Watch my other videos; kzbin.info/www/bejne/inaQp3mIa92ajJI
@freshbeats2 жыл бұрын
Saf
@freshbeats2 жыл бұрын
Unyama mwanangu
@freshbeats2 жыл бұрын
Hiii kitu moto
@freshbeats2 жыл бұрын
Imepenya hiii
@freshbeats2 жыл бұрын
Kwamba wasaf awajasikiaa bad
@SalomeMulwa-y4u8 күн бұрын
Kijana ukona talent aki hiyo talent yko haijai onekana big up bro
@Josephmakokha-pn9mu Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana ila views ndiyo chache this song deserve 20 million views much love from Kenya.
@justusmutai91388 ай бұрын
True this song is the best
@missmwayway47042 жыл бұрын
Tujuane hapa kwa like watu tulioirudia mara 100000000 hii ngoma ❤❤❤❤
@Brayban2 жыл бұрын
Miss mwai my real fan
@missmwayway47042 жыл бұрын
@@Brayban Hatari unatisha wangu Allah azidi kukufanyia wepesi Ufike mbele zaidi 🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@Brayban2 жыл бұрын
@@missmwayway4704 aamin
@severapaul63552 жыл бұрын
Yaaani my soon 2 mtu namuacha then nafunga ndoa akinitafuta2 namtumia hii kitu asikilize atajua hajui
@missmwayway47042 жыл бұрын
@@severapaul6355 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Uuuuwiii usiniambie Best hii nyimbo ni noumaaaaa
@peterkingoo-tx5rv Жыл бұрын
Man Kila siku lazma Io wivu kwagu apa tuh❤❤❤❤❤ sweet sanaa❤❤
@ramamabinda50637 ай бұрын
Mahojiano kama ulioyafanya kupitia SNS, ni muhimu sana, kwa kutangaza kazi zako
@KoonyoJames2 ай бұрын
There is no need of denying likes this talented boy,,,🎉
@lesliemgimba Жыл бұрын
Huu wimbo mshirikishe DIAMOND PLATNUMZ au KONDEBOY utatoka vizur sana
@nyagakennedy91012 жыл бұрын
Leaving my comment here so that everytime someone likes it I come back to bless this jam. Kudos Brayban
@Brayban2 жыл бұрын
Make sure you subscribed the channel because we have another jam the coming Monday
@esekongodfrey2105 Жыл бұрын
Naomba uitoe remix ya hii ngoma na either Marioo, Jay melody, Marlow au Barnaba. Na pia beats iwe faster Ile naona kwa TikTok mingi. With a quality video.
@Brayban Жыл бұрын
Kama budget ni million 5 utalipia?
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
@@BraybanMimi kama shabiki Yako FUTA Hilo jibu huwezi jua kauliza akiwa na maana Gani kidogo kidogo hujaza kibaba 🙌🏃🏃
@catherinemokami5759 Жыл бұрын
Wimbo mtamu sana. .watching from riyadh
@Lucylevina9 ай бұрын
Nakupenda bure hu Wimbo naeza sikiza zaidi ya mara kumi nikikumbuka my baby daddy alivyo nifanyia
@KhalidAskari-x1z6 ай бұрын
Pole take it easy
@jamesnyakia-um7iu Жыл бұрын
Huu wimbo wako umebeba ujumbe mzuri sana, endelea kufanya kazi kwa bidii. Utafika mbali, nakupa sapoti na niko tayari kukusapoti.
@kasiratesadam27422 жыл бұрын
Nzuri sana.... keep it up!
