermariah yap
@jafaranikauchumbe2893
@jafaranikauchumbe2893 3 жыл бұрын
Wamembania tu yule Minza
@suleimanali5677
@suleimanali5677 3 жыл бұрын
Salama hajui kila mtu kwake hajui sasa anamtafuta nani basi aimbe yeye kumamamayo
@Ruthie-15
@Ruthie-15 3 жыл бұрын
Lol 😂 😂
@yureboytv6209
@yureboytv6209 3 жыл бұрын
Hip hip hop unajua
@rubenibernald6138
@rubenibernald6138 2 жыл бұрын
Salama pumbafuuuuuuuuuuu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@mercyomondi8682
@mercyomondi8682 3 жыл бұрын
😁😁😁😁046 umepaka mafuta mengi usoni
@eduwadylelya
@eduwadylelya 3 жыл бұрын
Vituko bwana ommy kazi anayo😂😂😂😂😂
@official2kbill650
@official2kbill650 Жыл бұрын
Huyu salama anakuanga na roho mbaya na hajui kitu jisura tu🤣
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 жыл бұрын
Huyo lucky dube alivyoingia nikajua mganga😂😂😂
@emmanuelmasisa1998
@emmanuelmasisa1998 3 жыл бұрын
Hahaha sure
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
Sasa huyu 0529Kaja kuimba ama
@wellbrand3415
@wellbrand3415 3 жыл бұрын
Yaani nyie judges mnaleta raha sanaaaa😂😂😂
@pizzobrand3539
@pizzobrand3539 3 жыл бұрын
NIce
@henrymapunda4602
@henrymapunda4602 3 жыл бұрын
Minza deserves a second chance, a bit of instructions.. Minza apewe nafasi tena...
@ChillumbaEdward-nz9xr
@ChillumbaEdward-nz9xr Жыл бұрын
Uyu dada halieimba nyimbo ya lubi hapewe nafas tena
@mdkkomba8225
@mdkkomba8225 3 жыл бұрын
Majaji wanazingua nao
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 жыл бұрын
Uyu anayemuiga magu mashaa allah🥰🥰😭
@jamalmohamed4058
@jamalmohamed4058 3 жыл бұрын
Kuweka ma judge wazembe ni kuleta shida kweli... Hawa majudge wangepelekwa kwa mafunzo
@winfridamwita3370
@winfridamwita3370 3 жыл бұрын
Nyie majudge sio watu wanavipaj bhna achn kuwaktsha tamaa
@kessymnumbile7540
@kessymnumbile7540 3 жыл бұрын
Bange hizo
@shanelmbunga1301
@shanelmbunga1301 3 жыл бұрын
Hereni we noma
@rehemaathuman6669
@rehemaathuman6669 3 жыл бұрын
Mhhh majaji nyie duu
@ydtv9167
@ydtv9167 3 жыл бұрын
Me yes
@visualservices8897
@visualservices8897 3 жыл бұрын
Sema nahisi ili bss iwe nzuri zaidi hawa watu wa jokes wasionyeshwe kwenye clip watu walio seriously tu wapate nafasi ya clip
@giftlyamuya
@giftlyamuya 3 жыл бұрын
Eti achanganye kijambo madude yasigande
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 3 жыл бұрын
Salma ana roho mbaya hajui kusema anajifanya sura mbovu mchoyo hajui kuongea anajifanya boss kuwafukuza hao vijana kama wafanyakazi wake wanyumban
@JohnsonFredrickJohn
@JohnsonFredrickJohn 2 ай бұрын
Sjapenda kabisa salama alichofanya Kwa dada minza😡😡😡😡😡😡😡
@oratracymugisha6126
@oratracymugisha6126 3 жыл бұрын
Du jama wa rasta bangi inafanya kazi
@remmytv1058
@remmytv1058 3 жыл бұрын
Umeona eeeh😂😂😂😂😂
@anamariayuba5457
@anamariayuba5457 3 жыл бұрын
madamu ritha wewe ni mama uko poa sana
@MontanahMsacky-gx1zm
@MontanahMsacky-gx1zm Жыл бұрын
Lkn Kuna vtuko watu wanavumilia
@roi2554
@roi2554 3 жыл бұрын
Kuna jamaa apo mwishon kachanganya madawa 😆
@njeyaduniatv
@njeyaduniatv Жыл бұрын
MAJAJI WANAPITIA KAZI NGUMU----🤣😅😅
@theblessedone7526
@theblessedone7526 3 жыл бұрын
The judges are so tough eish
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 жыл бұрын
Bila.hivyo hawaendi hao wengine viburi vimewazidi safi sana Salama anavyowanyoosha
@esterandrea1645
@esterandrea1645 3 жыл бұрын
Jamani sarama
@nrsound7351
@nrsound7351 3 жыл бұрын
Kagera wanafika ?
