MZEE YUSUPH DIAMOND ANATAKA ASIKILIZWE YEYE BASI AJE ALIKIBA,HARMONIZE ANAHISI KAULI ITAMTISHA FIDQ

  Рет қаралды 22,836

BONGO TRENDY TV

BONGO TRENDY TV

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@mucochanella1672
@mucochanella1672 2 жыл бұрын
Nakukubali mzee
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
Diamond anajiona mungu pesa zinammbeza
@onesmoretz2785
@onesmoretz2785 2 жыл бұрын
Tulia makalio ww
@karimujuma6595
@karimujuma6595 2 жыл бұрын
Mpuuzi sadala
@kamlkaml4509
@kamlkaml4509 2 жыл бұрын
@@karimujuma6595 uyo.sitv.nyenye ataalibu.muongeaji sana.atacharlfua
@abdulkadirsafi9363
@abdulkadirsafi9363 2 жыл бұрын
Amesema lini km anajiona ivo
@Kijosh854
@Kijosh854 2 жыл бұрын
Usifananishe mungu na diamond mpumbavu wewe
@fatumamapenzi5465
@fatumamapenzi5465 2 жыл бұрын
Wee mzee umechanganyikiwa... Dish limeyumba
@markh8142
@markh8142 2 жыл бұрын
Fact mzee
@zainabnyambwiro6133
@zainabnyambwiro6133 2 жыл бұрын
Sasa kumbe msemaji upo Steve wanini jamani
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 жыл бұрын
kuntu 👍👍
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
We mzee yussuf ni bora firauni kuliko ww
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Wewe ni zaidi ya shetani!
@yusufkisome639
@yusufkisome639 2 жыл бұрын
Mkiungana wote hamumfikii Diamond hata Robo.
@omarihamadumetishasanalava4725
@omarihamadumetishasanalava4725 2 жыл бұрын
Nice
@hamzamkuti7257
@hamzamkuti7257 2 жыл бұрын
Mzee yuko sahihi asilimia zote.Hao wapiga kelele si wanachama. Sema Diamondi anatafuta Kiki tu na KaFOA kake.
@bigdaddy_faustinjumong4427
@bigdaddy_faustinjumong4427 2 жыл бұрын
😂🤣🐘💪🇧🇮
@samiramadenge953
@samiramadenge953 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️
@fredmankaingu446
@fredmankaingu446 2 жыл бұрын
Lakini Steve nimoto juu mpaka wakenya huku tumejua mko nashirikisho,Steve hoyeee
@paulnyerere7940
@paulnyerere7940 2 жыл бұрын
Kweli
@zuberiramadhani1927
@zuberiramadhani1927 2 жыл бұрын
Mnamuhoji huyoo laana kumu sumaka
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Kama Kuna mbuzi yeyote yule ambae hamtaki stivu nyerere Basi aache mziki Kama hataki Basi atulie aongozwe na stivu pumbavu zao
@omarisaidi7745
@omarisaidi7745 2 жыл бұрын
Hunajipyaa Mzee wewwe niwivutu
@eliyanorobeth8567
@eliyanorobeth8567 2 жыл бұрын
Nanyie wandishi wakatiwngne nimwehu tu. Hv mnakosaga watu wa kuwahoji eti!!!
