Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that
Пікірлер: 38
@yohanaminga563819 күн бұрын
Nakupongeza sana nabii unatufundisha vitu adimu sana. Mimi sisali hapo niko Dar na ni mwalimu wa zekondari ya Mbonea hapa Dar. Naridhika sana na mafundisho yako. Ni nabii unayependa kuchunguza mambo mengi sana. Unahubiri vitu vya kiroho sana ambavyo ni current na siyo vya kimapikeo kama wafanyavyo wengine. Big up bro, keep it up.
@Farajahelene2303119 күн бұрын
Big talented star
@BonfilsBaleke-d1h19 күн бұрын
Bola kala ela ya CCM
@KhadijahKinyuri19 күн бұрын
Mbna waongea sana
@NuruJuma-zv3yz19 күн бұрын
Alkiba 1
@Balhassane10 күн бұрын
Bom dia
@NadineUWIZEYIMANA-mq4nu19 күн бұрын
Uongo bro ,kama namba 1atakuwa alikiba.
@abdallahmohd377719 күн бұрын
Konde boy mshamba
@mangulimanguli397419 күн бұрын
C mmakonde uyo ushamba jadi yake
@Ashasalum-j1j19 күн бұрын
Konde ana baya mmmh
@Farajahelene2303119 күн бұрын
Smart boy
@kapchanjoroo298817 күн бұрын
Wewe nyamaza Alikiba kiboko yao
@shafiiwajad45719 күн бұрын
Kaleta mambo ya willy paul mchafu 😂😂😂
@SalminiMangondo14 күн бұрын
Mbona roma stamina na tunda siwaoni
@OmariMkomwa-vl3nl15 күн бұрын
Hatuna bandari
@Luckydon_tz3 күн бұрын
Alafu mbona unaongea kama vile unamkashifu harmonize... Kaka angu ukiwa reporter jaribu kuweka usawa kwa kila mtu unaemuongelea lakini kwa unavyotangaza ww watu kama sisi tunaona unaweka ubaguzi frani hivi mara unasema "kwa upande wako ww ungemuweka frani wa kwanza na huyu wa mwisho" sas huo sio utangazaji we huoni hata mirradi mihayo mwenzako ushakuta wanaongelea kwa upande wao binafsi... Try to change bro I'm telling you this in peace ✌🏼
@walengamwamaua-ws6io17 күн бұрын
Alafu rayvany aligeuza mwimbo wa huku kwetu
@elvisniyongabo546619 күн бұрын
Acha kumuponda konde boy
@DinaKyahe16 күн бұрын
T-shert imembana
@allykwaya19 күн бұрын
Analazimisha kuwa headliner wakati wakubwa ameshamaliza kazi.
@SeverinoLuis-j1h19 күн бұрын
Konde ajapa tano bora😂 ana mistari😂😂
@JACKSONEDWARD-y9d19 күн бұрын
Duuhh
@KingSize-h7b13 күн бұрын
Hii ilikuwa ni tuzo za kili au ni kitu gani naonawatu wotee wamevaa kijani na wanakata viuno
@MwitaSenso17 күн бұрын
Nyie Ina wahus nn kama mzgo ulisha ingia ameimba sana ... Ajaimba sana iyo mtajua nyie kibwa mzigo benk umesoma
@Jonathanabedinego19 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂sita ongea Ila kime mlamba
@JustusNangabo-q4l19 күн бұрын
❤❤❤
@BrownMkelecha17 күн бұрын
Hushasikia kuwa kulikuwa na azimio kusomwa
@shukurukomba566319 күн бұрын
Uelewa tu alikuja kwa kua aliyetakiwa kuja hakuonekana baadae alirudi ,tusiweke hoja za uzushi
@NuruJuma-zv3yz19 күн бұрын
Unachuki na alikiba
@MartinMchovu19 күн бұрын
Hata rayvann pia alikatishwa so nikama walikuwa restricted
@joojombi234113 күн бұрын
Wacha kupotosha umma dogo muogope mola wako. Program huzijui kuku wee na heading yako
@YustorMichaeli19 күн бұрын
Ungenda wewe 😂
@zainabuabbakari-cs6fk12 күн бұрын
🫢🤫
@Matrical-v6l18 күн бұрын
Why?? He is a number one singer in TZ, Harmonise is the best. Why to stop him???
@Zorobwoy14 күн бұрын
Wewe unabooooo
@MageseMalimi19 күн бұрын
Kamdomo
@JoelinaPareso19 күн бұрын
Ila we mtangazaji wa ajabu saana! Yaani kitu kidogo tuuu, unaiandika, yaani kasitishwa tuu kidogo kelele!! Mnatengeneza kwa lazima, ujinga tuu