@Brayban2 жыл бұрын
Asante sana
@ProminaMusyoka7 ай бұрын
All the way from tiktok to KZbin then straight to boomplay❤
@SofiaMwero7 ай бұрын
Aaah hii wimbo nmeitafuta jamen ndokufika ila Ngoma iko message Kali
@HashimuHamisi-n5m Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kali sana mwamba anajuwa kugusa hisia za watu mara 2000000000
@Devilinintungwawc2vk7 ай бұрын
Brayban naomba like tatu kaka mwaka 2024
@mosesmurithi66525 ай бұрын
Kazi zuri bro🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 God bless you
@majehshadrack4826 Жыл бұрын
tuliokuja kutoka tiktok tujuane hapa
@joanjerotich-hh2se Жыл бұрын
😂😂iam here
@ngangamukundi241 Жыл бұрын
Guilty as charged
@LovendaEsthermatendechere Жыл бұрын
😂😂❤❤ndani kabisaa
@Rose_Kelvin Жыл бұрын
Hello😂
@michaelcosmas5789 Жыл бұрын
Mimi huyo
@EnockKoskei-p7q3 күн бұрын
That's tukipatana na x tunafanya ile ki2
@PeterKayOfficial2 жыл бұрын
Wasanii wa Gospel tucomment wapi?🥰
@Brayban2 жыл бұрын
Popote
@mikekegodely2 жыл бұрын
Aya by that way hatujaambiwa
@gee_mziwander2 жыл бұрын
Gospel siyo usanii n. Waimbaji wa nyimbo za ijiri😂
@lillian38732 жыл бұрын
Hapa tu
@yusuphkassimu227 Жыл бұрын
💯
@denismutai13264 ай бұрын
Kalenjin all the way from Nakuru, I love your music, keep it burning
@favourmoraa2love1382 жыл бұрын
From TikTok now I'm here it really touched my heart love the song My first time to listen to your music, I'm your fan 👌
@kevinwafula72132 жыл бұрын
Peleka hii song kwa FM radio stations nzuri Kenya, Uganda na Tanzania, wimbo tamu , na sawa sana.
@gracemalekani8200 Жыл бұрын
Ngoma kali sana from drc congo 🇨🇩 na kondegang
@KhalidAskari-x1z6 ай бұрын
Talented artist for the first tym nmelike ngoma ya kenya strong msg to ex
@naomibianca-om7qy2 ай бұрын
A day can't pass without listening to this song☺❤❤
@JohnKithinji-f5q5 ай бұрын
Hi Wimbo si ni tamu walai iko mwaaaaaa
@ShalvinMoraa Жыл бұрын
Ndo nmefikaaa kutoka pale tiktok Ni Kali Sana Na Ni tamuu❤❤
@stany702 жыл бұрын
Daaa kaka unaweza Sana mungu akuzee vipj vingi sna1💯💯 nendaa WCB
@geeboy80492 ай бұрын
Goooood more lakini pole zake lakin amuombe mungu amhengee ushuhuda God is light of life
@agnesmueni518 Жыл бұрын
Can't get enough of your beat,,ur blessed bro
@AishaMamprince Жыл бұрын
Siwezi kaa bila kuskiza huu wimbo,natamani ata kuona mwenye kuimba ninunue soda ❤❤🎉
@Devidangira2 ай бұрын
If I heard this song am just recalling Taiyo and Resian in blossom of the Savannah ,,,,,,it was Avery nice set book
@KoonyoJames2 ай бұрын
Really amazing,,,,the two daughters of Ole kaelo and mama milanoi,,,,,,,,the best novel ever
@bettbenard20354 күн бұрын
love this songs, shida kubwa nikilisten I start think of my ex lilian
