DUDU BAYA amlilia ASLAY afichua Wasafi kufanya ubaya MBOSSO na usaliti YAMOTO BAND kupotea

  Рет қаралды 120,300

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

Пікірлер: 197
@christyjoe2484
@christyjoe2484 2 жыл бұрын
Dudu baya nakupa hongera kwa roho yako safi... Mungu ako nawe love from Kenya
@sergeant8355
@sergeant8355 2 жыл бұрын
How did you know ako na roho safi .?Ebu kuwa makini usije ukatapeliwa
@davidnjenga4516
@davidnjenga4516 2 жыл бұрын
Ok moiWW
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Nikirudi bongo nitakuja Tegeta kukucheki salute Mtani wangu
@evansbuninange7125
@evansbuninange7125 2 жыл бұрын
Dudu baya, hakuna utajiri mkubwa Mwenyezi Mungu aliokupa kama ukubwa wa kichwa( akili pana na kujiamini) wewe unaamini katika kuumbwa kwako na Mungu atalidhihirisha hilo. Asante sana, Tanzania tungekuwa na hayo kweli si taifa la unyonge
@خسنموس
@خسنموس 2 жыл бұрын
Interview nzuri..Dudu baya akiongea ukwel kuhusu game utakubaliana nae, wasanii wa sasa awataki ushirikiano kwa wasanii wenzao na awatoi sapot ata msanii akitoa kaz nzuri inazimwa na ngoma zao wanazozitoa
@yassirashur5210
@yassirashur5210 2 жыл бұрын
All the way from kenya 🇰🇪 dudu kiboko mamba 💪💪💪
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 2 жыл бұрын
Jamaa anajua mambo mengi san huyu big up sna mkubwa
@magangasaidi468
@magangasaidi468 2 жыл бұрын
Mnazingua mbona interviews za dudu baya nzuri alafu zinakuwa fupi why. wadau huyo ndio konki masta mashabiki wake tunamkubali sana arudi kwenye game la music we are mis this gay and your music.
@samuelivali2412
@samuelivali2412 2 жыл бұрын
254 Kenya Appa...Aslay twampenda apa Kenya Sana...wabongo nyinyi mwapenda chuki saana
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
Mtangazaji mwandishi anaongea kwa uangalifu Sana asikosee kupata madini ya Konki master.thats pretty good man!
@doricecyprian7246
@doricecyprian7246 2 жыл бұрын
Jameni tunamiss nyimbo ZA aslay mungu amuonekanie🤔
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 2 жыл бұрын
Wakuu uyu mtu ni mtu muhimu sana tanzania trust me!!!!
@nyokskinyah8246
@nyokskinyah8246 2 жыл бұрын
Nampenda dudu mbaya msema ukweli 🇰🇪🇰🇪
@elishajuma2615
@elishajuma2615 2 жыл бұрын
Mwambie akuoe xaxa
@nyokskinyah8246
@nyokskinyah8246 2 жыл бұрын
@@elishajuma2615shame on u
@Tresorrumenesa
@Tresorrumenesa 2 жыл бұрын
Huohh ni ukweli jameeni aslay arudishwe kbx tunamwitaji kbx brother wetu huyo 🙏👏👏😢
@Reagan_omondiTU_SE__
@Reagan_omondiTU_SE__ 2 жыл бұрын
Big up my Guy
@shebyhashimu1410
@shebyhashimu1410 2 жыл бұрын