@marlonstudios4408
@marlonstudios4408 3 жыл бұрын
Why would they?
@salum8831
@salum8831 3 жыл бұрын
THAT guy rapping with a guiter is on levels ila bahati mbaya judges wako nyuma ya muda na game yake. bullshit Judges
@saigurannekoren7522
@saigurannekoren7522 3 жыл бұрын
N kweli asee and he is in full confidence. Anajua kiukweli, am really surprised kwamba hawajamuelewa. Judges are really horrible
@abdillaahirichardkasisi8691
@abdillaahirichardkasisi8691 3 жыл бұрын
Afu jamaa mbona ana style nzur
@marympango9247
@marympango9247 3 жыл бұрын
Kwanza kuna baadhi ya watu wanaoweza ndo wanawakata stim!!!daaah...
@salum8831
@salum8831 3 жыл бұрын
@@marympango9247 kweli kabsa
@salum8831
@salum8831 3 жыл бұрын
@@saigurannekoren7522 wana bore sana
@mchovu4761
@mchovu4761 3 жыл бұрын
0135 amenikumbusha mbiliabel
@Emmamusiccmb
@Emmamusiccmb 3 жыл бұрын
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA🇰🇪💥🔥🔥💥🇹🇿*
@mniraharuna989
@mniraharuna989 3 жыл бұрын
Nenda BSS wanamajibu yetu
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 3 жыл бұрын
Huyu Madam Rita izi nywele zake Kwani kanunua Milion1 au? Mana anavyo sishikaga kila video nayo tazama Naona anazirusharusha tu mda ote mkono juu atuliii na nywele😂😂😂😂
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 жыл бұрын
Tafuta hela
@dollnjosy3210
@dollnjosy3210 3 жыл бұрын
Tulasumbila uyesu
@suleimanali5677
@suleimanali5677 3 жыл бұрын
Ma judge hamjui kiukweli,
@aliyasinzakir3889
@aliyasinzakir3889 3 жыл бұрын
Huyu rastaman ha ha bangi mbaya
@ladytatu2139
@ladytatu2139 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wallah nimecheka
@ramalugogo7671
@ramalugogo7671 3 жыл бұрын
Salama anawakazia saana vijana. Yaani ako na attitude mbaya saana.. Wangemregesha Christian Bella wakamuacha huyu salama mkavu saana
@salim02tv24
@salim02tv24 3 жыл бұрын
Sasa ukiruhus kila m2 apitee gharama zinazozid utawalipiaaa ...wanaidadi wanayooitaka
@ramalugogo7671
@ramalugogo7671 3 жыл бұрын
Sijasema waruhusu wote brother. Attitude ndio Salama ako nayo. Kuna vyenye ukimuambia mtu hajui na afanye bidii anakuelewa. Kama kibri flani na jeuri
@salim02tv24
@salim02tv24 3 жыл бұрын
@@ramalugogo7671 of course unayosemaa ni ukwell m2 uwez jisikiaa poaaa kama ukiimbaa najinsi atakavyo kujudge .. Ilaaa washirk wengine miyeyushoo ataa m2 ukitazamaa unajuaa tyu uyu kajaa kuznguaa ...