@scribemelody
@scribemelody 2 жыл бұрын
Acha ufala lazima wawa oji afu Inaonekana kama hujielewi
@samiramadenge953
@samiramadenge953 2 жыл бұрын
Waje kwako basi 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
@yaraernesto986
@yaraernesto986 2 жыл бұрын
Asiyo mtaka stev ache mziki akalime
@Jxcjs
@Jxcjs 2 жыл бұрын
10000000%
@humoudal-bahry1822
@humoudal-bahry1822 2 жыл бұрын
We Mzee yussof ulienda hija Saivi unakata Viuno, Mwaname Kweli Rijali Na Wale Ambao M/mungu Aliwasifu Kuwa Hawa Ni Wanaume Ambao Hakuwashulishi kwao Biashara Na Mauzo Katika Kumtaja Mola Wao, Watakata Viuno , Kisha Umevaa Kanzu Na Kofika Huku Ukiongea Pumba Zako, Ama Kweli Wewe Unafirwa , Sasa Kule Makah Ulienda Kufanya Nini Msenge Weee? Kisha Ukalia Tena Kule Makaburini Pale MwanKwerekwe Ukionesha Umejaa Imani Kumbe Msengee Mnafiki Munatupoteze Kizazi Chetu Tu nyinyi
@halimaabdallah8775
@halimaabdallah8775 2 жыл бұрын
Wewe mwenyewe siulikuwaga UNAJIITA mfalme pumbavu kabisaa now wivuu utakuwa mbn kina ney wote walikataa ila dai asiongee ukweli kisa dai😏😏😏
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 2 жыл бұрын
Ndo maana Diamond hapendi kujiinngiza kweny Makundi yenu, maana ata mawazo yake kama msanii watu wanayaacha wanaangalia Pesa zake na umaarufu wake. Hoja ni hii ya Nay “Mlitumia vigezo gan kumpata STEVE kua msemaji wa shirikisho" mnaishia ooh hawakuwepo Mara hawajajisajili... Jibuni swali, Vigezo gan mlivyotumia kumpata bwana Nyerere? Sisi tupo hapo tu
@hamzamkuti7257
@hamzamkuti7257 2 жыл бұрын
Hilo swali muulize anaekejeli uwepo wa Steve kama msemaji wa wasanii, Wao wanataka vigezo gani? Maana Steve ni mwanachama, msanii,anaimba na anaishi na wasanii,Kikubwa ni kupeleka hoja zako kwa Steve yeye aiwasilishe. Kwani wasemaji wa timu wana vigezo gani?. Hadi Steve akose hivyo vigezo acheni kufuata Maneno ya watu wasiotaka maendeleo ya wenzao kwenye mziki
@hamzamkuti7257
@hamzamkuti7257 2 жыл бұрын
Washaurini wakajisajili, wasiwe wapotoshaji tu.
@abdulhamidbasha2108
@abdulhamidbasha2108 2 жыл бұрын
Kwani diamond mungu?
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 2 жыл бұрын
@@hamzamkuti7257 Steve haujui Muziki na shida za wanamuziki, na wanamuziki wanahitaji mtu wakuwasemea ambae hata wakisahau kumwambia baadhi ya mambo ya kusema yeye mwenyewe aelewe shida wanazopitia. Alaf hamna mtu anamchukia Steve tunabisha he's not fit for the position mliyompa. Sasa kama nyie mnaona anafaa mtupe Vigezo mlivyoangalia??? Tunarudi tena kwenye swali ilo ilo
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 2 жыл бұрын
@@hamzamkuti7257 kwahyo Steve ndie msanii aliyejisajili peke yake? Acheni kuleta vihoja na kuacha kujibu hoja, mlimpata Steve kwa vgezo gan ????
@agogomgagagigigogo2672
@agogomgagagigigogo2672 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Mzee umechemka,ona sasa umewahi kulijibu swali la kukutega limekugeukia ,leo hii wasanii wengi wamemuunga mkono dogo,Yusuph nafikiri utakuwa umejifunza kitu,don play with Diamond utaumia ww,🤣🤣🤣
@scribemelody
@scribemelody 2 жыл бұрын
Acha fujo dogo hi sio beef ya harmo na diamond
@agogomgagagigigogo2672
@agogomgagagigigogo2672 2 жыл бұрын
@@scribemelody kama sio bac nafikiri usingekomenti,ila imekupenya hivyo bac ww ndo unautimu hapa,ubongo mgando
@mustafaally7718
@mustafaally7718 2 жыл бұрын
Mzee umezeeka huwez toa maoni ukiwa na chuki,,
@MohammedAli-mf3ln
@MohammedAli-mf3ln 2 жыл бұрын
Tabia za mtoto wa malaya au wa mababa mimi
@Princewaweru
@Princewaweru 2 жыл бұрын
Ye kaona hana faida na hyo mwachen na mtizamo wake usilazimishe mambo mzee
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 2 жыл бұрын
WELL UNDERSTOOD!