Uwaga namuexhmu sana msanii anayejtegemeaa kukiko ao wakwenye lebo sio IBRAAH SIO MBOSSO SIO RAYVANY SIO ZUCHU ANJELA AO WOTE KWANGU SIWAP SALUTE MAANA MZKI KUJTEGEMEA MWENYEWE KAZ MPKA NGOMA ZAKO ZKAFKA MJINI KILA UNAYOTOA RESPECT...MARIOO ASLAY
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana dudubaya Mimi mgogo so wewe dudubaya Ni Mtaani wangu an r.l.p JPM wetu Mzalendo
@emmanueliusemmanaimablecic2243
@emmanueliusemmanaimablecic2243 2 жыл бұрын
Hongera sana dudu baya , una ongeya ukweli broo
@teimohamed9780
@teimohamed9780 2 жыл бұрын
Ndani ya Yamoto Band nani ndio alianza kutoroka wenzake, Asilay alijione yeye ni bora kuliko wenzake, akaona wenzake watapotea kumbe shimo kajichimbia mwenyewe
@irbanytz9559
@irbanytz9559 2 жыл бұрын
Nakubali point 👊👊
@ayubumwaipopo8203
@ayubumwaipopo8203 2 жыл бұрын
,,,,kon maxter..🔥🔥🔥
@mapesigamba60
@mapesigamba60 2 жыл бұрын
Noma sana dudu namkubali sanaa
@wantedtyson8492
@wantedtyson8492 2 жыл бұрын
Points tupu brother palipo na ukweli tunasema tu 💪💪
@jamesshayojamess2196
@jamesshayojamess2196 2 жыл бұрын
Huyu mwamba anaongeaga ukweli anaga moja kwenye mbili😄😄
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 2 жыл бұрын
Hii information ya Dudubaya haipo accurate, Aslay amepata ukubwa zaidi baada ya kutoka Yamoto na wakati Aslay anatoa ngoma kali akiwa Solo artist baada ya kutoka Yamoto Mboso alikuwa hata hajasainiwa Wasafi na ilifikia hatua alitaka kuacha mziki, by the way Aslay yupo Rockstar now, swali la kujiuliza Marioo ana mziki mbaya?? Mboso anamziki mbaya??
@BenLeeBl
@BenLeeBl 2 жыл бұрын
True....reputation ya sound ya mziki wa asley ndo ilimuua mwenyewe na kibaya akawa anatoa ngoma kilasiku ....hao anao waseme ni watu wanao fanya kaz nzuriiii na mashabik ndo wanaamuA japo wao wanasema system inachagua
@aronessau9887
@aronessau9887 2 жыл бұрын
mh jitafakar
@desolz3809
@desolz3809 2 жыл бұрын
Mboso hawezi kumzudi Asley hata kidogo
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 2 жыл бұрын
Rock star ndio wakina Nani? Alipokuwa na alipo Sasa ni sawa? Ndicho anachoongea
@sergeant8355
@sergeant8355 2 жыл бұрын
@@desolz3809 Kwa sasa mbosso ako juu ya aslay kama utaweka ushabiki kando utaelewa hio,wasafi pia imemkuuza zaidi.Pia talent ya mbosso imezidi ya aslay ila simaanishi aslay ni mbovu..Weka ushabiki kando uongee ukweli ndio utakuwa mjanja bwana.
@purechuse
@purechuse 2 жыл бұрын
Nakukubali sana kk
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 жыл бұрын
Maskini Roma😭kumbe akina Lisu wapo wengi ee?
@KuhaniMwakalambo
@KuhaniMwakalambo 2 жыл бұрын
Dudu baya ana akili nyingi sana ila anashindwa kujicontro,Hilo nalo ni tatizo....anatakiwa kuwa na ufahamu na maarifa ili apate kibali mbele za watu. Dunia hii haipendi watu wa aina yake.....