@KhalidAskari-x1z6 ай бұрын
Bt wivu n lazima kw walio wahi kua wawili
@moisemoise5840 Жыл бұрын
Hongera sana kabisa mtoto unajitahidi
@RachaelNyerere-tt6qz8 ай бұрын
Poa kaka wacha🎉🎉🎉wivu❤❤
@JumaJulius-qq4rh Жыл бұрын
Unajuwa San mwamba hiii nyimbo zur kaza moyo sauti zur ndugu yangu nakubar San nyimbo Yako hiii
@cheptoo553 Жыл бұрын
From tiktok tulike hapa tukipita 🎉❤
@bethwelserem8743 Жыл бұрын
Kali kabisaaaa,,,, from Tiktok to shazam ndio nimefika hapa
@jamesprincealiass2 жыл бұрын
Such Talented, The Melody, Voice and Instrumental with the story its a big banger.😍😍😍❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Josephsiria Жыл бұрын
Kali sana mwanangu mungu akusogeze mbele
@DCJAZZ562 жыл бұрын
Kitu iko smart sana. Watching all the way from Qatar💪💪
@floragaye76662 жыл бұрын
Yes huyo ndo Bryz ninae mfahamu hajawahi kufeli kila idara yaani hadi nakosa cha kukomments all in all hongera sana rfk yng kpz ww ni Mwamba ktk ubora wako nakupenda sana na nakuombea sana naamini ipo siku nitakuona kuleeeeeeeeee.......... Wimbo mtamu sana ngoja niendelee kuutazama ahsante kwa ujumbe na burudani nzuri
@Brayban2 жыл бұрын
Good girl, daaah, asante sana
@domnicopiyo4956 Жыл бұрын
Ulipomeza p2 nilijifunza kutu😢😢😢
@FaithMwende-vs1jg Жыл бұрын
Ngoma tamuuu❤
@milkaimwaga-ju7gh Жыл бұрын
Live your work! Lakini wacha uchoyo, weka download button
@Paulnzumamuli Жыл бұрын
Akh nilazma tutumie data ogeza sauti
@ArindaLinata Жыл бұрын
Kama umeshindwa kula nyama,waachie wenye meno wakale.l❤ big up❤tuko pamoja.Alinda Ug
@RobertMbwile7 ай бұрын
Saana,iko powa sana
@nyalinyali34092 жыл бұрын
Upo vizuri..Hongeraa mno.keep on this mood and spirit Brayban - Ana Wivu #mahusiano #mapenzi
@witnesnyasondi8499 Жыл бұрын
All the way from ticktok...you nailed it man
@mbatatakiazi1678 Жыл бұрын
bwana kaka kaza buti, one day yes. Inshaalah
@brightonvictorkimsehyeon7892 Жыл бұрын
Ngoma kali sanaa
@matendeedirisa25712 жыл бұрын
Mimi muntu wauganda,napenda muziki yako mzuri sana bwana.
@Brayban2 жыл бұрын
Asante
@AbdiSmohamed Жыл бұрын
Low budget video with so much talent amazing bro keep it burning pure talent
@obedyestomihi30532 жыл бұрын
Pambana sana mwamba ngoma kali sana
@Brayban2 жыл бұрын
Umeyisha man, kuwa wa kwanza kucomment ni mapenzi makubwa
@sabatoager Жыл бұрын
mapenzi yanauma sana umpendaye akikuachilia
@adelinentidyicha75792 жыл бұрын
Well done mdogo wangu
@Brayban2 жыл бұрын
Sister ake mie
@neozawadinyanga93634 ай бұрын
2024 the 1st time I started hearing the song...iam already in love, since then I have been fantasizing and seeing us married with 2kids...haayy cut- cut😂😂😂 anyhu...sending my undying all the way from Botswana🇧🇼 😊
@JKRules92 жыл бұрын
Video imeweza🔥.
@Brayban2 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@betyfavoured6808 Жыл бұрын
When God's time is right, the song was uploaded a year ago and hits just the other day😊
@RHODAMWENDE-mq6ib Жыл бұрын
Aki
@StephenMutua-k6x Жыл бұрын
imeweza sana bro keep up
@damarisfirstdaughter Жыл бұрын
❤❤❤ allthe way from tiktok you gained a subscriber❤❤
@betrinamusembi4992 Жыл бұрын
Kijana ukona kipawa i say...big up
@Arq-lt5gu8 ай бұрын
Pamoja kazi yako zuri sana🎉
@CheroRotich11 ай бұрын
Huu wimbo unanifurahisha saana,, nice brayban🎉
@MahadhiMpedu10 ай бұрын
dogo unajuwa Sana kaza mwendo
@mademsykada38662 жыл бұрын
Nice work kitu ni tamu hii🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@RaymaxJackie-xl8ee7 ай бұрын
My favorite sichoki kuskiza Ngoma zako❤
@bendictorjepngetich36707 ай бұрын
Niweka mpka jirani anuliza ni nani aliimba 😂😂😂
@dastanelias76552 жыл бұрын
Nlijuaa haiwezii niangushaa maana unajuaa tenah unajuaa sanaa kaka video kari imetulia sanaa umeuaa sanaa kaka favorite song sichokii kuiangalia hii video aisee unajuaa sanaaa
@Brayban2 жыл бұрын
Asante
@miriamnthenya9819 Жыл бұрын
Imeweza ,,,,,,🔥🔥🔥🔥🔥🔥tiktok imenileta uku
@منالجمعة-ش1ع2 жыл бұрын
Nimeipenda hii nyimbo wajua kuimba 💓
@Brayban2 жыл бұрын
Thank you
@RHODAMWENDE-mq6ib Жыл бұрын
Ndo nmefika toka tiktok tusukume huu wimbo jameni
@BalakaJames-tj3iw Жыл бұрын
Unajua kucheza na hisia za maish yet umetishaaa
@nickymaliki6342 Жыл бұрын
Sauti nzuri iyoooo
@damariskatambo44849 ай бұрын
Huyu ndogo yupo talented sana❤❤❤❤
@SHABANIMAHANYU10 ай бұрын
Mwanangu uko vizur saa
@Brayban10 ай бұрын
🙏
@henrykatinda73702 жыл бұрын
Finally, the video!! 🤗 it's Lit 💥⚡️⭐️ Much love from Uganda 🇺🇬
@Brayban2 жыл бұрын
Tell my friends from UG i love them
@MeloudyBosibori Жыл бұрын
Naipenda Sana ❤❤
@AlfridahK10 ай бұрын
Wimbo mzuri kaka
@CharityIdanny11 ай бұрын
Ulipo meza p2😢😢😢😢
@MonalisaNgailo-p6f4 ай бұрын
Mungu akubaliki mama SIkwa kipaj hich🎉🎉❤
@shabanvuga20582 жыл бұрын
Hongera kijana
@JosephBahati-pq6lp Жыл бұрын
huu wimbo uko freshi sana kabisaaaaa Yani nimeupenda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@benedictinestory14542 жыл бұрын
Ahse ngoma kalisana brow 100%
@jameskawogo622 жыл бұрын
Bonge ya Ngoma. Kichupa kimetulia sana bro...thnx Kwa zawad hii
@Brayban2 жыл бұрын
Asante sana aseee
@hamismandingo9162 жыл бұрын
Well done. Kazi nzuri 💯
@Brayban2 жыл бұрын
Shukrani mandingo
@antonnykemboi6 ай бұрын
Kazi yako nzuri sana kaka
@everlynewilliam69063 ай бұрын
😂😂wow I never expect this ,u so creative
@officialgladys56982 жыл бұрын
Kazi nzuri kakangu ,endelea zaidii,nakuombea uzidii kungaa kwenye ndoto zako za mziki
@Brayban2 жыл бұрын
Amina
@edwardouma16302 жыл бұрын
Very nice song bigup Tanzanian musian
@Brayban2 жыл бұрын
Subscribe my channel bro
@lailatmkude69882 ай бұрын
Hongera sana kinana wangu hakika umeimba vema huu wimbo una funzo kubwa sana
@NyarRailakende Жыл бұрын
From TikTok Joho dancing 💃🏼💋💋💋✊🏿💃🏼🇰🇪🇮🇸
@potboyofficial7052 жыл бұрын
Noma sana wp hyo pot boy official hapa tunaweza fanya kazi pamoja
@manofkenya58412 жыл бұрын
I love brayban fo r free ,,,am from kenya
@mikekegodely2 жыл бұрын
Kabisaaa
@fatmanjiko19702 жыл бұрын
Hatimaye ngoma tuliyokuwa tunaisubiri imetoka! Safi sana
@Brayban2 жыл бұрын
Fetty dimpoz
@Maria-ju9by Жыл бұрын
From tiktok all the way ❤❤❤
@nayairon1450 Жыл бұрын
Huu Wimbo nimeirudia mara kumi beat na mashairi ❤❤❤❤