@elizayanga9756
@elizayanga9756 2 жыл бұрын
Jmn daimond kusema kuwa kwake sio sawa haina maana et ndio lazma n konde au king waongee jmn hii sio demokrasia iyo amesema yy kwa mtazamo wake sio lazma wote wamfatishe
@bashiriwilliam5982
@bashiriwilliam5982 2 жыл бұрын
Tunapoteza mda kumsikiliza kigeu geu aliyesema kaacha mziki kamrudia Allah...!
@salmaseif6284
@salmaseif6284 2 жыл бұрын
Mzee kachanganyikiwa huyu
@rehemambugulu9618
@rehemambugulu9618 2 жыл бұрын
Ovyooo
@jacquelinerayamu3187
@jacquelinerayamu3187 2 жыл бұрын
HasbinnAllah waniimal wakil huu ndio utu uzima ovyo
@bintykigan9285
@bintykigan9285 2 жыл бұрын
Sanaa yani anatia aibu
@habibunguvumali3331
@habibunguvumali3331 2 жыл бұрын
Kwanini Steve hatutaki ubabe
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Humu Kuna mijitu isio na akili timamu iko tayali akosolowe hata baba yao mzazi itafurahi kuliko kukosolewa mondi 😄😄😄😄😄
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 2 жыл бұрын
uko sahihi
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 2 жыл бұрын
Imba taarabu😀😀 acha kuingilia bongofleva
@esombommambelwa6809
@esombommambelwa6809 2 жыл бұрын
Njaaa tu heti wana protocol za kuongoza au kuongopa media 🤣
@Aidansimwanza
@Aidansimwanza 2 жыл бұрын
Wenye akili watakuelewa mzee
@mbogofrank1154
@mbogofrank1154 2 жыл бұрын
Tuachane na diamond ambae mnamsema kakosea kwasababu anapesa sana pia ni msanii mkubwa haya tujibu swali la Nay wa mitego mlitumia kigezo gani kumpata steve
@hadijajumanne5493
@hadijajumanne5493 2 жыл бұрын
Wasanii wote hawampendi mond yani wanavita nae kisa maendeleo,nay hata onekana mana sio mkubwa
@bhaleeali8459
@bhaleeali8459 2 жыл бұрын
mzee hebu acha hizo, kwani amesema DIAMOND peke ake??? au ndo ukubwa jaa
@rajaburajabu3963
@rajaburajabu3963 2 жыл бұрын
kaFOA kamebuma
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 2 жыл бұрын
Wee ushazeekaa unakuja kuwasemea vijana hukuuu huna lolote wewe babu
@jastinimarukusi7803
@jastinimarukusi7803 2 жыл бұрын
Wee mzee, stivu yusufu atufai tu wewe mwenyewe umebebwa wewe msanii wa wa upande gani tatizo unaamaama
@ahammedmahruki8708
@ahammedmahruki8708 2 жыл бұрын
Diamondi anataka awe yy ni mungu mtu kila mtu amsujudie
@zuberiramadhani1927
@zuberiramadhani1927 2 жыл бұрын
Wivuu wabongo alafuu hamja somaa
@zenahdallactv1799
@zenahdallactv1799 2 жыл бұрын
Diamond anajipa ukubwa ambao Hana huo ukubwa,tatizo ni hiki chama WCB wanaona kitakuja waangusha wao,Lau ingekua ameekwa rayvany kua ndio msemaji basi naamini kusingetoka kauli mbaya kutoka Kwa diamond,WCB haitaki wasani wengine waendelee hio ndio shida
@samniza1763
@samniza1763 2 жыл бұрын
100% agree!