@stratega03
@stratega03 2 жыл бұрын
Get the msg ndicho cha muhimu...hayo mengine ni madhaifu ya kibidanamu
@agnestweve7218
@agnestweve7218 2 жыл бұрын
Jamani aslay nampenda
@omarynyange9577
@omarynyange9577 2 жыл бұрын
Kaka namkubali sana mungu akuweki
@sethny112
@sethny112 2 жыл бұрын
Simuogopi kima yeyote hapa Bongo 🤣🤣
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 жыл бұрын
Chizi karogwa tena karudi tena huyu jamaaa nampendaga sana anajuaaaa Siri za kila mtu za ukweli labda ata za serikali pia anazijua alafu anaongeaga kwa umakini na confidence kujiamini
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 2 жыл бұрын
Hujui lolote laiti ungejua usingeongea hivyo
@atanasjisonge2538
@atanasjisonge2538 2 жыл бұрын
Safiii sana dudu baya kwa kusema ukweliii
@macharosandra9467
@macharosandra9467 2 жыл бұрын
Anaongea kweli tupu, Aslay haonekan Kabisa
@BenLeeBl
@BenLeeBl 2 жыл бұрын
Anatoa nhimbo mbayaaa ...mashabik wanataka kaz nzuriiiii...hao kina mboso na mario ngoma zao n pendwaa mtaani ndoman wako juu
@ibrahdedonny4073
@ibrahdedonny4073 2 жыл бұрын
Aslay anakibr tu ila nmkali xana, aache kibri Aslay
@BenLeeBl
@BenLeeBl 2 жыл бұрын
@Diamond Platnumz 6.68M ntajie heat yake mwak huu na ulio pita...its means hazipend n kama hazipendw ni......
@allanothuman2941
@allanothuman2941 2 жыл бұрын
@@BenLeeBl wasaf wanapig nyimb za aslay mbos md wot yuk n mond kwann asionekan n mashabik md wot
@reubenonsando1148
@reubenonsando1148 2 жыл бұрын
Ukweli dudu. BAYA ni legend nakubali
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Inasikitisha Sana Yaan
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 жыл бұрын
HII YA ASLAY HUSIKIA VIBAYA SANA ILA ALIE MPAKIPAJI NI MUNGU KAMA WANAMWENDEA KWA MGANGA KUMZIMA WAJUE YATAISHA IF GOD SAY YES NOBODY CAN SAY NO
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 жыл бұрын
Yes I love your comment
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 2 жыл бұрын
Achana na fikra za waganga wa jadi. Ni ushirikina
@khalossalim3723
@khalossalim3723 2 жыл бұрын
Wanaija akitokea up coming wanambeba mpaka dunia imjue, haya njoo bongo sasa 😒
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 2 жыл бұрын
Uko vzr Dudubaya
@kijengejuu4370
@kijengejuu4370 2 жыл бұрын
Bro yupo real sana
@justinidaudy5438
@justinidaudy5438 2 жыл бұрын
Daaaah respect dudubaya inauma
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Babu tale anajuwa kila kituu Yamoto bendii
@Erick40029
@Erick40029 2 жыл бұрын
Massive 💪🙄
@bahatibahati5217
@bahatibahati5217 2 жыл бұрын
Mwanza mwanza kisesa bujora home kwetu kwa konk konk master
@happynelson1180
@happynelson1180 2 жыл бұрын
Ndiyo maana wasanii wengi wamefungua lebo zao wameamua kujiajiri wenyewe maana wamechoka kudhurumiwa na Vanessa mdee akaacha kabisa mziki na kuhamia nje
@aishaissa2512
@aishaissa2512 2 жыл бұрын
Kweli dudu wewe nimkweli sana
@magrethmagungamagrethmagun6102
@magrethmagungamagrethmagun6102 2 жыл бұрын
Daah amengea bg point
@bonabonala5559
@bonabonala5559 2 жыл бұрын
Dudu baya kamatukipata katibampyA atakua mpinzani mzuri Kama sugu
@kiatu
@kiatu 2 жыл бұрын
Sio vizuri serkali au chama kufanya biashara. Ni vyema kuwawezesha watu kufanya hizi biashara. Rushwa tu ndio inatuharibia mambo.
@livingstonemaarifabatawe9829
@livingstonemaarifabatawe9829 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@amosmwanaume5923
@amosmwanaume5923 2 жыл бұрын
Daah alo shkamoo cha Arusha 😎😎😎
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Haya majizi kina Fela na genge lake ni yakuangaliwa sana.
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 2 жыл бұрын
Kweri hasaa. MAWAZIRI AU HAO VIONGOZIII WAMEUBWETEKAA TUU BILA KUFANANYA LOLOOTEEE
@MrSokwe
@MrSokwe 2 жыл бұрын
Shida ya Dudubaya ni pombe 😢 hapa anaonekana kakonda sana.
