🔴

  Рет қаралды 12,624

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@globaltv_online
@globaltv_online 12 сағат бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@TNgwale-eu3xl
@TNgwale-eu3xl 10 сағат бұрын
Ni kweli kabisa Mh Lema. Nchi ina tatizo kubwa mno la kimaadili. Wizi, Rushwa, Kusema Uongo na Uovu Umehalalishwa kuwa ni jambp la kawaida na haki. Hii ni hatari mno kwa jamii yoyote ile.
@JohnMtalikuyanja
@JohnMtalikuyanja 9 сағат бұрын
Kwakweli kaka lema upo vizuli kumbe baadhi ya viongozi wanawatumia wanachama kama mtaji tuombe mungu tuvushwe salama inaumiza mno
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 6 сағат бұрын
Nimeelewa kumbe watu wa maandamano huwa mnawapa posho ili waandamane leo nimeelewa Nakushukuru Remma umetuelimisha
@anosiata8242
@anosiata8242 9 сағат бұрын
Lema uko sawa Umesema ukweli mtupu. Mbowe apumunzike.
@salimsadik1087
@salimsadik1087 7 сағат бұрын
Asante, Kamanda!
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 3 сағат бұрын
Mboe amwachie lisu jamani. Aina aja ya mijadala wala kuojiana
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 7 сағат бұрын
Kumbe nimeelewa CHADEMA leo tumambiwa ni ya nani 😂
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 6 сағат бұрын
Lowasa mlimchukua kwa sababu alikuwa na fedha 😂
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 6 сағат бұрын
Umetoboa siri zenu je kama mkichukua nchi si mtasimama mtandaoni kutoa siri za nchi
@innocentmagafu2192
@innocentmagafu2192 6 сағат бұрын
Jamaa mkweli Sana
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 6 сағат бұрын
Chama mnakiendesha kwa majungu
@sittandaki2135
@sittandaki2135 10 сағат бұрын
Kweli kiongozi unasema ukweli
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 6 сағат бұрын
Kumbe umekiri kabisa mliwaweka watoto wa watu mbele wakauawa leo umetueleza wazi nyie mna fura hi na familia zenu watoto wa wenzenu wamekufa DAMU YAO INAWATAFUNa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 7 сағат бұрын
Hutagombea Ubunge kwa sababu unajua hutashinda usitudanganye Arusha hutoboi
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 9 сағат бұрын
Kabisa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 7 сағат бұрын
Lakini watu wa mtandaoni hawapigi kura tumia akili🤪
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 5 сағат бұрын
Ndo wanaoandaa wapiga kura lakn
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 7 сағат бұрын
Kumbe Cham ni cha ndugu
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 4 сағат бұрын
Lema siku zote mm nipo agenest na wewe ,lini umekuwa transparent background yako unikumbika wewe yaani ulipokuwa mitaani umetubu kwa kusema ukweli uliowLiza,
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 6 сағат бұрын
Mdee uko wapi
@AnnaWiliamu
@AnnaWiliamu 7 сағат бұрын
😮hahaaaaaaa
HOTUBA YA GODBLESS LEMA, AMPASUA VIKALI MBOWE "RUSHWA TUPU"
1:13:06
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
Mwanzo -Mwisho Lema Alivyomuunga Mkono na Kumtaka Mbowe Apumzike
1:50:10
MUTAHI KAGWE SHOCKS VETTING COMMITTEE WITH HIS POWERFUL INTRODUCTION!
10:31
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 33 М.