@bahatimboya3224
@bahatimboya3224 3 жыл бұрын
Yani madam rita wewe macho kama unaaga
@karamanazareno1556
@karamanazareno1556 3 жыл бұрын
😅😅😀😀🙌
@bahatimboya3224
@bahatimboya3224 3 жыл бұрын
@@karamanazareno1556 😋😋
@bahatimboya3224
@bahatimboya3224 3 жыл бұрын
😎😎😎😎
@AminaLibisa
@AminaLibisa Жыл бұрын
Tom boy😂😂
@IrynPena
@IrynPena 3 жыл бұрын
Salama aache ushamba bwana .... kama jamaa sio mbongo kwani ubaya ukowapi? Nchi zingine mataifa mbali mbali yapo na wako fresh tu, kama Uganda ukifika utakutana na nchi kibaaaoo tofauti tofauti na wako fresh tu🤔🤔🤔. Salama mshamba sanaaa yaani....vitu vya zamani sana hivyo. USA kwenyewe watu kutoka mataifa tofauti yapo kibao sana na wako fresh tu. Bongo ndiomana hatuendelei kisa ujinga kama huu wakina salama. Madam Rita baba yake si alikua Mjerumani mbona yupo nae hapo?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Salama aache ujinga huo, dunia imebadilika hii
@salim02tv24
@salim02tv24 3 жыл бұрын
15:37🤣😂😂🤣😂
@rizikiMwafungo-ge7fh
@rizikiMwafungo-ge7fh 4 күн бұрын
Nimemkubali zombie
@helgahussein1413
@helgahussein1413 3 жыл бұрын
Aaah😊
@fashadaforoza1703
@fashadaforoza1703 3 жыл бұрын
I do not like how you judge them😏😏
@NancyLaurent-gz8ev
@NancyLaurent-gz8ev Жыл бұрын
Mc uuu dady R.I.P Jpm😭😭😭
@ibrahimjuma7338
@ibrahimjuma7338 3 жыл бұрын
Hil Salama asa lina sifa
@dizzboss7526
@dizzboss7526 3 жыл бұрын
10:50 so funny
@roi2554
@roi2554 3 жыл бұрын
Wamemzurumu
@hussenjaguar9346
@hussenjaguar9346 3 жыл бұрын
🙋🙅
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 3 жыл бұрын
Salama jabil
@annathomas784
@annathomas784 Жыл бұрын
Huyu kaka.jaman eti Ommy 😂😂😂
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 Жыл бұрын
🤣 🤣 🤣
@mkalimala3564
@mkalimala3564 3 жыл бұрын
Ndo mjue
@suleimanali5677
@suleimanali5677 3 жыл бұрын
Magufuli kaua
@NiyonzimaPelagie-k9z
@NiyonzimaPelagie-k9z Жыл бұрын
Musipinge
@michaelnzunda7347
@michaelnzunda7347 3 жыл бұрын
icho ki Kinga Cha ukimwi Kama akivuti petrol basi anaingia ku judge akiwa kavuta bangi kachanganya na vima,fyuiiiiiiisss shenzi kabisaa
@amedeezvisual8137
@amedeezvisual8137 3 жыл бұрын
HUYO JAMAA WA HIPOP NA GUITAR ,NAMAN 99 ,ILE STORY ANATEL NI WIMBO WA NASH MC KAMA SIKOSEI.
@jafaranikauchumbe2893
@jafaranikauchumbe2893 3 жыл бұрын
Songa uyo mwamba
@pizowtv8956
@pizowtv8956 3 жыл бұрын
Salama is not a good judge mbn ufunja wanah moyo ,,
BONGO STAR SEARCH DAILY SHOW ARUSHA MONDAY
27:39
BongoStarSearch
Рет қаралды 149 М.
Nyimbo ya Hamiss wa Bss na Harmonize kwa mara ya kwanza kwenye jukwaanu
10:14
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 26 МЛН
BSS 2020 EXTRA |MWANZA AUDITIONS
28:10
BongoStarSearch
Рет қаралды 299 М.
BSS 2023 SN 14   EPISODE 04 KIGOMA
1:11:04
BongoStarSearch
Рет қаралды 95 М.
VIDEO: Mwanzo Mwisho Alivyopatikana mshindi wa BSS 2018
2:25:23
Millard Ayo
Рет қаралды 391 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 454 М.
Tgun Tozzy - Atoa watu Machozi Live BSS, Madam Ritha, Huzuni
4:06
BONGO STAR SEARCH DAILY SHOW MWANZA WEDNESDAY
28:46
BongoStarSearch
Рет қаралды 121 М.
SEE HOW KAMBA MUSCIAN DID AT PATRICK MWANZA NDELA BOY BAND BURIAL
1:01:56
Official KIM TV
Рет қаралды 2,9 М.
Bongo Star Search 2012 EP 5 DAR ES SALAAM
1:02:19
BongoStarSearch
Рет қаралды 168 М.