@saidnasibu5803
@saidnasibu5803 2 жыл бұрын
Tatizo unatoa points kweli lakni tatizo umelewa wengine wanaona kama ni maneno ya mlevi tu .....lakini wwe ndie konki fire 🔥🔥🔥🔥
@ankalmzito254
@ankalmzito254 2 жыл бұрын
naona hata kwenye interview#Dudu baya anabaniwa sababu inakatwa tena fupi tanzania mnazingua 🇰🇪.... Majitu yanajipendekeza 😂😂😂....
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Umeongea facts ila umejichanganya kwani kuna watu wenye uwezo kuliko Mungu kuwa ili kufelishwe wengine kuwekwe Marioo, Nandi, Mbosso...... kila mtu anapata nafasi ya kimaendeleo kutoka kwa Mungu sio mipango ya watu..... Wangapi wamejaribu kumzima Diamond na sasa ndio wanachanganyikiwa koz jamaa anaongoza kila sekta ya burudani.
@yusuphathumanmrisho2743
@yusuphathumanmrisho2743 2 жыл бұрын
Tumekumiss dudu baya
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
Konk master hatali Hanafichua sili
@hodhoj609
@hodhoj609 2 жыл бұрын
Mbona upo kama kichaa vipi braza sikusomi
@Worldcup613
@Worldcup613 2 жыл бұрын
Umetumwa? Naona kama unajua yote sasa au sio ?
@maumaujuma2263
@maumaujuma2263 2 жыл бұрын
Simuogop kima yoyote apa tanzania
@Theeecentric
@Theeecentric 2 жыл бұрын
#akili
@kidasichambeo3062
@kidasichambeo3062 2 жыл бұрын
Dudu ana nia nzuri kwa wasanii ila apunguze kifua.
@mwanaidathuman78
@mwanaidathuman78 2 жыл бұрын
Kweli broo unaongea ukwl
@ejtjr2647
@ejtjr2647 2 жыл бұрын
Huyu ni MPUMBAVU kwani CCM inafanya music au siasa. Wewe huna jipya jombaa kausha
@abedmzungu9057
@abedmzungu9057 2 жыл бұрын
convoy
@ramlaamiri5601
@ramlaamiri5601 2 жыл бұрын
Leo umeongea point
@mullahmasudy2622
@mullahmasudy2622 2 жыл бұрын
Simuogopi kima wowote hapa Tanzania 😂😂😂😂
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana dudubaya MPE hi Sana mwanangu Mang'selle Mimi Rafiki Yake WA njiapanda ya resort sasahivi nipo Durban South Africa sema 2024 nikirudi bongo nitakuja pande Hizo za Tegeta kuwa visit
@Tatizofficial
@Tatizofficial 2 жыл бұрын
Dudu linezeeka,limechoka,acha umbea,tafuta helaa kaka,ni kweli Ila hayakuhusu
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 жыл бұрын
Kwani wewe hujaazeeka🤣🤣
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 9 ай бұрын
Dudu baya mbona unaongea Kama mtu anaechungulia kaburi
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 2 жыл бұрын
Mkubwa unaongea points sana.
@zawadinzunda7133
@zawadinzunda7133 2 жыл бұрын
Asant dudbay
@gichimujef8806
@gichimujef8806 2 жыл бұрын
Dudu mbaya msema ukweli..love from kenya
@princehancesam9892
@princehancesam9892 2 жыл бұрын
Angekuwa BASATA Mziki ungekuwa
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 2 жыл бұрын
Hawezi kubali kua mtumwa, kumbuka na yule unaye msema ati ni msaliti naye amekataa kuwa mtumwa, waache watoto wapambane
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Unapotaka kufanya mapambanoo sio lazma iwe vitaa..sio lzm ugombane na lebo ndo utoke
@milliardere9177
@milliardere9177 2 жыл бұрын
Huyu kama huna hakili huwezi ku muamini
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Lazma uwe na akili nying kumuelewa ...
@victorchris5144
@victorchris5144 2 жыл бұрын
Mwanangu Dudu una akili kubwa sana ila tungi linakumaliza kinoma unazidi kukonda, acha kulewea hela ya kula bro😎
@bakariathumani8105
@bakariathumani8105 2 жыл бұрын
Noma
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 2 жыл бұрын
dudu baya anaumia akiwa wapi
@dularwambo3243
@dularwambo3243 2 жыл бұрын
Chid benz konk waskizen awawajomba wanav2
@elizabethwilliam5008
@elizabethwilliam5008 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 2 жыл бұрын
Chawa WA kwanza tz
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 2 жыл бұрын
Dudu baya yuwaongea Ukweli! ile yamoto Band ilkua na Unyonyajii ndo ikavunjika sema wale watoto waliogopa kuongea, Nyota yao ilkua kali sema ndo hivyo Waafrica tuna tabia za Ubinafsii" wingi wetu Tamaa zimetuja😢
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Kabla awajatoka kuwa mastar ghalama ulisaidia kutoa
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 2 жыл бұрын
Iyo inshu ya majukwaa makubwa au steji za matamasha zimekuwa shifa sana apa chini lakn daaaa uyu jamaa kichwa
@yusuphngamela5611
@yusuphngamela5611 2 жыл бұрын
Mziki ni biashara kama Asley anajua anakipaji si na hataki kumilikiwa basi ajitegemeee Yani mo aitangaze biashara ya Azam inawezekana kweli
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
Majizi 😂😂😂😂
@MKobe_254
@MKobe_254 2 жыл бұрын
Dudu baya uongea ukweli mno..
@m.l.b2066
@m.l.b2066 2 жыл бұрын
Nilikumbuka mambo yake yaliyomo kichwani mwa Dudu!
@juniojackson1406
@juniojackson1406 2 жыл бұрын
jmn hiv yukowap dudubaya msema ukweli
@rojasabdallafundi1009
@rojasabdallafundi1009 2 жыл бұрын
Konk body limepotelea wapi punguza konyagi
@AfroMedic
@AfroMedic 2 жыл бұрын
Marioo ni jeshi la mtu mmoja
@emmalyanga3726
@emmalyanga3726 2 жыл бұрын
Nilichogundua Tanzania ukitaka upendwe uambiwe unasema ukweli usifiwe . Ongea vibaya chochote au yeyote anayehisiana na Diamond. Soma comments za waja utagundua
@samyspesho1698
@samyspesho1698 2 жыл бұрын
KWENYE KUMZIMA MSANII HAPA SIJAELEWA BADO INAKUEJE
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
Sikujua Kama huyu kaka ana akili nyingi sana daaa
@mradiboymtotowamilka
@mradiboymtotowamilka 2 жыл бұрын
i think asllay ndiye amejikata kwa mziki peke,,,,,,mbna astuekee hata mziki wake kwa youtube channel yake jamani
@janetbutondo6684
@janetbutondo6684 2 жыл бұрын
Ila anayoongea ya kweli
@fredricksebastian7391
@fredricksebastian7391 2 жыл бұрын
🔥🔥
@Theeecentric
@Theeecentric 2 жыл бұрын
Kusema ukweli,dudu baya hayuko sawa
@rogatemsangi6418
@rogatemsangi6418 2 жыл бұрын
Halina akili hili
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 жыл бұрын
Huyu vipi amezeeka au yale madaw. .... mtumeee he need help please
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 2 жыл бұрын
Acha unafki wewe, dunia hii na asie zeeka!!!??
9 January 2025
16:08
Issa Koba kimanga
Рет қаралды 12
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
GUSA ACHIA LEO NI KWENYE DUKA LA MZIZE ALIKAMWE
8:11
KING MANGI MEDIA
Рет қаралды 6
Anapoishi DUDU BAYA baada ya kupotea miaka miwili
9:21
Bongo Touch
Рет қаралды 99 М.