@Aidansimwanza
@Aidansimwanza 2 жыл бұрын
💯
@zuberiramadhani1927
@zuberiramadhani1927 2 жыл бұрын
Steve yey ni msanii wa muziki au bongo move emepotea kwa ajilii yakee unatkaa na bongo freva ipotee kuwa na ajilii kidogo
@zenahdallactv1799
@zenahdallactv1799 2 жыл бұрын
@@zuberiramadhani1927 kumbe nyie hamjui Steve,Steve kalelewa kwenye mziki na bendi ya ASHA baraka,alianza mziki tangu diamond hajafikiriwa katika tasnia
@halimaabdallah8775
@halimaabdallah8775 2 жыл бұрын
Wemzee hebu imba taalabu2 acha uzee wako hp
@johmziwanda985
@johmziwanda985 2 жыл бұрын
Unamuoji vp akiwa na brich ktk ndevu? Huyo ana dharau😠😠
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 жыл бұрын
Naiyo so bloch dada nihina.
@evaristkiiza5071
@evaristkiiza5071 2 жыл бұрын
Daah mzee yusuph leo kajipunguzia nyota yaan kabakia kopro sajenti
@mariamhaule1708
@mariamhaule1708 2 жыл бұрын
Acheni umbea nyie Kama wew kigeu geu
@itsjkamolabeatz
@itsjkamolabeatz 2 жыл бұрын
😂😂#Alikiba jamani ka fanya conver ya #nawaza wimbo wake #diamondplatnumz njo apa uone maajabu🙄🤔😂 👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/qanTY5uGfrKrq7s
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 2 жыл бұрын
Nchi ina watu mbumbumbu hiii!!!!!its not what you know its how you say it
@bobsalim4285
@bobsalim4285 2 жыл бұрын
Otile Brown once said" wasanii TZ wanamuogopa Diamond" Anajiona serikali.The Late Magu ndo alifanya makosa kuwapa freedom hara wakifanya makosa wanajua hakuna kitakachotokea.
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
Anaogopewa NA machawa. Wake. Kwa mziki gani.. Mnafki huyu hapendi wasanii wenzie wapate
@bellahappy2119
@bellahappy2119 2 жыл бұрын
Kwa sababu ajafanya mziki na wewe sasa unachuki
@mteteplatnumz6602
@mteteplatnumz6602 2 жыл бұрын
Huna chochote .
@mbogofrank1154
@mbogofrank1154 2 жыл бұрын
Mzee Yusuphu huna fikra kabisa yani sasa hivi umebutukq huna makali tulia tu wenye ncha kali waukosoe mmetumia kigezo gani kumchagua steve nyerer kuwa msemaji wa bongo fleva yani mtu ni comed unaweka awe msemaji wa bongofleva wapi na wapi fyuuu
@VITAMKUPA
@VITAMKUPA 2 жыл бұрын
Sio bongo flavour pekee , fuatilia vizuri
@magahzinyo7033
@magahzinyo7033 2 жыл бұрын
Wewe mzee mziki wako ulibuma..kwa kujifanya kurudi tena
@naifatmichffael1351
@naifatmichffael1351 2 жыл бұрын
Wee mzee kakojoe ulale dini imekushinda utamuweza dai umackin mbaya kwahiyo hata Jambo likiwa cyo nzur akubali tu Zama hizo zishapita mbwa nyie
@msemakweli371
@msemakweli371 2 жыл бұрын
Huu ni Wivu tuu Mzee Yusuph. Alafu Steave Hatumtaki ana Masihara Mingi. Mtu hajui hata Cord za Guiter wala. Alafu sio Diamond kasema ni Watanzani tunasema. We mzee Yusuph una nini Bwana.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Utacheka uhuni wa mzee KORONGO kwa Harmonize,Diamond na Alikiba
8:01
Meneno Mzito ya Alikiba Kwa Mwijaku Yatakutoa Machozi
10:38
stream circle
Рет қаралды 9
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН